🚨Uchambuzi Crownfm,Simba 3-1 Al ahly Tripol, kiufundi Tathimini dkk 90,ubora wa mchezaji mmoja2.

  Рет қаралды 7,639

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#ahmedally #alikamwe #football #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangatv #youtube #simba #yangasc

Пікірлер: 39
@YunusHuseni
@YunusHuseni 3 сағат бұрын
Hii simba ipo siku itakuja kumfanya mtu vibaya mnoo
@babuDingi
@babuDingi 3 сағат бұрын
Nazani uyo mwalabu wa temeke asha anza kusema tuli juwa uta sema na sasa una sema ubaya ubwela simba nguvu moja
@yokoi-u3g
@yokoi-u3g 3 сағат бұрын
Badoo hamjasema
@ip_header
@ip_header Сағат бұрын
Kawaida Wachambuzi wa Bongo wanakwenda na matokeo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 сағат бұрын
SIMBA NI BORA SANA. TUNAMSHUKURU SANA MUNGU. ASANTE MUNGU.
@AbdalaMohamedi-jk2yc
@AbdalaMohamedi-jk2yc Сағат бұрын
Yaani simba ikishinda kuna wapumbavu wananza kutafuta makosa na madhaifu ya wachezaji wetu chambuzi wengine jinga kabifi
@mlembamo
@mlembamo 2 сағат бұрын
Why always negativity. Mabeki makosa, mawinga makosa, kila kitu makosa yanaongewa 80% utadhani tulikuwa na cheza na daraja la 4. Yaani hizi media😂😂
@KarisBaya
@KarisBaya 2 сағат бұрын
Kwa simba hii tukikutana na timu yeyote tutatoboa tu, hii sio ile juzi na jana
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 сағат бұрын
ASANTE MUNGU ULIEUMBA MBINGU NA NCHI UMETUSAIDIA TUMEFUZU HIVYO HIVYO ULIVYOTUSAIDIA TUKAFUZU HIVYO HIVYO TUNAOMBA UTUSAIDIE KUMTOA SAMIA MADARAKANI TUSAIDIE MUNGU BABA
@mlembamo
@mlembamo 2 сағат бұрын
Mnahangaika mlisena somba bado, kiwango kiko chini. Eti haina muunganiko, maneno ya chini ya kiwango sana kwa wachambuzi hawa wa bahasha😂
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 3 сағат бұрын
Acha ushamba Timu ikishinda hamnga mkosa
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n 2 сағат бұрын
hamja sema bd nyiny si ndo mulikuwa munatubeza
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n 2 сағат бұрын
umeweka asilimia 60 kwa unafiki wako
@mlembamo
@mlembamo 2 сағат бұрын
Unafiki ni mbaya sana, Mtu anaanza na madhaifu ya simba😂 yaani Wachambuzi mlilipwa shingapi kuchambua madhaifu ya simba?
@emmaDNA98
@emmaDNA98 59 минут бұрын
mata😂😂😂 nyie wachambuzi uchwara
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 2 сағат бұрын
Yaan simba inafany kaz ya kuw prove wrong wachambuziiii😅😅
@mlembamo
@mlembamo 2 сағат бұрын
Yaani simba imekosea, irudi kuangalia ilipokosea😂😂😂😂
@alexchikoko9369
@alexchikoko9369 Сағат бұрын
😂😂
@johnsmwandu7338
@johnsmwandu7338 Сағат бұрын
Acheni uchwara nyie kujichanganya kupo hata ulaya
@HemedMjema
@HemedMjema 40 минут бұрын
huyo shoga anaongea mambo ya kijinga sana
@mlembamo
@mlembamo 2 сағат бұрын
Eti Paten ya timu haija kaa sawa,😂 uliangalia mpira au uchambuzi kwa nguvu ya bagasha
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 2 сағат бұрын
Binafs yangu debora mnavyomzngumzia kuna namna mnambeba anapaswa ajiangalie sana n mtu anayevurunda mnoo n vile uvundo wa akina budo unambeba ngoja nafas ya budo ifanyiwe kaz atakayefwata n debora
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 сағат бұрын
Daah umewahi cheza hata gombania goli ?
@islamIbrahimmussa
@islamIbrahimmussa 2 сағат бұрын
Utopolo huyo
@IsmailMrisho-v1n
@IsmailMrisho-v1n 2 сағат бұрын
😂😂😂​@@FahadAbubakari
@IsmailMrisho-v1n
@IsmailMrisho-v1n 2 сағат бұрын
Aisee... Mpira waachie wengine, huenda mchezo wako ni Kombolela
@clementmdoe2211
@clementmdoe2211 2 сағат бұрын
Hivi ww unamuongelea Deborah yupi.? Huyu huyu Mavambo au kuna mwingine?. Wewe si mpira tu wa miguu ambao utakuwa hujacheza inawezekana hataa lede hujacheza bro
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 18 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 11 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН