Mnaisimanga yanga mnasahau ubora wa mc Alger nyie mnachambua au mnaongea tu.
@RudonongoR-ub9et9 сағат бұрын
Shida wanatabia ya kushangilia drow kila mwaka maana yake wanafanikiwa kabla ya kutenda
@sadothleo7624Сағат бұрын
Hans, mkai, Jeff na Juma ayo Hawa kwenye uchambuzi hawajui kucheza na nyakati lakini pia kuna namna wanakwenda studio bila script wanaishia kuchambua kishabiki