Yanga ni tim kubwa ispokuwa ilipitia nyakati ngum kwa kipindi kichache na sasa tim imeludi kwenye ubora wake. !!ni wakat wa wananchi kufurahi mda si mrefu tutalud kileleni. Mungu ibariki yanga .!!❤❤❤❤
@MussaJohn-l9e18 күн бұрын
Wachambuziiii bn
@AmiriMalenge-kc5jk18 күн бұрын
Hamchelewi kusema wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu
@errydeo886518 күн бұрын
Wanafiki watu! Wagogo husema,THEY ARE EATING THEIR OWN WORDS!
@tumainielmremi791218 күн бұрын
Yanga Bingwa
@NdevuKamdini18 күн бұрын
Amchelewi kusema mmnahama
@LeylaSaria18 күн бұрын
Acha nicheke Ila wachambuzi wetu bn wanaenda na upepo😂😂😂
@errydeo886518 күн бұрын
Ndo Kula yao😂😂😂😂 na hakuna club inayowapa Kula Ka YANGA! Bila YANGA haviishi hivi!
Hii ndio Yanga ilyoshuka kiwango? Maana wachambuxi wetu wanachambua matokeo ya mmchezo badala ya kuchambua soka. Sio kila ukifungwa badi umeshuka kiwango. Kuna mengi ktk. m hezo wa mpira.
@hasanisalimu532118 күн бұрын
Wewe si ulisema kocha sio kama dawa ya mbu wewe sio mchambuzi miongo miuongo tu
@errydeo886518 күн бұрын
Hawa kama mademu,! Analala na ampae ela( Malaya) ndo hawa