UCHAMBUZI JUSTIN KESSY | HUU NI MTEGO YANGA | KUNA NAFASI MOJA TU

  Рет қаралды 48,213

MATOLE TV

MATOLE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 21 сағат бұрын
Aiseeee wewe ni professional foot boll nature mungu Akubariki sana kaka Justin god bless you
@Zaburi-
@Zaburi- 14 сағат бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@ShabaniJuma-n7f
@ShabaniJuma-n7f 23 сағат бұрын
Huwa Nakuskiliza Sana na Sichoki Kwasababu Unakitu Cha kipekee my Brother
@LeilaMgimwa-y9m
@LeilaMgimwa-y9m 4 сағат бұрын
🎉🎉🎉anaenda kukaaa mwarabu yanga anaenda kushinda kwa kishindo 💚💛💛💛💛💛💛💛💛
@Godwell-nr5rp
@Godwell-nr5rp 22 сағат бұрын
unajua hivo kuchambua mpira na hujasomea je ungesomea daah una kipaji cha kipekee kaka
@MosesWilliam-oh8tt
@MosesWilliam-oh8tt 23 сағат бұрын
Huyu jamaaa ni hatari sana aseee mungu akulinde
@Zaburi-
@Zaburi- 14 сағат бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@pappilonfar
@pappilonfar 23 сағат бұрын
Jamaa anachambua sana huyu
@LilianBitwale
@LilianBitwale 22 сағат бұрын
Et nikute interview yako nipite tuu aaaaweeee subutuuuu😂😂😂
@isayadotto1583
@isayadotto1583 23 сағат бұрын
Uhakika bro hilal lazima apigike
@EvaNdayishimiye-n5o
@EvaNdayishimiye-n5o Күн бұрын
Justin je vous appel trois fois brather nakupenda sana unatutiya moyo brather wanayanga nakutakia wepesi kwakila jambo brather
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 22 сағат бұрын
Merci mon frere
@salehestambul5535
@salehestambul5535 7 сағат бұрын
Mwamba wa Lusaka, master of footballing arts.
@NassoroAmani-r5u
@NassoroAmani-r5u 7 сағат бұрын
Unajua sana kwakweli, am appreciating broo
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 22 сағат бұрын
Nkubali Justine kessy
@ndulatv2373
@ndulatv2373 21 сағат бұрын
Brother unajua kuchambua, husimulii.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 22 сағат бұрын
Yanga asikubali kufungwa tena na hilal.kama tutakosa tupate japo sare
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 18 сағат бұрын
Sare haitusaidii kitu ndugu yang tuombee ushindi tu vinginevyo mwendo tumeumaliza
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 18 сағат бұрын
​@@fettiemaganza1484nimecheka 😂😂😂😂😂 ety mwendo tumeumaliza
@benmbwele
@benmbwele 14 сағат бұрын
Yanga itashinda. Ina benchi bora la makocha. Ina kikosi imara na bora sana. Mungu awape utulivu.
@LilianBitwale
@LilianBitwale 22 сағат бұрын
Yaani yanga ikifungwa tena hzi mech mbili aise utakuwa uzembe qa hali ya juuuu 😮😮😮 kabisaaaaa
@TundaIsak
@TundaIsak Күн бұрын
my br wew ndio mchambuzi bora wengine manyang,au❤❤❤❤❤
@CRVSEC
@CRVSEC 23 сағат бұрын
Lunin wa Madrid kadaka Hadi nusu fainal ya eufa champion lakini fainal alidaka tiba kotwa form na class lazima class ianze
@CosmasiMwangamba
@CosmasiMwangamba 3 сағат бұрын
Napenda sann huo uchambuzi
@LenzianMapunda
@LenzianMapunda 9 сағат бұрын
Una juwa sana kaka
@peteraugustino3146
@peteraugustino3146 10 сағат бұрын
😂😂 ujatema mate waaa wazungu haya bhna😂
@Macamp312
@Macamp312 21 сағат бұрын
Unajua
@FrankFanuel-r3k
@FrankFanuel-r3k 20 сағат бұрын
Una madini ya kutosha hadi yanamwagika 🙏🙏🙏🙏
@EvaNdayishimiye-n5o
@EvaNdayishimiye-n5o Күн бұрын
Wewe ni muchambuzi uliyo kuwa nyuma ya hersi pekeyako brather unaona mbali
@MaigeHamisi-yj8gu
@MaigeHamisi-yj8gu 21 сағат бұрын
Naomba namba za Jastin kessy
@PatrickNyanghungo
@PatrickNyanghungo Сағат бұрын
NAKUKUBARI SANA MWAMBA
@RayMyonga
@RayMyonga 22 сағат бұрын
Ukweli humweka mtu huru wewe umekuwa huru
@MullahSaidi
@MullahSaidi 17 сағат бұрын
Fact
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 21 сағат бұрын
Uyu jamaa ni balaa sio km ka redio ka kina hans rafael
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g 11 сағат бұрын
Unajua aka
@tresorekini3975
@tresorekini3975 21 сағат бұрын
Ibenge njooo usikie uhu uchambuzi😅😅😅
@jerryjaphet2176
@jerryjaphet2176 11 сағат бұрын
Kessy anaweredi na kazi yake anaijua ipasavyo tuheshimu mawazo yake
@mosesmulashani5124
@mosesmulashani5124 12 сағат бұрын
Mtoto wa mama pride of Tameke
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 10 сағат бұрын
Wewe endelea kuwatia ujiinga mashabiki wa Yanga halafu watakipata cha moto.
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 9 сағат бұрын
Ndio mtazamo wako huwo wa kijinga? Haya subili
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 9 сағат бұрын
Kama mama yako anachokipata cha moto anapopigwa mabao.
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 8 сағат бұрын
@@yakobokuzenza6837 unajitukana mwenyewe ww umezaliwa nann? Km sio mwanamke.
@JenniferMjie
@JenniferMjie 10 сағат бұрын
Mwamba na auch ni damu damu
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 9 сағат бұрын
Wapo naye karibu sana. At mm aucho napenda mno coz anacheza vzr pale kati Yani akuna km aucho
@GadielKahemba
@GadielKahemba 13 сағат бұрын
Puruguchu ni kwanini isiwe kwa yanga pia!?nawewe uchula tu.kwa yanga gani?
@harunaabu3083
@harunaabu3083 2 сағат бұрын
Blather mimi na kuku balli sana kwakua una nyosha rungha na unaongea ukwer
@DawaMrisho
@DawaMrisho 21 сағат бұрын
Mi mwenyewe na kukubali mzee baba
@PatrickNyanghungo
@PatrickNyanghungo Сағат бұрын
NAKUFATILIA SANA WEWE NDIE UNAWAFUNDISHA WACHAMBUZI WENGINE
@chombe539
@chombe539 11 сағат бұрын
Mwamba anajua sana
@MnadaMayonga
@MnadaMayonga 10 сағат бұрын
Kessy unaujua mpira
@SutoChacha
@SutoChacha 9 сағат бұрын
Brother unae ki2 ufike mbali coz unasema ukweli
@philibethjohn
@philibethjohn 10 сағат бұрын
Huyomicheli akiwepo analindwasana kulikodiarra maana mabekiwetu wamemwaminidiarra kupitiriza ila Michelin bado hanauwezo wakukarishadiarra
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 9 сағат бұрын
Kaka umesema vyema ila, jaribu kuandika vzr
@LovelyGarterSnake-hx8pp
@LovelyGarterSnake-hx8pp 12 сағат бұрын
Ss unateseka na nn na uchambuzi wa kes
@CharlesChristopher-c7b
@CharlesChristopher-c7b 21 сағат бұрын
Toka apa Kenge ww
@FodiGereji01
@FodiGereji01 11 сағат бұрын
Mjerumani atakuja bongo wewe ? Usidanganye watu si kocha
@NicodemusMemba
@NicodemusMemba 22 сағат бұрын
Wewe ndio mjinga
@RechoMasunga-rp9dr
@RechoMasunga-rp9dr 23 сағат бұрын
Nakujua wewe ni yanga acha kuwajaza ujinga hao utoporo
@maulidlikando4679
@maulidlikando4679 22 сағат бұрын
Na wewe ni KOLOZDAD Isikuume Yanga inapofanya vizuri kaambie KOLO WENZIO WAUNDE KIKOSI BORA. NAKUSHANGAA BINADAMU UNASHAMGILIA MNYAMA BADALA YA BINADAMU WENZIO
@LilianBitwale
@LilianBitwale 22 сағат бұрын
Kama VIP bas kufaaaa 😂😂😂 make hutk kuskia Mtu akiongeelea Yanga mazur
@EvaNdayishimiye-n5o
@EvaNdayishimiye-n5o 22 сағат бұрын
Nani kakufunza kuandika kwamana hata shule yamsingi hujaenda
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 9 сағат бұрын
Koloz dad ngr we fc😂😂 inaumae fatilia tim yako huku achia wenye uwezo wakusikiliza
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 4 сағат бұрын
Kolo unaumia hujapigwa ya sita 😂😂😂😂
UCHAMBUZI JUSTIN KESSY | HUU NI MTEGO YANGA | WATAABISHWA
22:44
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [34] SEASON 2
26:40
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 82 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН