#KUMBUKA: TAKWIMU HIZO ZIMEFANYIWA UCHUNGUZI KUPITIA OFFICIAL CHANNEL AMBAZO KWA MARA YA KWANZA ZIMEPOSTIWA, LAKINI QASWIDA YA UKHTY RAUHIYA ILIKUJA KUPOSTIWA TENA NJE YA CHANNEL AMBAYO HAIKUWA YA UKHTY RAUHIA MNAMO FEBRUARI 10, 2022 NA ,MPAKA SASA INA VIEWERS 35,121, KWA MANTIKI HIO QASWIDA YA UKHTY RAUHIYA KWA JUMLA IMEANGALIWA NA VIEWERS: 55,799.
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Bdo sana
@queenmamy7501 Жыл бұрын
🤣😂😂
@mohdsilima8828 Жыл бұрын
Dida ndio nzur zaid
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Mashallah kipenziiii ukhty dyda johara kipenziiiii chako nakuombea dua uwe mshindiiii ya hiiii kasidaaaaa ubaya wewe noma sanaaaa.wallai da.źamda akiwa nya yangu na imummy juuu na da zai na da faaaa da taw na vipenziiii wt kpnziii
@zamdazamda2311 Жыл бұрын
Ma nsha Allah weueeeee chezea dydah ..ukhty Dydah hakun alo kuzid sisi mashabiki wako twasema we n 1 kwa kaswaida hakun alo kuzid 🥰😍💖
@absabmohammed7252 Жыл бұрын
Maashallah ukhty dyda bila kujielezea haitak comment yaan sote tunamjua ni no 1 maashallah
@zahrahadi7459 Жыл бұрын
Wow uhty Dyda your voice maa shaa Allah cant stop listening to your qaswida kipenzi ya Johra
Ukhty dyda wewe nomaaaaaaa kipenziiii chake joharaaaaa wa daimaaàa mashallah ♥️ ksd ya ubaya nomaaaa kabisa
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda no 1 katika ushindi ya hii kasida yA ubaya joharaaaaaa nakuombea dua Allah akujalie
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Mashallah ukhty dyda hauna mpinzanii wallah penzii chake johara
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Wowwwwwwwwww ukhty dyda jemedari kapewa kipaji na allah johara nakupongeza sanaaaaaa hongera kwa kasida hiii nzuri sanaaaa ya ubaya mashallah
@Aslamsebit Жыл бұрын
She's here again wow! can't stop listening to ur qaswida followed by ur smart vocal...loving u from Kenya🇰🇪
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Mashallah kipenziiii changu hongera sana weweno one ukhty dyda najivunia wewe johara wako ubaya imeni bamba hapamalindi wowwwww umepewa kipenziiii changu
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda mashallah 😍 hauna upinzani katika hiii dunia mashallah kipnziiii mm ni joharaaAAAA WAKO
@ruqaiyaomar737 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 dyda kama dyda hana mpinzani daima jemedari wa East Africa nzima tunakupenda Allah azidi kukuongoza kipenzi chetu mammay mpe hi mwambie mwezi wa nne tupo ndani ya zanzibar wazima wazima
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Mkuje tushawmiss
@mahraash.munshid Жыл бұрын
Dyda🥰🥰🥰🥰
@mahraash.munshid Жыл бұрын
Dyda🥰🥰🥰💖💖💖💖
@tauhidaabdallah4604 Жыл бұрын
Ukhty dyda atabakia katka ubora wake daima dawama ukhty ni mmoja tuuuuu 😍🥰😍😍♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👌👌👌Hana mpinzaniiii
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Mashallah kipenzi ukhty dyda ushindi ni wako mashallah nimekuchaguA johara wako dua ninakutilia utAshinda.kwauwezo ya allah
@fadhilakhamis6258 Жыл бұрын
Nyie didar hakosei uyo.... mashallah
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
KipenZiii ukhty dyda ulimwengu wote umekuchagua mashallah johara nakuombeà dua ushinde Allah amekupa kipaji wewe nimshimdiii
@rahiluissa3112 Жыл бұрын
Ukhty Dida Ako juu..MashaAllah Mungu amueke Ukhty Dida na Johra wetu kipenzii
@tazkiamohammad9285 Жыл бұрын
Ukhty dida your most be welcome Kenya 🇰🇪 waiting for you
Ukhty dyda mashallah nine kusifu katika hii 💖 kasida mashallah wewe ni noma sanaaaaa kipenziii ya johara malindii
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Jemedari wangu ukhty dyda kipenziìi cha ♥️ johara mashallah ubaya inanibamba ama vp da zamda mashallah
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda Chaguo langu katika maisha tukia mimi johara na ashfaina na da juu na da zamda
@minerrajabuminerrajabu8454 Жыл бұрын
❤️ ukhty diyda ndio mmoj mashallh yuko vizur san teen anajua san ten san yy na osth hafidh❤️ila huy raw ana som utasem anaimb singelii yy ana imba ili mrad nae kasom qasida raw haja soma qasida eee ile nisingeli ya mwend kasi han ajualo yy muuliz kuimb mipash kweny mashuhul utasem kanyimw mume au wali alaf han u qeen wala ukhty diyda ndio jemedali na tupo nae mkon kwa mkon mpak pepon ❤️ inshaallah
@athmanbaya2272 Жыл бұрын
Apa ukhty dida nd muweza ❤️❤️❤️
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda mashallah best jemedari kipenziiii chake joharaaaaa ushindi ni wako kwa hii ksd ya ubaya wallai queen mummy tuko pamoja
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Mashallah ukhty dyda weee nduo mshindi nimekuchagua johara hapa
@asyarashid-qv1xr Жыл бұрын
MashaAllah ukhty dyda pambeeee,
@mithleealy-id1hw Жыл бұрын
Mashllah ukhty dyda upo vzr allah akjlie kl l kher amn
@maryamsurur-4570 Жыл бұрын
Sauty yake nzuri sana ukhty dida nimependa sana nasikiliza mara kwa mara nyimbo ya yake kipenzi cha johra mashallah
@allyissa2744 Жыл бұрын
Mashaallah
@fatmaabdallah7457 Жыл бұрын
Didi namba moja rau hajui Wala hana mvuto
@fatmaabdallah7457 Жыл бұрын
Dida ndio kila kitu
@maryamsurur-4570 Жыл бұрын
Mashallah ukhty dida kipenzi cha johra
@ZuhuraMsilimiwa-p8c8 ай бұрын
Duda nzuri
@youngleeazy Жыл бұрын
Ukthy dyda malkia ya qaswida ❤
@zahrahadi7459 Жыл бұрын
Maa shaa Allah cant stop listening to it nice voice
@AbdallaJuma-j4r7 ай бұрын
Usi muungize mungu kwenye mambo ya mziki
@halimabinthamisi3818 Жыл бұрын
Dyda kama dyda she is always the best🥰🥰🥰
@MuinaMachess Жыл бұрын
It's very clear
@latifaabdallah3020 Жыл бұрын
Kwanz dyda anaazj kukosea ukhty DYDA asilimia 💯Nampa uyo ni Jemedar wa mabanty wa ma ukhty wote Tanzania bg up ukhty DYDA love
@ummubanatein Жыл бұрын
JOKHRA KIPENZI CHA Ukhty Dyder
@ummubanatein Жыл бұрын
MashaAllah Ukhty Dida Kavunja Record Ama Kweli Allah Kamruzuku Na Sautii ..Allah Akuzidishie....
Ustadh Hafidh Nae Kakazanisha nanga Nae Kawezaa kwa kweli
@MwalimAli-b2x8 ай бұрын
Pamb rauhy mashallah
@madinaabubakar899 Жыл бұрын
MashaaAllah big up to u all keep going hamna show mbovu
@idrismakaveri829 Жыл бұрын
Ukhty didah ameweza tena sana
@prettymillah-ls7uc Жыл бұрын
MashaAllah 🥰🥰
@anisahmuhamed7230 Жыл бұрын
Ma Sha Allah my best waswida singer Dida kipendhi cha Dadangu Johara🥰 nawapenda bureeee Johara & Dida.
@dr.fatmasalim Жыл бұрын
MashaAllah Ukhty Didah han mpinzani, sauti yake natural. Ubaya kaiimba vizuri mno, nimeirudia kama mara zote. Kwakweli mashabiki tumemis sana video zake. Tunatumai yupo salama.
@MudyruAbdi Жыл бұрын
Mulas nakuona mbali sana kwenye network media unahitajika upate mkono wa kukushika ufanye makubwa sana realy appreciate.
@mulasdigitaltv131 Жыл бұрын
asante sana mkuu
@mamakemusab2011 Жыл бұрын
MashaAllah ukhty dyda number one ukweli 🥰
@MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU Жыл бұрын
Sawa
@Hajroun Жыл бұрын
Rau kaharibu kila kitu 😂😂 kitu dyda mashaaallah mungu amzidishie❤
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Rau aliimba vbya ndomna mashabik tukasema aimbe jemedari wa nchi ya tanzania 😍
@Aslamsebit Жыл бұрын
Queenmamy nakuona sana wewe🤣🤣🤣🤣Dyda all the way from Kenya 🇰🇪hana mpinzani...vipenzi na mashabik wa ukhty dyda hoyeeeeeeeee......
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Weuweee
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Apo.dyda tu n hafidh roho inapenda 😍
@fadhilamsisiry6508 Жыл бұрын
Swadakta
@chymaally3309 Жыл бұрын
Hakuna kama dyda hasa .😘😘😘😘
@fatumaomari-1900 Жыл бұрын
Ubaya wenu by dida
@MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU Жыл бұрын
Tupe somo
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda sijui niseme nini wallai kasida ya ubaya imeni bamba sanaaaaa Allah atakuwezesha ushindi kwa hii kasida ya ubaya johara wako wa malindi ni kindaki yako boràa
@abubakariabdi8810 Жыл бұрын
Hafidhi
@rizikiali-uj3lk Жыл бұрын
Ukhti dida amefanya vizuri
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dydaaaaa kipenziiii changu cha dhati wewe ninamba 1 katika jemedari wotee duniA johara niko nyuma yangu kushika bendera
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Leo sichez mbali n ap
@fadhilakhamis6258 Жыл бұрын
😂mamamy una dhambi😂😂.....Ila didar na rau kaanza kuimba rau Ila didar kampita ujue Kam Cha kale dhahabu👌👌 diydar Kam diydar ...big up sanna Bibi angu ....mkwe Wang😂unahitaj tunzo kwakwel .......kuhus hafidh viewers znajtoshelez❤️
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Nna dhambi za dhahabu km nyie hmuna au nna za silver 😂
@queenmamy7501 Жыл бұрын
Nmesema ukweli rauhiya kuimba hjui
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda wowwwwwwwee wewe ndyo jemedari bora katika dunia nzima kipenziiii mm ni joharaaaaaaaa natumia.simu ya hafswa
@hafswaabdallaomar9510 Жыл бұрын
Ukhty dyda na kipenziiii chake joharaaaaaaa wallai sina say wewe ndyo mshindiiii
@khadijaabdull2455 Жыл бұрын
Hakika jemedar sheikh hafidh but ukhty dyda kazimilik nyayo zake jemedar hyo kwa kias kikubwa niseme kwamba dyda ata bak kuwa dyda hata iweje lkn na kpnz chng qeen of Zanzibar kajitahid kwa uwezo wke maan kila mtu na uwezo wake ila dyda kauwa siwez kmlinganisha na hafidh coz yy ni mwenyew mmilik wa iyo project
@zaynabhamid7305 Жыл бұрын
Make kwanza nichek
@queenmamy7501 Жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@juwairiyajuma Жыл бұрын
Rau kajifunze tena hamna kituu sifa tuu nyingi lakin hamna jambo mwamba ni jemedari wa mabanat Ukhty Didah na Sheikh Hafidh Rau hamna jambo
@Aslamsebit Жыл бұрын
Juu tosha🤣🤣🤣hapa queen of qaswida ni Dyda na haturingi
@director_one.t Жыл бұрын
Uchambuz kizaz sn ila didà saluti
@mulasdigitaltv131 Жыл бұрын
ohoooo🔥🔥🔥✅✅
@AliAli-k9j1t24 күн бұрын
cf 2
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Vipi naona sasa mnaimba tarabu kulikoni
@sabrinaomary458 Жыл бұрын
Ukhty dyda bhana wamuache kama alivyo maana hana mpinzani