🚨Haji MANARA Afunguka kwa mara ya kwanza Kauli ya Eng hers said kuhusu nafasi yake

  Рет қаралды 17,398

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@HappynesElia
@HappynesElia 2 ай бұрын
Hongera sana kaka manara umesema sahii
@SALUMMWANGALILE-or3zu
@SALUMMWANGALILE-or3zu 2 ай бұрын
HAJI MANARA amezungumza kitaalam mno safi Mr.Haji Manara umeendelea kuonesha ukomavu katika maojiano.
@hirstndisa7148
@hirstndisa7148 2 ай бұрын
Big up sana Master Haji Sunday Manara. Man of people.
@muzneali4747
@muzneali4747 2 ай бұрын
Ahsante Sana Kaka Haji UMESEMA SAHIHI umewakomoa mahasidi
@hanifamziray277
@hanifamziray277 2 ай бұрын
Safiii sn huo ndio uanaume manara kikubwa mkono uende kinywani big up
@BayonaNgaiza
@BayonaNgaiza 2 ай бұрын
Kaka Hadji uko vizuri sana,na viongozi wa Yanga tunamhitaji sana Hadji Manara apewe kitengo make ni mtu muhimu sana kwa team yetu
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 ай бұрын
Safi kaka upo vizuri
@saidilindukwa
@saidilindukwa 2 ай бұрын
Huyu Manara ana kipaji Sana Na anavutia ananogesha Sana,kamwe angekua msaidizi wa meneja then Haji kuwa msemaji nadhani Inge fit vizuri
@Neema-vh6mp
@Neema-vh6mp 2 ай бұрын
Watu walitarajia Haji ataanza kuongea vibaya kuhusu yanga😂😂😂 safi sana Haji umejibu kwa akili zaidi
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
Eng.rudi elezea Kwa uzito wa idara ya wanachama kuwa ni idara kubwa kuliko zingine na Manara ndo mkurugenzi wake na atakuwa na vitengo chini yake.na habari na ni kitengo tu katika idara ya utawala ambapo habari no kitengo tu chini ya idara ya utawalana idara ya wanahabari ni idara inayo jitegemea na itakiwa na vitengo
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 2 ай бұрын
Haji ni mtu bana sema fitina tu za ally tumsamehe pia anafanya vizuri ally pia
@geofreyjosephat8031
@geofreyjosephat8031 2 ай бұрын
Ni suala la muda tu, hata alipopigwa chini Simba alianza kwa kujiliza mitandaoni kuwa kaonewa, sijui siwezi kuisaliti Simba .....kilichofuata baada ya kuona watu wamemkazia si ndo akaenda utopolo na kuanza kutukana?? Sasa subiri aone kapuuzwa au apate deal jingine....!!! Hadji ni chawa promax
@why-ir8zl
@why-ir8zl 2 ай бұрын
😂😂😂 laana ya Mamedi😅😅😅
@subralugege7019
@subralugege7019 2 ай бұрын
Anaweza kuishi hapo kwa muda gani😂😂😂
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 ай бұрын
NINASHAURI APANGIWE KUSIMAMIA WAPISHI WA SUPU YA VIBUDU.
@djumakonki1964
@djumakonki1964 2 ай бұрын
Pole sana Mheshimiwa Bwana Haji Manara. sasa ifike wakati Bwana Manara usiwe kama Mshumaa unawamulikia watu njia wakati wewe mwenyewe unateketea na wala hawajali maumivu yako. Kuna watu walikuwa hawajulikani ndani na nje wewe ndiyo umewapandisha hapo walipo na sasa ni maarufu wameisha kusahau. MwenyeziMungu atakulipa inshaallah. tatizo lako Haji Manara unatisha ! uliporudi huku ukishindikizwa na Popat Kitwana Manara na computer sundey Manara watu wengi walipata mshtuko wakiwemo viongozi wa Yanga. wazee wao walikuwa radhi kurudi kwako. MwenyeziMungu mbariki Haji Manara pamoja na Yanga. 3:11
@deokibona2835
@deokibona2835 2 ай бұрын
Mbona nyie Mgunda amekuwa kama mshumaa wa Simba lakini hujamshauri aache kuwa mshumaa?
@MaulidAyubu-x5m
@MaulidAyubu-x5m 2 ай бұрын
Kuna makubwa yangetokea labda yanga wameyastukia na ninaimani bado yatatokeatu na hapo ndio tutamjua manara kua ninani na wameshasema kua ss kila simba watakachotapika kwetu nichakula kitamu lkn kwamanara tusubiri siomda kitatupata
@harithsaid8762
@harithsaid8762 2 ай бұрын
Kurujuani ya mzee magoma inaanza kufanya kazi yake😂😂
@AshaAmiry-x6v
@AshaAmiry-x6v 2 ай бұрын
Mambulula walikia wanasubir majibu ya Manara ukimya wako umewatia aibu waliokua wanangojea maamuz yako. Hongera kaka Bugat umewatia adabu wamebaki wanabwabwaja😅you will 😅😅😅
@furahamoja6582
@furahamoja6582 2 ай бұрын
Safi sana mokolo walikuwa wanasubiri ubaya
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 2 ай бұрын
Anajikaza tu ataongea vibaya tu anadukuduku kocha mkuu😂
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 2 ай бұрын
Safi sana umejibu kiweled
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 2 ай бұрын
Ali kamwe ndo mtu sahihi kwa sasa
@MohamedAbdallaBadbess
@MohamedAbdallaBadbess 2 ай бұрын
APEWE KAZI YA KUFUWA JEZI.
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
nimefurahi Manara Kwa maple Zi na yanga
@sulemanmagesa2181
@sulemanmagesa2181 2 ай бұрын
Kafurushwa. Alifikiria ni vyeo vya kudumu Huyo.
@KanjokaHashim
@KanjokaHashim 2 ай бұрын
Huo ndiyo UKUBWA WA MANARA.YANGA Oyee!!
@vascombembela3632
@vascombembela3632 2 ай бұрын
Ulishayatimba Msimbazi huku nako umemuonesha umwamba dogo club imeshituka na kuamua kusimama na kijana. Ni vizuri uwe na hekima maana unajifyatua sana wewe.
@vaxminja9053
@vaxminja9053 2 ай бұрын
Manara umewajibu ki hekima hadi wamebaki midomo wazi😮😮😮😮 sasa Umbea fc
@matronamushi7021
@matronamushi7021 2 ай бұрын
Mbona kama sio manara
@DanyEnto
@DanyEnto 2 ай бұрын
Kitu ambacho hajagundua haji wala sio umri kinamasau wanafanya vizur sana tu ila haji ni simba yanga hajafanya makubwa na aliwahi kuitukana yanga sana kubadili kitu ulicho kisema mwenyewe tuena kwa watu wazima sio jambo dogo, yanga toka ametoka jerry yanga hawajapata msemaji wakwao mwenye uwezo wa kuisemea yanga mpaka alipokuja ally kamwe ningumu kulinganisha maneno ya haji akiwa simba na mapenzi ya ally kwa wananchi angeweza kurudi kwenye ubora wake akiwa simba lakini kutusalini pia ni tatizo jingine Ahmed anaonekana bora mara miaka kwasababu ya usaliti wa haji ilo tu ndio tatizo wakati wachangamoto yake na bosa B angetulia saizi angekuwa bora kuliko wote hawa wawili niamini
@JohnKapalamula-z9j
@JohnKapalamula-z9j 2 ай бұрын
Haji umewakomowa sana makolo wewemtu mkubwa sana
@HamzaChitanda
@HamzaChitanda 2 ай бұрын
Engineer kaongea ovyo sana kwa haji.Duuuh.
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 2 ай бұрын
Huyu jamaaaa anakpaji kikubwa kulkoni Ally Kamwe na huwa anajaza uwanja kulkoni Alkamwe
@MohamedAbdallaBadbess
@MohamedAbdallaBadbess 2 ай бұрын
SIMBA MSIMKUBALI MNAFIK HUYU.
@saimonntani6831
@saimonntani6831 2 ай бұрын
HAJI MANARA PAMOJA NA KUTOWA KAFARA NA KUWANUNULIA WAZEE CHAKULA KAPIGWA CHINI? DUHUU SASAHIVI ANATIYATIYA DHAMBI . MANARA ALIKUWA MLEVI MPAKA ANADONDOKA CHINI.
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 2 ай бұрын
makolo mnafrahi
@JaphetAndondile
@JaphetAndondile 2 ай бұрын
Kitengo Cha kugawa supu ndo kizuri kwake
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv 2 ай бұрын
Manara mkorofi, analeta chuki kwenye soka, bora awekwe kando, afue hata jezi 😅😅😅😅
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 2 ай бұрын
Manara tunae na tunatamba nae
@makamelila
@makamelila 2 ай бұрын
Huyu jamaa hatakiwi yanga anajipendekeza tu bwege matusi mengi usaliti unamuhukumu sasa nahiyo ni adhabu ya kuisaliti Simba nyooooooooo
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 ай бұрын
Binadamu
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 ай бұрын
Manara hana uamuzi mbadala lazima anyamze sababu alijtamba sanaa ndio maana alivo funguliwa 2 akaitisha press akajiita retarn of King
@SaidRajhi-ev3hm
@SaidRajhi-ev3hm 2 ай бұрын
Pyeeeehh😂 domo koma
@MohamedAbdallaBadbess
@MohamedAbdallaBadbess 2 ай бұрын
HAJI ALIINGIWA NS KIBURI ALIPOKUWA SIMBA. ALIAJISAHAU AKAJIONA YEYE NI YEYE. SUBHANA. LEO AMEKUWA YUKO TAYARI KUFANYA USAFI? AMEWAKOSEA SIMBA NA AKAJISAHAU NA AKAWAKOSEA UONGOZI NA WAPENZI WA SIMBA. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI .
@HusnaKibwana-t2e
@HusnaKibwana-t2e 2 ай бұрын
Akomeamezidi kijifalagua
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 2 ай бұрын
Watu wasichanganye mambo! Ali Kamwe ni Afisa Habari wa Yanga. Haji Manara ni Mhamasishaji wa Yanga. Mbona tulionaga kipindi kile Antonio Nugaz alifajya kazi pamoja na Hassan Bumburi au wakati huo nyie wachambuzi mlikua bado mpo shule
@BonifaceKisusange-or9fp
@BonifaceKisusange-or9fp 2 ай бұрын
Hapo sasa nashangaaa tena bumbuli alikuwa hana makuu
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 ай бұрын
Kinachowafurahisha nyie makolo ni nini?.
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Wampe usimamiz wa Radio yanga
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 2 ай бұрын
Kasafishe ofisi za yanga😅😅😅😅
@KhamisShekifu
@KhamisShekifu 2 ай бұрын
Alikamwe anatumia akili huyu anajenga chuki anadhani kutoa matusi na maneno makali ndo atakubalika zaidi namabosi kumbe ndo anazidi kuharibu.
@NasibuAlban
@NasibuAlban 2 ай бұрын
Awe anauza supu
@peacecook1492
@peacecook1492 2 ай бұрын
Manara anamchango mkubwa Sana Yanga. Engenear amejisahau sana
@SandeMateso
@SandeMateso 2 ай бұрын
Albino kachoka km muuza supu
@MauBonde
@MauBonde 2 ай бұрын
Mimi kama yanga simuhitaji yanga, arudi Simba mamluki.hatuwahitaji wanatuharibia Maendeleo.......wanafki.bora wachezaji sio wafitinishaji.
@StevenTambi
@StevenTambi 2 ай бұрын
Na huwezi kuwa Yanga
@SarhaSaid
@SarhaSaid 2 ай бұрын
Haswaa 👌
@RAMZANJumma-hr3ff
@RAMZANJumma-hr3ff 2 ай бұрын
Acha roho mbaya
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 355 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
SALIM KIKEKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 165 М.