Hakika tuwe wakweli wanasimba tuichangieni Tim yet kwahili janga
@festokemibala583213 күн бұрын
CAF ni wanafiki sijawahi kushuhudia shirikisho kama hili duniani! Kesi imeamriwa wiki kama mbili tatu zimepita, CSF wakapewa adhabu yao, iweje adhabu ya Simba haikutoka sambamba na ya CSF?
@SolomoniDenis13 күн бұрын
Simba ni mojawapo ya timu kubwa kulinganisha na cs Sfaxien, ukilijua hilo utakuwa umepata majibu
@JumaRamadan-m5c13 күн бұрын
Wewe sfaxien adhabu waliyopewa ilikuwa ni Fujo ambazo walifanya dhidi ya Constantine na cyo dhidi ya simba
@festokemibala583213 күн бұрын
@@SolomoniDenis suala la ukubwa siyo hoja kwangu bali "the timing"! Sijadili kishabiki bali naangalia logic. Najiuliza maswali ya "kwa nini sasa" hiyo ndo hoja yangu. Na kama unasema CSF adhabu yao ilitokana na mchezo na Constatine, basi uone nilichosema kwamba this confederation is somehow tantalic!! Kwa nini wamekaa muda wote huo bila kutoa maamuzi, walikwina?
@peterlawrance139113 күн бұрын
Kwahiyo hata wangeitoa kipindi hicho ingesaidia nini akati team ilikua na mechi 2 za away Hii ndio imefatia ya nyumbani
@RashidiMwiga13 күн бұрын
Wanasimba tuwe wazalendo kwa timu yetu pamoja na kufungiwa mashabiki tununue tiketi zote kuisapoti timu yetu.
@BakariMbwana-l8g13 күн бұрын
Habari wa ndugu vp mbona ampatikani Dodoma ya pata wiki shida nn
@HassaniMlaponi13 күн бұрын
Ujanja
@josephmwise317713 күн бұрын
Ubaya ubwera ni kung,oa viti vya walipakodi?
@LinusKyando13 күн бұрын
UNATAKA UBINGWA HALAFU KUNA WATU UNAWAKWEPA?KITABU CHA UJINGA WA MWAFRIKA HAKIKUKOSEWA