🚨Mapya kutoka Simba,Usajili Mpya Simba,Safari ya pre-season na ayoub lakred.

  Рет қаралды 6,690

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Пікірлер: 17
@manmanonline6394
@manmanonline6394 2 ай бұрын
tulienda nusunusu kwa fitna za yule mnafiki mfitinishaji na mwenye tama Chama,ila asaivi hayupo kila kitu kitaenda sawa kwa uwezo wake Allah Subhana llahtaala Insha Allah.simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@emanuelpasikali9310
@emanuelpasikali9310 2 ай бұрын
Hamna wachambuzi wasafi ni mashabiki kama sisi tu yaani waandishi wa miaka hii ni mashabiki tu kama mashabiki wengine tu
@jacksonmarwa3363
@jacksonmarwa3363 2 ай бұрын
Uchambuzi mzuri unauzingatie taarifa kutoka kwa msemaji mwenye na sio kumwekea maneno mdomoni
@bakarisahede9532
@bakarisahede9532 2 ай бұрын
Hawa jamaa kama wanawake yani hawonekani kuwa niwachambuzi ila wapo kama chawa wenginetu
@PeterHamim
@PeterHamim 2 ай бұрын
Wasafi acheni ushabiki kuweni neutral
@hamadiayossy
@hamadiayossy 2 ай бұрын
Ila huyo job simpendagi,
@EvodiusAndrewClemens-vt8kl
@EvodiusAndrewClemens-vt8kl 2 ай бұрын
Man united wamesema kocha hatasajili mojakwamoja Mbona hamjawasema sina iman na uchambuzi wenu
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 2 ай бұрын
Kwani wew ukikataa kama kocha kahusika inasaidia nini, wew unaambiwa hutakaki, uyanga ndiyo unawasumbua
@ephraimkingdom8295
@ephraimkingdom8295 2 ай бұрын
Ndio maana hizi club haziwapi taarifa za waandishi na wachambuzi wa Bongo kwa sabb wanapenda kuamini badala ya kuchukua kwenye taasisi,ndo waandishi wa Ghana na nchi zingine wanapewa taarifa za kweli kutoka kwenye vilabu vikubwa
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla 2 ай бұрын
km sio kwel nyiny ndo munaujuwa ukwel
@nasseraljahwri6310
@nasseraljahwri6310 2 ай бұрын
😂😂 Hivi mnawafahamu wasafi? Hawa jmaa ni genge la vijiweni km magenge mengine, ukiwasikia vzr kiumakini Wana kejeri fln hiv especial wakiiongelea Simba... Crown is the best TV in town
@GustafuGustafu
@GustafuGustafu 2 ай бұрын
Duniyaiiyaleobado tomasowapowengi acheniushabik
@drallan6879
@drallan6879 2 ай бұрын
kuweni civilized wasafi;mko so negative na Simba ,,
@YohanaCharles-kq7tf
@YohanaCharles-kq7tf 2 ай бұрын
Sema wasafi mnakuaga kama wajinga we umeambiwa kocha kahusika we unasema apana bas ww ndo umehusika
@yahayahussein789
@yahayahussein789 2 ай бұрын
Ww unauwezo wakufikir wachezaj na kocha nan ameanza kusajiliw mpaka hausike
@JumaLitto
@JumaLitto 2 ай бұрын
Huwa wanazingua sana
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Двое играют | Наташа и Вова
Рет қаралды 2,6 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
ALICHOSEMA AHMED ALI MSEMAJI WA SIMBA SC
11:19
DUNIALEO
Рет қаралды 2,9 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57