Mechi inayomuhtaji Kibwana bado haijafika. Mechi inayomuhtaji Mkude pia bado, ila mechi hizo zipo. Sasa hivi ligi ni ngumu sana, inahitaji kukusanya na kutengeneza gepu kubwa la points na wapinzani wako kwanza ndipo uanze kuchanganyia kidogo.
@hezrongeofrey14524 сағат бұрын
Nyie Wachambuzi msikuze sana issue ya Kibwana,wote hao Kibwana ,Nkane,Kibabage,Mwamnyeto,Mkude kiuhalisia hawana quality ya kucheza Yanga ya sasa ni siasa tu za klabu zetu ndiyo zinawabakiza,Yanga imekuwa Level ya juu kuwazidi wao.Huyo Kibwana akicheza unaona makosa mengi sana ya kimchezo kocha hawezi kurisk mechi sasa hivi zina ushindani sana,Mwacheni Kocha afanye kazi yake.
@DENISMAKALAСағат бұрын
Umeongea kitu kikubwa sana nimekuelewa hiki ndoo kitu kilichomgharimu kocha wa man u hakuwa na game plan hataki kuwaweka ma game changers
@kolosii43515 сағат бұрын
Jamani mimi nina mu admire sana Nkane kwa uvumilivu mkubwa na leo anakuja kung'ara hivi. Kongole kwake. Kibwana pull up your socks usipote muda kujiuliza. Mfuate mwalimu akupe ushauri nini cha kufanya.
@ahmedalsaadi71085 сағат бұрын
Kabisa yaani ni mvumilivu na ukute hata kibwana anaandaliws kitu kipya
@ambelemwaifunga92184 сағат бұрын
Mnatudanganya kweli huyu aucho ni speed ipi mnayotuambia aucho kapungua?lini aucho alikuwa na speed acheni kuzeesha watuu wa ongooo
@evansdecaprio8196Сағат бұрын
Kama kibwana na nkane na mnyeto wazuri hebu wapangeni siku ya jkt tanzania au cost union
@hassanmwallimu57675 сағат бұрын
Bado Kibwana ni bora sana kuliko Nkane otherwise Kibwana jiunge na Azam
@marthastephen66004 сағат бұрын
Watu wanaingia kwenye mtego wa shomary wanasahau shomary jaman katoka kwenye majeraha ya enka alipasuliwa mlitaka atumike hivohivo maana saiv ndo kaanza mazoez mepesi na wenzake muwe mnafatilia hata kwenye app ya tim mpate habari
@DENISMAKALAСағат бұрын
Naomba nikujibu kuhusiana na kibwana kibwana hakupi vitu vyote uwanjani sio mnyumbulikaji Denis nkane ana akili ya mpira anaweza kukontroo Mali na anaweza kufinya ana utulivu mkubwa sana kibwana Hana hicho kitu yeye anakaba kibwana ni Kama ALIVYOKUWA mauya kiukweli nilikuwa nakasirika akicheza mauya anarudisha mipira nyuma Denis anafunga ana assist ana vitu Bora sana same to Farid musa