Kweli mwenye kimungu akulinde pamoja mashehe mwe nzako silalagi kwa mafunzo yenu kalibuzmbia kwetu hasante watazania wote hata kama wengi tuna haki nyumba kwa kiyalabu tuna shukuru hasante
@fatmaali47944 жыл бұрын
Subhanallah asante sana sheikh
@mubarakaahmada51553 жыл бұрын
Aslm alaikum naomba unipatie vitabu vyako vya tuba ya miti je unauza shilingi ngapi
@rayamussa89155 жыл бұрын
Shukran Allah akulipe kheir
@UmiRiyaan3 жыл бұрын
MashaAllah
@alikhamis6626Ай бұрын
Shekh Khamis kama nataka kujitibu na hili tatizo je nifanyeje?
@rehemaburhani49324 жыл бұрын
Maashallah
@fadiashami63814 жыл бұрын
Mashaallah
@abuiyalisaid99352 жыл бұрын
Naomba kufuhamu mti wa mfunga mti na faida zake
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Natatizo ilo ilo La nyota
@muhayarugaonlinetv2 жыл бұрын
Shukriya mungu akuongoze uzidi kutuelimisha.. Hii clio clip sauti ipo chini mno
@DayuuChuu4 ай бұрын
Ujibu msg wala sm kupokea jamani
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Shehe kwani haupo wasapu mimi Nina, shida mbona kama nilikuonaga wasapu au imo nilichanganya
@abuiyalisaid99352 жыл бұрын
Assalam alaykum
@zahakhelef10793 жыл бұрын
Asalaam Alaykum hii ayah ya 51 katika surat As Saffat umesoma kwenye tafsir ya nani sheikh wangu ? mpaka ukaweza kutafsir hivyo
@medseba69082 жыл бұрын
Sasa huyo jinn Qareen mbona kazi yake ni kumshawishi mtu kutenda maovu tu na ndio maana tunaambiwa Mtu Muhammad alimdhibiti huyo jinn hakuwa akimshawishi Muhammad(s.a w) kwenye kutenda maasi, na huyo Qareen wapo wenye kumtumia tu kujua habari za mtu ila hahusiki na habari za kuchafuliwa nyota. Ila elimu ni bahari Allah anajua zaidi.
@aishamhunziaishamhunzi29044 жыл бұрын
Shekhe sasa kama jini amechafuliwa mtu atafanyaje ili jini wake arudi sawa
@binthababy80383 жыл бұрын
Sheikh unajuwa ukienda you tube n'a ukaca namb zako unajuwa unataka watu wawasiliane n'a wewe lakini wewe mutu akikwandikia hujibu kwanini siyo Sawa hivyo