UCHEBE SHILOLE AMENIBRAND SANA ,BABALEVO ANAMBEBA SANA SHILOLE , SHILOLE AMEZINGUA SANA

  Рет қаралды 32,288

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@hawabofu6354
@hawabofu6354 2 жыл бұрын
Jamani ndokwanza Leo kua wakwanza naombeni like japo 20 tu
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 жыл бұрын
Yani juma fitina wallah sibuhannallah' ugombanishi' sio mzuri
@fashyiddy8078
@fashyiddy8078 2 жыл бұрын
Watu wamegoma kucomment haya nipeni likes bhac
@justinemungure3010
@justinemungure3010 2 жыл бұрын
Wasanii bana,bora sisi tulio na maisha yetu
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Kabisaa
@moniquentunga9605
@moniquentunga9605 2 жыл бұрын
Un bon sujet bravo lokole et diva
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 жыл бұрын
Kweli kabisa usimdharau mtu uliyetoka naye mbali.
@rahmaomary8021
@rahmaomary8021 2 жыл бұрын
Unafiki sio mzuri juma muogop mungu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Uchebe kaka angu jaa pembeni na hy mambo yao fanya kz Zako
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Kweli dada didah nilishawah mwambia rafik angu kbl sijaenda chumbiwa na bwana angu huyu bwana ananipima mshahara daktari gani analipwa laki moja akaenda mwambia bwana angu eti fulani kaniambia hiv hiv lkn usimwambie mkeo nakutonya yule siyo mke nashukuru Mungu mume wangu akaja kuniambia rafk ako kaniambia hiv na hivi looh niliogopa sana so binadamu sio wa kuwaamin but nashukuru now nimechumbiwa n mahali juu n pete y uchumba ndoa nimefunga kabaki mdomo wazi n nilimwambia ww sio rafik mzuri sitaki urafik n ww
@asmahassan5661
@asmahassan5661 2 жыл бұрын
Pol mmy alikua anamtak uyo mumeo tizama na shog wakumwambia mambo yko
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
@@asmahassan5661 kbsa love kikubwa tusiamin watu ht unayemwamin siku mkigombn atakutolea mambo yako hadharani kama anavyosema didah ukion yamekaba sana kooni bora uende chooni ukayaongelee binadamu s watu hasa sis watoto wa kike tunaoneana wivu sana
@mwanahawabakari718
@mwanahawabakari718 2 жыл бұрын
Yah.kweli midume imekua mishoga.du😃😄😎ndio Nini Sasa kusutana namwanamke Tena mtandaoni
@queenshoo3884
@queenshoo3884 2 жыл бұрын
Babu iddi leo umekomesha na hiyo miwani 😄 🤣 😂 😆 😄
@boykembo
@boykembo 2 жыл бұрын
.....
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Uchebe pont kaongea ukweli kabisa
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Yani huyu lokole bora aolewe jamani
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Yakizidi nenda kaseme na Bahari na kama hakuna Bahari unapoishi basi Bora ukaseme na mto😂😂😂😂
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Yamenikuta sana hayo
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ss kumrekodi mtu ndo nn umbea tu ila umekomoka ht Ajaongea baya uchebe kaongea yote point
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 2 жыл бұрын
Juma lopo lopo aah lopole
@alizuluman4739
@alizuluman4739 2 жыл бұрын
Mla kuku wa mwenziwe miguu uangalia kwake
@gracepatric4371
@gracepatric4371 2 жыл бұрын
Ila juma 🤣😄😄😃😃😆😃😄😄😄😄😄😀😃😃😄😄😄
@Juke995
@Juke995 2 жыл бұрын
Shida ya wabongo tunapenda kulipwa fadhira ndo kitu kibaya Sana katika haya. Maisha baba. Levo anataka fadhira za kumuandikia nyimbo shilole hadi kuadhalilishana hivyo
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Kwa kiki iyooi mmefeli
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 2 жыл бұрын
BIBI ANAONGEA HUYU WAKATI NDOA ZOTE EXPIRES
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Juma unapenda kugombanisha watu
@vickydan2869
@vickydan2869 2 жыл бұрын
Mvaa miwani haoni mbali hahahaha nakwel hana uchungu na biashara ya shishi
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Yamenikuta sana hayo kwa marafiki sitaji mashoga dunia imeharibika 😏😏
@safiyamohamudadan6526
@safiyamohamudadan6526 2 жыл бұрын
huyu mwanaume hanithi mdaku mchonganishi
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@zainabcosmas6961
@zainabcosmas6961 2 жыл бұрын
Juma kiboko
@abuusahya7718
@abuusahya7718 2 жыл бұрын
Baba levo fundi
@eastherkatuga3651
@eastherkatuga3651 2 жыл бұрын
Jabani
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 2 жыл бұрын
Ukweli yule romi miwani anamgombanisha shishi na kilamtu anataka amtawale tu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Kabisaa karnataka kabaki kenyewe
@loganpoul
@loganpoul 2 жыл бұрын
Dida domo hilo
#ZaNdaaaniKabisa VIONGOZI WAMTIMUA KOCHA, ASHUSHWA TIMU YA VIJANA
1:59
DUNIA (Ep 42)
20:50
ASMA FILMS
Рет қаралды 84 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
🔴#LIVE:LAVI DAVI NDANI YA WASAFI FM - 20/01/2025
Wasafi Media
Рет қаралды 43
危险的富贵:赵薇的难言之隐
42:49
二爷故事
Рет қаралды 1,1 МЛН
Learnmore Jonasi | ALL Performances | AGT 2024
29:12
America's Got Talent
Рет қаралды 602 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН