move ni nzur shida ni huwo mziki unaboa umekuwa juu sana
@ntanilanjema04 Жыл бұрын
Jinsi mziki ulivyo juu imenishinda kuangalia
@fredopondo632 Жыл бұрын
Nimeacha kuangalia hii movie manake siskii wanachosema mziki ipo juu sana inameza wanachosema.
@aeshamrange6540 Жыл бұрын
Move nzur sana madebe ila sauti ya mziki nikubwa sana kuliko sauti ya mazunguzo
@Peter-oc4yl Жыл бұрын
Sauti ya wimbo juu na mazungumzo ambayo ni mzingi Iko chini sana
@khamismwango812 Жыл бұрын
sheikh Madebe movie zako zinamafunzo mazuri sana na nimezipenda, lakini hao wanao edit huo mziki wameharibu kweli
@athmanrhova1526 Жыл бұрын
Kabisa, ata Mimi nmependa sana izi movie ila hii huu mziki wameeka Kwa sauti ya juu sana mpka sisikii wanaongea nini
@bunuadiyo5944 Жыл бұрын
Hata nami nakubaliana na wenzangu kuwa music iko juu kuliko ujumbe(maneno).
@salmsalmo931 Жыл бұрын
Kabisa mziki umeboa
@janethjoseph1502 жыл бұрын
Sauti ya beat inakera jamanii
@fatimahabdullah12282 жыл бұрын
Mume chemsha Juu ngoma Iko juu kuliko mazungumzo
@zamzamhaji12292 жыл бұрын
Movie nzuri za kibongo ila nyingi changamoto kwenye sauti tu
@swadikkumwaya77832 жыл бұрын
Eeeh wajitaidi Zaid kwenye sound
@chidakatingish2601 Жыл бұрын
Ni nzur sana
@aishaibrahim56072 жыл бұрын
Kumbe madebe katoa kitu alafu hamniambii jmn wabaya nyinyi ila ss sio kwa msaut wamziki huo haya ila mi napenda kz zako we mbaba
@jumaseif62462 жыл бұрын
Saut ya mziki ipo juu sana muenderezo muliangalie ilo
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Wanafanya kusudi hawa watu wengi wanalalamika mziki upo juu
@Balogetv2 жыл бұрын
Muziki uko juu sana fanyen kupunguza
@hassanchambo7597 Жыл бұрын
Shekhe madebe huo mziki wa nini sasa move nzuri sana lakin imeharibiwa na huo mziki.
@hamidarukingamarukingama7010 Жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuli
@mwalimumlaula61672 жыл бұрын
Munajisahau sana,mziki uko juu sasa hatujui mlipost mziki ama nn,hii kazi mbovu mumetuudhi.huyo editor maziwa lala hana hajuwalo.
@tixboymusiciantz2 жыл бұрын
Punguzeni vinandaaaaaa
@rehemachedi18692 жыл бұрын
Masha Allah umenifurahisha sana madebe kusoma kuruani tukufu Masha Allah 🟣🍎🍓🧡
@mkombozikillo4511 Жыл бұрын
movie ni nzuri sana ila kuna shida moja,mziki uko juu na hauendani na maudhui
@mirokiss5662 Жыл бұрын
Nzuri ila music kipindi cha maongezi ningependa musiweke
@muniracheusi9955 Жыл бұрын
Mziki umezidi jaman
@jamesmlowe87452 жыл бұрын
kaz nzuli tatzo kelel zip juu san mpak kelo
@iddjecha94672 жыл бұрын
Assalaam alaykum filam nzuri sana ila sauti ya mziki ipo juu sana kuliko saut ya waongeaji
@swadikkumwaya77832 жыл бұрын
Kabisa
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Sana had kero
@hassankunjayo626 Жыл бұрын
🙏mafunzo mazul ila saut ipo juu sana
@shailglobal22962 жыл бұрын
Editing yenu mbaya haswa kwenye sauti.mziki mkubwA sauti zenu ziko chini
@tungozamswahilijk46562 жыл бұрын
oya wazee mziki km ugomvi-usome kwa sauti ya mkojan
@rehemachedi18692 жыл бұрын
Masha Allah nimeipenda sana
@marywambui3614 Жыл бұрын
Back ground music iko juu saidi kushinda sauti zenu inatatiza
@HusseinNuru-zd3bf7 ай бұрын
Filamu nzuri tatizo mziki
@msaleepita97912 жыл бұрын
Sauti IPO chini mziki upo juu sanaaaa
@Issahamad-io6uz Жыл бұрын
Shekh madebe watu wa music wajrkebshe mr nyengn
@abellymkoma8472 Жыл бұрын
Mnazingua background sauti kubwa kuliko wanaongea hatuelew kitu ndo maaana mnafel
@cassamoantumaneantumane3673 Жыл бұрын
Nziki muingi
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Mziki jamqn!!! Mziki nkhaaaaa kwanin kila siku tatizo Moja tu mizki amjirekebish Tunachoka
@reinatave3022 Жыл бұрын
Yaan huu mzik unaboa kwakwer.mfyuuuu
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Movie nzuri lkn sauti y mziki Iko juu paka usikii maneno
@idriskinye11902 жыл бұрын
Hapa madebe lidai ulibulunda wana ongea sauti ipo chin bit lipo juu
@levissafari98302 жыл бұрын
Sasa muhimu nitusikie maongezi ama n muziki,,, mwaboesha aisei
@halimaalimwamajeni62912 жыл бұрын
Ata ainipi raha yakuyiangalia adi mwesho
@asamonlinetv7240 Жыл бұрын
Hatuwezi kupanda kimataifa km mtizamaji hasikii kinachozungumzwa zaid ya kuskia zaid music na hapo ndio watizamaji wanafanywa wasizipende movie za Tanzania.
@SaidMwarandu-fd8gh8 ай бұрын
toeni mziki wakati wa maobgezi kwenye filamu zenu ,,,,,asanteni
@kaykinami Жыл бұрын
sauti ya music iko juu saana... tafadhali angalia kwa next production
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mashaallah kazi zoko madebe ni mzuri laki mziki hadi masikiyo yanauma
@ibrahimkhalfan68692 жыл бұрын
Saudi iko chini music ipo juuu ndo nini sasa tena sio movie hii th bali movie nyingi tu sauti zinakuwa chini mziki unakuwa juu yaanj hatuelewi
@bintihassan65342 жыл бұрын
Music too much Ila iko swa sna kwakwli big up💪
@stellamwakyusa7929 Жыл бұрын
Maneno chini sauti ya mziki juuu.nini manake sasa
@ramadhanfara23022 жыл бұрын
Back ground music mupunguze kidogo
@talentlwambano7881 Жыл бұрын
Kaka kaz nzur lakn jarib kupunguza sauti
@radharoibrahim51382 жыл бұрын
Sauti siyo kubwa
@asongwa2007 Жыл бұрын
Sound engineer bomu, kaharibu movie
@fatimahabdullah12282 жыл бұрын
Aki sauti Iko juu kuliko maongezi
@rasholkhamismunga6136 Жыл бұрын
Hii filamu kati ya filamu zote zako hii ndio imenitoa machozy na kunipa funzo muhimu zaid
@williamlaizer6498 Жыл бұрын
Sauti ya mziki upo juu sana kuliko ya watu afu move nyingi tu madebe fwatilia hili
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Mziki unboa kinona
@swalehe5552 жыл бұрын
Naomba mrudie kutuma tena
@khatibusufian6071 Жыл бұрын
Mziki
@sultannassor338 Жыл бұрын
Filam mzur lkn mziki ukojuu
@aaminaasljbgbvf745 Жыл бұрын
Wamnikera maana sikii kitu ilojimziki nilanini mwayunuima raha
@benardmutayi57382 жыл бұрын
Izo kelele kaeka Nani😬😬🇰🇪
@sudaissaid84282 жыл бұрын
ushamba miziki kwn hua hamupitii movie kabla kuachia wapumbavu nyie
@suleimanali34482 жыл бұрын
Mziki unachosha
@aminnyanjil1470 Жыл бұрын
Hope huyu madebe hata mposa kama chanuo🤣🤣🤣🤣🤣kazi nzuri lidai
@chimamyogg3889 Жыл бұрын
Muvi nzury Ila mziki ukojuu san alafu muda wote unapigwatuu
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Sound editing wanaboa
@alijumbo8720 Жыл бұрын
kwann mwalimu wa chuo(madrassa) amekata panki
@mazrui19482 жыл бұрын
Move nzuri lakini music ya nini mnaeka fujo.tusikize maneno mnaoyoongea ama music.Hata nmeshindwa kuangalia music inaboesha.
@asamonlinetv7240 Жыл бұрын
Madebe movie zako nzuri sn Mashaallah lkn movie zetu zote zinaharibiwa kuekwa music kubwa kuizidi sauti kusikika hapo ndipo tunapoharibu Watanzania kizuri kinakua kidogo na kibaya hukuzwa.
@salumsimai642 Жыл бұрын
Hatuskiiii sauti ipo juuuuuu
@ashaali5442 Жыл бұрын
Movie nzuri but Huo mziki umeharibu hatusiki wanayoongelewa Na waigizaji
@SaidMwarandu-fd8gh8 ай бұрын
nimeboeka niskize mziki ama manenno jamani
@purityneema2182 жыл бұрын
Kazi nzuri
@edgartz3367 Жыл бұрын
Mziki mkubwa sana
@ndaymustafa711 Жыл бұрын
Sauti haiskiki kutokana na Sono imeizidi kabisa
@jamespetro30142 жыл бұрын
Madebe nimekushusha vyeo kabsaa music juu ndio nn sasa kazi mbaya hiii
@billysamson3094 Жыл бұрын
Producer wa sound alitaka kuonekana ndo mana kaweka sound up
@othmanhajji47002 жыл бұрын
Movedin iko poa sana ila mumeharibu moja tu muziki umezidi sanaa
@husseinmohamed9342 жыл бұрын
Movie nzuri ila mbona music ni too much?
@josefixboy33392 жыл бұрын
Watu wanaongea ma beat ya nn mmekosea Sana
@khdigahk42462 жыл бұрын
Madebeeeeeeeee saut ya mzikiiiiiiii
@josefixboy33392 жыл бұрын
Kwan hii move mli ikagua kwanza ndo mkaiweka au mmekulupuka tu sasa hapa tunasikiliza music tu kueni makini katika kazi zenu
@switysasha1632 жыл бұрын
Movie ina sauti kubwa background hata simalizii najisumbua tu
@sahalabdiladif35172 жыл бұрын
Background music is too much
@MiselemaniHamisi-nt4zq Жыл бұрын
Mziki mwingi hata hauskii maneno
@muindesinalosinaloabacar26062 жыл бұрын
Lama tuko disco jamaangu.
@farhatothman3710 Жыл бұрын
Mzki umezd saut ndog kwa mzik
@muhizijafari5799 Жыл бұрын
Tunaitaj mtamu ep 4
@saidtaimur6542 жыл бұрын
Music toooo much hahahaaaa
@hamisimchuzi9218 Жыл бұрын
Tatizo la filam za kitazania munaweka bet ya muziki juu alafu sauti zenu azisikikimunazinguwa kwa ili
@halimaalimwamajeni62912 жыл бұрын
Ilo goma lasicha la chosha maskio
@saeedmassoud256 Жыл бұрын
Nmazingua na mamiziki yenu kumaamazenu
@msafiridiary2 жыл бұрын
Mimi ndio hapo mnaponiachaga hoi bongo movie, sasa hii truck (nyimbo) au movie maana beat mwanzo mwisho..lol
@hassanmohd9163 Жыл бұрын
Hata kinachoongelewa hakifahamiki
@bbycandy39792 жыл бұрын
Sauti ya mziki iko juu hata hatuelew plz
@rogamediakenya48322 жыл бұрын
Punguzeni sauti ya muziki ikiezekane isiwe imeharibu movie
@sudaissaid84282 жыл бұрын
Qurani haisomwi hivyo
@alikutala1215 Жыл бұрын
Hizo background instrument Jo!hazileti raha
@BIGbone.94222 жыл бұрын
Kelele mwanzo mwisho poor production. 😡
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Madebe🥰🥰🥰🥰🥰
@suleimankatana39092 жыл бұрын
Muendelezo madebe
@jumakandy20752 жыл бұрын
Daah mziki huko juu sana hamna kitu hapa
@mbarakasadiki870 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯
@mukebiidiramazani1067 Жыл бұрын
Yani uyo Mziki umenibowa kinoma Adi ata sehem yapili sitamani kwend kuitizam 😡😡😠😠🇨🇩🇨🇩🤦🤦