No video

MSANII WA CLAM VEVO AFICHUA MAZITO YA MADEBE LIDAI, MAMBO YA GIZANI

  Рет қаралды 27,423

Mbengo Tv

Mbengo Tv

5 ай бұрын

Пікірлер: 110
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 5 ай бұрын
Wallahi uyu kaka nilitokea kumpenda sana wakat kipindi yupo n madebe
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 5 ай бұрын
Big kaka ❤ team mbwela kujeni huku leo yuko live💪👏
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 5 ай бұрын
Jamaa anajua sana sema wakina omari malaya sana wakitongoza dem hatoboi
@minnahloveiove1074
@minnahloveiove1074 5 ай бұрын
One love mbwela mungu akupe imani iyo iyo ya kushukuru kwa unachokipata inshallah mungu atazidi kukuzidishia endelea na mapambano mashabiki zako tunakupenda sn
@Zeldaommy
@Zeldaommy 5 ай бұрын
Katika Maisha tunapitia mambo mengi sana pole Kaka mbwela mungu atakulinda kwakila Jambo inshallah😢😢❤❤🎉🎉
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 ай бұрын
Mashallah Mbwela nimependa hio 👍, Mungu ndie mlipaji wa kila jambo! Ukimuamini na kumuomba anajibu...pambana kaka mimi nakupenda kwa ajili ya Allah na nakubali kazi zako🎉🎉🎉
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 5 ай бұрын
Najiuliza kwnn uyu kaka nampenda kumbe mzanzibar mwenzang 😢
@amysimba8419
@amysimba8419 5 ай бұрын
Mhhh mm nampend san
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 5 ай бұрын
@@amysimba8419 😔
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 5 ай бұрын
Ushaanza ivoo 😂😂😂​@@amysimba8419
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 5 ай бұрын
Ww mbwela kumbe wa kwetu wilaya ya Kati mgeni Haji mchangani❤
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 5 ай бұрын
Umefulai apo na ilo jina la shem shem ndo weeee😂😂😂😂
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 5 ай бұрын
Nakukubali sana jamaa yangu mbwela unajua sana hasa ukiwa mbele ya kamera wewe na noma broh i appreciate you broh
@Zix-yb1ci
@Zix-yb1ci 4 ай бұрын
Big kaka,, pole kwa yote yaliyo kukuta, nakuombea kwa mungu akufanyie wepec ❤❤❤
@user-tl5xf7bq3k
@user-tl5xf7bq3k 5 ай бұрын
Madebe ni sawa na bokoharamu ila akijirekebisha yuko vizuri
@chumchum1526
@chumchum1526 5 ай бұрын
Mbwela unajielewa sana....hongera clam kwa roho ya utu na Mungu azidi kukubariki
@asiamnayahe7914
@asiamnayahe7914 4 ай бұрын
Ibrah mbwela nakupenda San mara yangu ya kwanz kukuon nlkuon kweny nabii mswahili
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 ай бұрын
Mtu akikufanyia ubaya si vyema kumtangaza kwenye vyombo vya habari, mtu mwanaume haitakiwi kufanya hivyo so hapo mjomba umekosea
@modestferdinand2357
@modestferdinand2357 5 ай бұрын
Anafanya vizuri, huyo madebe ataona aibu ya kutendea ubaya mtu mwengine
@user-ct6vd7ld7s
@user-ct6vd7ld7s 5 ай бұрын
Nice kaka
@AbiTech96
@AbiTech96 5 ай бұрын
Courage sana kaka Mbwela, nakupenda toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️
@user-yk4qd6qv7e
@user-yk4qd6qv7e 5 ай бұрын
Big up sana kaka much love from kenya ❤❤❤
@estevaojacintomuome5253
@estevaojacintomuome5253 5 ай бұрын
Nakukubali Sana Omar mbwela from Mozambique
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 5 ай бұрын
A very nice story teller
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 5 ай бұрын
Mbwela uko vizuri sana unakubalika mnoo ❤
@user-up9gz8ij1s
@user-up9gz8ij1s 5 ай бұрын
Madebe nilimpenda lakini kwa tabia hizo namchukia sana
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 5 ай бұрын
Speaking of "God's time" Mbwela umeongea vya maana vyote.
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 5 ай бұрын
Basi wewekaka nimslam tafuta mke uwowe naamini Allah atazindi kukufungulia milango yakher usizae bila ndowa ni kitu kunacho mkasirisha Allah nidhabi kubwa nakuobea uzindi kufanikiwa
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 5 ай бұрын
Mashaallah 🎉🎉
@Starbrunodg
@Starbrunodg 5 ай бұрын
Namkubali sana❤❤
@user-ep7qs8ct6d
@user-ep7qs8ct6d 5 ай бұрын
Vevo nina kipaji cha kuigiza unisaidie nawapenda sana na pia nafatilia kazi zenu
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 5 ай бұрын
Big up Clam .
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 5 ай бұрын
Clam tunaquelewa sana mungu aqulinde baba 🎉🎉🎉
@user-qz2sk3is9c
@user-qz2sk3is9c 5 ай бұрын
Mimi ni msanii ila story hizi za kulogana ndio naogopa kuendeleza kipaji changu
@ummialey6391
@ummialey6391 2 ай бұрын
Mbona tumeona umetoa movie tena. Na. Madebe mtamu una roho nzuri kwzli
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 5 ай бұрын
Weeee qwaiyo clam boss eeee😮😮
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 5 ай бұрын
KZbin yake inamuingizia hela ndefu sana
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 5 ай бұрын
Uyu nae konki kibogo Mbwela anakubalika zaidi ya sana
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 5 ай бұрын
Wewe mbwela ndio msanii ninae kutazama kwajicho lambali Sana unanifanya nione bado sijachelewa nitafika ninapotaka kufikka
@wez-bbabisha4592
@wez-bbabisha4592 5 ай бұрын
🇧🇮💙💙💙💙💙
@user-eq9xt7qi3n
@user-eq9xt7qi3n 5 ай бұрын
Madebe sio mtu poa kumbe anatumia watu vibaya
@user-modizzy
@user-modizzy 4 ай бұрын
Boa trabalho mano
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 5 ай бұрын
Nilipoangalia interview lisaa limoja dakika kumi nasaba sikujua Kama nitaimaliza ila mbwela kaitendea haki haichoshi huyu jamaa nikipaji sana
@Adamunjoka
@Adamunjoka 5 ай бұрын
Kweli yupo vizuri
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 4 ай бұрын
Zanzibar sio pemba
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 5 ай бұрын
Mbwela i love the way you neutralise Madebe
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 ай бұрын
Mimi huwa nawasikia vijana wengi wanasema eanafanya kazi za daywaka hii ndo kazi gani naomba munifahamishe au ni kingereza hicho ni( day work)
@bernardmlenda9800
@bernardmlenda9800 5 ай бұрын
Hapana sio "day work" ni "day worker" yana mfanyakazi anaefanya kazi na kulipwa kwa siku
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 5 ай бұрын
😂😂😂😂sorry ila nime cheka kidogo deiwaka ni kibarua na sio kaz yako rasmi kama umeajiriwa au umeajiri.. so deiwaka ni kibarua tu
@kukuzambawazambanga
@kukuzambawazambanga 5 ай бұрын
Hicho ni kibarua unalipwa marupu rupu yako siku hiyo hiyo ukitimiza kazi yako unarejea nyumbani na hela yako ya hiyo siku😂😂😂😂😂😂
@tolezablon-sv2zg
@tolezablon-sv2zg 5 ай бұрын
Bwela na chif God love ni mabrother kweli
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 4 ай бұрын
É verdade irmao nunca vou mi esquecer uque mi aconteceu numa noite É pena mesmo é pena 😢😢
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 ай бұрын
Upendo ni kitu kizuri sana na ata haupotezi kitu
@ShillahChao
@ShillahChao 5 ай бұрын
Madebe anakaa kikosi Cha roho chafu tu nikifikiria chanuo duh ya liza
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 ай бұрын
ACTOR WETU WA KIBONGO ANAULIZA TEMEKE MKOA GANI 😂TEMEKE KISIWA CHA KEKO JELA
@user-ig9mi5gb1w
@user-ig9mi5gb1w 5 ай бұрын
Tume kuja team mbwela 2furai pamoja ,big love twakuombea Na kukutakia mema kwa yote
@robertsingoi1022
@robertsingoi1022 5 ай бұрын
Na kukubali kaka
@kukuzambawazambanga
@kukuzambawazambanga 5 ай бұрын
Siri ya urembo hapa wasanii wawache tamaa mehemehe mingi ukianza episode tafadhali usiiwachilie katikati Zingatia ukamilisho kukata episode kigafla utakuwa unawazinguwa mashabiki wako nalichukia hili😡😡😡😡kua na msimamo do one thing at a time na roho ya ya kuelimisha ama kufurahisha Jamii Sanaa ni wito Na mwishowe uta tabasabu 😊😊😊😊 Unapo katisha episode ki gafla watu wana kosa Imani na wewe Wana wacha kukufuatilia Aah sihuyu ni wale wale episode zao hazitimiliki Wengi wa mashabiki hawapendi kuwachwa njia panda watakuwa katikati ya ghadhba Mielekezo na mikingo za tamdhilia lazima zi zingatiwe na huyo ndiye atakuwa mwamba the best 😂😂😂😂simple nidhamu kwa sanaa 😂😂😂😂
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 5 ай бұрын
Hapo kwa. Madebe... Ni sawa na wale fuata nisemayo usifate nitendayo... Kungwi wa kiume kwa chanuo alizingua
@Khalid-yr8zx
@Khalid-yr8zx 4 ай бұрын
Ana uwezo mkubwa sana bro
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 5 ай бұрын
Mbona mkoa wa temeke 😂😂😂😂
@user-st3hv8pi9i
@user-st3hv8pi9i 4 ай бұрын
Kumbe wajina wangu kabisa
@kiya0910
@kiya0910 5 ай бұрын
Big kaka❤😂🎉🎉🎉
@frolidaamani9090
@frolidaamani9090 5 ай бұрын
❤aa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 ай бұрын
MADEBE NI MSWAHILI,,MISEMO YAKE YA KIFALA ANAITUMIA MPAKA MAISHA YA KAWAIDA..MI MWENYEW ALISHAKUWAGA SWAHIBA WANGU,,TUKAFANYA KAZI,,,MUDA WA KUKABIDHIANA GHAFLA MWENZANGU,,HAPOKEI SIMU YANGU,,,
@mbodzechiti
@mbodzechiti 5 ай бұрын
Nakupenda sana mbwela sjui uko na mke
@NadratHaji-d9o
@NadratHaji-d9o Ай бұрын
@user-ft8cb3rq2k
@user-ft8cb3rq2k 5 ай бұрын
Big story nzuri..
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 5 ай бұрын
Acheni Ushoha..Nyie kila Mda Ni Madebe Tu...Kumamazenu
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 5 ай бұрын
Mbona imekuuma au unampa mkuu mwalimu
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 5 ай бұрын
@@baimarrajahbuayan6237 Wacha Upumbavu mbege mkubwa..hizi Channel zakipuzi Kazi kuongelea Topic za Kujirudia
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 ай бұрын
​@@baimarrajahbuayan6237ni chama kimoja😅 🙌 🙌
@NajmaHassan792
@NajmaHassan792 5 ай бұрын
Kwan madebe mtu wko nn😂😂😂😂 pka unaanza kutusi wtu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 ай бұрын
Nice kaka❤
@Blessedboi8019
@Blessedboi8019 5 ай бұрын
Ako sawa huyu mbweha
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 5 ай бұрын
Sio Mbweha broo ni Mbwela
@Blessedboi8019
@Blessedboi8019 5 ай бұрын
@@nelsonandanyi Ahsante broo kwa kunirekebisha kwa heshima kubwa. Salute
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 ай бұрын
Kwenye mke mwenza
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mbweha😂😂😂
@kukuzambawazambanga
@kukuzambawazambanga 5 ай бұрын
Chanuo pia yeye ni mtu wa kulalamika tu tunavyio zugumza sasa hivi chanuo anafaa kuwa na team yake boss kivyake kama kaka mbweha hapa Lakini lijimama lizembe kupindukia Kazi yake kulalamika tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@frolidaamani9090
@frolidaamani9090 5 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@MwanamisiAthuman-gn7cc
@MwanamisiAthuman-gn7cc 4 ай бұрын
Tuna kukubali mbwela
@KayagoAziza
@KayagoAziza 5 ай бұрын
❤❤❤
@user-tl5xf7bq3k
@user-tl5xf7bq3k 5 ай бұрын
Huyu si Mpemba ni Mwunguja kulingana na maelezo yake. Kasoma skuli gani hapa Zanzibar? Mbona hakueleza vizuri!?
@NuruJara
@NuruJara 5 ай бұрын
Bwela ww uko na jina kama rafiki yangu aliyekp huku Kenya anaitwa Ali Omar mbela
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 ай бұрын
Kwahii madebe lidai ni Mchawii sio 😂😂😂 daaa ila madebe unamatukio kaka bingwa w wanawake pumbavuu
@AamSurname
@AamSurname 5 ай бұрын
Yote Kwa yote lakini madebe tabia zke sio mzuri kabisa
@elimukwadada
@elimukwadada 5 ай бұрын
Mbwela 👏🏽👏🏽👏🏽 💯💥
@neyotv2344
@neyotv2344 5 ай бұрын
Mbengo mpunguze urefu wa Interview
@user-tl5xf7bq3k
@user-tl5xf7bq3k 5 ай бұрын
Madebe nilikuwa shabiki wake lakini tabia ya kunyanyasa mke wake siipendi.
@roggersmalipula8957
@roggersmalipula8957 5 ай бұрын
Madebe kaanza kufahamika kwenye Maigizo Itv baadae akawa kimya kwa muda mrefu baada ya hapo ndo akaibuka na Filamu
@user-qf9yw3fv6b
@user-qf9yw3fv6b 5 ай бұрын
Media kubwa iyo badilisheni camera iyo. Kiza kingi
@abasilihundu200
@abasilihundu200 5 ай бұрын
Aisee unatumia simu gani! 😅😅
@officiallnobystar
@officiallnobystar 5 ай бұрын
@@abasilihundu200Kabisa Bro Inawezekana Yeye Anatumia Smart kitoch 😂😂
@menasjohn6837
@menasjohn6837 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 5 ай бұрын
Nunua simu mpya kaka
@shakilabakari6928
@shakilabakari6928 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Atb300
@Atb300 5 ай бұрын
U,yu nae😂
@user-gu7ds1jh5t
@user-gu7ds1jh5t 5 ай бұрын
Tatizo zarau wabongo mkitorewa mnaponda mliko toka
@NadratHaji-d9o
@NadratHaji-d9o Ай бұрын
KUNGWI AIBUA MAZITO YA HARMONIZE NA POSH QUEEN
24:39
Mbengo Tv
Рет қаралды 1,5 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 98 МЛН
Sunglasses Didn't Cover For Me! 🫢
00:12
Polar Reacts
Рет қаралды 5 МЛН
JUA KALI LEO ALHAMISI TAREHE 15/8/2024 FULL MOVIE HD
29:23
LIVE FOOTBALL
Рет қаралды 5 М.