Uchumi wa bara tofauti na wa Zanzibar,Sasa hapo ndo mnapo vuruga mambo,Huo uchumi mzuri wa bara ukwapi Sasa.
@futurepublications68472 жыл бұрын
maelezo yako hayaja fafanua vizuri Waziri , naomba ukajielimishe kwanza katika eneo lako la kazi halafu uje utujibu hili swali vizuri
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
Laiti Mzee Karume Kama angelijua muungano huu utakuja kua na hasara kubwa Sana kuliko faida,asinge saini😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Kweli kabisa 😀
@KhalidKhalid-zt1bc3 жыл бұрын
karume hata hakuzaliwa Tanzania kwahiyo usitegemee kuwa alikua na uchungubsana na zanzibar zaidi ya kulinda maslahi yake binafsi
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
KUmbeeee
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
😳
@bahatikitete78732 жыл бұрын
@@mwinyikadhi2870 sio kweli kasome history usiongee kiushabiki
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
Swali na jibu vitu viwili tofauti
@samsonhaule36473 жыл бұрын
Hapo Umeeleweka, Kwasababu kama hamkufanya hivyo Magari mengi watashushiwa ZANZIBAR na wafanya biashara wakubwa Kisha Watakwenda kupiga Pesa Bara, halafu Bandari ya Bara itakosa soko. Nimewaelewa👏👏👏👏
@AbdulhaamisSoudАй бұрын
Hayo ndo mnayoyaogopa na ndo yanayowafanya muukumbatie muungano
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara sawa¿hio ni Tanganyika 💯👌
@Clever-l8v11 ай бұрын
Hawataki ilo jina na wao ndio wanaoupenda msemo unaoeema mkataa kwao mtumwa
@kibasamohamedi80293 жыл бұрын
Sasa si nchi mbili tofauti, Kodi mbili, sion umuhimu wa Muungano.
@nardhismhagama62663 жыл бұрын
Hawana majibu ni ubabaishaji
@hafydhameir3 жыл бұрын
Muungano unamakubaliano yake tuyasome tujue ndo useme umuhimu uko wapi sio kwenye kila kitu tunasema tu
@bigowillythomaskayanda77633 жыл бұрын
Hivi hayo majibu hujayaelewa kaka, maana yake hutakiwi kukwepa kodi kwa kushushia gari yako Zanzibar. Ukishusha Zanzibar unatozwa 40% hiyo hiyo gari yako ukitaka kuisafirisha tena kule Bara, utamalizia zile 60% zilizobaki ili ulingane na yule aliyeshushia bara. ila ukishushia Bara kisha ukaisafirisha hiyo gari Zanzibar, hautozwi kitu kwa sababu utakuwa umelipa 100% ya kodi.
@africangirls4823 жыл бұрын
@@bigowillythomaskayanda7763 muungano uko wapi hapo
@bigowillythomaskayanda77633 жыл бұрын
@@africangirls482 ,, swala la ushuru wa bandari haujalishi muungano, linatokana na sera kuhusu visiwa. Kisiwa chochote, kodi ya ushuru wa bandari ni 40%
@idrissaissa56073 жыл бұрын
Mungu atawapa adhabu Kali Sana siku yakiama acha tuteseke sisi wanyonge one day
@yujinxhing37663 жыл бұрын
Muungano uko wapi sasa hapo
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Mtihan, Sawa na mchele mmoja mapish tofauti
@rajabmohammed2343 жыл бұрын
Kiongoz jibu lipo wazi kbs,haiwezekan baadhi y mambo yawe sawa lkn kwny ushuru mnaanza kujenga hoja ila maji n mafuta hayakai sehem 1,dunian kote hakuna nchi 1 ushuru w bidhaa 1 ukalipa mara 2 tofaut.
@micamathew25953 жыл бұрын
Muungano uko wap sasa??? Hii nchi ikoje??
@rashidjuma19693 жыл бұрын
Kwanini maji ya drop ,sukari ya Zanzibar haikubaliki kuuzwa Tanzania bara
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Ata mie nashangaa
@hajihassan54333 жыл бұрын
Kukubalika au kutokubalika kwa bidhaa ni Wateja wenyewe kuamua kutumia vya kwao hebu na sisi tuzikatae bia zao. Unapojadili Muungano angalia kwenye mambo 22 ya Muungano, biashara ya ndani sio suala la Muungano kama kama kuna kikwazo kupeleka bidhaa ya Zanzibar nje ya nchi hio ni hoja ya msingi. Kama sukari kwa nini ipelekwe Bara wakati uzalishaji haujatosheleza ndani? Hata uzalishaji drop hazijatosha ndani.
@abdullaabdullahmpakanjia23363 жыл бұрын
Hahahahaaaaa Hawa watanganyika wabishanit wanaumia nayakwetu yakwao hawayaoni
@shafyjuma31413 жыл бұрын
Huna nchi
@mohamedhussein55352 жыл бұрын
Hii nchi hii kunasiku tutashika mitutu kama sio ss vizazi vyet
@alimuhamed18303 жыл бұрын
Ogopa sana kuishi kwenye nchi ambayo inatengemea mwanamchi kuiyendesha kisha mwananchi huyohuyo ndi anakandamizwa
@alfinmbilinyi13263 жыл бұрын
Zenj kiuchumi wako vizuri kuliko bara.watu milioni moja na nusu wabunge zaidi ya 50.shinyanga mjini watu milioni mbili idadi ya wabunge mmoja.kiuchumi zenj wako vizuri.
@georgekimboka98213 жыл бұрын
Sahihi Kbsa umesema
@eenpaard39152 жыл бұрын
Ushuru sevi uko sawa sawa
@salumabdallah34953 жыл бұрын
Sioni Point hapo tatizo tra wanajua kabisa uhalisia wa manunuzi ya magari Japan magari ni bei rahisi sana unaweza ukanunua kwa bei ya dola elfu mbili ukachajiwa zaidi kodi zaidi ya dola elfu nne pamoja na charges za bandari
@augustryann3653 жыл бұрын
Mbona hajajibu swali sasa amezunguka zunguka tu kamaliza stor
@muharamhassan8453 жыл бұрын
Sio kaunafuu sema kuna nafuu kubwa sana ila nyinyi nata mmeharibu ushuru mkubwa
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Safi sana zembwela kwa good swala
@omaryyusuf94053 жыл бұрын
Ilaa hajaa jibuu swalii
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Mmmh kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@jackson21203 жыл бұрын
SIO MAGARI TU ZANZIBA WANA UNAFUU MKUBWA SANA SISI VIONGOZI WETU HAWA PENDI TUWE NA MAISHA BORA ILI WAPATE MWANYA WA KUOMBA KURA WAKATI WAO WANA NAFUU KUBWA SANA KI MASLAHI
@shamomar62910 ай бұрын
Gari kuingia Tanzania bara unalipia 100% kiwango cha import tax, ukiingiza Zanzibar hulipii yote (lakini si lazima unaweza kulipa yote kukwepa usumbufu ukitaka kusafirisha) utalipa asilimia 60% tu ya kodi. Ila utakapoamua kuileta gari bara basi utamalizia asilimia iliobaki 40% ili ukamilishe kodi halisi ya 100%
@alfredibrahim7563 жыл бұрын
Huu ni ujinga na upumbavu mi naishi zanzibar na nimefanikiwa kununua vifaa vyangu vya nyumbani lkn siku nikitaka kuhamia bara wanataka kodi ukijaribu kuwaelewesha hawataki
@bigowillythomaskayanda77633 жыл бұрын
Ndiyo ni kweli kwa sababu ya Sera ya uchumi, Sera ya uchumi imevipatia visiwa tozo ndogo.
@edwinernest20123 жыл бұрын
Upuuzi tuu, sasa inamaana gani na wakati nchi ni moja! Wimbo wa taifa ni mmoja!! Mnawatia watu hasira tuu! Alafu presha.
@preciouspeter34453 жыл бұрын
Mchezo mchafu huu mwisho wa siku picha ni ile ile sema mnacheza na wananchi
@ulipoulipotupo75643 жыл бұрын
Apana zanzibar tuna wimbo wetu na sio wimbo 1 njo zanzibar watoto wakiwa school ndio utajua je wanaimba nyimbo gani sisi atuimbi mungu ibaliki tanzania sisi tuna nyimbo yetu kama ufaamu iroho sawa
@kylesmeight48373 жыл бұрын
Nchi 2 broo
@canibalgazaboy83253 жыл бұрын
@@ulipoulipotupo7564 haya tumia fursa hii utufundishe au utuandikie beti za wimbo wenu wa taifa lenu tusikie natujue maana mlivo na kiherehere kana kwamba zanzibar mnaishi mbinguni kumbe mnawaza kutengana mpate msaa na waarabu.
@ulipoulipotupo75643 жыл бұрын
boys sea si mtuache na zanzibar yetu kama unataka kujua sisi atuimbi mungu ibaliki Tanzania njo kipindi cha asubui katika shule zote utasikia tunaimba wimbo gani ss sio watanzania ni wazanzibar 😂😂😂
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
Nakumbuka Mizengo pinda wakati huo no waziri mkuu alipigwa swali Bungeni ktk kipindi Cha maswali ya papo kwa papo..jee Zanzibar no nchi au akamjibu Zanzibar no mkoa yaani sehemu ya Tanzania bara..hata cc wakati tunasoma tulikua tunaambowa shuleni Tanzania Ina mikoa 25 yaan bara mikoa 20 na unguja mikoa mi5.. Sasa iweje mkoa uliie ushuuru Mara 2 wakat nchi ni moja!!!? 😳
@richardedwinn12913 жыл бұрын
Wiz mtupu
@ustadhsalimonlinetv.18073 жыл бұрын
Sio unguja yenye mikoa 5 ni Zabzibar
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
@@ustadhsalimonlinetv.1807 sawa shekhe
@mwinyikadhi28703 жыл бұрын
@@ustadhsalimonlinetv.1807 yaan unguja mikoa mi3 na Pemba mikoa mi 2
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
Hapo bado hamtendi haki mungu anawaona
@Mc_ngosha3 жыл бұрын
Hamna kitu Apo maana nikwamba Bandari ya Zanzibar itafanya kazi kubwa. Kama inawezekana kupunguza kidogo itakua nafu Maana mapato yaongezeka na kwetu pia watu wataleta latest Car 1.Parking wateja wataongezeka 2.Bandari pia itaongeza Sana Mapato 3.Mafuta pia mtapata Mapato Kwaufupi kupitia njia hizi 3 Kama mfano serekali itanufaika bado ziko nyingine nyingi sana Think Big
@rwekasimlizi20293 жыл бұрын
Mh!!!! why?
@aniri2983 жыл бұрын
Mi sijawai kuona muungano apo wangeiyachiya zanzibar saizi ingekua dubai
@uwezawamungumkuu.amaniafrika2 ай бұрын
Iyo ni kweli. Mwezi wa 8 nilitaji gari fulani nikaongea na wauzaji ile gari hapa ni m 22. Nikambiwa visiwani ni m13 . Nikambiwa kodi kuingiza hapa m7 nilichoka.
@mwajabuamiri34573 жыл бұрын
Kwann waseme Tanzania bara, wakati kule kunaitwa Zanzibar! Kwanini wasiseme Tanganyika? Au jina la Tanganyika ndio limekufa kwa cc watanyika kukosa maarifa!
@malianonicass70293 жыл бұрын
Silipendi jina la Tanganyika kabisa
@mwajabuamiri34573 жыл бұрын
@@malianonicass7029 mtumwa huru
@edwardmasanja49793 жыл бұрын
Ufafanuzi mzuri sana ,je ukitoa gari Tanzania bara kwenda zanzibar utarudishiwa 40% ya kodi?kwa sababu zanzibar kuna punguzo la 40%
@kakasanga54973 жыл бұрын
Umeandika point sana Edward
@afroplan4313 жыл бұрын
Edu bwana... :)) Unataka wote tuhamie Zanzibar..sio 😁😁😁😁
@ulipoulipotupo75643 жыл бұрын
Zanzibar mtu akitoka bara atumlipishi kodi kubwa ila ttzo mtu akitoka zanzibar kwenda bara ndio ttzo apo tozo ju ya tozo
@hamisisilimu12453 жыл бұрын
Twenzetu Znz
@nassormohammed2463 жыл бұрын
Sisahau siku nilochukua tv zanzibar nikaleta dar heee nilijuta
@stellahlinusi821521 күн бұрын
pole
@emanueltesha88733 жыл бұрын
Ajatoa ufafanuzi ameeleza mbona video imeishia sehemu ambayo atujajua ufafanuzi wenywe
@muyazakhmuhammed92323 жыл бұрын
Nchi mbili, Tanganyika na ZANZIBAR ndioo maana ya muungano,
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Heheee kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@stanfordmartinshauri32573 жыл бұрын
So what if nikaagiza gari bara then nikaenda nalo kisiwani zanzibar kwa matumizi ya kule, jeh nitarudishiwa ile 60%?
@babylonyNgwembe3 жыл бұрын
Dah swali zuri kweli kweli
@emmanuelmatagulwa73722 жыл бұрын
Hapo sasa
@emmanuelanael69343 жыл бұрын
Hakuna haja yamuhungano, bora hilo jina la TANZANIA life ibaka Tanganyika, na Zanzibar. Zote zitambulike kama nchi mbili tofauti.
@Aakhar-z3c3 жыл бұрын
Na waondoe tra yao waone znz inavyopaa kiuchumi, husda za wabongo kutuwekea tra ili watunyonye.
@ulipoulipotupo75643 жыл бұрын
Maneno ayo kake ndio yanayofanya kuwa awataki kuiachia ebu tuweni wapole kwenye kuongea maneno kwan sifa izi ndizo ttzo pia
@canibalgazaboy83253 жыл бұрын
@@ulipoulipotupo7564 hakuna nchi isiyo kuwa na mamlaka ya kukusanya mapato ya nchi husika ata isingekuwepo TRA basi mngekuwa na ZRA ko huwezi kukwepa hilo
@ally17023 жыл бұрын
@@canibalgazaboy8325 Zanzibar ina zrb ndio inayokusanya mapato ya Zanzibar lakini kuwepo kwa tra ambayo ni bodi ya mapato ya Tanganyika ndo mkaona watu wanapiga kelele ushuru Mara mbili sasa ebu fikiria laiti ingekuwa tra hamna tupo na zrb tu unadhani iyo gari ingeshushwa kwa kiasi gani na vitu vengine maana yake tungekuwa na unafuu zaidi kaka
@Gdjn9743 жыл бұрын
Sijamuelewa mbona yan bado hajafafanua vzr inakuwaje kuwaje na kwann
@samuelndosi95773 жыл бұрын
Hapo brother mambo ya muungano ni shida.
@khamiszubeir87803 жыл бұрын
Huyu jamaa ANAONGEA pumba kabisa Nawale walipewa vyeotu
@amosmoses78003 жыл бұрын
CcM ni chAmA cha kuWanYonYA nA kuWadidiMizA waNanchi ... HaKunA jenGinE Ni wiZi mTupu haPo
@edlumala94283 жыл бұрын
Viongozi wetu bwana! Hata hajui anajibu nini, kaunafuu flani hivii… zanzibar wanalipa 40% tu ya kodi inayolipiwa bara, so ukipeta gari hiyo bara unalipia ile tofauti ya asilimia 60%! Faida hiyo ya kulipa asilimia 40 ni kwa wazanzibari tu! Matumizi yake ni zanzibar tu!
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Hehee kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@yuzotv4583 жыл бұрын
Hii inaitwa mwalim kapewa sindano hahahahahaha najua umeelewa mlimwengu mwenzangu.
@joeaub21853 жыл бұрын
Mm ningejaribu kwa majib yangu kuwa umbali wa kutok nchi za uarabun au india mpk bandari ya zanzibar kuna ukarib na ndio maan kodi yake inakuwa kubwa tofaut na umbali wa kufika bandar ya Dar lzm kodi iwe kubwa wanapiga thaman ya mzigo na umbali wake...
@chananjamajiji54123 жыл бұрын
Hebu angalia Ramani ya Dunia halafu ufute ulichoandika
@husseinkitingi81863 жыл бұрын
Sababu zake hazina mshiko maana kodi ya mmiliki talipaje mteja?
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Mambo ya kukandamizana sana.
@joeaub21853 жыл бұрын
Huyu analeta majibu ya kufikirika kweny akili yake na sio majibu rasmi kwa mujibu wa sheria na taratibu za kiuchumi...Bado hatujapata majibu zembwela tafuta mtu mwingine aliyesoma maswala ya uchumi na aliye taasisi ya TRA wanaweza kutupa mwanga..
@kiagohlevy5763 жыл бұрын
Safi mzee hajajibu kiufundi
@abuubakarhaji32443 жыл бұрын
Mbona hajajibu kuhusu vitu vidogo vidogo ?ameulizwa kuhusu TV nimechukua kwaajili ya matumizi je nayo kwanini itozwe tena kodi na ilhali ni vitu vidogo vidogo?
@abdulwahidel-abry50073 жыл бұрын
Zungumza kiswahili cha Zanzibar bwana waziri. Kaunafuu ndiyo nini?
@jacquelinesemu13473 жыл бұрын
OK 40%
@meekman18052 жыл бұрын
Nimemuelewa.
@yussufkansela81183 жыл бұрын
huu ni ushahidi tosha wakuonye kama zanziba ni nchi na sio visiwa ila mmevaaa uccm na tamaa ndio zinazo waponza
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@ahmedzahor29753 жыл бұрын
Kwani Broo Kua kisiwa sio sababu ya kua si nchi Karume baba ndio alieuondosha Utaifa wa Zanzibar
@prettyh75093 жыл бұрын
Sio hvyo lengo lao Zanzibar iwe moja ya sehem ya ukafiri hawapendi maadili y kiislam ya tawale
@Is-hakaRuweikh-j1rАй бұрын
Wanakharam wanatunyonyaa mungu anawaona iko cku yatakwisha ay inshaallah
@BoB_Mkami3 жыл бұрын
kiongozi katumia nguvu na dakika 3 kuexplain kitu ambacho kina tuofautisha na kutufanya tuonekane kama 2 countries! kodi kodi tu! ila fresh acha tushibe!
@B23-i8p3 ай бұрын
Ajajibu swali
@FeruziIsa-nc5vo7 ай бұрын
Wajitasmini hawa Jamaica.
@BenardSambilo-h2h3 ай бұрын
Kwan inashindikana nini kusajili magari yote kwa namba T kama inchi moja? Ndani ya taifa moja kunawa na inchi mbili mmoja anasajiliwa gari kwa no T mwingine Z mbona mnatufanya kama watoto wadogo?
@simulizizamwanaupwa26443 жыл бұрын
Kwanini basi huku Tanganyika kusiwe na ushuru sawa na Zanzibar? Maana ni kana kwamba huku bara kununua gari ni adhabu, hivyo ukinunua unaadhibiwa. Hapa kuna kasoro kiukweli
@martinkisha63078 ай бұрын
Tunahitaji kujua tofauti ya uchumi wa Zanzibar na bara atueleze? gari nimenunua kwa mtu lilisha tumika labda miaka mitatu bado linadaiwa kodi tena 😊
@murshidjamshid67583 жыл бұрын
Yaani unaongea unajikanyaga kanyaga , ukweli ni kwamba nchi hizi hazijaungana alafu michezo kama hiyo iwepo.
@umbaliche3 жыл бұрын
Hivi Zanzibar na wao wameingia uchumi wa kati kama sisi huku?🤔🤔
@ulipoulipotupo75643 жыл бұрын
Nyinyi mna uchumi wakat kutoka wapi wakat tanganyika aiwezi kujiongoza bila ya zanzibar kama hamtaki kuamin ebu kubalini mungano uvunjike ili wazanzibar tupate kufa kwa njaa lkn kila kukicha mnaishikilia zanzibar kimabavu na kuja kuuwa watu hili zanzibar isiwe uhru
@edinaikunda12593 жыл бұрын
Sijui kama anea jibu kalielewa swali...simuelewi chochote aisee
@manyakuulaompondelo44193 жыл бұрын
Yaani huyu sijui anaeleza nini. Nijuavyo mimi, Sura ya mwisho ya katiba ya Jamhuri ya Muungano, inazungumzia mambo yasiyo ya kimuungano. Na suala la kodi ni moja ya mambo yasiyo ya kimuungano. Ndiyo sababu kila nchi yaani Zanzibar Vs Tanganyika wamejipangia kodi zao tu na hazilingani.
@bensonlucas76073 жыл бұрын
Kwahiyo kuna Tanzania Revenue authority na Zanzibar Revenue Authority.Je unadhani hicho kilichoandikwa kwenye katiba haiwezi kuwa moja ya kero za muungano ?unadhani wananchi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaridhika na hali hiyo?
@robertlinuma60513 жыл бұрын
Benson lucas .mambo ya kodi sio ya muungano .bara kivyake kisiwan kivyake .ndo jibu sahihi .
@abhaaly3 жыл бұрын
Huyo Anaeongea Hapo Ni Mwanasheria Wa ACT, Nadhani anaelewa Sheria Za Kodi Na Muungano. Ukweli Kama Alivyosema Sheria Za Ndani Kwa TRA Ni Moja Kuhusu Ushuru...!!!
@Emmamusiccmb3 жыл бұрын
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈👈👈👈 kuutazama naamini utaupenda*
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@tumainjohn61653 жыл бұрын
Mh!! Mbona sijaelewa, maana umeelezea inavyotofautiana, na si kwa nini zinatofautiana
@mudhihirikipande23163 жыл бұрын
Mimi nasema muungano wenu ni upi
@KADALAtv2553 жыл бұрын
Hajatoa majibu kaeleza tofauti ya tozo
@unclepwechnov13813 жыл бұрын
Hiyo 40% ya kodi inayolipwa Zenji inaenda kwenye mfuko gani, inanufaisha Zenji peke yake au Tz yote? Kwahiyo wanapewa unafuu kwa ajili uchumi wao uko chini? big lie. Kwa anayetaka kutumia gari Kilwa au Ukerewe(vyote ni visiwa) na anayetumia gari Zanzibar yupi anatumia gari kwenye kisiwa chenye hali ya chini kiuchumi. Watangazaji hopeless wanashindwa kuuliza maswali ya msingi.
@chananjamajiji54123 жыл бұрын
Mwanangu uliishia darasa la ngapi?
@Awatee2 жыл бұрын
@@chananjamajiji5412 Hajitambui uyo Achana nae mwanasheria wao kakiri mwenyewe kua Tanganyika ndio inayo wabana haki zao za kupata mikopo kwa kuwazuia kwenda kutafuta mikopo wakajifanyia wanacho taka kuna watu humu wamo wamo tuu mtihan Yote hii kuipenda dunia
@farhanixhaka28403 жыл бұрын
Cc wazanzibar na tuendelee tu kupata gari kw bei rahisi
@ericmkami75783 жыл бұрын
hii video hata sijaelewa kesema kweli....sasa Nini maana ya muungano kama mimi nikinunua gari au vitu Zanzibar ukitaka kuleta bara nachajiwa tena Kodi??? huu muungano upo kwenye vitu gan specific maana ufafanuzi wa hyo brother hata sijauelewa vzr.....🤔🤔🤔
@mj_tz6483 жыл бұрын
Huo niupumbavu mtupu mtu anapata bahati anauziwa gari zanzibar labda mil 2 akija bandar ya bongo hawaangalii risiti ya gar wanagugo beiya aina yagar je uliokuja nalo hapo haki ikowap ndio mana bara matajiritu ndio wana miliki magar masikin anakua hanauwezo wakumiliki gar ifike wakati serikal itambue kua bara navisiwa vya nzanziba ni nchimoja nikama mikoamingine ilivyotu
@wilsonmsenga64473 жыл бұрын
Mbunge Msukuma alisema tunawachumi wabovu tofauti na wanavyosema darasani, hii haileti maana eti wao ushuru kidogo, but bara ushuru mkubwa. Tofauti yake nn? Kwamba Zanzibari wanaishi watu masikini sana wanaohitaji msamaha na bara wanaishi watu matajiri sana. Mm sielewi nisaidieni nipate elimu.
@mkwizudundobeats14 күн бұрын
😂😂😂 MUUNGANO 😂😂😂😂😂 KASONGOEE
@dicksonndalu62123 жыл бұрын
Ok
@vedastokeya33443 жыл бұрын
Katika vitu ambavyo huwa sielewi kabisa yaani sera moja Sheria moja Kodi tofaut , hivi HiZI Kodi kwanini zipo juu sana yaan ununue 12m Kodi 12m?
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
Heheee kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@danieljeremia86293 жыл бұрын
Duh ajajibu kitu ivi anajua kujibu maswal wasomi hvyo kama hawa
@rjrajab23123 жыл бұрын
Napia mjuulize watanganyika kwanini huko tanganyika Umeme bei nafuu kuliko huku zanzibar wakati nchi ni moja
@papaamasauti59442 жыл бұрын
Hata bara bei ya bandari ipo ndogo ukihamisha gari kwenda nchi nyengine ndio Kuna pesa unatakiwa kuongeza
@saleheinnocent76363 жыл бұрын
Hii Ni ngao sass
@murshidjamshid67583 жыл бұрын
Sio gari tu , zanziba vitu asilimia 99% ni rahisi sana tofauti na bara
@fababindawood83633 жыл бұрын
Mbona hajajibu m2 akinunua tv 1 au mbili kwa ajili ya matumiz yke ya nyumban 1 sebulen na nyengine labda chumban kwake?hapa ndo kero za muungano watu wanazipigia kelele.waondowe tu mtu akinunua tv asisumbuliwe kulipa ushuru
@nwntz3 жыл бұрын
Kama ndio hivyo mama anachotaje ela za bara zinaenda kuendeleza zanzibar ?
@lalasalama67203 жыл бұрын
Unauhakika
@paulheavyrain95843 жыл бұрын
Hyo n CHangamoto ya muungano inabidi ishughlikiwe Kama ishu Ni uchumi hata huku bara kila mkoa uchumi wake Ni tofauti. Dar tofauti na kigoma. So watu wakigoma Kodi ipunguzwe.
@tahirnephessalum36783 жыл бұрын
Muungano uko kwenye maneno tu kiuhalisia hakuna Cha muungano hapa
@rastapeace96163 жыл бұрын
Munaongea bumba tuu
@GilbertGombeye5 сағат бұрын
Hakuna mungano kwenye Hela mungano uko kwenye siasa tu
@abujuhaifah74613 жыл бұрын
Swli zuri majibu kidg sikuyasoma mana swali direct majibu ukenda gongo la mboto utashuka wanja ndege sjui mara boda boda upande bandarini swali bado kidigi
@simbafuns785kviews3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h5DIl2abdqqJoJo
@jflamingo17603 жыл бұрын
Amna umuhimu wa kujihita muungano sisi ni sawa na nchi mbili tofauti yaani Kama umeagizia bidhaa Kenya tu
@abhaaly3 жыл бұрын
Ndio Ilivyo na Ndio Sahihi Zaidi Ndio Wanachokitaka Wazanzibari...!!! Kila Mmoja Afe Na Mbao Yake, Muungano Kwa Mambo Maalumu Tu ya Asili.
@khamismohammed25823 жыл бұрын
huyu jaamaaa naona anapata kigugumiz hili si suala la kumuliza huyu hawez kueleza ukwel naona anaeleza kinyume kinyume tu
@yuzotv4583 жыл бұрын
Hakuna majibu hapa yakitaaram naona ruka ruka tuu. Acha niingie showroom mie iyo mitabu yote yanini. Yaani Tanzania ukiagiza gari ya mil 6 utakung'utwa kodi ambayo nibora uingie showroom tu. Nahiii inasababisha serikali kukosa mapato ila hawajajua tu.
@aminimushi69453 жыл бұрын
Wachumi wetu shida.
@lgsonline88363 жыл бұрын
Viongozi wa bongo vichwa maji sana yan
@shafyjuma31413 жыл бұрын
Siyo kajikodi nibonge la kodi
@ip_header3 жыл бұрын
Suali hilo ilibudi aulizwe waziri wa biashara wa Tanzania, inaumiza sana kuona nchi moja kodi tofauti, kama suala la uchumi hata Tanzania bara kunawatu halizao sio nzuri, kwann wasifikiriwe pia?
@georgeakasha7643 жыл бұрын
Nchi 2 tofauti mkuu, sema tu tupo kwnye muungano.
@kassimomar75892 жыл бұрын
Kila Siku utaskia KERO Zina shughulikiwa kwa nn zisi malze
@isaackbm19353 жыл бұрын
Nimejaribu sana kumckliza lkn wap🤔🤔🤔
@muharamhassan8453 жыл бұрын
Swali ni je nani anakusanya Kodi Zanzibar kama c TRA
@giftmalema50323 жыл бұрын
ZRA Ndio wanahusika na kodi zanzibar.... na kodi haipo katika muungano....
@maxcharles54363 жыл бұрын
hela nyingi wanachukua wakat ni nch .moja
@abdullaabdullahmpakanjia23363 жыл бұрын
Duuuh ninchi 1 nyinyi vichogo akilihamnazo
@stellahlinusi821521 күн бұрын
@@abdullaabdullahmpakanjia2336jamani tuna tumia passport Moja wote tukienda nchi za watu tuna tambulika ni wa nazani ume muelewa alivo maanisha Tanzania
@aboudasilver6541Ай бұрын
Hayo ni makosa makubwa mnawakandamiza wananchi kabisa