JUMBA la KIFAHARI la Tajiri Kijana lenye thamani ya Mabilioni, lipo Salasala Dar es Salaam, BALAA!

  Рет қаралды 27,051

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 333
@NimrodiBenjamin
@NimrodiBenjamin 15 сағат бұрын
Ongera sana broo ila na imani pia mwenyezi mungu atanibariki zaidi na mimi nijenge jumba zaidi ya ilo❤
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 40 минут бұрын
Insha Allah Amen 🙏
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 15 сағат бұрын
Safi sana watanzania tujenge majumba kama haya unyama sana kaka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💌
@tommillia7816
@tommillia7816 8 сағат бұрын
Best house 🏠 I have seen so far in East Africa 🌍🎉🎉🎉 Kudos young man 🎉
@mohdali2408
@mohdali2408 7 сағат бұрын
Kawaida ya kila binadamu ameumbwa sana kupenda mali ,nyumba ni ya kwako kijana ila kila anaetazama anatamani ingekuwa ya kwake,au aishi mioyo yawatu yanataka kujua unafanya kazi gani au uwape maarifa ya kutoka walipo wafikie hatua za juu ,kiufupi vijana wengi wenye uwezo wanachakujifunza kupitia vijana wenziwao hawa wanatufundisha kuwa everything is possible,ila tunawaomba mrudishe shukran Tanzania kwa kuwekeza kwenye technology kuwasaidia ndugu zenu kwani Serekali zetu zimeshindwa kutatua tatizo la ajira
@avivtelcomms
@avivtelcomms 3 сағат бұрын
Search hamz mansion uganda
@avivtelcomms
@avivtelcomms 2 сағат бұрын
Search hamz house uganda
@SuleimanSuleiman-r8h
@SuleimanSuleiman-r8h 35 минут бұрын
Tuliambiwa moja kati ya dalili za qiyama siku za mwisho watatokea watu watashindan kujinga majumba makubwa naona nd hayo kiukweli ishi utakavyo ishi ila tambuwa wewe ni maiti mtarajiwa na yote utayacha Allah atujalie mwisho mwema amin 😢😢😢
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 16 сағат бұрын
diamond ana kazi kubwa sana ya kuvunja rekod😂😂😂
@IbrahimIbla-d4w
@IbrahimIbla-d4w 16 сағат бұрын
@@nickylyanga2139 diamond ktk watu wenye hela na yy anatok acha ushamba broh diamond maneno mengi hamn kitu pale angalia watu wenye hela wavosumbua town
@ramadhanmkombelwa3065
@ramadhanmkombelwa3065 16 сағат бұрын
godlove 😂😂😂
@KhadijaMasoud-d2z
@KhadijaMasoud-d2z 15 сағат бұрын
Mondi anapesa kwa sisi tuliokuwa hatuna wakikutana kikao cha matajir hayumo huyo
@mohamedally5225
@mohamedally5225 14 сағат бұрын
Wanafanya kz gn hawa vijana mbn ss wengine vuma vimekaza
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs 14 сағат бұрын
Kama alijichanganya kwenye raman imekula kwake😂
@SalumKulwa-s7q
@SalumKulwa-s7q 15 сағат бұрын
mungu akuzidishie mala 2 ya apo ulipo 🎉🎉🎉🎉🎉
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 4 сағат бұрын
Kaka Mungu akubariki kwa kazi nzuri na matumizi mazuri ya pesa
@chandesaidi5936
@chandesaidi5936 Сағат бұрын
Mzee baba umetisha sn alf Alingi.
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 Сағат бұрын
Kikweli watu tumetoka kwenye maisha ya dhiki sanaaa, tunauchungu na maisha ndio maana leo hii Watanzania wengi tunajitahidi kubadisha hayo maisha waliyopitia wazazi wetu😢, Hongera Mtanzania mwenzangu, ombi langu kwa serikali yetu itupe kipaumbele Watanzania na Tutaishangaza dunia,Watu hawata iona Dubai kama Ndio sehemu nzuri na kuona dhamani ya kuiendeleza nchi yao❤
@rahmaihucha8577
@rahmaihucha8577 Сағат бұрын
Mashaa Allah,, namna hii si unasahau kufa kabsa! duuh umetumia miaka mingap kukamilisha mjengo wote mpk kukamilka
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 15 сағат бұрын
Kiukweli hana muonekano wa pesa😁😁. Ila all in all niache wivu. Hongera zake.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 4 сағат бұрын
Siku zote wenye pesa huwa wako simple kama huyu jamaa
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 3 сағат бұрын
@lulanjamd3886 sawa yuko simple lakini sura yake ngumu sio ya ela bhana.Tusidanganyane😁😁 sura haina nuru😁
@irenenicesngkwayu3919
@irenenicesngkwayu3919 2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@hollymore4904
@hollymore4904 15 сағат бұрын
mmmmh ..tajir anahesab mpk vyombo.nna mashaka ila hongera sana..🎉
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 6 сағат бұрын
Mtu chake bhana
@salumumorimori1708
@salumumorimori1708 5 сағат бұрын
Wewe hizi hela umetoa wapi sio umewasimamia vigogo wewe
@alexsimon5576
@alexsimon5576 4 сағат бұрын
Safar yake ndefu sana,katuuzia sana spea za pkpk acha ale
@henrygwalema1860
@henrygwalema1860 13 сағат бұрын
Huyu ndio Dastan Nkuyeko kutoka Kigoma kasulu Kigembe. Tunaomjua kijana wa kwetu tukutane kwenye likes Hapa
@abdallahomarseif6172
@abdallahomarseif6172 13 сағат бұрын
Kumbe wanyumbani
@elijimboge
@elijimboge 13 сағат бұрын
King d
@henrygwalema1860
@henrygwalema1860 13 сағат бұрын
@abdallahomarseif6172 ndiyo. kigoma ndio inatoa watafutaji makini
@ShabaniMbecha
@ShabaniMbecha 57 минут бұрын
Na machawa kibao.
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 14 сағат бұрын
Dah miaka 63 haitoshi kuishi duniani walau tupige 200yrs😢
@babajay3445
@babajay3445 12 сағат бұрын
Mimi nina mwaka wa tatu huu nahangaika na vyumba viwili dah yote kwa yote Allah ndie mgawaji rizki siwezi kulalamika acha nishukuru tuu
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 4 сағат бұрын
Kama mimi tu chumba kimoja nimeishia kwenye lenta
@AbdulMisifa
@AbdulMisifa 4 сағат бұрын
Tupo wengi mzee, mm rooms mbili nmezimaliza tyr ila nna madeni hayanipi amani ila Allah ndio tegemeo langu😢
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 сағат бұрын
C Bora ww mm hata makazi cna kwa Sasa watoto wapo kwa shangazi wengne kwa bibi mm Leo kwa ndugu huyu km kunguru lkn nasema Alhmdulillah
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 сағат бұрын
Mara Leo Niko hku mara kule natamani nipate makazi nikae na wanangu namuomba MUNGU InshaaAllah January nikae nawangu
@rahmaihucha8577
@rahmaihucha8577 Сағат бұрын
Si bora hata hivyo vyumba vwil wenzio ,hata kimoja hana ,hat uwezo wa kumilik hana,,popote tulipo tushukuru,,kila mtu chochote ulichonacho ndio MTIHANI WAKO,, YAANI VIPI UTAISHI NACHO??
@Lllllllmmn
@Lllllllmmn 4 сағат бұрын
😂😂watu wanatoaga wapi ela eehee jamani MASHAAHLL ❤
@AwaziRajab
@AwaziRajab 42 минут бұрын
Jamaa Anapenda Kua Kama Akina Mwijaku Lakini Muonekano Wake Anastaili Kua Mchungaji Wa Kanisa La Imani Ya Kanisa
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 13 сағат бұрын
Mashaah mashaah tabaraka rrahmaan jicho LA husda LA waja likoondokee
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 14 сағат бұрын
Jamaaa shidaa yakee ajulikanee tuu kuwaa nayeye ni tajir,popote alipoo ajipige kifuaa mara tatuu amewezaa mnoo
@mapundarajabu5416
@mapundarajabu5416 14 сағат бұрын
Mwalimu Nyerere alisema Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe
@chumamsemakweli8877
@chumamsemakweli8877 37 минут бұрын
Hongera yake wengine tunaangaika haziishi hizo nyumba.
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 сағат бұрын
Allah awazidishie InshaaAllah na cc tupate yenye kher InshaaAllah
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt 8 сағат бұрын
Pesa zote hizo umeshindwa kuweka lifti😅😅😅😅
@BabaTiffah
@BabaTiffah Сағат бұрын
Hongera kaka
@motyga478
@motyga478 13 сағат бұрын
Mungu wako halali kijana 🎉🎉
@SelinaChares
@SelinaChares 9 сағат бұрын
Daaaaah hongera sanaaa salasala sehem gani tuje tushangae jamni
@halimamghana2293
@halimamghana2293 6 сағат бұрын
MashaAllah,m'mungu akuzidishie na akukinge na kila husda.
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 сағат бұрын
Sasa tofauti yy na chief godlove nn misifa kutafuta hasad tuu wengne hata chumba kimoja wanatafuta yote kwa yote hongera zenu Allah atupe venye kher InshaaAllah
@halimahalima1488
@halimahalima1488 3 сағат бұрын
MashaaAllah 😊
@waziriadam1022
@waziriadam1022 2 сағат бұрын
Naomba mniletee chief good love atuachie kelele zake wenye pesa hawapigi kelele wanaonyesha vitendo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 15 сағат бұрын
Chief goodlove tunakusubiri sisi mashabiki zako, usije kutuangusha
@MamuMichael
@MamuMichael 12 сағат бұрын
Hongera sana nyumba nzuri sana.
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 6 сағат бұрын
Sasaa shida ya maisha ya siku hizi lazima hapo ndani kipo chumba ambacho hakifunguliwii yaaain... Mungu tuhurumie tu hapa Wanadam wa leo tulipofikiaa daaa!!!
@JumaGendeye-sv6yl
@JumaGendeye-sv6yl 3 сағат бұрын
Sas wew maswara ya chumba yametoka wapi wechek jumba pita kuree 😂😂😂😂
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 3 сағат бұрын
@JumaGendeye-sv6yl Amna Ndg yangu Walimwengu kwa sasa hapo ndipo tulipofikiaa... Undani wa mihela kama hiyo ni lazima kuwe na Mindondocha tu ndani na zaidi ni Ndg zake. KIMSINGI pesa kutafuta kama zamani nnnn siku hizi ni shiida kutusua hivo.
@IssaRashid-x2u
@IssaRashid-x2u Сағат бұрын
Hongera kwake bro unatufundisha kitu vijana
@surusuru1994
@surusuru1994 3 сағат бұрын
👏👏👏👏👏🇹🇿✊🏾✊🏾🔥🤩🤩hongera kama hotel
@PapaaMasauti-q7o
@PapaaMasauti-q7o 14 сағат бұрын
Mnatukatisha tamaa Sisi Ambao kula yetu Kwa Siku ni mtihani ila Sawa Na Sisi mungu atatubariki
@FettyIddi-z2k
@FettyIddi-z2k 13 сағат бұрын
Kwakwel
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 12 сағат бұрын
Hilo bando umelitoa wp? Au uko kwa jiran internet ya bure
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 12 сағат бұрын
Sema Alhamdulilah
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 сағат бұрын
Ni kutafuta hasad tuu yote kwa yote muombee MUNGU akupe ya kujistir na sote MUNGU atupe makazi yenye kher InshaaAllah
@JulyNabeel
@JulyNabeel 12 сағат бұрын
Mungu Amjalie ample zaid yangu inshallah 🫶🫶🫶
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 15 сағат бұрын
Ata nkipewa ghalama yaumeme kwasiku moja tu siwezi😂😂😂
@zakayodismas251
@zakayodismas251 15 сағат бұрын
Amagine bado utakufa tuu 😢 daaah … me nashukuru pia mimi ni tajiri wa uhaii😂 mungu asante🙏🏿kwa afya ivyo vingine ikikupendezaa👋
@qubyackim4688
@qubyackim4688 15 сағат бұрын
Kufa ni wajibu hata masikini wanakufa pia so usipotezee malengo eti kisa kuna kufa......
@litobrown5674
@litobrown5674 15 сағат бұрын
Shida ata ukiwa masikini wa kutupwa utakufa tu pia asa si Bora uwe nazo
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 14 сағат бұрын
Si bora ufe ukiwa utajiri kuliko kufa fukara tuupinge umaskini umaskini ni laana.
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 14 сағат бұрын
Mawazo mtu khaaa kwani umasikini ndio uzima wa milele?
@chogaissa1619
@chogaissa1619 14 сағат бұрын
Mbona unalalamika sasa😅😅😅😅
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Сағат бұрын
UBARIKIWE sana sana
@FarouqNnanguje
@FarouqNnanguje 11 сағат бұрын
Safi Sana.. lakini sura yako mbona haina furaha na huo mjengo ???
@zenooernest18
@zenooernest18 9 сағат бұрын
Bro kujenga ni mateso Hapo haujui ni Shida gani na maumivu gani aliyo Yaficha moyoni mwake
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe 8 сағат бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@vero57
@vero57 13 сағат бұрын
Safiii sanaa kaka, tufanye kazi jamani
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 4 сағат бұрын
Hongera sana🎉🎉
@HurumaNdele
@HurumaNdele 15 сағат бұрын
Mwingine saa hii kalala na😂😂 njaaa
@MohdyKessy-p9m
@MohdyKessy-p9m 14 сағат бұрын
Kama hutaki kufanya kazi unahisi utalala na nini
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 12 сағат бұрын
Ndio dunia
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 5 сағат бұрын
Katumia hela nyingi kujenga nyumba mbaya😂😂😂
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 15 сағат бұрын
Hongera.sana.sana kwa umri wako uko vizuri. ila.kwa. pesa alizowekeza.furnitures zake bado quality sio nzuri na kitchen appliance angeenda pale mwenge njia.ya coca kuna mayerial kali za.kitchen kiasi kwamba waliniambia.jiko la.bei rahisi wamewahi tengeneza ni.50m so angeweza mana anazo.
@kisjohn3435
@kisjohn3435 6 сағат бұрын
Tuonyeshe yako
@faridanurdin9635
@faridanurdin9635 2 сағат бұрын
Hahahaha​@@kisjohn3435
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 5 сағат бұрын
Hakuna cha diamond wala yule mpumbavuuu chief godlove .mwamba uyooo sasa
@MariaWema
@MariaWema 2 сағат бұрын
Mmh si wamesema Baba Levo Kazindua Nyumba yake waandishi wanaheka heka sana 😢
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 14 сағат бұрын
Aseeeee💯👏👏👏
@blackyoungmaestro
@blackyoungmaestro 9 сағат бұрын
Ni bab kubwa, ni hatari, hongera kaka, unanipa inspiration. Oya Chibu Dangote, mjengo wako hatujauona bado😂😂😂😂😂😂
@johnmussa5489
@johnmussa5489 2 сағат бұрын
Kazi nzuri
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 15 сағат бұрын
Chief godlove anaishiiiii kwenye kibanda kidogo cha mkaaaa alafu anatupigia keleleee kwa nyumbaaaa hiii ata lugumiiii atasubiriiiiiiiii diamond ndio kabisaaa miaka 100000 atasubiri
@floriancheusi4211
@floriancheusi4211 14 сағат бұрын
@@FredrickMatiku-xf2uk vp wewe utasubr muda gani
@ShabainBankintole
@ShabainBankintole 4 сағат бұрын
Katika maisha kila m2 hua ana mawaz yake kichwan hao unao wataja hawa shindwi kufanya hili ni vile Co vipaumbele vyao
@youngbona3804
@youngbona3804 15 сағат бұрын
Big up fighter👊👊👊 mjengo kweli kweliiii
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 15 сағат бұрын
Sikama wa mwijaku bi3
@GilbertMansuet-zv1ph
@GilbertMansuet-zv1ph 14 сағат бұрын
Hata akifa hana deni duniani ameishi maisha , Nawaza uishi ujidai sijui im proud aijui kumcha bwana alafu una vizambi vyako vidogodogo na unakibri hautubu alafu mwenzio aishi hivi mkifika mnaadhibiwa wote kua mlitenda zambi daaah. Mana mjue kuna vibaba na vimama ni masikini ila ni vichawi balaa sasa tuseme jamaa anatutafakarisha kwani Mungu anabariki watu kiwango gani cha hela ili kilipita useme huyo sio Mungu n shetani ?
@marrykigabimk
@marrykigabimk 15 сағат бұрын
Mbona ukumuliza kaziyake nini izo hela ametowa wapi 😂😂😂😂😂
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 14 сағат бұрын
Anauza speak za pikipiki zonaitwa KING D anasambaza Tanzania nzima yeye anazizalisha kwa brand yake kiwanda kipo china,
@HadzabeTribeHome
@HadzabeTribeHome 14 сағат бұрын
Kazi ya nini banh😂 kama mwizi unataka kuwa mwizi
@HelenMateru-g5t
@HelenMateru-g5t 14 сағат бұрын
Mungu baba mi mwanao.nipo hapa hata room.2 baba zanitosha
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh 3 сағат бұрын
😂😂
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 14 сағат бұрын
Ndugu yangu usisahau kwenda medical check up🎉Lengo kwamba uishi miaka 90 ktka hilo jumba🎉🎉❤
@GraceLuvanda-g5r
@GraceLuvanda-g5r 2 сағат бұрын
Amuombe tu Mungu ....wapo matajiri wana checkup kama zote hawatoboi miaka 50....
@kailakaziba
@kailakaziba 2 сағат бұрын
mashallah ongera sana
@nellyhortensia2407
@nellyhortensia2407 15 сағат бұрын
Nasubiri Aristoteeee . Mze wa Spaceeee
@bukuwine931
@bukuwine931 13 сағат бұрын
Kongore sana bg up sana 🍷🍷🇹🇿
@ElishaMsikola
@ElishaMsikola 6 сағат бұрын
Chief godlove Yuko wapi jamn
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 6 сағат бұрын
c unaon mgongo ulivyopinda, msionee wivu pesa za wenzen unawezkuta anapitia mengi😂😂😂
@salimswedy6114
@salimswedy6114 13 сағат бұрын
Muha wa kasangezi hongera sana
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 14 сағат бұрын
Angekuwa mwijaku hapo kelele mwaka mzima
@SarahSanga-p6d
@SarahSanga-p6d 4 сағат бұрын
Mwijaku mtu naye kwanz ana nyumba ile ndo nyumba naye kitu hii ngomaaaaaaa
@BabuAli-zv8gn
@BabuAli-zv8gn 4 сағат бұрын
Tupambaneni tusichoke na tumtangulize mungu mbele hayo yanakuja bila shida
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah 15 сағат бұрын
Sku za mwisho wa dunia,watu watamiliki vitu vya dhamani,ila watawahi kufa
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 14 сағат бұрын
Acha ndg yng
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 15 сағат бұрын
Hii nomaaaa kesho utasikia haonekaniii
@Sean1877
@Sean1877 5 сағат бұрын
Nimewaza hilo hilo yani dah
@JehhusRaoul
@JehhusRaoul 45 минут бұрын
Ela imemuasha jamaa unajengaje nyumba kama hiyo salasala Tajiri anajenga masaki
@MkamaJames-k2q
@MkamaJames-k2q 16 сағат бұрын
Nyumba nzuli ila angeweka lifts ingekua magoli
@josephjohn2114
@josephjohn2114 15 сағат бұрын
Mazoez muhim kaka sio vzr kila kitu kuwa laini laini.
@litobrown5674
@litobrown5674 15 сағат бұрын
Ndo kasoro y hiyo nyumba ilitakiwa iwe na lift ingekuwa unyama sana
@Benny318m
@Benny318m 14 сағат бұрын
Afrika wengi tunaamini hatutofika uzeeni ndio maana unakuta nyumba zetu nyingi hazina miundombinu yakutusaidia au kuwasaidia wazee au walemavu na unakuta vyumba vyetu vipo juu
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 11 сағат бұрын
sahihi ​@@litobrown5674
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 16 сағат бұрын
Muiteni chif mtoto mdogo mwenye pesa nyingi turned vp
@SilvanaKananda-t9c
@SilvanaKananda-t9c 15 сағат бұрын
Inabidi ukusanye ukoo mzma iwe inaishi apo...maana sio kwa ukubwa uo...muwe mnatuambia pesa mnatoa wp jmn.....kweli wengine tufe ata vibanda atuna jmn😢
@sifatiiman
@sifatiiman 15 сағат бұрын
Wanamavitu Yao hao Ata usitamani maisha yao
@LuluAquai
@LuluAquai 14 сағат бұрын
M'mungu alishasema na wala usitamani neema ya mwenzio,kuwa na moyo wa kuridhika na kutosheka na ulichopewa Wallah ndio utajiri na moja​@@sifatiiman
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 4 сағат бұрын
TAJIRI MBONA ANA wasiwasi sana
@qubyackim4688
@qubyackim4688 15 сағат бұрын
Congratulations 🎉
@husenahusena2660
@husenahusena2660 3 сағат бұрын
Cheef God love yuko wapi si anajifanya ana hela 😂😂😂
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 14 сағат бұрын
Congrats🎉
@agynoel2846
@agynoel2846 4 сағат бұрын
Chief godlove ana kazi
@dignanjau692
@dignanjau692 5 сағат бұрын
Hongera sanaaa
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw 5 сағат бұрын
Nyumba nzr sanaa kimbembe usafi kuifanyia usafi ni masaa 24 watu wanaxungunguka
@SadiHasani
@SadiHasani Сағат бұрын
Chief godlove yukowapi aiseeee
@MasokaSalome
@MasokaSalome 13 сағат бұрын
Tupo ulaya lakini hatuna nyumba kama izo kaka 😂😂
@Sean1877
@Sean1877 5 сағат бұрын
Bill's bill's 😄
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 3 сағат бұрын
Ya kawaida sana maurembo mengi yameharibu uzuri wa nyumba
@Entertainmen_tv2024
@Entertainmen_tv2024 5 сағат бұрын
Oyaa huyu jamaaa km mshamba lakin mchanja anao
@lucia20240
@lucia20240 15 сағат бұрын
Tajiri ni Mlokozi pekee,tajiri gani unahesabu Hadi idadi ya brenda😂😂😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 14 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 13 сағат бұрын
Dah wivu ni kitu mbaya aisee 😂
@mcback4384
@mcback4384 12 сағат бұрын
😂😂😂 Hii nayo ina uzito japo sina wivu
@hallin9561
@hallin9561 14 сағат бұрын
I'm proud to be Muslim, tuache kuhangaika na anasa za dunia, mtafute mungu wako ela zako saidia yatima upate kujenga pepo yako iwe nzuri, duniani sio mahali salama kaka
@Benny318m
@Benny318m 14 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂umasikini unatupa mawazo mazuri sana ila tukifanikiwa tu yote hayo hubaki moyoni
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 14 сағат бұрын
MBN ww unatumia smart na kuna watu wanateseka ata kula ww umewek na bando
@floriancheusi4211
@floriancheusi4211 14 сағат бұрын
Kwo watu wasijenge?
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 14 сағат бұрын
Aina maana kwamba ukimtafuta mingu et ndo uwishi maishi machungu,,maana ao walokuletea dini wao ndio matajiri wakubwa stuka ww .
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 14 сағат бұрын
MUNGU amekupa nafasi ya kuishi Kwa kusudi lake Wala hatujakuja Kwa bahati mbaya, kuwa tajiri au kuwa na Mali hujakatazwa Ila jinsi gani unatumia Mali zako au utajiri wako. Hapana kuwa muoga na maisha sababu Mungu anakujua kabla hujaingizwa tumboni. Fanya kazi uliyotumwa kufanya dunianiani. Tenda mema.
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 сағат бұрын
Jamani si tuliambiwa ni mjengo wa baba levo😂
@OscarLucars
@OscarLucars 15 сағат бұрын
Usi tamani Cha mtu "zingatia"
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 15 сағат бұрын
Naaaam uko sahihi
@tonyjames6658
@tonyjames6658 13 сағат бұрын
MWIJAKU AJE SASA AONE EXPENSIVE LIFE NA GHOROFA LA BILION 1.5..... 😂😂😂😂😂😂😂
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 сағат бұрын
Huyu jamaa kajenga kweli
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 2 сағат бұрын
Kwa kwel jumba zuri tuache masihara kwahyo kataka tuone au
@augustryann365
@augustryann365 14 сағат бұрын
Hongera sana bro
@rehemamillasi2858
@rehemamillasi2858 Сағат бұрын
Upande wangu unafanya kazi gani BIASHARA gani
@aroundtheglobe8041
@aroundtheglobe8041 15 сағат бұрын
Chief godlove kapitwa sasa
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 14 сағат бұрын
Kooo sisi wengine wazurulaji
@josiahsimon5333
@josiahsimon5333 14 сағат бұрын
Hallo hatari hongera Sana
@naomisamwel18
@naomisamwel18 14 сағат бұрын
Kaka kama hujaoa mimi nipo😂nishakupenda tayar siwez ishi bila wwe my😂😂
@hanifa9153
@hanifa9153 14 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@aminielmwasha3994
@aminielmwasha3994 14 сағат бұрын
😂😂😂😂 Dah! Hii mbona imekua ghafla sana😂
@JosephBalebanga
@JosephBalebanga 9 сағат бұрын
Usijali tutaowana peponi ili tuishi maisha milele inshallah
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 6 сағат бұрын
Hao wanaotusumbua kwenye mitandao sijui wanshela wajifunze kwa mwamba uyooo
@IbrahimIbla-d4w
@IbrahimIbla-d4w 16 сағат бұрын
Kuna watu wanaishi hlf kuna ss tunaishia
@allymtunge5530
@allymtunge5530 12 сағат бұрын
Safii cnaa mana tz ichangamke
@danielmkama24
@danielmkama24 6 сағат бұрын
Ila kanapenda sifa kama mimi
@GraceLuvanda-g5r
@GraceLuvanda-g5r 2 сағат бұрын
Muha
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 40 МЛН
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 21 МЛН
CHEKI SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA CAF 2024
7:46
Syaga James
Рет қаралды 98 М.