Hallelujah kwa ushuhuda huo wa jengo la baa hadi kanisa na kuokoa wengi kutoka kifo cha dhambi na kuwafanya watu wafike mbinguni salama.
@johnmussa54893 күн бұрын
nabarikiwa sana na Mungu kupitia ushuhuda wako
@LucianSanga4 ай бұрын
Amini Hata katikati ya Waovu Hutoka Mambo Mema Hii ni kanuni ya MUNGU
@JanethKaaya-ql4px2 ай бұрын
Baba umenibariki sanaaa kupitia ushuhuda yako nanda kupokea magonjwayote yamenitabisha muda mrefu kweli mungu akawihi wala achelewi na anaweza yote ktk yote
@imansmwatete49539 ай бұрын
The pastor of this generation....knowledgeable and anointed.
@Sidathikibuga6 ай бұрын
Haleluya baba yang ❤❤❤❤❤❤❤
@piusnkwale9 ай бұрын
Baba yangu gwajima.Mungu aendelee kukupa uzima na mafunuo zaidi
@ApaelMbise8 ай бұрын
Baba mungu akupe neema zaidi na matrio zaidi nimeamka kwa ushuda huu
Amen baba yangu kusudi la Mungu litasimama imara kwenye kizazi changu Kwa jina la Yesu amen
@itiamekimbui7229 ай бұрын
kwakweli baba ni library ya maisha. mungu ashindi kukuinua pamoja na sisi you are our marking scheme 🇰🇪
@AbishagiPeter9 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI sana Askofu J. Gwajima.
@JevisonMwesiga8 ай бұрын
mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu
@annissdaprincess38468 ай бұрын
Amina hallelujah
@HAAM6709 ай бұрын
Glory to God, Glory to God. Ushuhuda unatia moyo kabisa wa kusonga mbeleee. Thank you Bishop JG. Tanzania Yote kwa YESU
@GoodluckAmos9 ай бұрын
Mch Gwajima amenifanya niinuke upya kiroho kun vitu nilitaka kufanya nikaacha sasa nakiri ntafanya na ntafanya tena, nmejifunza meng sana
@GloriousRestorationTV9 ай бұрын
Ubarikiwe sana..
@beatricefilbert11719 ай бұрын
Usikate tamaa songa mbele
@IsaacMichael-fw4cx9 ай бұрын
Ubarikiwe kwa kujifunza
@fredrickryoba24529 ай бұрын
Amen hata Mm pia ameniinua
@JEMAMGANA4 ай бұрын
Mungu akunze baba gwajima
@samwelmjika98719 ай бұрын
Very powerful teaching
@michaelmassae39708 ай бұрын
Mungu akubariki
@pastorprospermlembasayunip5008 ай бұрын
Ushuhuda mzuri sana
@IssacAman9 ай бұрын
Amina Gwajima nabarikiwa sana na wew
@annetheremnant72429 ай бұрын
Wow I love this
@beatricefilbert11719 ай бұрын
Amen dady nakupenda
@josephshida4699 ай бұрын
Amina nakuelewa sana mzee
@EmirataJkente9 ай бұрын
Amina Baba. Mungu wa mbinguni yumo ndani yako. Tunsonga mbele kwa neno lako.mungu azidi kukupa nguvu zaidi na mamlaka ya juu sana kugeuza falume za dunia kuwa falme za mwanakondoo.
@devothamagawa71619 ай бұрын
jina la Yesu libarikiwe❤
@richardmanyilizu-rp8hf9 ай бұрын
Amen Mungu akubariki mtumishi
@revocatusassey25079 ай бұрын
Nimebarikiwa sana baba Mungu akutunze
@ntezumwamijeremie70649 ай бұрын
Mchungaji Ngwajima nafwata mafundisho miujiza ambayo Mungu anakutumikisha.Nakupenda.Mchungaji mwezako Jeremie From Glory of Christ/Rwanda
@essaukapufi4249 ай бұрын
Asante Baba,
@joycemughogho37739 ай бұрын
Amina mtumishi kwa ushuhuda huu nimetiwa nguvu sana❤
@jobmunyali72299 ай бұрын
GOD is good 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@rodriguesvictorvalerio68869 ай бұрын
Asante baba wa mataifa. Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 tunakupenda, na tunatarajia ujio wako ardhi hii.
@piuslyimo4869 ай бұрын
Gwaji boyyyyyyyyy
@mussathomas36619 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na neno lako Mungu akutunze
@Kiyonga20149 ай бұрын
Bishop Gwajima you are the best pastor!
@stephennganga48278 ай бұрын
Mtumishi ubalikiwe sana.
@michaelmangoni9899 ай бұрын
Mungu ni mwema
@RaymondMuya9 ай бұрын
Napenda sana mafundisho yako
@livingmunisi59639 ай бұрын
Yani mchungaji gwajima nayapenda sana mahubiri yako na shuhuda zako natamani tuwe na TV ya ufufuo na uzima
@MilloWamilonga-ft8ir8 ай бұрын
Mbona hajamfufua mwendazake jiwe magufuli
@fidonifidel8 ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8irHauna ufahamu wowote juu ya Mungu
@MussaSmano-v1c5 ай бұрын
@@fidonifidel Ni kweli kabsa haelewi anachokisema hana ufahamu wowote wa Mungu.
@RaymondMuya9 ай бұрын
Mchungaji hongera sana kwa ushuhuda wa lemi ongala kuokokea kanisani kwako
@ceciliamaswai82199 ай бұрын
Nimekuelewa Sana mchungaji Gwajima
@yuzzob8 ай бұрын
Mungu akubariki, ujumbe umenipa booster nikiwa mwendoksi kivukoni-Kimara nikalichubguza eneo nilipofika ubongo
@dorahmavazi1119 ай бұрын
Mungu ni mkuu
@kapanikapani52809 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwahakika nimebarikiwa sana
@ArcoiriscelestialTv9 ай бұрын
Amem gwajima
@amynatk9 ай бұрын
Woow woow......huu ni ushuhuda wa vizazi na vizazi. Ubarikiwe sana sana kwa kushare huu ushuhuda kwakweli umeniinua. Mungu akubariki sana na ni maombi yangu akupe hatua zaidi na zaidi. Wewe ni hazina kwa nchi yetu. Ubarikiwe sana
@vieterinamoko50879 ай бұрын
The Testimony is very encouranging,God's our provider.
@praxedajovinary45609 ай бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kukutumia apendavyo
@YonaTisho-iu2ng9 ай бұрын
Mapambo kwa wanawake ni tatizo kubwa sanaa.Watumishi mtadaiwa damu zao na mnajua ukweli wote
@GrantMwakalambile9 ай бұрын
Mapambo wp ww mnakaa kuhukum watu et mapambo ko hutaki watu wajipambe
Kila kanisa lina misingi yake msingi wako ni sawa na hiyo mingine pia ni sawa .kosa kutaka wengine wafanye na msingi wa kanisa lako
@SamwelKipenzi9 ай бұрын
1Petro3:3, Mapambo, mapambo, mapambo, wanawake wengi wataingia motoni kwa sababu ya mapambo. nguo za kubana, makeup, makucha bandia, suruali za kike, , nguo fupi,nguo za mabega wazi na mtiti wazi, na wote wanaotetea mapambo bila kujua mnamtetea shetani, ni heri mtu anapozuia mapambo unyamaze kuliko kuunga mokono utapata hukumu ileile anayopata kahaba, BWANA YESU atusaidie. Mathayo18:7 Ole wao waletao mambo kukosesha.
@pastorheri7159 ай бұрын
Nakubali kunolewa katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth
@Maryc2G9 ай бұрын
Nikiinuliwa na wengine watainuliwa kupitia mimi 👏🏽👏🏽👋🏽👋🏽
@agnesnzali31759 ай бұрын
Ushuhuda wa kujenga sana huu
@marymuthoni15519 ай бұрын
Amina, Mungu ni mwamunifu kwa yote, asante
@WestonMbuba-ff4jk9 ай бұрын
Mvula ana sauti nzuri sana
@saidatowainda5259 ай бұрын
Barikiwa sana Dadii
@TetekoOg8 ай бұрын
Kwakwel nimebalikiwa sana
@giftkelvin79 ай бұрын
This is very powerful testmony, pastor andika kitabu cha hii story
@priestkingagrey9 ай бұрын
Hallelujah 🔥
@isacksimonmahungilo9 ай бұрын
Ila nakumbuka mchungaj gwajima s alitaka kumfufua amina chifupa
@pastorprospermlembasayunip5008 ай бұрын
Haleluyaaaaaa
@ibrahimuezekieli88459 ай бұрын
Ameeni🙏
@wanguwangu349 ай бұрын
Ushuhuda huu unabariki sana na kuinua.
@vitaasumani46139 ай бұрын
Mungu yupo jamani
@byukatorerotv26088 ай бұрын
Our Mukuru Please translation need
@philibethnyagawa9 ай бұрын
Mimi PHILIBETH NYAGAWA NIMEPATA NGUVU MPYAAA AMENI BARIKIWA SANA
@IssacAman9 ай бұрын
Kweli kabisa kwa ushuhuda huo Mungu atuongoze wote Tz
@kasuziprosper35703 ай бұрын
Shuhuda zenye kutia moyo
@jobmunyali72299 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🕊️🔥
@braisonjohnnzunda9 ай бұрын
Kwakweli wewe ni hazina ya ajabu sana ubarikiwe baba
@obadiambilinyi279 ай бұрын
Very powerful,
@MosesKaponda9 ай бұрын
❤❤
@davidolotu99508 ай бұрын
Nimepata nguvu mpya
@tadeichaula32789 ай бұрын
Penda sana pastor Gwajima
@sylvanuskavindi27568 ай бұрын
Waumini wa hilo kanisa wana mihemko kama boss wao.
@favourndila84749 ай бұрын
Ameeen
@kesiawailes12239 ай бұрын
Unanifanya niendelee kusimama katika kusudi la MUNGU
@makoyelwango60489 ай бұрын
Ukweli muhimu
@WincheslausNshashwe9 ай бұрын
Amen
@samwelmakuni80799 ай бұрын
Hata mimi kichwa ngumu 😢 leo nimeelewa
@Aziz-p6s9 ай бұрын
Mwaka gani
@margaretmkangala7774Ай бұрын
Namcheka huyo wakili aliyekwambia usimfatilie tena mimi naona siku za mbele utainuliwa kiwango cha juu nampa pole atabaki mdomo wazi
@ndemabhwila8 ай бұрын
Gwajima uko wapi bashite anavuluga inchi umekaa kimya mbinguni huendi ng.'o
@JonasMwase7 ай бұрын
Mchungaji wetu
@rerisamba9 ай бұрын
Imagine mtu alihubiria mpaka kina Remmy halafu mtu ameanza huduma juzi na kufungua account utube ana mnena huyu masiah wa Mungu hua inaniuma kweli
@Maryc2G9 ай бұрын
Face your Goriath👍🏽
@RaymondMuya9 ай бұрын
Haya ndio mafundisho ya kiroho
@benedictobucke90629 ай бұрын
Kemea mapambo kwa wanawake, kemea uvaaji wa kidunia, kemea mitindo ya kidunia ya unyoaji nywele, kemea makeup, kemea upakaji rangi kucha na midomo. Tafadhali onya na karipia, wengi wanaenda kuzimu ya moto kwa sababu ya Mambo hayo
@aloycesilwela34859 ай бұрын
Ni watu wa rohoni peke yao watakuelewa lkn hawa wa mwilini sijui
@HannahRichard-ru3rj9 ай бұрын
Very true many things are come from under the world
@JuliusMatiku-ux4ch9 ай бұрын
Sawa yesu
@ndemabhwila8 ай бұрын
Huko ulikoenda mungu amekuacha siasa ni mambo ya kidunia. Wacha polojo
@manethmwiyanja24522 ай бұрын
Tumia akili siasa sio polojo kwa kuwa wanaweza kukupangia bei ya sukari na vinginevyo je unataka wakae watu wanaomtumikia shetani tuu tumia akili usiwe mvivu wa kufikiri.
@JacquelineBusime9 ай бұрын
Baba Askofu siku gani Mungu wa ufufuo na uzima atakuruhusu uje Burundi?
@hazygardmericho95719 ай бұрын
Mahubiri haya nasikiliza mwanzo mwisho, ila ushuda mwingi na miujiza nasinzia
@ndemabhwila8 ай бұрын
Tengua kauli ulisema yule ni daudi alubeti bashite wakati jina lake ni makonda
@MCNgakungaJunior9 ай бұрын
JASUSI LA MBINGUNI!UBARIKIWE SANA!KIUKWELI WEWE NI MTUMISHI WA TOFAUTI SANA.MUNGU AKUZIDISHE MARA ELFU NA ELFU.
@directorabson9 ай бұрын
Aliye na Mungu mwache TU usimzuie barabarani
@Lucymaraule7 ай бұрын
1994 makasi alikuwa ameshaokoka tayali apo umedanganya