Ufugaji wa Samaki aina ya Sato hybrid na Faida zake kemkemu Pt 1|

  Рет қаралды 9,926

Mulap Farm

Mulap Farm

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@JumaMagogo
@JumaMagogo 11 күн бұрын
Habari muheshimiwa naomba utaratibu wamafunzo ya ufugaji
@yonazakaria9706
@yonazakaria9706 Жыл бұрын
Safii sana.
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 10 ай бұрын
Asante sana
@EdwinDoctor
@EdwinDoctor 11 ай бұрын
Nashukuru kwa hii Makala ya ufugaji Sato ,,je mwenye kuanza mafunzo yanapatkana. Wapi ,,mi nipo mwanza
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 10 ай бұрын
Tunapatikana Kibaha
@sevenmund
@sevenmund 3 күн бұрын
Tunaomba namba ya simu kwa sisi tuliopo kibaha tuje kijifunza hapo
@LeonardMgana
@LeonardMgana 3 ай бұрын
hii interview haijulikani ya nani nani mtangazaji wala n ani mtaalamu mpe mtaalamu fursa ya kuzungumza na kuelza vitu mpaka amalize
@ahz6907
@ahz6907 2 ай бұрын
Kweli aisee...hata mi nimekereka sana 😂
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 7 ай бұрын
Mtaalamu wetu wa samaki na mwanajeshi wamejiongoza vizuri kwenye kipindi...
@LeonardMgana
@LeonardMgana 3 ай бұрын
watuambie pia kemekali gani wametumia katika kufanya hybridazation process.
@NeemaMichael-cr8qg
@NeemaMichael-cr8qg 2 ай бұрын
Toa number yasim na ujibu maswal tunataka kujifunza zaidi
@sethnzigo7087
@sethnzigo7087 10 ай бұрын
Asante kwakipindi bora. Ingekuwa muhimu sana tupate phone number ili tupate kuwasiliya kwatarifa zaidi.
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 10 ай бұрын
Asante sana 0659770886
@aminamollel6639
@aminamollel6639 3 ай бұрын
Kipindi ni kizuri ila jifunze namna boraya ya kuhoji maswali na pia mpe nafasi mtaalamu aelezee vizuri ili watazamaji wako tujifunze. Tulia pia wakati wa kuhoji unahangaika sana huna utulivu, unakera. .
@salamaMasauti-s7l
@salamaMasauti-s7l 5 ай бұрын
Asalam Alaykum bei zenu za ujengaji wa bwawa ni bei Gani ?
@yusufusylivanus9762
@yusufusylivanus9762 10 ай бұрын
Jamani mbona sina mbegu bora za samaki nipo kigoma Kakonko
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 10 ай бұрын
Tunapatikana kibaha
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p 4 ай бұрын
Nimefurahi kwa maelezo mazuri naomba namba yenu
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 4 ай бұрын
@@ZubedaAbdallah-s5p 0659770886
@fikirijoelmupenda6652
@fikirijoelmupenda6652 8 ай бұрын
safi sana. inaomba mtu awe na pesa ngapi ili kuanza huyo mradi?
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 7 ай бұрын
Kiasi chochote kinafaa ni malengo yako tuu
@danielngogo8285
@danielngogo8285 3 ай бұрын
Wekeni no ya sm tujue kama mnaweza mtumia mtu mikoani.
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 3 ай бұрын
@@danielngogo8285 0659770886 karibu
@Mikolanyeho
@Mikolanyeho 8 ай бұрын
Namba namba sim
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 8 ай бұрын
0659770886
@lukasandy7620
@lukasandy7620 6 ай бұрын
kama ndo nataka kuanza kabsaa kufuga nahitaji kiasi gan kuazisha mradi kama huo na eneo kiasi gani linaweza kutosha
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 Жыл бұрын
Sauti imekata
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 Жыл бұрын
Sehemu gani mkuu mbona kwangu sauti ipo
@walumonamlendalaurent7446
@walumonamlendalaurent7446 9 ай бұрын
Napenda nipate namba zako za simu ili nizungumze nawe
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 9 ай бұрын
@@walumonamlendalaurent7446 0659770886
UFUGAJI WA SAMAKI (SATO) FAIDA ZAIDI YA MIL 4 KWA MIEZI SABA MKADAENDA, MASASI
20:01
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,5 МЛН
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Faida
12:57
Mulap Farm
Рет қаралды 1,8 М.
Ugeni (Magadu fish farm)
10:51
AQUACULTURE TV
Рет қаралды 948
Ufugaji wa samaki Kwa namna rahisi
11:24
Yaliyojiri Online
Рет қаралды 8 М.
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН