UFUNGUZI WA KITENGO CHA BIMA YA AFYA BURUNDI

  Рет қаралды 2,013

Al Huda TV Burundi

Al Huda TV Burundi

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 13 күн бұрын
Hongereni sana mungu awaripe mumefanya kiru kizuri saana
@Rahma-r1y
@Rahma-r1y 21 күн бұрын
Manshaaallah tabarak allah 🥰💥🙏
@alainndikubwayo8760
@alainndikubwayo8760 21 күн бұрын
Assalam aalaikum wa rahmatullah wa barakatuh. Shukran wa jazakallahu khair. Mlikuwa mmechelewa sana kufanya kitu kizuri kama hicho cha faida kwa jamii ya k' islam inchini Burundi. Lazima waislam wasonge mbele piya waone mbali zaidi. Ni projekt nyingi sana za kuweza kuwasongesha mbele jamii ya k' islam wasiikaliyi kuomba omba tu misaada. Hivi imefika waislam wajitegemeye wenyewe in sha Allah kwa kupitiya kwenye projekt mbali mbali za maendeleo. Waislam Burundi tumelala tu myaka mingi saana, hivi imefika wakati wa kuamka. Na huyo ndo mwanzo " Bima ya afya, Hospital" na yangine zaidi yatakuja kwa uwezo wake Allah ikiwa sote tukitaka na tukiwa wenye kuelewa. Hakuna kisowezekana. A Jamal sweden.
@islamicswahilidaawahburund999
@islamicswahilidaawahburund999 21 күн бұрын
Masha Allah - Tabaarak Allah. Kwa Pongezi sana kwa Fikra hiyi. Na tunamuomba Allah awawekeye Tawfiiq. Hili Jambo inchi za Ulaya huenda ndio wanazotembelea. Tunawausia kabisa Jamii kuliunga mkono Jambo hili. Mtu asisemi huenda sintaumwa kipindi hichi. La Hasha!!! Huezi kujuwa ya baadae. Kumbe watu wachangie in shaa Allah. Tungetoa mifano ya huku tulipo ila acha tuwahamasishe tu Jamii in shaa Allah. Allah awabaariki na Jazaakumullah Kheir Al-Huda.
@Aishawasaadi
@Aishawasaadi 20 күн бұрын
Alhud ipat maendeleo Allahumm Aaminn
@alhudatvburundi304
@alhudatvburundi304 20 күн бұрын
@@Aishawasaadi Amiin
@NTUNZWENIMANAKurusumu
@NTUNZWENIMANAKurusumu 17 күн бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah ALHAMDULILLAH. Tunahitaj kufaham hiyo HOSPITAL U hizo HOSPITAL ni zipi? Au kwa lugha nyingine, tutakua tinatibiwa wapi???
@EmmanuelBigirimana-y2w
@EmmanuelBigirimana-y2w 21 күн бұрын
Allah ABARIKI chobo Cha Afya kwaza ichi Burundi
@EmmanuelBigirimana-y2w
@EmmanuelBigirimana-y2w 21 күн бұрын
ALLAH ABARIKI HIKI CHOBA CHA AFYA KWAZA
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 21 күн бұрын
Maasha'llaah maasha'llaah maasha'llaah
@FatuNahimana
@FatuNahimana 21 күн бұрын
Asalam alaikum warahmatullah maashaallah taabarakallah tuko pamoja
@MwajumaWakingombe
@MwajumaWakingombe 21 күн бұрын
Masha'Allah
@EmmanuelBigirimana-y2w
@EmmanuelBigirimana-y2w 21 күн бұрын
Na oba naba ya sheik Amisi
@IbrahimNyandwi
@IbrahimNyandwi 21 күн бұрын
Ni ipi hukmu ya bima(assurance maladie) katika sheria ya kiislam? Baarakallahu fikum
@MirathiYaMitume
@MirathiYaMitume 21 күн бұрын
Ndio maana bima ya afya ikawa ni haramu Swali: Ni ipi hukumu ya bima ya afya? Jibu: Bima ya afya haijuzu. Bima ya afya ni katika kamari. Kwa sababu wanatoa kiwango cha pesa maalum ili watibiwe kwa kila kinachowapata. Swali: Mwenye nayo anasema kuwa wakati wa kipimo analipa asilimia ishirini tu na hivi sasa mke wake anakaribia kujifungua. Ajifungue kwa bima hiyo au hapana? Jibu: Ajifungue hospitali nyenginezo. Swali: Kwa hiyo ni haramu moja kwa moja? Jibu: Ndio, inafanana na kamari. Swali: Ni vipi bima ya afya inafanana na kamari? Jibu: Kwa sababu mtu unalipia kiwango cha pesa kadhaa kila mwaka au kila mwezi kwa ajili ya kutibu kila kitu kinachomtokea mtu au familia. Matokeo yake anaweza kupatwa na magonjwa mengi yanayohitaji makumi ya maelfu. Swali: Kila mmoja analipa 100.000. Hiyo ndio kamari? Hatulipi kitu kutoka katika mishahara yetu. Ni vipi inakuwa kamari? Jibu: Inakuwa kamari na ile hospitali wanayoilipa pesa hizi. Wanapokwambia kila mwezi au kila mwaka watachukua 100.000 ili kuwatibu familia yote yale maradhi yanayowapata. Wanaweza kupatwa na maradhi mengi yanayohitaji pesa zaidi kuliko hizo. Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz Mfasiri: Firqatunnajia.com Marejeo: binbaz.org.sa/fatwas/23280/ما-حكم-التامين-الصحي Imechapishwa: 19/12/2023
@NTUNZWENIMANAKurusumu
@NTUNZWENIMANAKurusumu 17 күн бұрын
Tunasubiria kujibiwa IN SHAA ALLAH
@ABDOULRASHIDBUKEYENEZA
@ABDOULRASHIDBUKEYENEZA 21 күн бұрын
Assallam alaikum warhmatullah wabarakatuhu Allahu Awahifadhi masheikh wetu karibuni mukoani rutana
@jonathanniyongabo951
@jonathanniyongabo951 21 күн бұрын
,%%wWw,SS
@hassanjuma6144
@hassanjuma6144 22 күн бұрын
Allah barik Al hudaa ❤❤
@hassanjonas1491
@hassanjonas1491 21 күн бұрын
Maansha allah
@bora0066
@bora0066 21 күн бұрын
Mashaallah
@kagozihusseni9628
@kagozihusseni9628 21 күн бұрын
Kagozi Hussein TUNAMSHUKURU ALLAH KUANZISHA ILI JAMBO ALLAH AWALIPE KHERI NYINGI SAAAANA WALE WOOOTE WALIYOCHANGIYA KATIKA KUFANIKISHA JAMBO HILI Jee watu wa intérieur watafikiwa n'a huduma hiyo vipi ?
@alhudatvburundi304
@alhudatvburundi304 21 күн бұрын
@@kagozihusseni9628 ndio
@mussabanzi7826
@mussabanzi7826 22 күн бұрын
Sasa ni dispensaire ao?
@alhudatvburundi304
@alhudatvburundi304 21 күн бұрын
Unauliza kitu kiko tofauti na kinachponekana bima ya Afya so Hospital rejea tena kutazama itakua bora
@rukundohussein5906
@rukundohussein5906 21 күн бұрын
Assurance maladie
@NTUNZWENIMANAKurusumu
@NTUNZWENIMANAKurusumu 17 күн бұрын
Yan ni Cheti chakutibiwa bure. Kulingana na hayo mahitaj
@sahimtv4742
@sahimtv4742 20 күн бұрын
Mr hamza mahane hiyo number ya whatsapp ungeiweka hapo kwenye hiyo clip video ili kila mmoja kuitumia, binafsi nipo inje ya inchi nahitaji hiyo number ya whatsapp?
@alhudatvburundi304
@alhudatvburundi304 20 күн бұрын
@@sahimtv4742 namba ipi ya kwangu ao ya sheikh khamis khamiss ao ya abdi john kama utaitaji kwa namba yoyote whatsapp +25775461875
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 1,9 МЛН
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 31 МЛН
shamsuddintv YALIO ZUNGUMZWA NA WALIO SHIRIKI UCHANGUZI
18:22
ShamsuddinTV
Рет қаралды 729
UCHAGUZI WA MUFTI WA COMIBU
25:18
Al Huda TV Burundi
Рет қаралды 1,8 М.
Sheikh Abdi John 🇧🇮 : Mpango wa Mwanamke duniani
36:27
Ar Risâlat Tv
Рет қаралды 8 М.
Sheikh Salum Bijeje ujumbe kwa Waislamu wote dhidi ya Rumonge
13:06
Al Huda TV Burundi
Рет қаралды 916
SHEIKH KISHK NA MSAFARA WAKE WALIVYOAGANA NA WENYEJI WAO MPAKANI
7:46
Kishki Online TV
Рет қаралды 4,1 М.
SHEIKH ABDUL JABAR 
MADA #MATAPELI#
31:16
Al Huda TV Burundi
Рет қаралды 2,8 М.
Sheikh Hassan Nyamweru Sayasi Katika Qur an
46:04
Al Huda TV Burundi
Рет қаралды 372