UGONJWA USIOJULIKANA WAIBUKA MBEYA “WANATAPIKA DAMU, ZAIDI YA WATU 15 WAMEFARIKI”

  Рет қаралды 73,045

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Watu zaidi ya 15 wamefariki na zaidi ya 50 ni Wagonjwa kwenye Kata ya Ifumbo Chunya, Mkoani Mbeya na hiyo ni kutokana na kuugua ugonjwa ambao bado haujafahamika ni ugonjwa gani.
Mganga Mkuu wa Wilaya Chunya amethibitisha taarifa hizo.

Пікірлер: 267
@jenelizajoseph6488
@jenelizajoseph6488 3 жыл бұрын
Ee baba wa mbinguni shuka utuokoe nyosha mkono wako wa kuume Tanzania yetu tuokoe tunakuomba baba wa mbinguni tunakuomba🙏🙏🇹🇿 YESU YESU tuokoe ulitukomboa kwa damu yako ulichukuwa mizigo zetu zambi mangojwa tunakuita YESU tuokoe na kwaanzia Sasa MDA yako ikanene mema juu ya hawo wagonjwa jina lako linanguvu kupita majina yote 🙏🇹🇿naachilia damu ya YESU hapo chunya na waliopo hospital wapone kwa jina la YESU wanyanyuke🙏🇹🇿 Roho mtakatifu unatukinga kwa Atali za Roho na mwili tuokoe MUNGU wetu nimwingi wa Rehema🙏🇹🇿🇹🇿😍
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Mw/MUNGU 🙏 tunakuomba utujalie Afya njema Tuepushe na Magonjwa Viumbe Wako 🙏
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
Ameen...
@victorakyoo2664
@victorakyoo2664 3 жыл бұрын
Khaaa tunaisha sasa mungu atuokoe amen
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 3 жыл бұрын
Ameen
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@aishakhamis2996Asante 🙏🙏🙏
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@victorakyoo2664 Asante 🙏🙏🙏
@omaryrjohn65
@omaryrjohn65 3 жыл бұрын
Proud to see my loved teacher Mr.Weston mpyira.Mungu awatangulie kakaaa tusiacha kumuomba
@bintmuhammed..7941
@bintmuhammed..7941 3 жыл бұрын
Subhanna Allah.... Yaa ALLAH tunakuomba utukinge na maradh haya na tunakuomba utufanyie wepes wa kupata dawa/ufumbuz wa ugonjwa huu... Yaaraby
@omaryrjohn65
@omaryrjohn65 3 жыл бұрын
Eeeeh Mwenyezi Mungu tunusulu tumekukosea babaa,kwamawazo,kwamaneno,kwavitendo nakwakutotimiza wajibu,tumekosa babaaa tuhurumie sisi wanawako. Tunaomba haya kwanjia ya bwanawetu yesu kristo aaamina. God is good poleni nduguzangu wa ifumbo Mungu atawasaidia.
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 3 жыл бұрын
Subhanallah 😭😭ya Allah tusamehe waja wako
@johnmziray1712
@johnmziray1712 3 жыл бұрын
Kama kawaida Tumtangulize Mungu huku tafit zaid zikifanyika mambo saiv hayaeleweki, EE MWENYEZI MUNGU SAIDIA.
@johnmziray1712
@johnmziray1712 3 жыл бұрын
Hamis nfkr umetafsr tofaut...GOD FIRST.
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Amen 🙏 🇹🇿 Mungu ndye muweza atatusaidia
@hamismaulid270
@hamismaulid270 3 жыл бұрын
@@johnmziray1712 oh, samahani mkuu
@bhokemwita8585
@bhokemwita8585 3 жыл бұрын
@@johnmziray1712 Llll
@bhokemwita8585
@bhokemwita8585 3 жыл бұрын
L
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Eee Mwenyezi tunusuru watu wako Mungu ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@Itssutsuri
@Itssutsuri 3 жыл бұрын
Ewe Mola tuondolee haya magonjwa kwakweli huu ni mtihani wa mwenyezi mungu
@mwanaidimunga9099
@mwanaidimunga9099 3 жыл бұрын
Subhanallah nyakati za mwisho hizi
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 жыл бұрын
Karne hii yarab tunusuru, Wewe ndio muweza wa yote
@mwanaamasanja7629
@mwanaamasanja7629 3 жыл бұрын
Mwenyez mungu tusimamie
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Mungu atusimamie serikali ichukue hatua na itupe taarif za kweli
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 3 жыл бұрын
Magonjwa yakitokea watu wengi huanza kumtambua Mungu! hizi ni nyakati za mwisho Mungu ndo siluhixho
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
EE mungu tusamehe hakika tumekukosea
@benedictanicet5543
@benedictanicet5543 3 жыл бұрын
Mungu tunusuru 🙏🙏
@chrisskihwele1795
@chrisskihwele1795 3 жыл бұрын
Allah atunusuru dunia imefikia kikomo😭😭😭
@miriamsaidtindwa1447
@miriamsaidtindwa1447 3 жыл бұрын
Amin
@abednego3876
@abednego3876 3 жыл бұрын
Shambulio wazungu wamepandikiza hili
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 жыл бұрын
@@abednego3876 acheni kusingizia kila kitu wazungu
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 3 жыл бұрын
@@crayonmaze9970 ni ndugu zako?
@mchezakamaliog265
@mchezakamaliog265 3 жыл бұрын
@@crayonmaze9970 kwan ni uongo? Anaetengeneza dawa ndie anetengeneza ugonjwa usibishebishe ndugu
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817 3 жыл бұрын
Mmh, makubwa, jamani wizara iunde timu ya flying doctors ikaokoe watu huko
@anithajoachimu4467
@anithajoachimu4467 3 жыл бұрын
Mungu atuponye
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 жыл бұрын
MUNGU BABA tusaidie 🤲
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 3 жыл бұрын
Allah atulinde waja wake
@gwajetheentertainer363
@gwajetheentertainer363 3 жыл бұрын
Kama ni kijiji wwangalie pia mboga kama nyama nk huenda ikawa na sumu
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 жыл бұрын
Uko FACT sana
@salamaseif4032
@salamaseif4032 3 жыл бұрын
Uko vzr xana
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie duh! mtihani huu
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Subhanallah 😭😭
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Subhannallah jamaniii tukesheni tukiomba hatujui siku wala saaaa Eemungu tusimamie yaarab🤲🤲🤲🤲
@edwinernestmbise8345
@edwinernestmbise8345 3 жыл бұрын
Mganga mkuu umelichukulia ili swala simple sana! Hii ni ishu kubwa kuwa serious chukua atua madhubuti na za araka!
@yohanekasonkwa2612
@yohanekasonkwa2612 3 жыл бұрын
Mungu wetu atuhurie atuokoe
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie baba
@oliverben8010
@oliverben8010 3 жыл бұрын
Subhanallah, , ee mwenyez mungu tuepushe
@novatiwoisso8072
@novatiwoisso8072 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie kwa hili
@zainabmohammed1305
@zainabmohammed1305 3 жыл бұрын
Subhana Allah😭😭
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
We mungu Baba turehemu tusamehe dhambi ambayo hatujaijua tusamehe Baba tunaomba rehema samehe taifa hili la tanzania
@georgembunda9233
@georgembunda9233 3 жыл бұрын
tafiti zifanyike haraka,huenda kuna vitu wanatumia,na hupelekea vifo hivyo
@mjukuuwakabonga2031
@mjukuuwakabonga2031 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie, waja wako
@hamidshukra
@hamidshukra 3 жыл бұрын
May be Ebora second chapter
@humaidabdullah9619
@humaidabdullah9619 3 жыл бұрын
Poleni Sana
@gracemanase5142
@gracemanase5142 3 жыл бұрын
Hizi ni nyakati za Mwisho, Mungu aturehemu..!
@paschalkatangaza5513
@paschalkatangaza5513 3 жыл бұрын
Unapozuru wengine usitupite Bwana.
@braystuskibassa3077
@braystuskibassa3077 3 жыл бұрын
Mmmh inaumiza tuwe makini sana kumbe tatizo ni la muda aisee tufanye tathimini kwa haraka
@bintybweta9604
@bintybweta9604 3 жыл бұрын
Mungu atunusuru
@MAGICSTONESTZ
@MAGICSTONESTZ 3 жыл бұрын
Duh
@biddii1972
@biddii1972 3 жыл бұрын
Mungu atasimama nasisi litakwisha
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Ee mungu wangu 😭wametuletea ugonjwa mwingine tena kushinda corona ee mungu ibariki tanzania
@atikimohamed6251
@atikimohamed6251 3 жыл бұрын
Nani amekuletea sasa?
@machanomtwana236
@machanomtwana236 3 жыл бұрын
Mungu ndo alie leta ugonjwa sis sote ni wa mola na kwake tutarejea
@princessgracpius3573
@princessgracpius3573 3 жыл бұрын
@@atikimohamed6251😂😂😂😂
@janethmalaika5241
@janethmalaika5241 3 жыл бұрын
Nani kakuketea
@atikimohamed6251
@atikimohamed6251 3 жыл бұрын
@@princessgracpius3573 this people are crazy eeh wanaamini kila kitu wanachosema wanasiasa
@himlayzer3543
@himlayzer3543 3 жыл бұрын
Duh poreni sana mnyezi mungu atunusuru atusamehe na makosa yetu
@happysteven297
@happysteven297 3 жыл бұрын
Jamanii
@jordanmwaipopo7374
@jordanmwaipopo7374 3 жыл бұрын
Eeeh mwenyezi mungu tunusuru
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 3 жыл бұрын
Hatari san
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Ata chakusema sina zaidi ya kumuomba allah kareem
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Na hili swala hatuelewi kwa kweli sababu waziri wa Afya ngwajma amekanusha jambo hili na amesema hakuna hivyo vifo vya watu 15 sasa tushike lipi na huyo mganga mkuu inasemekana amesimamishwa kazi sasa hatujapata uhakika kati ya waziri na wanakijiji pamoja na halimashauri ya chunya yipi ana ukweli zaidi.
@tajimwambole3115
@tajimwambole3115 3 жыл бұрын
Jamani Mungu atusaidie maana Yaliyo tabiliwa yana timia. Dunia imefika mwisho
@kwandukanunda700
@kwandukanunda700 3 жыл бұрын
Mmmm mungu baba naomba. Uuuepushe huu ugonjwa
@masundelwa
@masundelwa 3 жыл бұрын
Watanzania tusiogope...
@isayambuba3335
@isayambuba3335 3 жыл бұрын
kweli Mungu yupo
@sarahamos8524
@sarahamos8524 3 жыл бұрын
Huenda ni mecyur zinawasumbuwa maana ni eneo la madini wataalam wachunguze zaid kwa makini
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Madini gani yako eneo hilo?
@sarahamos8524
@sarahamos8524 3 жыл бұрын
@@kabhikachambala3392 Chunya
@neemapaschali6345
@neemapaschali6345 3 жыл бұрын
Inawezekana Mercury swachunguze kwa makini
@fredychachamkome6829
@fredychachamkome6829 3 жыл бұрын
Eeeeeee mwenyezi Mungu muweza wa yote tunakuomba utunusuru Nyoosha mkono wako usiopungukiwa na kitu
@ronaldmassanga8386
@ronaldmassanga8386 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie maana Ni jambo lisilo la kawaida
@jenynaafya
@jenynaafya 3 жыл бұрын
FAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA TEZI DUME 0655523211 1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku 2.mkojo kutoka kisiri siri 3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali. 4.kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume. 5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa. Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama 🔸 Upungufu wa nguvu za kiume 🔸 Saratani ya tezi dume 🔸Figo kufeli 🔸Mawe kwenye figo 🔸Kifo Kwa ushauri na tiba 0655523211.
@lyilyanmussa5433
@lyilyanmussa5433 3 жыл бұрын
Mungu nusuru mbeya yetu na Tanzania kiujumla😭🙏
@mwadiabulymoshabani6336
@mwadiabulymoshabani6336 3 жыл бұрын
Wameona corona imepita Sasa wanatutoa Damu kwa lazima. Eee Mungu muweza wa yote uturehemu
@tusubilegemtafya5532
@tusubilegemtafya5532 3 жыл бұрын
Ee Mungu tunusuru sisi
@muniraahmed624
@muniraahmed624 3 жыл бұрын
oooh me cry
@birahmaahmad8855
@birahmaahmad8855 3 жыл бұрын
Hee yarabi tunusulu waja wako hazabu zako atuziwezi yarabi.
@chikujumat.v1308
@chikujumat.v1308 3 жыл бұрын
Mungu tunusuru ,mayb Ebola maanake imeanza tena Congo😭
@hansboy1443
@hansboy1443 3 жыл бұрын
Mungu tunusul###
@najmaomary665
@najmaomary665 3 жыл бұрын
Mungu amsaidie jamani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Mmmh nahisi ni sumu bwana si ugonjwa kuna kitu apo
@mambosasatv9717
@mambosasatv9717 3 жыл бұрын
Me nadhani dawa za kuulia wadudu mashambn pia Ni chanzo
@nufaikafurnishers1384
@nufaikafurnishers1384 3 жыл бұрын
Wachunguze vizuri yawekua magonjwa yamlipuko yatokanayo ya wanyama kama kimeta(anthrax)
@lucasfidely3920
@lucasfidely3920 3 жыл бұрын
Mungu tuokoe namagonjwa haya yaajabu😭😭😭
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Mtihan
@kitundaemmanuel6811
@kitundaemmanuel6811 3 жыл бұрын
Hili tatizo lina muda kidogo japo halijaenea sana, mwaka 2018 nikiwa field mkoa wa iringa nilishuhudia mtu akipoteza maisha kwa tatizo hlo hlo, MUNGU atutetee kwakweli, magojwa yaibuka kila siku
@tatuta6529
@tatuta6529 3 жыл бұрын
Ee mungu tunusuru na aya magonjwa
@yvonnemhadu3698
@yvonnemhadu3698 3 жыл бұрын
Week ilopita baba yangu alitoka tunduma Ila alipofika tu nyumban alikua hoi anatapika dam balaa Ila tunamshkuru Mungu asaiv hajambo🙏
@kidotykhamis5539
@kidotykhamis5539 3 жыл бұрын
Dah alitumia daw gani tujuze mpendwa
@idonmwamwaja4376
@idonmwamwaja4376 3 жыл бұрын
Kama ishu Ni maji yachunguzwe..ee mungu tuepushe
@frankemmanuel6029
@frankemmanuel6029 3 жыл бұрын
Hakika tumuombe mungu tu atulinde na kutupgania jaman EE MUNGU TUTETEE
@themessengertz1237
@themessengertz1237 3 жыл бұрын
kitajulikana tu ndani ya siku chache ,Serikali haijalala na Mungu hajawahi kulala.
@suitstv5889
@suitstv5889 3 жыл бұрын
Mungu tuhurumie sisi waja wako
@ibnuqassim1614
@ibnuqassim1614 3 жыл бұрын
Rabbi salama
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 3 жыл бұрын
Cha kuangalia ni Maji kwanza labda ni sumu au yana bacteria fulani ambao wanaleta hayo matatizo, maji kwenye yanatumika na watu wengi.
@happysonrithe4884
@happysonrithe4884 3 жыл бұрын
HAYO MAJI YA KUNYWA YACHUNGUZWE HUWENDA YANASUMU
@marrymwashinga2170
@marrymwashinga2170 3 жыл бұрын
Eee mungu tunaomba tusamehe waja wako,,,mbona kazi..
@glorylema
@glorylema 3 жыл бұрын
Kweli jamani
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Tuendelee kumwomba mungu atupunguzie adhabu. Majanga yamezidi jamani.
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 3 жыл бұрын
Au mbiga mboga zinaliwa imetoka kupigwa dawa, pombe hizo kijiji kizima?
@suleimantsanje8904
@suleimantsanje8904 3 жыл бұрын
Where are the government scientists take the blood samples immediately, live alone those waganga, tsanje from South Africa
@mntwanawabantuacademy4170
@mntwanawabantuacademy4170 3 жыл бұрын
you re not south african , youre KENYAN, unfortunately, Please stop that nonsense, be honest about who youre
@merikizedeckmwaniwe5358
@merikizedeckmwaniwe5358 3 жыл бұрын
E mwenyez mungu tunusuru sisi waja wako tusikutwe na majalibu kama hayo
@abdulhafidhtalib2226
@abdulhafidhtalib2226 3 жыл бұрын
amin
@saimonmatata9300
@saimonmatata9300 3 жыл бұрын
Mungu tuokoe
@robertigohe9338
@robertigohe9338 3 жыл бұрын
Bwana Yesu aturehemu watanzania
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Yesu hawezi kukurehemu abadani
@hydrazineazine8764
@hydrazineazine8764 3 жыл бұрын
@@aishaarusha894 Hukijui hata unachokiamini maskini kiasi cha kupigwa upofu na kuona kila asiyeamini cha kwako anakosea Mungu akupe neema ya kuamini kilicho sahihi maana siyo kosa lako bali ni mazungira uliyoyakuta duniani tayari yapo kwenye mapokeo hayo na kukuaminisha unachokiamini.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
@@hydrazineazine8764 mimi imani yangu ipo sahihi haswa sijui wewe mwezangu imani yako mbovu ya kuabudu binadamu mwezako😏
@awesomevibes5847
@awesomevibes5847 3 жыл бұрын
Wee usitupachike watanzania sote sema wakristo wakitanzania... Sisi wengine hatuitaj rehma kwa yesu ambae ni binadamu anamkundu na uboo kama mm ...
@awesomevibes5847
@awesomevibes5847 3 жыл бұрын
Wee usitupachike watanzania sote sema wakristo wakitanzania... Sisi wengine hatuitaj rehma kwa yesu ambae ni binadamu anamkundu na uboo kama mm ...
@jacobsafari700
@jacobsafari700 3 жыл бұрын
ist tansania vohen
@abasishabani1151
@abasishabani1151 3 жыл бұрын
Mmmmmmh tumekwisha
@cornwelltanzania
@cornwelltanzania 3 жыл бұрын
Matumizi mabaya ya madawa ya kilimo inaweza kuwa ni sababu kubwa. Wataalam waweke nguvu kuangalia aina ya madawa ya kilimo wanazotumia mashambani kwao
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 3 жыл бұрын
Watz Bana hujafanya utafiti unaconclude kuwa ni madawa ya kilimo, kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha watu kutapika Damu, mfano homa ya ini, portal hypertension, nk lazima utafiti ufanyike
@stupendous1
@stupendous1 3 жыл бұрын
@@ibrahimmagere5545i think you right,, sound like esophageal variceal bleeding secondary to portal hypertension,,,kama ni wakulima ni itakuwa kuna kichocho cha tumbo (Schistosoma mansoni)..aliyeenda muhimbili aliambiwa ni esophageal variceal which needed endoscopic clip kulingana na maelezo.
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 3 жыл бұрын
@@stupendous1 nakubaliani na wewe huo ndo ukweli nimezaliwa kanda ya ziwa Victoria ambako matatizo hayo yapo Sana,, Kwa Imani ya watu huko kwetu walikuwa wanaamini ni uchawi lkn kuna wakati ndg yangu alipata tatizo kwenda hospital ikaonekena aliwahi kuugua kichocho na kikapona chenyewe, lkn Wale wadudu walishashambulia ini. Na kusababisha makovu ambayo baadae husababisha varices hizo zinapopasuka ndo watu hutapika Damu. Matibabu yake ni kufanya endascopic banding
@stupendous1
@stupendous1 3 жыл бұрын
@@ibrahimmagere5545 ni kweli kabisa bado watanzania hawajui mambo mengi kuhusu afya..kichocho cha tumbo ambacho utokana na (Schistosoma mansoni) madhara yake baadae huwa ni kutapika damu na kichocho cha mkojo madhara yake huwa ni cancer ya kibofu(squamous cell carcinoma) of the urinary bladder. matibabu ya kutapika damu kutokana na kupasuka kwa variceal kuna dawa za kupunguza presha (portal hypertension) na kuna endoscopic management kulingana na grade za variceal,,,kuna endoscopic clip, band ligation na kuna Transjugular intrahepatic portosystemic shunt(TIPS) (hii ndo nzuri kuliko). Lakini matumizi ya pombe za kyenyeji hasa pombe ya mahindi ni hatari sana kwenye ini.....
@cornwelltanzania
@cornwelltanzania 3 жыл бұрын
@@ibrahimmagere5545 my thoughts, not conclusions. Soma tena msg yangu. Of course zimaweza kuwa sababu nyingine nyingi tu
@aishamussa3245
@aishamussa3245 3 жыл бұрын
Subuhan Laah 😭😭😭😭😭
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Waangalie pengine mboga zimemwagiwa dawa ya kuuwa wadudu halafu zikachumwa kwa siku ya pili sababu mboga zikimwagiwa dawa inabidi ziacjwe kwa siku sba ndio ziliwe.
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Mungu wetu tunakuombakwa unyenyekevuu mkubwa wajawako,wewe ndio tunaekuabudu na wewe ndio tunaekuomba msamaaha.tusamehe,tuepushe na magonjwa yote yaraab,,wewe ni mjuzi aamina
@elishachenya5341
@elishachenya5341 3 жыл бұрын
Duuuuu 🙏🙏🙏🙏
@afmabeat9567
@afmabeat9567 3 жыл бұрын
Tunaomba mwongozo tafadhali. Na huu nao tujifukize?
@appie1276
@appie1276 3 жыл бұрын
Eeeeeh Mungu inusuru Tanzania🤲🤲🤲🤲🛐🛐🙏🙏
@naomiamon6633
@naomiamon6633 3 жыл бұрын
Mwakaa huuu tutaona mengi kwakweli 😔😔😔
@joycesalvatory7768
@joycesalvatory7768 3 жыл бұрын
Sasa maneno mengi hayasaidii, chukueni hatua za haraka kuokoa maisha ya watu, kuwa na wataalam
@mariavianeypeter2991
@mariavianeypeter2991 3 жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie watoto wako, na utusamehe makosa yetu
@machanomtwana236
@machanomtwana236 3 жыл бұрын
Mungu hana mtoto sawa
@florandossi4021
@florandossi4021 3 жыл бұрын
Eeh MUNGU turehemu!!!😢😢
@ashabakar5974
@ashabakar5974 3 жыл бұрын
Na wewe usichekeshe watu.eti mungu aturehemu kwani tumekufaa???sema mungu atunusuru.
@zuwaydasalum4468
@zuwaydasalum4468 3 жыл бұрын
@@ashabakar5974 🤔🤔
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
Angalieni GMO na weed killer pamoja na usalama Kama wanapulizia mahindi wanavuta hewa ya dawa
@Gwidohitila22
@Gwidohitila22 3 жыл бұрын
Ee Mungu tunaomba uturehem
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
Au ebola?
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Wapimwe Ngurue maana wakazi wa huko hwajambo kwa kufuga, kuuza na kula Nguruwe. Hivi mtu mpaka unakula nguruwe vitoweo vingine vimeisha?! Uchu ukizidi ni mtihan.
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 3 жыл бұрын
😁😁😁
@olilisaolivia808
@olilisaolivia808 3 жыл бұрын
Ww nae kitimoto ni kitoweo tamu sana
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
@@olilisaolivia808 mhhh
MSIBA: MTANGAZAJI WA WASAFI FM DIDA SHAIBU AFARIKI DUNIA
2:05
Millard Ayo
Рет қаралды 52 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
AHMED ALLY KINYONGE LEO BAADA YA COASTAL KUIKABA KOO SIMBA SC
8:35
UFUNGUZI HOTEL YA MTUME MWAMPOSA G7 WONDERS MBEYA
31:23
Chomoza Tv
Рет қаралды 66 М.
The Surprising Solutions to the World's Water Crisis
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 68 М.