MAKONDA BAADA YA KUMPIGA SPANA MRISHO GAMBO, ULEGA AWA MKALI AMPA MASHARTI MAZITO MKANDARASI

  Рет қаралды 59,076

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@MohaaElectronics
@MohaaElectronics 16 күн бұрын
I see New Magufuli well done Mheshimiwa Makonda well done Mkuu
@josenyalusi7390
@josenyalusi7390 17 күн бұрын
Ulega yupo vzr sana Mungu akufunike zidi ya shetani adui mbaya. Fanya kazi waziri wetu umepewa dhamana kubwa na uliqmbiwa siku ya kiapo. Salute
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 17 күн бұрын
MAKONDA MAKONDA MAKONDA 🔥🏹💪 piga kazi
@mokitaa8750
@mokitaa8750 16 күн бұрын
Ulega umenifurahisha sana wape vibarua raia ndani ya Tanzania tena .. elfu 10 .elfu 5 . Ziwazungukie raia wa Arusha
@YahyaMwika
@YahyaMwika 17 күн бұрын
Jamaa Hana tofaut na konde ukimshirikish andika maumivu😢😢
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 17 күн бұрын
Makonda oyeeee piga kazi Mwamba wetu
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k 16 күн бұрын
Makonda Makonda Gambo naona kama hutaki Ubunge mdomo wa Makonda una nguvu sanaaa usitafute ukachukiwa ukakosa ubunge
@hamadjacob2885
@hamadjacob2885 16 күн бұрын
Makonda God bless you
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 16 күн бұрын
Makonda hoyeeeee
@EbenezerJosephakyoo
@EbenezerJosephakyoo 10 күн бұрын
Gambo alishindwa ata kujenga sitndi
@memehhhahshshdhdhd
@memehhhahshshdhdhd 17 күн бұрын
Hilo la barabara za Arusha jamani mtafanya jambo jema
@AwaziRajab
@AwaziRajab 16 күн бұрын
Siku Makonda Akitolewa Huo Mkoa Mtajua Kama Mlifikia Atua Gani Ya Maendleo
@mwalitv4555
@mwalitv4555 16 күн бұрын
Mr.misifa....
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 16 күн бұрын
Unyama mzee
@TwahaYahyaShabani
@TwahaYahyaShabani 17 күн бұрын
Aiseee
@MalaikahomeDecaration
@MalaikahomeDecaration 16 күн бұрын
Chuma cha Mr jpm moto ya umeme
@SamwelKakobe-nl3fx
@SamwelKakobe-nl3fx 15 күн бұрын
🎉
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 16 күн бұрын
Haya maneno yameshazungumzwa sana Arusha, Siamini km kuna yeyote hapa ARUSHA anaeyaamini maneno haya, watawaamini tu mpaka mtakapojenga
@NdituTV
@NdituTV 16 күн бұрын
Hekima ya makonda sifuri
@epimackoscar25
@epimackoscar25 16 күн бұрын
Ilitakiwa na ukonga apatikane makonda wa kuamsha ndugu zake na gambo kule barabara zimeoza
@nyandabusiga5637
@nyandabusiga5637 15 күн бұрын
Kiswangilishi kitaisha lini? Viongozi na waandishi mnatuchanganya.
@sultanijuma3537
@sultanijuma3537 15 күн бұрын
Kiongozi wazilimwenyezamana utukumbuke na sisi balanala kutoka kitinga msongora hadi kiguza makutano na njia ya kirwa rod inatutesa sana
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 16 күн бұрын
Kwann makonda aongee sana kuliko waziroo
@IsmailYusuf-nb9jt
@IsmailYusuf-nb9jt 16 күн бұрын
😂😂😂
@NepporSabith
@NepporSabith 16 күн бұрын
Yeye ni RAISI wa mkoa😂
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 16 күн бұрын
Maneno makali
@munisindeshisamson3590
@munisindeshisamson3590 16 күн бұрын
Mmmmh mlomo mlomo tuu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 16 күн бұрын
Hapo kwa mwezi wa 9 ni changa la macho.
@eddechriss2664
@eddechriss2664 17 күн бұрын
Waziri ameongea nondo sana
@MaguguStore
@MaguguStore 16 күн бұрын
Makonda umekosa busara ......
@uoendokivuyo6589
@uoendokivuyo6589 16 күн бұрын
Lemara barabara mbaya sana
@musayohana3274
@musayohana3274 17 күн бұрын
Tunaomba Barabara ya kutoka kigongoni Hadi engaruka
@malishainvestment-i2i
@malishainvestment-i2i 16 күн бұрын
Kuna leo na kesho Tutunze maneno mengine
@lawrencebundala5769
@lawrencebundala5769 16 күн бұрын
Mwezi wa 9 utafika na Barbara haitakua imeisha
@JumaKatara-r2b
@JumaKatara-r2b 16 күн бұрын
Elf tanotan na vi elf kumikumi ndo za wananchi
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 16 күн бұрын
Majungu ya Makonda nikutafuta Ubunge wa Arusha
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 16 күн бұрын
Kumbe umeliona hilo na wewe???
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 16 күн бұрын
Mimi simsaport hata kidogo hana tabia ya uongozi zna tabia ya ubabe
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 15 күн бұрын
Tatizo Gambo anajichukulia kama ni mkuu wa mkoa, kwa sasa boss wake ni Makonda, atake! Asitake! Kwenye mkoa boss ni mmoja tu! Mkuu wa mkoa.
@tumainmkonyi8459
@tumainmkonyi8459 13 күн бұрын
Tutampa
@mwalitv4555
@mwalitv4555 16 күн бұрын
Waziri anaongea kama anaigiza...
@LeodigerBeda-o2p
@LeodigerBeda-o2p 17 күн бұрын
Watanue na ya uswahilin kuna folen sana kama hamna nafasi weken flyover
@KibwanaMohamed-v8n
@KibwanaMohamed-v8n 16 күн бұрын
wewe ulenga usimfatishe uyo dogo uku kwenu Toka Uhuru mpaka Leo vikumburu mzenga bagamoyo Toka ukoroni mpaka Leo Mambo mabaya sana zalamo
@IddyNasoro
@IddyNasoro 16 күн бұрын
Jamani Moshi wanawashinda vp
@levidavid1156
@levidavid1156 17 күн бұрын
Ulega yupo poa kabisa. Kwa maneno tu na kutia. Hamasa safi 😂😂😂😂
@AwardHakimu
@AwardHakimu 15 күн бұрын
Vitendo?
@bminawandu
@bminawandu 16 күн бұрын
Makonda ana hekma kabisa
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 16 күн бұрын
Waziri huyu anatengeneza kwa wengine wakati kwake hakupitiki Mf kutoka pale kisemvule hadi mpera Barabara hiyo chini ya TALURA lakini imejaa mashimo hatari watu wanaama Kwa kupanda gharama za usafiri
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja 16 күн бұрын
Hhhh nd xhida ya viogoz wetu
@DanKirahi
@DanKirahi 16 күн бұрын
Huyo asiependelea kwao ndie anaefaa
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 16 күн бұрын
Yote ni uchaguzi tu
@zaidyabed
@zaidyabed 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mpologomaChristopher
@mpologomaChristopher 16 күн бұрын
Hapo makonda umeteleza wewe ni jamaa yangu ila kumuponda gambo hadharani hapo hekima ilienda likizo
@innocentbalahoza1491
@innocentbalahoza1491 16 күн бұрын
Tungelikuwa na viongozi wa serikali wasio na aibu wa kuwambia ukweli wanasiasa tena wa chama tawala nchi ingepiga hatua
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 16 күн бұрын
Nani amesema Makonda aliteleza? Jamani wanaohitaji Siasa za majitaka zisizo na tija watamshambulia Rc, yuko Sahihi maana hayo yalitakiwa yawe yamewasilishwa kwenye Vikao sasa hapo alikuwa anaelezea ili iweje wakati kwenye Vikao Muhimu vya Mkoa hafiki???😇
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 17 күн бұрын
Ulega hakuna kitu
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 17 күн бұрын
Wahenga tunakushangaa ulega .walishaongea.wengi hivyo hivyo kama wewe mkishaongea inaishia hapo utakapoondoka...juweni pia tulienda shule hatujapata ajira
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 16 күн бұрын
Acha kuwaza kuajiriwa, fanya kazi
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
WASIRA AWAPIGA DONGO ZITO UPINZANI "KWAJUKUU KUCHEZEA NDEVU"
12:15
MAZITO YA MRISHO GAMBO BAADA YA KUCHANWA HADHARANI NA MAKONDA
5:14
DUDU BAYA AINGIA KATI SAKATA LA MAKONDA NA MBUNGE GAMBO
19:31
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 10 М.