Uislamu na majini...mjini kisumu | part 2

  Рет қаралды 25,477

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@mwitamedia7393
@mwitamedia7393 2 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni awabariki walimu wangu kwa kazi nzuri hakika nafurahi kusikia majibu yenu yenye mmejaliwa na Roho wa Mungu
@davidotv8228
@davidotv8228 4 жыл бұрын
Huyo bishop aki🤣🤣🤣 asante Mwalimu Ndacha
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
Praise God Brethrens continue spending the painful gospel of Jesus Christ You never know who you are inspiring Nothing comes easy in life SIR
@danielkago7497
@danielkago7497 3 жыл бұрын
Amen mtumishi Mungu atukuzwe
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Hawa watu wasomi ni ngumu sana kuelewa maandiko ya Mungu 🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️Sasa kama hao wawili kwanza weeeh😂😂Ndacha una kazi
@casaica2993
@casaica2993 4 жыл бұрын
God bless you Mr.Ndacha...
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
This is a world message. .made and the righteous are inspiring. watching from Santa Monica California American .I don't understand when they speaking in their mother tongue. But Iam feeling encouraged especially as Iam in a very tough season Lockdown. .
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Look for a translator
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
@@janenjenga5639 okay thank you Darling worth it. .
@erickmuema2393
@erickmuema2393 4 жыл бұрын
Huyu pastor roho wa Mungu ako ndani yake kabisaaa
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 4 жыл бұрын
bishop.. amenichekesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Ndacha watu wengi hawataki kuamini sabato hata maandiko yakiwa waziwazi, sijui hii Sunday iliwapa nini 🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️
@ronaldsawino8568
@ronaldsawino8568 4 жыл бұрын
Usitoke hapo 😂😂😂
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Heri wamtumainie Bwana watapa uzima
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 жыл бұрын
Hakina uzima kwawatu wsiomsujudia bwana..imeandikwa kwabblia msujudie mungu wako. .bibilia ikasema walio lala katika ukirsto wamepotea. Ikasema tena kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan. ....wenye Akili hawaendi kanisni tena wakisoma Andiko hilo
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
@@sulehassanshall6140 Iyo iyo bible imesema bila kupitia kwa Yesu amna atae ingia mbinguni so Yesu akuponye...
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
This challenge has gone viral like the corona virus cases. .Well done Teacher Francis Ndasha..I love your craziness spirit in the Bible I wish to join your faith but I don't understand your local language MEN
@erastomasaba4154
@erastomasaba4154 4 жыл бұрын
Which language Swahili or?
@wewehehe6405
@wewehehe6405 2 жыл бұрын
Nice one 👍
@DavidBarasa-jo9kt
@DavidBarasa-jo9kt 5 ай бұрын
Amen 🙏
@vincentlion7487
@vincentlion7487 9 ай бұрын
Umekutana na mujaluwo hajambo laki nawakubali sana mwalimu kaka angu
@ramsonmsabato139
@ramsonmsabato139 2 жыл бұрын
Good work
@elizabethwandera5355
@elizabethwandera5355 4 жыл бұрын
This guy make me laughbale
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Ishu ya Sabato Ni ngumu. Maana ukiangalia jinsi Mungu alivyoagiza katika agano la kale namna ya kuitunza sijui kama kuna mtu anaweza pona kupigwa mawe.
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Baada ya Yesu akuna kupigwa mawe...
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 We jamaa kila sehemu upo!! 😜😜 Nakusubiri kwa Davista
@msemakweli243
@msemakweli243 Жыл бұрын
Kupigwa mawe kabla ya yesu watu wamepigwa na kuuwawa
@dominicooko3562
@dominicooko3562 Жыл бұрын
Soma colosai 2:17sabato ni kivuli.
@eduosamo849
@eduosamo849 Жыл бұрын
Ndacha una upuzi sana natamani ningekutana na ww in my home town 😂 usilamu ndio dini ya haki
@OrtanceNelly
@OrtanceNelly 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 8 ай бұрын
Pole uislam sio dini ya kweli ni ujanja ujanja wa shetani kuwa mnyenyekevu jifunze utagundua lkn ukiishia kukalili unayofundishwa mskitini utapotea.
@everlynewanyama
@everlynewanyama 2 ай бұрын
Kwani huwa anaenda masaa dhen anatoka apo huyo unaesema ana upuzi amesoma dini yako kukupita jitokeze utetee dini yako ukilemewa ubatizwe basi
@lmwenelmwene5758
@lmwenelmwene5758 2 жыл бұрын
Na YESU alipo ponya mtu siku ya sabato walishangaa,kwa sababu awakuwa nafanya kitu chochote wa kutoka nje wala mtumwa kufanya kazi yeyote, na iyo diyo maana YESU KTKT Mathayo 27:25 ...anasema ni ole ile siku ya harmagedonia isiwakute siku ya sabato juu watakufa wengi
@dominicooko3562
@dominicooko3562 Жыл бұрын
Romans 13:9-10 love is the law of grace it fullfil the law of Moses.
@dominicooko3562
@dominicooko3562 Жыл бұрын
Brother brother, read your bible John 9:16 yesu alisulubiwa Kwa ajili ya sabato soma colosai 2:16 sabato ni kivuli yesu ndio kilakitu, soma Hebrews 4:7 sabato ya Musa haikuleta mapumziko,Friday yesu anakufa sabato yesu Yuko kaburini Sunday kaburi like wazi yesu amefufuka,hiyo sanday Kuna injili ilihubitiwa na hata Leo.
@marcbanyankirubusa135
@marcbanyankirubusa135 4 жыл бұрын
Nime mufuata mwalimu ndacha na timu yak , kabisa niwatu wabusala kabisa, lakini kuna maandiko wa sio elewa , kwa mambo yasabato hakuelewa. mambo ya sabato , kwanza Nini? Sabato maanayake ni stalehe , Yesu katika kitabu ca matayo 11:28 aliwaita wote walio lemewa waje kwak awapee kupumuzika, kwa ayo maandiko tunaona kupumuzika maanayake sabato ,hio ndie sabato, yakweli ,ukimuamini ukamupokea ndo unapumuzika kweli kweli, Siku ya ibada katika agano jipya hakuna Siku sahihi ya ibada wakristo wakale walifanya ibada kila Siku hata Paul alitwambia kama Siku yakuludi kwake yeyu ilio tukalibia tuendelee kukusanyika, sikwa Siku yasabato tu , Nikila Siku kwasababu kuja kwake kwuko kalibu Sana. kwa hayo Hao wa alimu walishindwa kuelewa hayo, wakajivunia Siku moja tu ya sabato lakini kuna amuri zingine tulio agizwa wadivantiste hawazitumii kwa mfano maandi alitwambia wanawak wasi humbili , wana wake wasinyowe nywele zao wadivantisti wanawak wao wananyoa nywele wanahubili , wadivantisti kuna mambo mengi wasio elewa wakajivunia sabato tu ,na hiyo Siku yasabato wanao jivunia sio yakawaida, yakweli ni ile Yesu alitupea kwa kumuamini, sio yamasiku ! Apana.Ile Wenzetu wadivantisti wanao jivunia sio yakweli apana. Yakweli ni ile tulipea n'a Yesu.Mungu awabaliki, nilimufuata ndacha nikaona akielewa ukweli atakuwa muhubili muzuli kwasababu yiko na elimu ya kiwango ca ju, ujumbe wa malaika wa 7 ndo unatuludisha kwa ukweli wote wa biblia nae ni William Marion Brabham huo ndie alituludisha la ukweli wote wa biblia, vingine ni kutabataba.
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Unaandika mambo meeeengi ambayo haieleweki 🙄🙄
@dominicooko3562
@dominicooko3562 Жыл бұрын
Romans 3:21 Sheria na manabii ilitangaza haki itakayo patikana bila sheria
@janekaari9673
@janekaari9673 3 жыл бұрын
Huyo jamaa ni haumtoi kwa pombe...ni mbishi tu
@lmwenelmwene5758
@lmwenelmwene5758 2 жыл бұрын
Sabato ilikua kwa sababu ya dini ya kiyaudi sio kwetu mtumishi, soma MATHAYO 28:1-5 atuko tena kwenye calendar 📆 ya kirumi ubarikiwe
@shafiihssan738
@shafiihssan738 3 жыл бұрын
kweli kabisa
@siamabakwe4274
@siamabakwe4274 4 жыл бұрын
50:6 yeremia soma we need mada ya ibaada yasabato ndani ya biblia
@Princem_15
@Princem_15 2 жыл бұрын
Ndacha swali yangu ni rahisi, Kama huyu mtu wa Saba ndio jumapili nafaa kuenda kanisani lini?
@dominicooko3562
@dominicooko3562 Жыл бұрын
Romans 7:6 we are dead to the law.
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 жыл бұрын
Ukirsto utaendelea kudhalilika nwakirsto wakiona ukweli wanslim kote dunian..wale wajinga wasiojua ukweli ndani yabblia watabakia kanisni kwashetan
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Jua atae hukumu ni Yesu sasa sijui utasemaje iyo siku
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 mimi mimi...Poleni sana ninyi wafuaci wakanisa shida yenu hamusomi biblia.munasubiri musomewe naviongoz wenu knisani..lau mutasema vzr bc nyote mungekua waislam...biblia inafundisha uislam lkn vile vifungu inao ongea uislam hamusomi ili mucijue ukweli muendelee kubaki kanisani...yesu hakuenda kanisani wala Hakusema Dini yake niukirsto...nahakusema Dunia nzima imfuate yeye..bali Alitumwa kwa watu Wa ezrael.Achen kuenda kanisani kwashetan ..biblia ishasema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan .sasa munafanya nini huko kanisani kwashetan? ? ? ? ? ? Biblia ikasema tena waliolala kwaukirsto wamepotea ikasema tena imeandikwa umsujudie mungu wako. Kati yaWaislam nawakrsto ninani wansomsujudia mungu wao? ? ? ? Bblia ikasema tena yesu Alikua Akienda misikiti Akiabudu mungu wake. Ninyi mfuaci wenu nishetan wakanisani. .hamuna mungu wala yesu....uchafu wote unafanywa kanisani. ......ukimtaka mungu nayesu kua muislam ....acha kua mjinga et yesu Anaokoa. Yesu nimtu kama ww namm...achen kumpa yesu sifa zamungu...yesu mwenyewe Akiomba msada kwamungu....huo ni ukafiri kumpa yesu kazi yamungu....yesu ninabii kama nabii Abraham Moses noha na muhammad. Wote walikua ni manabii wako katika njia moja yakumtangaza mungu mmoja tu....
@siamabakwe4274
@siamabakwe4274 4 жыл бұрын
Basi mi kaka ninawumwa kabisa kajinga kasa tu ndio atakapo muondowa in sha-Allah 50:6 yeremia
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
@@siamabakwe4274 unasoma Biblia kimuskiti so nikulize Malaika Gabriel alithibitisha kwa Mary kuwa atajifunguwa Mwana na atamwita Yesu Kristo Mwana wa Mungu so hapo unatii Biblia ama wewe ni mkebe unapiga kelele tu hapa
@melchizarn
@melchizarn Жыл бұрын
So why should you give yourself a lot of work of having to determine where "YOU" start counting the days of the week, or rather, where the week starts! You could just ask of G-d: which is this specific Day, G-d, you did sanctify and bless[Gen 2v1-3]? He will definitely give you the Correct answer. He said, "... for I gave them MY sabbaths to be a sign between me and them; so that they might know that am the L-rd that sanctify them..." (Ezekiel 20v12, 20). Notice that it is HIS SABBATH, so that it doesn't make sense setting any day in the week and... He is the One giving it out! And He did that long time ago, to the people of the Bible. He afterwards organised for one of these people of the Bible, a Jew, the person of Yeshua ha Mashiach (Jesus Christ) to save the world! Stop and think for a second: would He have really changed the Day of worship from that which The Saviour of the world worshipped, to something else? There's so much to be said about The Shabbat, that this generation needs to know! Shalom for now. I stand to be corrected, take note of that.
@ramazecha2877
@ramazecha2877 3 жыл бұрын
Ndacha ni muongo TU wakupindisha maandiko
@danielombima6569
@danielombima6569 2 жыл бұрын
Kwanza nangoja ndacha akuje eldoret na hio mada ya sabaro hatawahi thubutu siku nyingine
Mjini kisii / part 2
45:10
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
NAKURU WAISLAMU WASHINDWA KUTETEA MTUME MUHAMMAD
55:22
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 17 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Quran imeandikwa na walevi
1:00:30
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 155 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
wajibiwa maswali yao
32:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 56 М.
kwanini watu wa siku hizi hawataki kile kimeandikwa?
1:02:23
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 648
MKUTANO wa hoja bila jazba
1:50:48
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 45 М.
Mwalimu Dancha Amefika
51:58
WARNING OF THE LAST DAYS
Рет қаралды 38 М.
UPI MUNGU WA KWELI KATI YA ALLAH NA BWANA YESU . NEXT PART WITH QUESTIONS
1:02:45
Mjini kisii
1:35:14
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 11 М.