Hey niko Kenya nimeizi kama ninataka kutengenesa hiso sabuni likini nawesa nikapatahaje hixo vifaa
@adamousalifououmaroufoutio9110 Жыл бұрын
Sir Please help us to write the chemicals and their quantities in English
@naheedaluche17312 жыл бұрын
Shukrani kwakutufundisha. Ila Nina swali? Je glycerine haina kipimo? Unaweza weka kipimo chochote?
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Kunavipimo pia
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
0768-852151 WhatsApp
@ndishajoseph9107 Жыл бұрын
Hiyo ni kilainishi tu. Waweza hata kukadiria tu. Swali la msingi kwa Mwl tunapataje faida hapa? Maana miche inayopatikana hairidhishi hata gharama za mafuta..!!
@pierrebarutwanayo7818 Жыл бұрын
Asanteni.swali langu,hii glycérine ni ipi hasua? Sijaelewa hapa
@mwanga1tv698 Жыл бұрын
Sijaelewa swali lako ulipo sema hasua unamaana ya haswaa au
@user-dn5gy6rj5m10 ай бұрын
mim nahitaji dalasa la online ujasiliamali
@dorcasfaith6215 Жыл бұрын
Unapo acha kwa masaa ishirini na nne unafunika mchanganyiko ama utaacha wazi
@mwanga1tv698 Жыл бұрын
Funika
@gracesingano76672 жыл бұрын
Sir kwa nini ukimimina mchanganyiko wako kweye box au mould maji yananwagika
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Vipimo hukulinganisha endelea kufatilia video hijayo utaelewa vizuri shida yako ni vipimo kati maji na mafuta unachanganya
@justerkaregi80442 жыл бұрын
Sir sijaelewa kabisa. Caustic soda 1kg mafuta 3lita na maji?
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Umechanganya vipimo tazama vizuri video hii huku ukiandika pembeni Kisha fanya tena itakaa sawa
@user-go6qn8qg6s8 ай бұрын
Je ninaweza tumia mafuta ya maji
@mwanga1tv6988 ай бұрын
Pambanua swali vizur sijaelewa swali lako
@Hayman_Graphics2 жыл бұрын
Unapatikana maeneo gani kakaa Kwa anaehitaji KUJIFUNZA kwa VITENDO!??
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Ok nitafute WhatsApp 0768852151
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Mwanza
@heroine2117 Жыл бұрын
Hyo glycerine tunawek kias gani
@mwanga1tv698 Жыл бұрын
Robo rita
@jeladtasiano4586 Жыл бұрын
Mafut unapim kias gan ya mawes
@mwanga1tv698 Жыл бұрын
1kg ya caustic soda mafuta yake ni lita 5
@gracesingano76672 жыл бұрын
Naomba unisaidie hapo
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Pambanua swali lako niweze kukusaidia pale unaposhidwa
@mwanga1tv6982 жыл бұрын
Nitafute WhatsApp 0768852151 nami nitakusaidia
@ndishajoseph9107 Жыл бұрын
Mkuu kwa vipimo hivi bado nina swali kwako. Napataje faida kwa formula hii? Mbona nimejaribu nikajikuta nimeangukia pua Mkuu? Naomba kama kuna namna ya kuboost ili nijikwamue nielekezwe