Рет қаралды 45,122
Kwa miaka mingi eneo la Mtwapa kaunti ya Kilifi limefahamika kama eneo la kuponda Raha na kujivinjari usiku kucha lakini sasa eneo hilo limeonekana kubadilika na kuwa kitovu cha viwanda. Ujenzi wa Barabara kuu ya mombasa kuelekea Malindi na ukaribu wake na jiji la Mombasa umeanza kuwavutia wafanyabiashara na wawekezaji.