Ngoja kwanza inamaana mnaacha hiyo barabara ya zamani na jinsi ilivyo bonyea kama skonzi,😮
@kelvincharles72632 ай бұрын
Maneno meeengi utekelezaji 0 onyo kabsa
@KassamaliKassam2 ай бұрын
Please keep good hotels at Resting place
@rutashobyanovath11162 ай бұрын
Uyo RTO akili ana kabisa anasema Tunduma ajali ni zakawaida wakati kila week watu wanazikwa Pumbavu kabisa
@NgasaMaduhu2 ай бұрын
Maneno mengi vitendo sasa Anyway Barabara za mwanza ni mbovu mno
@jeremiaaugustino71872 ай бұрын
hadi najiulizaga mwanza viongozi sijui wa nini
@NgasaMaduhu2 ай бұрын
@jeremiaaugustino7187 😂😂😂
@alfredkalaba16142 ай бұрын
Hayo maendeleo ndo tunayataka maana Uhuru tumepata kitambo since 1961
@B7_PILOT2 ай бұрын
Hiii barabara itaisha mwaka gani?
@eliasnicolaurobath68642 ай бұрын
Ukweri ni bado ilitakiwa tanzania iwe mfano kwa inchi zingine rakini porojo ni nyingi sana Tanzania inatakiwa ianze kuwa na njia za marori tuu peke yake magari aina zingine ikiwemo mabasi ziwe na barabara zakwake mbono huo mfumo ni wa kizamani sana mbona taifa rina mainjinia wabunifu wazuri sasa mnaferi wapi ebu jitafakalini enyi VIONGOZI