Alafu wanaotaka Serikali iwaforce wamiliki wa magorofa mjini kuyapaka rangi za kuvutia wagonge like hapa Dar kama Dubai 😅
@giftmeela625011 ай бұрын
Barabara za magari ya kawaida ni nyembamba sana miaka mitano mbele mtakuja kuvunja tena
@Chettymlambalipsi-lb9km11 ай бұрын
Kweli kabisa pia hizo barabara wangejenga njia 12 kwenda 6 kirudi 6 in future 50yrs
@harounbanzi394811 ай бұрын
Mm nashindwaga kuelewa kuna wasomi ma engeneer na mipango miji lkn miji yetu ni huzuni
@Chettymlambalipsi-lb9km11 ай бұрын
@@harounbanzi3948 wajukuu,vitukuu,vilembwe na vilembwekeze watakuja kuyapiga makaburi yetu Karne zinazokuja mbele Kwa huu upuuzi wataalamu wetu na viongozi wetu wanaofanya
@Chettymlambalipsi-lb9km11 ай бұрын
@@harounbanzi3948 tuchukulie mfano hizi barabara za halmashauri kila mwaka wanatengeneza na kila mwaka Zinaharibika why wasitafute solution ya kudumu hata miaka 10
@LuckyMusyki11 ай бұрын
Camera Noma hiyo good
@renatusblandes113111 ай бұрын
Barabara za masaki ziko chini ya nani?mbona Kila wakati zinawekwa vilaka na hazidumu?
@omarysaid872511 ай бұрын
Tanzaina ni nchi kubwa inabidi tuwe na planni za miaka 10 au 20 mbeleni tuache kuwa na plani za miaka 10 nyuma
@adamkapolo881711 ай бұрын
Mabasi machache sana muongeze
@CruiseShipsClips11 ай бұрын
We are moving forward together and we are stronger than ever before
@Gregoiresidehustle11 ай бұрын
Kazi nzuri
@astrojio11 ай бұрын
asante serikali
@suleimanbalemba334811 ай бұрын
Jerry slaa jimbo lake mfikishieni taarifa Akuna Barabara ata moja ya maana wananchi wake wamechoka vumbi na kuharibu vyombo vya moto vinalipa kodi bima latra mheshimiwa haya masiara
@davidluangisa451511 ай бұрын
Kazi inaendelea kama kawaida...Mama oyeeee
@omarysaid872511 ай бұрын
Tanzania siasa ni nyingi kuliko kuwa na plani na tuna viongozi wanao tukwamisha
@omarysaid872511 ай бұрын
Nchi yoyote iliyo endelea na inayotaka kuendelea ni lazima ijipangie mikakati na plani za miaka ijayo tuache siasa na upigaji hizi ni kodi za wananchi
@omarysaid872511 ай бұрын
Tatizo ni usimamizi na ushauri tu kwa mfano ile Flyover ya chang'ombe ina kona na matuta ukuta mkubwa yaani haija kaa kitalii kama ya Tazara tatizo huwa tuna bageni sana ndio maana tuna jengewa vitu visivyo bora upigaji mwingi 10% ndio maana hatupati vitu vilivyo bora mimi tu sio mjenzi ila daraja halija zinduliwa lina crack kibao na viraka pale ipo siku kile kivuko kitakuja kuporomoka
@homeboybeyondtheborders49357 ай бұрын
Hapo TAZARA inabidi kuwe na mpango mbadala kwa sababu kuna foleni ya kutoka Bandarini,ya Buguruni kwenda Bandarini,ya kutoka Dry Port ya TAZARA ambayo ni mpya na sijui kwa nini Hii Dry Port imewekwa kwenye miundombinu ya TAZARA alaf ya kutoka Airport kwenda Temeke na Kutoka City center kwenda Mandela na Uhuru yani hapo kuna mkangwnyiko mkubwa sana nahisi yatatokea ya Jangwani mwendokasi.
@omarysaid872511 ай бұрын
Aliye jenga barabara ya Juu flyover ya Tazara na Ubungo yule sasa ndio mkandarasi ila huyu anayejenga njia hii ya Gongo la mboto mpigaji tu
@omarysaid872511 ай бұрын
Mabasi yenyewe hakuna watu wamesha gawana vipuri
@omarysaid872511 ай бұрын
Mkandarasi kavunja vunja hovyo hovyo usafiri umekuwa wa tabu matope barabarani anajenga kwa vipande haani mkandarasi huyu hana plani
@SATZ-news11 ай бұрын
Mabus yenyewe mmeyamaliza kwa kuweka watu ambao hawako serious hizo barabara kutapita nini?😅😅
@omarysaid872511 ай бұрын
Ila huyu mkandarasi nadhani ana tupiga tu maana barabara alizo anza kutengeneza na kuweka lami ni nyembamba na zina kona kona sana kuanzia mataa ya jeti kuelekea Tazara dah aisee yule jamaa sidhani kama ni mkandarasi kweli au magumashi na nadhani hakuna usimamizi mzuri na ufuatiliaji
@Frazztraveller11 ай бұрын
Mbna mnajenga njia sita tu kwanini isiwe nane
@omarysaid872511 ай бұрын
Ina chukiza sana kuona taifa hatuna watu wa kuwaza mipango miji ya miaka 20 mbeleni tuna watu wanao waza kesho tu hamna plani ya hata miaka 10 mbele ndio maana bado tuko kizamani sana mpaka sasa barabara kuwa bado tuna komaa na njia 2 kwenda 2 kurudi tu dah hatuna watu wa future nchi hii wasomi kibao au tatizo ya elimu zetu na u prof wa mchongo na u doctor
@ahmedkyama473410 ай бұрын
Watajijua itawakosti badae gharama za kuvunjaa na kujenga upya wakati wangejenga miundombinu imara na ya kuhudumu magari mengi
@davidanselmo40412 ай бұрын
Alafu wanaotaka Serikali iwaforce wamiliki wa magorofa mjini kuyapaka rangi za kuvutia wagonge like hapa Dar kama Dubai 😅