safi sana Tanroads....itaongeza mapato na mapato yataboresha mifumo
@noelngowitechnicalsolution3 ай бұрын
Kazi nzuri
@AbdallahMatola-c3y3 ай бұрын
SAFII SANA MKUU SAMIA OYEEEEE
@mosesjacksonkarashani26423 ай бұрын
Wasimamizi wa hii miradi tunaomba barabara za njia nyingine ziwe tatu na siyo mbili. Experience ya Kimara imeonesha kuwa mbili hazitoshi, mtakuja kutuingiza kwenye gharama nyingine za upanuzi wakati hatujamaliza deni! Vituo vya mbagala vimejengwa chini ya kiwango, tunaomba mtoe maelezo, shida ni nini au pesa haikutosha? Tunaomba wanaofanya uharibifu wa vizingiti na njia za waenda kwa miguu wachukuliwe hatua kali, gharama za marekebisho zinafanya deni litulemee!
@georgeedwardmwakyembe69693 ай бұрын
Watu wengi katika jiji la Dar Es Salaam wanataka upanuzi wa barabara ili kupunguza msongamano wa magari, lakini je, kweli ni suluhisho linalofaa na muhimu? Ingawa kuongeza njia za magari kunaweza kupunguza msongamano kwa muda mfupi, mara nyingi husababisha ongezeko la magari barabarani, hivyo kuzidisha msongamano kwa muda mrefu. Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto katika Dar es Salaam unaweza kutoa nafuu kwa muda mfupi katika kupunguza msongamano wa magari, lakini si suluhisho endelevu kwa muda mrefu. Hapa kuna uchambuzi kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu: Faida: 1. Kuongeza Uwezo wa Barabara: Kwa kuongeza njia za magari, magari mengi yanaweza kupita kwa wakati mmoja kwenye sehemu ya barabara, ambayo inaweza kupunguza vizuizi katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari kwa muda mfupi. 2. Kupunguza Muda wa Safari: Mwanzoni, upanuzi wa njia za magari unaweza kusababisha mtiririko wa haraka wa magari, hivyo kupunguza ucheleweshaji na muda wa safari kwa wasafiri wakati wa saa za kilele. Changamoto: 1. Mahitaji Yanayosababishwa na Barabara Kubwa: Jambo la kawaida katika usimamizi wa trafiki ni kwamba upanuzi wa barabara unahamasisha watu wengi kutumia magari, na hivyo kusababisha kurudi kwa msongamano au hata kuongezeka kwa msongamano kwa muda mrefu. Hii inajulikana kama "mahitaji yanayosababishwa na barabara kubwa." 2. Ukosefu wa Suluhisho za Usafiri wa Aina Mbalimbali: Dar es Salaam inakabiliwa na idadi kubwa ya magari ya kibinafsi pamoja na usafiri wa umma, pikipiki, na watembea kwa miguu. Kuongeza tu njia za magari bila kuboresha miundombinu ya usafiri wa umma au kuunda njia maalum kwa mabasi (BRT) na waendesha baiskeli hakutatatua mizizi ya msongamano wa magari. 3. Kuenea kwa Jiji na Mipango Duni: Kupanua barabara bila kudhibiti ukuaji wa mijini kunaweza kuhamasisha ukuaji wa maeneo yaliyo mbali, na hivyo watu zaidi kuishi mbali na kutegemea magari kwa usafiri. Hii inasababisha msongamano mkubwa zaidi wa magari na kufuta faida za upanuzi wa barabara. 4. Masuala ya Usalama: Barabara pana zaidi zinaweza kusababisha magari kwenda kwa kasi zaidi, jambo linaloongeza hatari ya ajali, hasa katika mazingira yenye matumizi mseto kama vile watembea kwa miguu na waendesha baiskeli kushiriki barabara. Suluhisho Mbadala: 1. Kuboresha Usafiri wa Umma: Kuwekeza katika na kupanua mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) au mifumo ya reli nyepesi inaweza kutoa suluhisho endelevu zaidi kwa msongamano wa magari kwa kusafirisha watu wengi kwa ufanisi na kupunguza kutegemea magari binafsi. 2. Mikakati ya Usimamizi wa Trafiki: Kutekeleza mifumo ya usimamizi wa trafiki ya kisasa, taa za trafiki zinazoendana kwa wakati mmoja, na kuhamasisha kupanda pamoja au ada za msongamano kunaweza kupunguza msongamano bila hitaji la upanuzi wa miundombinu ghali. 3. Miundombinu ya Usafiri wa Nje ya Magari (NMT): Kujenga njia za watembea kwa miguu, njia za baiskeli, na kuhamasisha kutembea kwa miguu kunaweza kupunguza msongamano kwa kutoa njia salama za usafiri kwa umbali mfupi. Hitimisho: Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto unaweza kutoa nafuu ya muda mfupi kwa msongamano wa magari, lakini ni vigumu kutatua tatizo la msongamano wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Njia shirikishi inayolenga kuboresha usafiri wa umma, usimamizi bora wa trafiki, na miundombinu ya usafiri wa nje ya magari itakuwa suluhisho bora na endelevu zaidi.
@lulanjamd38863 ай бұрын
@georgeedwardmwakyembe6969 safi sana
@georgeedwardmwakyembe69693 ай бұрын
@@lulanjamd3886 Asante sana
@richard22181883 ай бұрын
@@georgeedwardmwakyembe6969 Kimara imefanya kazi. Tuanzie hapo
@abdulrahimsimba90572 ай бұрын
Kweli kabisa, pia hizo zebra crossing zao zinafutika kwahiyo wachore tena
@othumanomari15893 ай бұрын
Congratulations tanrod bado mumelala kwenye miundo mbinu ya Rong distance dar to mtwara 🛣️🛣️🛣️🛣️. Dar to Moro 🛣️🛣️🛣️🛣️ dar to Tanga 🛣️🛣️🛣️🛣️ wapi tunaferi tz ukishakua na Port jua kira dk10. Zinaongezeka gari 20
@FredrickBusanya3 ай бұрын
Nasikia raha sana kuona vitu kama hivi ndani ya nchi yangu pendwa Mungu endelea kuwasaidia viongozi wa nchi yangu wawe na hofu yako ili pesa za miradi kama hii zinapotoka zifanye kazi iliyokusudiwa na kwa viwango vya juu kama ilivokusudiwa.kila mzalendo wa nchi hii na aseme amina
@kasimkassam95653 ай бұрын
Amiin tuwape moyo viongozi wetu
@unforgettablesightings31603 ай бұрын
Tanroads hamko serious njia mbili za magari ya kawaida hazitoshi jengeni kuanzia njia 3 kuokoa foleni mfano mbagala kuna foleni sana hasa jion
@fredyjunior69613 ай бұрын
GOOD JOB TANROADS
@jameswissa99813 ай бұрын
Kazi nzuri TANROADs
@section8ight1743 ай бұрын
TANROADS, what are your plans regarding RESIDENTIAL roads? Why not use cheaper methods ie cement, cobblestones or bricks 🧱 to get rid of the dirt roads? How’s Nairobi able to tarmac their residential areas including sidewalks? Need someone from TanRoads to address these public concerns as we are TAYAD of walking around in dusty roads in 2024!!!
@mosesjacksonkarashani26423 ай бұрын
Which part of Nairobi are you referring to?
@section8ight1743 ай бұрын
@@mosesjacksonkarashani2642 Do you work for Tanroads?
@mosesjacksonkarashani26423 ай бұрын
@@section8ight174 How’s is this relevant to the question I asked?! I am in Nairobi right now I want to know which part of Nairobi are you referring to!
@section8ight1743 ай бұрын
@@mosesjacksonkarashani2642 Read my question again and the CAVEAT included.
@mosesjacksonkarashani26423 ай бұрын
@@section8ight174 I’m not here to address your question, I’ve just asked a totally different question, which part of Nairobi are you referring to?! It’s that simple man, answer the question.
@KibwayaMsouth3 ай бұрын
Kwanini msitanue barabara ziwe pana jamani sasa ivi kila mtu anataka kumili gari lake sasa tuata2mia njia zipj hali yakua kila kukicha mnajenga vichochoro bmg bwana amna wivu wamaendeleo kabisa yani igeni hata kwa majirani kenya
@MubarakaCloud3 ай бұрын
Mm pia nashangaa km nyerere road side walk ni pana sana c Wangeek road ingine ila ngoja watakuja kujenga tena km walivyofanya barabara ya ubungo hadi kimara
@corrolesscps3 ай бұрын
Wanaiona hiyo Comment lakini watajifanya kama hawaioni hata kukomment hawataki, barabara ni finyu tuendane na wakati
@anoldrwehabura77953 ай бұрын
Hongereni, eneo la Mivinjeni daladala zinapita upande wa watembea kwa miguu hivyo paving zimeharibiwa sana. Ni vema mkaweka vizuizi vya magari na bajaji upande wa watembea kwa miguu.
@modestwenceslaus93 ай бұрын
TANROAD hebu tuondolee foleni ya Malori pale Tazara Mchicha maana hata Japan iliyotoa msaada wa kujenga Flyover ya Mfugale inatushamgaa kwa uamuzi wetu wa kujenga ICD pale mchicha na kuondoa kabisa umuhimu wa Flyover ya Mfugale.
@richard22181883 ай бұрын
Kipande cha Round about Kigogo to Msimbazi Center vipi?
@jeremiaaugustino71873 ай бұрын
SIJUI KUNA NNPALE...AU PAMESAHAULIKA.....hahahaaaaa
@omaryboman66293 ай бұрын
@@jeremiaaugustino7187 pale lile daraja la msimbazi litavunjwa lijengwe lipya kubwaa
@frankmlelwa10733 ай бұрын
@@jeremiaaugustino7187 nadhani panasubiria mradi wa bonde la mto msimbazi , labda usanifu wake unategemeana kimiundombinu maana mradi wa mto msimbazi unajumlisha barabara na eneo la mto, kingo na maeneo yaliyopitiwa na eneo la mradi. Watakuja waseme lakini lakini pia hapazuii mabasi kupita na kuendelea sehemu zilizokwisha kamilika.
@frankmlelwa10733 ай бұрын
nadhani panasubiria mradi wa bonde la mto msimbazi , labda usanifu wake unategemeana kimiundombinu maana mradi wa mto msimbazi unajumlisha barabara na eneo la mto, kingo na maeneo yaliyopitiwa na eneo la mradi. Watakuja waseme lakini lakini pia hapazuii mabasi kupita na kuendelea sehemu zilizokwisha kamilika.
@richard22181883 ай бұрын
@@frankmlelwa1073 Inawezekana, sikufikiria hiyo kitu, lakini maana yake, kipande cha Boma - Msimbazi na Magomeni - Kigogo hakitakuwa na kazi sasa hivi
@DavidSemu-gu6wp3 ай бұрын
Hongera sana Tanroads work well done, Sasa mabasi yako wapi au ndio mpaka desember? Si vituo vitakuwa vime n'golewa mabati, this is bongo.
@zobakazizi76373 ай бұрын
Hivi hizi daladala zinazopita kwenye barabara za kawaida kimara - Posta hazina vituo. Hii barabara imeisha zamani lakini ni vurugu tupu.
@geofreypiusy47183 ай бұрын
Nahiyo yakimara iwekwe mataa kama hii ya kilwa road isaidie na huko kwa usalama
@salumalriyamy3 ай бұрын
Nauliza pale kigogo mpaka msimbazi centre Kuna mpango tofauti?
@mbwizax873 ай бұрын
Ni phase 5 ambayo baada ya round about itaelekea njia ya mabibo mpaka Tabata segerea na pia kuanzia ubungo flyover mpaka daraja la Kigamboni, na kuna kipande cha kuingia temeke kutoka karibu na uwanja wa taifa
@salumalriyamy3 ай бұрын
@@mbwizax87 what was the point of leaving it to phase 5?. Seems like it Doesn't make sense?
@adamkapolo88173 ай бұрын
Tegeta msituwekeee vituo kama vya mbagala jamaniiii tunaombeni sana
@theonestkibuga19003 ай бұрын
Nikajua ni madarasa
@fortidaskashaigili74963 ай бұрын
Inatakiwa muweke bypass watu wapande waende kushukia kati kati ya kwenye kituo cha mwendo kasi, taa zimezidi, acheni kuchakachua plan ya barabara,
@helpers103 ай бұрын
Toa taa weka underground tunnels kwenye Kila kituo. Of course mnachelewesha muda kuweka taa Kila sehemu. Kama Unajenga mradi wa mabilioni kama huo je unafikiri kuongeza tunnels kwenye Kila kivuko kinashindikana Nini? Na unadhani Kuna utofauti gani wa budget kama mngeweka tunnels?? Kuweka njia za juu itakua ni uchafu.
@jeremiaaugustino71873 ай бұрын
kila phase ingekua na DESIGN yake ya Vituo...ingependeaza sana...vinakua havichoshi macho
@emmanuelmatare90583 ай бұрын
na kila phase mabas yawe na rang zake pia
@jeremiaaugustino71873 ай бұрын
@@emmanuelmatare9058 yes ni sehemu ya kuongeza utalii...ila wabunifu hakuna TZ
@josephmartin2923 ай бұрын
vituo vya mjini vibadilishwe muonekano wake kwani mjini katikati ya jiji vituo viwe vina muonekano tofauti
@kisrahcogar85383 ай бұрын
Vituo vya mbagala km mabanda ya kuku 😂😂
@OdhiamboLazaro-y8o3 ай бұрын
Jamani mbona Bado Barbara za pembeni ni 2 ways mna mpango Gani wa baadaye.
@rahimmajid28263 ай бұрын
Kilwa Road imekuwa Mataa Road kila hatua Taa.
@omaryboman66293 ай бұрын
Waliwashaga siku moja hyo foleni yake mbona walikuja zima fasta
@adamkapolo88173 ай бұрын
Barabara nyembamba sana mmekariri kila barabara njia mbili tu kwani haziwezi kuwa 3 au 4
@alistairelias5363 ай бұрын
Nashangaa mipango ya nchi yetu. Highway za kutoka nje ya mkoa zilipaswa kuwa ni tatu tatu au hata zaidi. Lakini watakwambia hela tulikuwa hatuna, wakati zingeweza kujengwa kwa PPP.
@eddechriss26643 ай бұрын
Mzee elezea mabasi yatakuja hiyo ndio muhimu watanzania tunataka kujuwa
@renatusblandes11313 ай бұрын
Mbona Kigogo Kuelekea mburahati bado hakujaguswa?
@gervasally69793 ай бұрын
Mhandisi. Tunaomba mtusaidie Nelson Mandela road kutoka Bandari Foleni ni kubwa mno sisi madereva wa Truck tunakaa foleni masaa 6 kutoka Uhasibu hadi Buguruni. Em tusaidieni hata Fly over jamani yaani masaa 6 kutoka Port hadi Buguruni ni hasara sana. Sjui wataalamu hamulioni hilo? Tunaomba mtusaidie
@omaryngitu24433 ай бұрын
Ni wakati sasa watanzania tuelimishwe kupaka rangi mabati yetu ya nyumba,ni uchafu
@salumalriyamy3 ай бұрын
Kwa ninavyojua wabongo walivyovurugwa, kuna vijamaa vitakaa pale kwenye taa kubonyeza bonyeza
@Chettymlambalipsi-lb9km3 ай бұрын
Jitahidini mjenge barabara za njia 12 kushoto 6 kulia 6 hapo baada ya miaka 20 mtaanza kuhaha kupanua barabara
@georgeedwardmwakyembe69693 ай бұрын
Watu wengi katika jiji la Dar Es Salaam wanataka upanuzi wa barabara ili kupunguza msongamano wa magari, lakini je, kweli ni suluhisho linalofaa na muhimu? Ingawa kuongeza njia za magari kunaweza kupunguza msongamano kwa muda mfupi, mara nyingi husababisha ongezeko la magari barabarani, hivyo kuzidisha msongamano kwa muda mrefu. Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto katika Dar es Salaam unaweza kutoa nafuu kwa muda mfupi katika kupunguza msongamano wa magari, lakini si suluhisho endelevu kwa muda mrefu. Hapa kuna uchambuzi kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu: Faida: 1. Kuongeza Uwezo wa Barabara: Kwa kuongeza njia za magari, magari mengi yanaweza kupita kwa wakati mmoja kwenye sehemu ya barabara, ambayo inaweza kupunguza vizuizi katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari kwa muda mfupi. 2. Kupunguza Muda wa Safari: Mwanzoni, upanuzi wa njia za magari unaweza kusababisha mtiririko wa haraka wa magari, hivyo kupunguza ucheleweshaji na muda wa safari kwa wasafiri wakati wa saa za kilele. Changamoto: 1. Mahitaji Yanayosababishwa na Barabara Kubwa: Jambo la kawaida katika usimamizi wa trafiki ni kwamba upanuzi wa barabara unahamasisha watu wengi kutumia magari, na hivyo kusababisha kurudi kwa msongamano au hata kuongezeka kwa msongamano kwa muda mrefu. Hii inajulikana kama "mahitaji yanayosababishwa na barabara kubwa." 2. Ukosefu wa Suluhisho za Usafiri wa Aina Mbalimbali: Dar es Salaam inakabiliwa na idadi kubwa ya magari ya kibinafsi pamoja na usafiri wa umma, pikipiki, na watembea kwa miguu. Kuongeza tu njia za magari bila kuboresha miundombinu ya usafiri wa umma au kuunda njia maalum kwa mabasi (BRT) na waendesha baiskeli hakutatatua mizizi ya msongamano wa magari. 3. Kuenea kwa Jiji na Mipango Duni: Kupanua barabara bila kudhibiti ukuaji wa mijini kunaweza kuhamasisha ukuaji wa maeneo yaliyo mbali, na hivyo watu zaidi kuishi mbali na kutegemea magari kwa usafiri. Hii inasababisha msongamano mkubwa zaidi wa magari na kufuta faida za upanuzi wa barabara. 4. Masuala ya Usalama: Barabara pana zaidi zinaweza kusababisha magari kwenda kwa kasi zaidi, jambo linaloongeza hatari ya ajali, hasa katika mazingira yenye matumizi mseto kama vile watembea kwa miguu na waendesha baiskeli kushiriki barabara. Suluhisho Mbadala: 1. Kuboresha Usafiri wa Umma: Kuwekeza katika na kupanua mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) au mifumo ya reli nyepesi inaweza kutoa suluhisho endelevu zaidi kwa msongamano wa magari kwa kusafirisha watu wengi kwa ufanisi na kupunguza kutegemea magari binafsi. 2. Mikakati ya Usimamizi wa Trafiki: Kutekeleza mifumo ya usimamizi wa trafiki ya kisasa, taa za trafiki zinazoendana kwa wakati mmoja, na kuhamasisha kupanda pamoja au ada za msongamano kunaweza kupunguza msongamano bila hitaji la upanuzi wa miundombinu ghali. 3. Miundombinu ya Usafiri wa Nje ya Magari (NMT): Kujenga njia za watembea kwa miguu, njia za baiskeli, na kuhamasisha kutembea kwa miguu kunaweza kupunguza msongamano kwa kutoa njia salama za usafiri kwa umbali mfupi. Hitimisho: Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto unaweza kutoa nafuu ya muda mfupi kwa msongamano wa magari, lakini ni vigumu kutatua tatizo la msongamano wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Njia shirikishi inayolenga kuboresha usafiri wa umma, usimamizi bora wa trafiki, na miundombinu ya usafiri wa nje ya magari itakuwa suluhisho bora na endelevu zaidi.
@georgeedwardmwakyembe69693 ай бұрын
Watu wengi katika jiji la Dar Es Salaam wanataka upanuzi wa barabara ili kupunguza msongamano wa magari, lakini je, kweli ni suluhisho linalofaa na muhimu? Ingawa kuongeza njia za magari kunaweza kupunguza msongamano kwa muda mfupi, mara nyingi husababisha ongezeko la magari barabarani, hivyo kuzidisha msongamano kwa muda mrefu. Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto katika Dar es Salaam unaweza kutoa nafuu kwa muda mfupi katika kupunguza msongamano wa magari, lakini si suluhisho endelevu kwa muda mrefu. Hapa kuna uchambuzi kutoka kwa mtazamo wa kitaalamu: Faida: 1. Kuongeza Uwezo wa Barabara: Kwa kuongeza njia za magari, magari mengi yanaweza kupita kwa wakati mmoja kwenye sehemu ya barabara, ambayo inaweza kupunguza vizuizi katika maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari kwa muda mfupi. 2. Kupunguza Muda wa Safari: Mwanzoni, upanuzi wa njia za magari unaweza kusababisha mtiririko wa haraka wa magari, hivyo kupunguza ucheleweshaji na muda wa safari kwa wasafiri wakati wa saa za kilele. Changamoto: 1. Mahitaji Yanayosababishwa na Barabara Kubwa: Jambo la kawaida katika usimamizi wa trafiki ni kwamba upanuzi wa barabara unahamasisha watu wengi kutumia magari, na hivyo kusababisha kurudi kwa msongamano au hata kuongezeka kwa msongamano kwa muda mrefu. Hii inajulikana kama "mahitaji yanayosababishwa na barabara kubwa." 2. Ukosefu wa Suluhisho za Usafiri wa Aina Mbalimbali: Dar es Salaam inakabiliwa na idadi kubwa ya magari ya kibinafsi pamoja na usafiri wa umma, pikipiki, na watembea kwa miguu. Kuongeza tu njia za magari bila kuboresha miundombinu ya usafiri wa umma au kuunda njia maalum kwa mabasi (BRT) na waendesha baiskeli hakutatatua mizizi ya msongamano wa magari. 3. Kuenea kwa Jiji na Mipango Duni: Kupanua barabara bila kudhibiti ukuaji wa mijini kunaweza kuhamasisha ukuaji wa maeneo yaliyo mbali, na hivyo watu zaidi kuishi mbali na kutegemea magari kwa usafiri. Hii inasababisha msongamano mkubwa zaidi wa magari na kufuta faida za upanuzi wa barabara. 4. Masuala ya Usalama: Barabara pana zaidi zinaweza kusababisha magari kwenda kwa kasi zaidi, jambo linaloongeza hatari ya ajali, hasa katika mazingira yenye matumizi mseto kama vile watembea kwa miguu na waendesha baiskeli kushiriki barabara. Suluhisho Mbadala: 1. Kuboresha Usafiri wa Umma: Kuwekeza katika na kupanua mfumo wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) au mifumo ya reli nyepesi inaweza kutoa suluhisho endelevu zaidi kwa msongamano wa magari kwa kusafirisha watu wengi kwa ufanisi na kupunguza kutegemea magari binafsi. 2. Mikakati ya Usimamizi wa Trafiki: Kutekeleza mifumo ya usimamizi wa trafiki ya kisasa, taa za trafiki zinazoendana kwa wakati mmoja, na kuhamasisha kupanda pamoja au ada za msongamano kunaweza kupunguza msongamano bila hitaji la upanuzi wa miundombinu ghali. 3. Miundombinu ya Usafiri wa Nje ya Magari (NMT): Kujenga njia za watembea kwa miguu, njia za baiskeli, na kuhamasisha kutembea kwa miguu kunaweza kupunguza msongamano kwa kutoa njia salama za usafiri kwa umbali mfupi. Hitimisho: Upanuzi wa barabara zinazotumiwa na magari mseto unaweza kutoa nafuu ya muda mfupi kwa msongamano wa magari, lakini ni vigumu kutatua tatizo la msongamano wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Njia shirikishi inayolenga kuboresha usafiri wa umma, usimamizi bora wa trafiki, na miundombinu ya usafiri wa nje ya magari itakuwa suluhisho bora na endelevu zaidi.
@hssn20203 ай бұрын
Mimi darasa la 4B, nilikuwa najiuliza kwa nini barabara za mwendokasi zisingekuwa kwa nje halafu gari za kawaida zikapita ndani? Halafu maeneo ya vivuko watembea kwa miguu wanapita chini ya barabara yaani Underpass?
@filamupictures93493 ай бұрын
Hiyo ni ili kuokoa muda, zingekuwa pembeni kila mara kungekuwa na gari zinaingia na kutoka. Lengo la brt ni kuokoa muda ndio maana nauli unalipa nje kabla hujapanda, kupanda kwake ni kwenye kituo kilichoinuka juu ili muda wa kupanda msipoteze muda mkiwa mnatafuta ngazi za basi. Lengo ni kuokoa muda ndio lengo.
@nassoroc3 ай бұрын
Hiyo ingesababisha FOLENI ya kufa mtu! Hebu pata picha magari yanayotoka town halafu yanafika Mapipa, karibu nusu yake yanataka kuingia Kawawa RD kuelekea Kinondoni! Sasa Mwendokasi ingetakiwa kusimama mara ngapi kupisha hayo magari?!
@mussamussa81813 ай бұрын
Ayo matuta ifike mahara msiwe mnaweka uo ujinga
@nguruwekikwete16353 ай бұрын
Vituo kama nabanda yq kuku no improvement no creativity vituo vilitskiwa kuwa na muonekano wa kisasa tofauti na phase 1
@babyafricaevents89053 ай бұрын
Awamu ya sita itaanzia wapi na kuishia wapi? Na vipi mipango ya kujenga miundo mbinu hii kwenye majiji mengine kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?. Kuliko msubiri msongamano uwe mkubwa ndo muanze kujenga? .
@mkude3 ай бұрын
Gharama hizo ni kubwa sanaaa hata Africa ni nchi chache sanaa zenye BRT kwahiyo usichukulie rahisi tu eti zijengwe na kwenye miji mingine,kuna vitu muhimu vya kufanya kwenye hiyo miji mingine kama bara bara za bijinini,maji,mashule, mahospitali .
@LuckymusyokiMueni3 ай бұрын
Kwani hamgeweza kuweka njia za juu za wapita kwa miguu,,mataa zinaleta jam tena mnaona kama manapunguza jam nyinyi watu
@LuckymusyokiMueni3 ай бұрын
Hiyo Barabara penye muliweka mataa nyingi mbn kama ya zamani Sana imechakaa na mnasema ni mpiya ,jengeni kama huku Kenya na rwanda
@mkude3 ай бұрын
@@LuckymusyokiMueni Kenya nyinyi bakini na siasa tu,kwenye kwenye infrastructure hamuwapati kabisa Tanzania,hamuna BRT system,matatu kwenu zimejaa Fujo fupu,train yenu ya gari moshi😮😂😂,imeishia Naivasha,angalia Electric train ya Tanzania ni ya world class.
@mkude3 ай бұрын
@@LuckymusyokiMueni Kenya mnapenda sanaa siasa,naona sasa hivi mnataka kumtoa your Dp president, Tanzania inakuwa haraka sanaa kimaendeleo nyinyi siasa zitawarudisha nyuma sanaaa
@michaelrweyemamu10683 ай бұрын
Uongo, kipande cha kisichozidi 1 Km Kigogo hadi Msimbazi ujenzi umesimama kwa miaka 2 sasa hivi then mnasema mmekamisha, hivi nyie watu mpe seriously?
@alistairelias5363 ай бұрын
Hicho kipande ndo kinasubiri phase ya 5 kutoka Segerea kuunganisha hapo...
@michaelrweyemamu10683 ай бұрын
Sio, kipande hichi kimeanzia pale Ilala mpaka Msimbazi kutoka Msimbazi mpaka Kigogo kimesimama kwa miaka 2 sasa na kutokea Kigogo mpaka Magomeni kumeshajengwa. So hichi kipande hakifiki hata Kilometer 1
@abdallahselemani64232 ай бұрын
Kuna ujenzi wa daraja hapo la mto msimbazi linakuja
@tester-kf5re3 ай бұрын
italeta foleni
@LuckymusyokiMueni3 ай бұрын
Kakivuko tu ya kufuka hadi hapo stendi ya mabasi imewashinda