From Tz bt Nakubali kazi zenu mnajua Kenya mko juu kwa comedy..
@humphrey40585 жыл бұрын
Hii bet nani mwingine anapea nyaboke kichwa🤣🤣🤣🤣🤣
@rizikichitanda65835 жыл бұрын
Safi sana nani anahngalia kutoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kariakoofashion2773 жыл бұрын
Nipo kaka from Tanzania, original comedy kenya
@johnmwangi24355 жыл бұрын
Amekuwa akinipiga risasi 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@saidhamisi27955 жыл бұрын
Sijui nii risasi gani hizo😂😂😂😂😂
@mstevens8323 жыл бұрын
Makobora😄😄😄😄😄
@catherinmutheu53375 жыл бұрын
Nyaboke is wanted. Dead or alive.. Cate afande u have killed it 2day.congratulations
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Thanks
@Christine-om1bt4 жыл бұрын
I like Cates confidence, all the actors in general .
@frankzani6274 жыл бұрын
mambo
@loftymatambo11145 жыл бұрын
Nyaboke ni wrong number Cate..chunga!!😄😄
@emanuelleopod39495 жыл бұрын
Victory kaka huyo mdada walah amekufunika hasa hiyo rafudhi yake me inajiacha hoi hanaaa😂😂😂😂👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 Me nishabikia ako kaka, from 255 🇹🇿 Kazi nzuri brother
@samuelkefa50115 жыл бұрын
Cate, nyaboke unamjua vizuri kweli nasubiri reply ya nyaboke tu,,,, Victor bana Hawa mabibi wako n 🔥🔥🔥🔥
@bonifacetheguardian36585 жыл бұрын
Eti yeye ndiye huwa ananîpiga risasi! Weuwee😂😂😂
@comedytrends5 жыл бұрын
fikita anakaliwa kila mahali 😂😂😂could this be the same in real life
@johnrogeo21615 жыл бұрын
hapana
@listentoquranandmawaidhach49924 жыл бұрын
Nyaboke wachana na fikita afande Cate atakunyonga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti mwite kinyangarika
😂😂😂😂😂😂😂😂u almost finished me while i was in the office
@alipqasse99674 жыл бұрын
Kazi kwisha mama🤣🤣😂😂
@Sharikshariksharik5 жыл бұрын
Ni kubaiyaaa Ungekula tu nyaboke bruh figa iko safi😂 afande beibe ni pitawesonga
@gshdhvdhf82835 жыл бұрын
Cate nakupenda tu sana lakini nakuadharisha kaa mbali na nyamboki yeye ni moto wakuotea mbali nika miguna miguna na serikali labda tupeleke deportation....
@naseriankimoyo92914 жыл бұрын
Fikita amekumbuka unga tu na jogoo 🤣🤣🤣
@backupaccount71984 жыл бұрын
If you have never dated a girl like Cate , you trully don't appreciate life just yet
@henrymburu51165 жыл бұрын
Victor Alikaliwa chapo 😄😄😄 sema saa hii uko na Bibi wangapi ,tujue
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Wacha kuchoma
@kennygee59583 жыл бұрын
This woman can be a real Kenyan cop haki. All the qualities.
@sissymwangi19295 жыл бұрын
Hahaha aty kinyanghalika nyaboke, afande more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Hahaha kabisa
@samuelotieno71005 жыл бұрын
Hi
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
@@samuelotieno7100 hi
@samuelotieno71005 жыл бұрын
Me na fun wako tunakupenda
@samuelotieno71005 жыл бұрын
Hello
@Telewad5 жыл бұрын
Wasee fikta basecha baluya sebali bario taa. Nice one though.
@vincentoduor34864 жыл бұрын
I love Cate so much.
@UduduComedy5 жыл бұрын
hahahaha fikita mashakani
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Kuja saidia
@everlinenyabokenyantika33964 жыл бұрын
Nyaboke mimi ama😂😂😂
@ElderAbima3 жыл бұрын
Nyaboke jisalimishe
@gilbertmunanga29975 жыл бұрын
Nimekwama pale kwa 5 million ya Uganda
@labanchituyi25365 жыл бұрын
😂😂😂😂😂victor analia tu unga na kuku zake
@nicholasngetich53785 жыл бұрын
Nyaboke uko wapi ,Cate ameamua 😂😂😂
@joyiezpeter12095 жыл бұрын
Haha😁😁😁afande cate monari 🤗😁😁you are very funny . Ati muite kinyangarika😁😁😁
@benardmogaka12815 жыл бұрын
😀😀😀😀😀 noma sana
@bmelvoart93995 жыл бұрын
Ame kuchosha 😂 🤣 🤣 🤣
@sadikabdi96835 жыл бұрын
Hahahahaa i gif up 👐👐👐
@mutisyabenjamin25025 жыл бұрын
Hahaha this is creativity
@b.truthful5 жыл бұрын
Fikita sasa umekwisha uko chini ya ulinzi
@officialjumashile4 жыл бұрын
The two ladies are perfect Nyoboke kwanza ni crush Munafanya na vunja mbaaavu #jumashile was here
@mashtonio44295 жыл бұрын
Kunyolosha ni gani Cate😀😂😂😂
@jacintamanyara76804 жыл бұрын
Waaaawa,nimechwka yangu yote,ati 5million ya Uganda
@samanthakim50155 жыл бұрын
5 million ya UG I die😂😂😂😂
@patrickmwaniki19435 жыл бұрын
You never disappoints
@maregetv33285 жыл бұрын
Likes za hizo microPhone😄🔥
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Aki wewe
@NaswaReloaded5 жыл бұрын
Motooo!
@paullumwagi86135 жыл бұрын
😂😂😂😂
@luciahomwono41484 жыл бұрын
🤣🤣
@loreenomondi90774 жыл бұрын
Haha 😂... Eee ni za members of the press.... Haha 😂 nimeziona
@TheGovernorOnlineTVKenya5 жыл бұрын
Cate chunga nyaboke anaweza toa vita kubwa sana, mpaka ukuwe na bunduki.
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Tell her
@moiminihadassa66074 жыл бұрын
😆😆😆mnachekesha sana
@lucasmuteti7005 жыл бұрын
Afande kate umeweza .😃😃nyaboke kinyangarika wanted dead or alive
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Na Kuna reward
@samuellekula96494 жыл бұрын
Members of the press,kutafuta noon 😂 😂 😂
@TheCSTVbullet5 жыл бұрын
fikita gaki baki na nyaboke .. cate atakupiga risasi na locust za isiolo zinakungoja ahaaa
@Esty12485 жыл бұрын
Afande cate jipange sawasawa, Nyaboke ako na silaha za mass destruction alitoa Iran 😂😂😂😂😂😂
Missed you sana Afande cate. Welcome back. Nyaboke si ako kwa noma
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Atajua hajui
@quinterongoro24984 жыл бұрын
Haha napenda Cate ...sana
@jo-suuuu5 жыл бұрын
Nyaboke vs Afande Cate... Fikita operate man operate!
@chinesegk32824 жыл бұрын
Hii nyaboke 😁😁😁😁😁😁😁😆😆
@emiliondwigah93205 жыл бұрын
Mimi bado hapo kwa kuuza Akili nimekwamia hapo Nyaboke wewe ni kisii hapana tishiwa ni hii afisa jaribu kujibu nikuamini Seriously this was one of my best episodes you have given out hongera kwa creativity that was dope Afande
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Incitement nayo
@NursingMath5 жыл бұрын
Victor na unga na kuku!!kudos guys Nyaboke will counter this vehemently!
@johnthuo40285 жыл бұрын
Haha apo kwa risasi pako sawa sana ,,,,
@zakiaramadhani11254 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mnanifraisha
@wicklifenotimauti44085 жыл бұрын
Nyaboke to win...no shaking walai
@mutuamumbua78545 жыл бұрын
Hahahaha Cate I just try to imagine you face to face with Nyaboke😂😂😂😂😂😂
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Itakuwa more fire
@mutuamumbua78545 жыл бұрын
Hahaha please am waiting to witness
@samuelotieno71005 жыл бұрын
Hello
@catherineirungu92833 жыл бұрын
Jokoo ichichinjwe baka nirudi
@simonmdune90664 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣akiiii victor
@linetnyawira68324 жыл бұрын
mali ya serikali hahaaa huyu cate ni polisi for real hahah
@ugasibarahim50054 жыл бұрын
Mna act vizuri....mko poa👍👍
@chepkemoiednah4924 жыл бұрын
Nyaboke hope umesikia😂😂😂😂😂😂😂🙈🙈
@JuliusMuigai-u1dАй бұрын
Weee huuu afande nimeogopa , huu ukimcheat na ujuwe, utaingia kwa chino gani jamani??
@hashadabaso82995 жыл бұрын
I love this afande cate
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
I love you too, thanks
@edwinmayabi96505 жыл бұрын
Naona ukitoa hio mimba yaani ile kichapo nyaboke atakupa...oooh utaenda ukae na mamako
@alexkuriahwamutogoni93805 жыл бұрын
Wekelea Nyaboke Kichwa...... First half full time win......
@stevemosh35672 жыл бұрын
Kali sana
@excavatorman.21554 жыл бұрын
Muite kinyangarika...nyangarika nyaboke😂😂😂😂😂😂
@bettymwas14925 жыл бұрын
Nataka kuona hii vita ya nyamboke na cate 😂😂😂Victor u are dead
@vincentlusava97604 жыл бұрын
Fikita 😂😂😂😂 I like your comedy, very unique
@intelligencechris5 жыл бұрын
Nyaboke , Cate ameamua round hii huna bahati
@naomymoraa11544 жыл бұрын
Kinyangarika nyaboke🤣🤣🤣🎂
@eunistargrace43205 жыл бұрын
Cate Mimi sikuogopi.nasema na narudia,Mimi siachi kupenda Victor na ujinga yake
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Utachapwa wewe
@eunistargrace43205 жыл бұрын
@@UjingaZaVictorNaman aaahaaa,kwanza nimeskia hio akili yako bado ni mpya hujai tumia ati uuze,natafutia ng'ombe yangu ya kulima akili ikienda kwa shamba inalima peke ake
@sellineraudo47155 жыл бұрын
@@eunistargrace4320 hahahaaa
@karanimick40105 жыл бұрын
Hii ni noma .ati kama unaezajinyonga halafu ukuje, uje nitakushugulikia
@virginiawangare73654 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣nyamboke uko wapi
@kennedykodinya92865 жыл бұрын
hii yako ni mpya hijaitumika hehe
@akimmbwego7975 жыл бұрын
Broo kama bado ujaoa juu chini peleka posa👨⚖
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Hehe. Sasawa
@abouamaniofficial5885 жыл бұрын
5million shillings of Uganda 😀😀😃😃
@254purekenyan5 жыл бұрын
Nyaboke where are you? Kate wants to see you but Kate utagongwa labda utumie risasi
@joycendege41784 жыл бұрын
Nyaboke kuja tuoneshe cate maneno. Fika mbio😂😂
@hopefilmz65774 жыл бұрын
aki aki aki...mnanivunja bavu
@tommylove75 жыл бұрын
😅😅😅😅 akili ifanyiwe transplant juu haijawahi tumika...
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
😁😁😁
@allywilson41555 жыл бұрын
Afande cate you're so cute..
@johnbogonko43155 жыл бұрын
Afande? Afande? Mimi niko mbali lakini nikiona Nyaboke,huwa namuogopa. Hata ndugu yake juzi alisema kuwa huyo ako na wires amboyo connection yao haijakamilika. Na hata kama wewe ni mkisii, yeye ni moto wa electricity. Toroka au omba selikali uingie dogs 🐕 section utembeange na dog 🐕 ili ikusaidie wakati mtakutana na Nyaboke.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Hahaha advise poa, ndaendea k9
@johnrogeo21615 жыл бұрын
Fikita nilikuambia kitaumana,chanua Nyaboke mapema kabla hajamalizwa
@lucywambetsa44215 жыл бұрын
Nyaboke ni more fire ....waacha cate akohoe hapa
@josetuju10935 жыл бұрын
Hahaha five million Ya Uganda ni 250 Ya Kenya
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Ati
@wilisongitu44843 жыл бұрын
Napenda nyaboke sanaaa! Nyaboke mwaaaaàaaa
@obidickson11535 жыл бұрын
Umeletea fikita shida tena, sasa ndio atawawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@samsonmasha78915 жыл бұрын
Ma wife wa Victor wote ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@luckehazango30184 жыл бұрын
Unga korokoro tatu😂😂😂😂😂
@ZackTechVentures5 жыл бұрын
Hii vita ipiganwe ..yule atashida heshima idumu
@janejayne71995 жыл бұрын
We nyang'au kuja hpa aki woiyee 😂😂😂😂
@ej19_845 жыл бұрын
5 million ya Uganda 😂😂😂
@jamesmutua3075 жыл бұрын
nagoja ile vita vikita ameandaliwa na nyaboke!!!!
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Just stick around
@wlkmwlkm84865 жыл бұрын
Hahaa, da CATE nmeku MC sana hujambo. Uko sawa napenda sana da CATE.huyo Fikiti wewe ndio kiboko yake, Afande Cate mwambie fikita a change line ya smu, hakuna kuongea na Nyaboke
@AFANDECATEMONARI5 жыл бұрын
Hahaha ndamwambia
@mstevens8323 жыл бұрын
@@AFANDECATEMONARI yani May 2021 tuko area😄😄😄
@kennah25425 жыл бұрын
Enyewe cate ni afande. Risasi ngapi kwa siku cate😅😅😅