kzbin.info/door/vWp9GSyreTBjVIEXZSNbqA Here is another ribcracking KZbin channel in Luhya language. Kindly subscribe
@echamwashamba25485 жыл бұрын
Nakupenda bure afisa
@CometKe4 жыл бұрын
OMG you won't believe what Ng'ang'a said 😳😳😳😳 kzbin.info/www/bejne/mp7Pl6aGaMxjopI
@maryjaema54083 жыл бұрын
Hallo mr victor welcome to my you tube channel Mary Jaema official
@otroliver69163 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/jHqrd5ygbdiFpNE
@danielnjenga15013 жыл бұрын
@@echamwashamba2548 ppppppppppppp
@kimkim88085 жыл бұрын
I love this officer l think she suppose to be a police she talking and act exactly like police, talent 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼
@kiptookomen41275 жыл бұрын
😂😂😂😂
@abdulrahimmohamed70664 жыл бұрын
Ni kweli
@isayakombe10575 жыл бұрын
Hahahahaha! kama ww ni mtanzani 🇹🇿🇹🇿 gonga like nyingi na comment hapa
@katenke5 жыл бұрын
Isaya Kombe scratch my back bro
@fratashafranc37165 жыл бұрын
Hahaha wapi likes za officer
@vivosereni5 жыл бұрын
Afficer amefunzia maneno kiganjo
@kiplagatkandie7935 жыл бұрын
CCTV
@emanuelleopod39495 жыл бұрын
Napenda sana hawa watu hasa huyu dada ongea yake daaah 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 The boy from Tz🇹🇿🇹🇿
@jamesmasila68732 жыл бұрын
Karibu bro
@vivianwanini59065 жыл бұрын
😂😂😂 fikita kimeumana😂😂😂wah! ningumu kumwin Askari 😂😂ata wale wako nawao kwa nyumba woiii ni kujaribu aki😀😂👍👏👏🔥🔥
@jameskanyi59775 жыл бұрын
Piga like kama siku izi unawatch fikita juu ya officer kama mimi
@davidpekol95335 жыл бұрын
Finally officer aliingia box....i luv that officer
@kbm2415 жыл бұрын
"Evidence ya kukupenda"😂 😂 😂 😂
@vivosereni5 жыл бұрын
At 3:30 wangapi wanaskia cameraman pia akichecka ?
@janabtv36645 жыл бұрын
From songea Tz like nyingi kwa victor naman
@judekarianjahi1705 жыл бұрын
i love this lady,bold tenacious,creative and beautiful too,but please can we do something about her lips they need some love!!
@muthaurasamson45155 жыл бұрын
I swear i thought this lady was a true afisa ,ako na talent ,she will be great , mtu aniambie jina yake ,i need to watch more of this
@najmataaj51814 жыл бұрын
Cate monari
@robertngugi26175 жыл бұрын
God time is the best. Victor now has got the best collabo. All the best Guys .
@braodiekmutai46725 жыл бұрын
"Umnng....umnnng..." I like it when she says that..
@duduville5 жыл бұрын
This Lady officer is just good..
@daktarimu-g89045 жыл бұрын
Haha...this lady is the next big thing. She is talented
@albertgichana57164 жыл бұрын
Huyu msichana wetu ni mkali Sana. Kazi Safi mtoto wetu. Kazi Safi #afande
@micamathew64335 жыл бұрын
Natokea huku Tanzania, lkn hii ya Kenya axe ni kali sana hahahahaaaaaaa dhaaaaaaaaa
@michaelaila26485 жыл бұрын
I just love this Afande.
@denniskipngetichkoech77423 жыл бұрын
Alafu nkuulixaje afande unaoleka n vick ama mnakulana to...
@catherinmutheu53375 жыл бұрын
Hahaha.. Na ni kwa nini unapenda kunisimamisha? Kwani wee ni road block.? Congratulations officer.
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Catherin Mutheu *Soda ya fursana yauwa wa² 250 huko jijini* *daresalam* *Usisahau kusabuskraibu,Ku like,Ku she ya na Ku comment.*👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@sharonauma7745 жыл бұрын
Ati unanipenda nipe maneno nifurahie😂😂 afisa 🔥 🔥
@sureshyash42775 жыл бұрын
haha ati afisaa mimi afadhali ata uni shoot lakini nakupenda😂😂😂😂
@farhanaden89505 жыл бұрын
I love this officer to how she talk❤
@sureshyash42775 жыл бұрын
haha officer finaly amekamatika😀😀😀😀
@johnrogeo21615 жыл бұрын
na umetafutana na huyu Afisa,bt finally umempata👍
@estherhaloim14965 жыл бұрын
Hii clip ni moto sana 😂😂😂😂😂😂😂👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥imeweza 👍👍👍👍🍴🍴
@innocentkiwelo71025 жыл бұрын
Nakubaliiiiiiiiii sanaaaa we mdada
@mohamedabdi21575 жыл бұрын
Keep going dada umenifurashi san a haki I like your action and the way you speak like real askari
@barretkimani2705 жыл бұрын
Walai uyu dem amekubali
@barakasokoine99363 жыл бұрын
How are you
@mohamedabdi21573 жыл бұрын
@@barakasokoine9936 I am good bro And you How are you
@jamesgathaiya64505 жыл бұрын
Ati mm napenda pesa sio mtu ,,,,ati uko na evidence ya kupenda mtu 😁😁😁madam tulia uingizwa box
@bekathiongo3595 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@simonmdune90665 жыл бұрын
Hhhhhhhh afisaaa nakupaaa likes hhhhhhh
@constrinenasike47703 жыл бұрын
Eeeeh victor unaweza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@naomiwhite38325 жыл бұрын
Afisaa you're finished Victor atakuua venye anapigana na floor😂😂😂😂😂😂😂😂usisahau bling bling
@Briangold5515 жыл бұрын
Wah victor wewe ni mnoma ,Leo kamaingia box ! Kuta vitu asikusumbue tens
@adongom51405 жыл бұрын
😂😂😂😂 she is on point! Hahaha!
@amazingrefurbish23065 жыл бұрын
Yaani Afisaa Alipigwa mjelubweng! 😂 Kiherehere imeisha Sasa
@vivosereni5 жыл бұрын
Mjulubeng!
@Cecivigmin5 жыл бұрын
Nimecheka yangu yote🤣🤣
@innocentgadiel74125 жыл бұрын
😀😀😀huyu jamaa anatupa confidence ya kuwatongoza hawa watoto wazuri wajeda from +255
@nizzyknya84615 жыл бұрын
Picha kwa pesa nitakupenda😂😂😂😂afande nakuyanza walai
@mikewambati47734 жыл бұрын
Eti afadhali unishoot😍😍😍😍
@marvinkigame28385 жыл бұрын
😂😂😂😂 the police woman is on 🔥🔥🔥🔥🔥
@UduduComedy5 жыл бұрын
unapigana na floor aje .. si unaweza ua afisa hahaha
@shayopaterini86784 жыл бұрын
Hahahahaha leo victor anaenda kuvumiliwa
@kituobenjah5 жыл бұрын
#0:43 ati ofisa anafanya kazi na evidence?? 😂😂😂 Victor your videos are on another level. High level of creativity
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Asanta
@joekathembe60215 жыл бұрын
Afande uko on.point😂😂😂 kwa press ups uone kama ataweza kazi!!!!
@bennahmwass88805 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂afande unakunga na ujinga Sana'a💥💥💥💥😂😂
@saddamkhalifa26015 жыл бұрын
The Afande is dope🤣🤣🤣👊🏿👊🏿👊🏿
@estherhaloim14965 жыл бұрын
Victor anapeleka afande mbio kama bomb. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Mapenzi 😂😂😂😂
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Esther Okutoi *Soda ya fursana yauwa wa² 250 huko jijini* *daresalam* *Usisahau kusabuskraibu,Ku like,Ku she ya na Ku comment.*👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@igpeter23355 жыл бұрын
Usigive up chalii wangu😂😂😂😂😂😂😂😂
@francisnganga54815 жыл бұрын
wapi likes za hawa watu jameni
@mumblessed0015 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣officer utajua muluyah hachezi ati vikita heri aku shut lkn huwezi achana nae
@bwirahenry22365 жыл бұрын
Hapo sawa, afande I like you
@maryannanamyonalo98115 жыл бұрын
I like this officers character
@mwangiwawairimu82035 жыл бұрын
na usiuee ofisaaa vikita...round iii umetoboa
@boyfametz54305 жыл бұрын
Nimemsindikiza rafiki yangu kwa demu wake, mara ghafla wakaanza kugombana sasa kadada kakamwambia jamaa inuka uondoke na huyo rafiki yako mwenye kichwa kama panzi..... Jamani sasa hapo kosa langu nini.
@benardmwangi8435 жыл бұрын
Wakikutana na nyaboke🔥🔥🔥🔥
@djgsparta5 жыл бұрын
Victor what happened huko kwa nyumba 😂😂😂, endeleza the episode plz
@elijahthiga93915 жыл бұрын
Fikita umejaribu, Leo ameingia box
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
Mistari Ndio kali
@jrmrema81395 жыл бұрын
aki kutongoza officer ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahahaha .... ati nahitaji eveidence kama unanipenda
@mugishainnocent69545 жыл бұрын
Thank you bro. We love you very much
@theuprightman93035 жыл бұрын
Leo nilikua na hasira kutoka kazini, lakini hivi sasa nimecheka hata nimepelekwa Humber hospital
@harunimfaume62805 жыл бұрын
tena mupyaaa mupyaaaaa kazi imeishaaa chukua mzigoo usiduae
@SturehCharles5 жыл бұрын
Hahaha, round hii umeweza
@nicholuskipkorir93925 жыл бұрын
This lady must be a real police officer! Huyu anatatanisha!
@dhktv035 жыл бұрын
Leo ameingia box 😂😂😂
@Geee2544 жыл бұрын
Victor huyu askari alitoka wap....she is molding your content
@mohamedabdi21575 жыл бұрын
Ati sipendi mtu napenda pesa 😂😂😂😂😂😂😂 wewe ni wazimu wa pesa
@josephsixers94303 жыл бұрын
Security love😂....nikama Alienda mkula ki officer pia🤣
@wykerztv90695 жыл бұрын
Don't give up fikita 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@H.sazo.5 жыл бұрын
DAAA MPAKA NAMUONEA DONGE LEO NDIO ANAFANIKIWA KWENDA KUPEKUWA VUZI JAMAA ANA MOYO UYU
@charlesheaven63445 жыл бұрын
Wow you guys are going far
@manning9795 жыл бұрын
Officer kimbia hapo pagumu😂😂😂
@UjingaZaVictorNaman5 жыл бұрын
kzbin.info/door/VVuXUImpU_-H3s0WIv6Zjg First viewers wanasubscribe hapa for more of my clips
@catherinmutheu53375 жыл бұрын
Eti utakua ukitoka kwa nyumba kama mtu amekunywa illicit brew..Hahaha.. Thumbs up 4 officer.
@dadysteve90965 жыл бұрын
This lady is talented eti mdomo inakaa kama alcohol blow😂😂
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Dady Steve *Soda ya fursana yauwa wa² 250 huko jijini* *daresalam* *Usisahau kusabuskraibu,Ku like,Ku she ya na Ku comment.*👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@paulfrancislaizer3024 жыл бұрын
@
@paulfrancislaizer3024 жыл бұрын
😇😉@@Zanzibar_quiztv
@paulfrancislaizer3024 жыл бұрын
ZAG
@paulfrancislaizer3024 жыл бұрын
Zzzzzv
@ymusic8035 жыл бұрын
like kwa wa Tz tulio mwelewa officer
@kelvinmuchiri42995 жыл бұрын
hahahahhahahaha waaaaaa ati kwani mimi ni boom
@mariamamour6425 жыл бұрын
afazali unishut lakn nakupenda ofsa 😂😂😂😂😂😂😂
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Mariam Amour *Soda ya fursana yauwa wa² 250 huko jijini* *daresalam* *Usisahau kusabuskraibu,Ku like,Ku she ya na Ku comment.*👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@ciszewangz44005 жыл бұрын
Victor uko sawa endelea bro
@rollexkoyi71315 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Nayo nayo. Leo ametii.
@obagoabhiathan35655 жыл бұрын
Hayiiii gathe kwani Kuigiza coplo bocks nilazima uwe umekuwa unakwenda kwa Gym..... Hii ni mnomaa
@williamkamau64765 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🏃 nimekwama apo kwa alcohol blow 😂😂😂😂
@ambakisyemwakinunu55505 жыл бұрын
Toka tanzania 🇹🇿afande huyu eti kwani hela ikiwa mpya inaongezeka? 😀😀😀😀😀
@johnmasaba41995 жыл бұрын
Next time nataka kuona vile unaconvince officer kuingia bedroom..
@hamiskasara86725 жыл бұрын
From tz napenda sana
@felistafrancis11625 жыл бұрын
Wao amazing and keep up bro Victor
@sautipepetv2 жыл бұрын
Galdem amekuweza ten nill😂😂
@deusotienda25645 жыл бұрын
😂😂 nyumba ni room ngapi
@johnmwangi24355 жыл бұрын
Nadi huyu afisa anakuwaga serious walai anakuwaga ameweza sana
@omerakenyancomedian49315 жыл бұрын
omera hua una nimalizaa huyoo afisaa keep movinggg hahaha
@zuberabdullahi12975 жыл бұрын
Afisa nyinyi. Mnakuanga binadamu kweli
@kenroymwendiog72684 жыл бұрын
Naaman akona TV kubwa😂😂
@samuelodangah40585 жыл бұрын
Madam endea uyo Kijana kazi...up up down,ruka chura etc.
@neimagracious6675 жыл бұрын
😂😂 huyu afisa ni muoto sana Fikita huna bahati
@arumiamohamed4374 жыл бұрын
From Tanzania 🤝
@luckytonmusungu5 жыл бұрын
Mdomo kama alikoboloooh😂😂🤣😂🤣😂
@patrickk.chepchilat81515 жыл бұрын
Afande weww ni noma,, fanya presup hahaaha
@moseskiptoo41934 жыл бұрын
Afadhali unishoot lakini mm nakupenda, haha
@wilsonsindavi70005 жыл бұрын
Hahahaaa napenda hii sana..na hivyo ndio maafisa huwa wanaongea.