huu wimbo ni mzuri sana,ingependeza kama ungerekidiwa upya katika viwango vizuri
@MaliMisango-yr3wt Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana,mtunzi na waimbaji wote Mungu awabariki mzidi kuitangaza injili kupitia uimbaji.
@florahkimbage95714 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo🙏🙏 Mimi ni mtu alieonja Mateso
@rehemajoseph15862 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana ninapouangalia Mkanda huu nawapa big up wote
@dorahbaraka15756 жыл бұрын
nabarikiwa mno Dada unaimba bwana Mungu akutumie kwa utukufu wake
@giselajackson66696 жыл бұрын
dada upo vizuri kwa sauti
@nassormaruka54715 жыл бұрын
Mungu akutie nguv ktk kazi ya Bwana
@alphayomogunde78284 ай бұрын
Kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya nabarikiwa sana.
@rozakimario22146 жыл бұрын
Kwa akili yangu siwezi!!!! Ujumbe mzito sana !!! Umenibariki sana dada
@naomitimoth17115 жыл бұрын
nabarikiwa sana na huu wimbo
@lovenesscharles95992 жыл бұрын
Huu wimbo nilianza kuusikia 2017 nimejikuta Leo unanijia kichwani Mungu ni mwema Sana wimbo mzuri mnooooo
@jescaphilipo58396 жыл бұрын
ahsanteni sana
@herberttugara49372 жыл бұрын
Niliusikia kwa mara ya kwanza 2014 mchana wa saa saba nikiwa ofisini baada ya mambo kunichanganya sana...unanibarik sana na kunikumbusha mbali sanaaa...stay blessed wapendwa🥺
@patrickpastory62166 ай бұрын
Huu wimbo niliusikiliza na kutazama video yake kati ya mwaka 2014 nikiwa Kahama Shinyanga Albam hii niliipenda sana bariwa watumishi wa Mungu
@NigaBoy-r3i Жыл бұрын
Goma kali sana
@mwastynhand99 Жыл бұрын
Kwa akili zangu siwezi Kwa maarifa yangu siwezi
@rhinaregina58067 жыл бұрын
Amen nikweli shetani amesubuwa wangi Sana Asante sana Mungu wangu awabariki Sana nikuja kwako Yesu unisaidia 😩😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@jasiminjasimin76942 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinanibariki sana
@dennismwiga20633 жыл бұрын
The song is spiritually touching. Great job well done. Stay blessed.
@TUVANASEKIETEАй бұрын
Wimbo wazaman hauwez chuja hunibariki ktk magum ninayo pitia nafarijika
@winnerjaphet9355 Жыл бұрын
The Song for confession 🙌
@kennedybrown348 Жыл бұрын
Hii nyimbo muiweke boomplay pls maan zingine zipo ila hii siioni pls pls pls
@tajaelmichael2274 жыл бұрын
Huyu dada anaimba vizuri sauti yake Kama dada mwiingine wa aic mpanda dah Mungu awabariki