UJUE MTI WA MFYAGIO UNAO OGOPWA NA WACHAWI |MFYAGIA UWANJA |SHEIKH YUSSUF BIN ALLY

  Рет қаралды 115,962

AL FAJR TV TZ ONLINE

AL FAJR TV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@saraaljabry1399
@saraaljabry1399 2 жыл бұрын
Mashallah mungu akuengezee zaid na zaid ufahamu wa elmu yako na kujaalie malipo meme amin
@rashidially8999
@rashidially8999 3 жыл бұрын
Na mm natoa sadaka mti huo huo mwenye tumbo la kuhara atwange majan anye, innshaalah atapona
@bintybaba3486
@bintybaba3486 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah, shukran sadaka hii ikusaidie siku ya malipo
@rosejohn5774
@rosejohn5774 Жыл бұрын
Asante sana sana ukweli mnatuokoa na watu wambaya
@wafulaedward13
@wafulaedward13 7 ай бұрын
Nashukuru shekhe. Natamani kukutana
@nibigiraassina9656
@nibigiraassina9656 3 жыл бұрын
Sina zaidi ya kusema Allah akupe mwisho mwema
@zussicutie
@zussicutie 3 жыл бұрын
Asalamu aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh Mola akubariki zaidi na akuzidishie afya njema In'Shaa'Allah Ameen 🙏😊
@mrpresedent4159
@mrpresedent4159 3 жыл бұрын
Madrasa imejengwa vizuri Mungu aijaalie ni yenye kutoa wanazuoni wengi Kitu ambacho ningewashauri watoa ramani ni kwamba madirisha yawe makubwa kwani watoto ni wengi wanaosoma kwa wakati mmoja ili hewa asilili iingie kwa wingi mdani na kuepusha marazi ambulizi Ahsanteni
@alfajrtvtzonline9315
@alfajrtvtzonline9315 3 жыл бұрын
Shukran Amiin inshallah
@farashuusuleiman4792
@farashuusuleiman4792 3 жыл бұрын
Hkweli kabisa nidawa tosha
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 3 жыл бұрын
Shukrani sheikh mungu akubariki sana
@saidhassane5384
@saidhassane5384 3 ай бұрын
Macha allah ❤
@nooromar4201
@nooromar4201 3 жыл бұрын
MashaAllah Tabarakallah. Mungu akujaze kheri. Na InshaAllah mm utakamilisha ujenzi wenu
@alfajrtvtzonline9315
@alfajrtvtzonline9315 3 жыл бұрын
Amiin inshallah
@samiaalriyami3488
@samiaalriyami3488 3 жыл бұрын
Jini mahaba litatoka moja kwa mojaa
@zukhuraothman9838
@zukhuraothman9838 3 жыл бұрын
Mashaallaah.allah akulinde shekhe wetu
@munaaabdulrehman4771
@munaaabdulrehman4771 3 жыл бұрын
A a nakuomba kama nitapata mungu zako namimi miranda unisaidiye maana naumwa naming atakubariki inshaalla.
@munaaabdulrehman4771
@munaaabdulrehman4771 3 жыл бұрын
Nimekosea kuandika nataka mbeguzake plz.nisaidiye
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 3 жыл бұрын
Mashaallah umetupa darasa zuri, hilo fagio nimefagilia sana nyumbani kwetu Tanga
@maryamkhamis7397
@maryamkhamis7397 3 жыл бұрын
Mashaalla mungu akupe kher kwa saddaka hii ya dawa
@sampoulyhabiby5086
@sampoulyhabiby5086 Жыл бұрын
Ahsante
@bernardkiza8397
@bernardkiza8397 Жыл бұрын
Mashallah
@kababayeemc6714
@kababayeemc6714 3 жыл бұрын
Shehe mungu akulipe sana nimejaribu tiba zako wallah zipo sahihi nikiwa sawa mola anikumbushe nikija zanzbar ntakuja kukusabahi Huna uongo hata robo,,mungu akuzdishie kabisaa
@alfajrtvtzonline9315
@alfajrtvtzonline9315 3 жыл бұрын
Amiin inshallah
@farashuusuleiman4792
@farashuusuleiman4792 3 жыл бұрын
Ishaallah hata mm nilipokuwa bado mtoto nimefagilia Sana nyumbani kwetu kwa Mama. Kweli wazee walikuwa na hekma KUBWA mnoo hiyo ni sayans ni somo tosha
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@zussicutie
@zussicutie 3 жыл бұрын
Nami nautaka sheikh... In'Shaa'Allah na mti wa mkunazi 😊
@matasamadulu2970
@matasamadulu2970 3 жыл бұрын
Sheikh, Allah akujalie saana
@DafrosaKwayu-ed4rj
@DafrosaKwayu-ed4rj 2 ай бұрын
Naomba dawa ya mzio nawashwa mnoo
@imaninasoro7527
@imaninasoro7527 3 жыл бұрын
maashaallah
@shufaahmmmohamed1833
@shufaahmmmohamed1833 3 жыл бұрын
Allah atakulipa inshaallah, shekh mie nina shida ya jin mahaba na imefika mpaka ananijia kabisa, wallah nikitumia dawa namuota anakusanya nguvu kama umeme mawinguni kwa hasira.na sijawahkishika mimba je hiyo pia naweza kutumia
@alfajrtvtzonline9315
@alfajrtvtzonline9315 3 жыл бұрын
Amiin Unaweza
@afsaporini2064
@afsaporini2064 3 жыл бұрын
Huo mti sijaufahamu vizur au huku kwetu haupo
@issakawaya8315
@issakawaya8315 3 жыл бұрын
Allah akuongoze
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 3 жыл бұрын
Masha Allah Swaahibu Al-Ashjar Superb as always, BarakAllah feek Sheikh
@maryamkali9548
@maryamkali9548 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@mkasrmohammed3794
@mkasrmohammed3794 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah akusimamie na kazi zako inshaallah
@rayamussa8915
@rayamussa8915 3 жыл бұрын
Mashallah .Allah akubarik
@binloufy454
@binloufy454 3 жыл бұрын
Ma sha allah
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
Samahani Mtume, hii miti waweza kupata MAJINA kwa kizungu au inapatikana wapiwapi mikoani bara.. ASANTENI
@mohamedkhairudin6418
@mohamedkhairudin6418 3 жыл бұрын
MashaAllah kwa darasa unalotupa na kujifunza kwako kwa neema ambayo Allah aliyokujaalia.shekhe nakuomba utupe darasa la ugonjwa wa nyama za pua kama kuna tiba yake ya asili au sunna?
@justussafari8111
@justussafari8111 6 ай бұрын
Asante sana Dackari, tafadhali weka number yako
@NassraMaulid
@NassraMaulid 7 ай бұрын
Aya za shufaa ni zipii
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤
@anneafrica939
@anneafrica939 2 жыл бұрын
MUNGU Nisaidie siku moja nikuone 2022 niko mbali tanga japo ni mkristo ila umenifungua akili na macho .
@ShamimuAbassi-eh9ro
@ShamimuAbassi-eh9ro 8 ай бұрын
Tunaomba namba
@LilyooKamone
@LilyooKamone 2 жыл бұрын
Mfagio n mtu gani au nimkunazi me nipo kenya nijuzeni basi
@Sarasara-fi9zp
@Sarasara-fi9zp 9 ай бұрын
Kweli mm huwa naingiliwa nikiwakwenye siku za hatari
@ShamimuAbassi-eh9ro
@ShamimuAbassi-eh9ro 8 ай бұрын
Asante ila namba azielewiki
@shajarahhassan366
@shajarahhassan366 2 ай бұрын
Tuma mbayako
@elizabethwoga5140
@elizabethwoga5140 3 жыл бұрын
Shukran 🙏🙏 . Je dawa yaku fanya mtu hawache pombe ?
@rajabmwayama9257
@rajabmwayama9257 3 жыл бұрын
Asalam alaykum, nko Kenya tiba tapataje
@salometumainiely9455
@salometumainiely9455 3 жыл бұрын
Jaman dah
@lutfiyaaly-de7wc
@lutfiyaaly-de7wc Жыл бұрын
Ndio huo unaitwa ufagio mweupe au?
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
"Kisio(key)"
@gideonmbaka6585
@gideonmbaka6585 3 жыл бұрын
Waaa,kwa English hunahitwanjee
@anneafrica939
@anneafrica939 2 жыл бұрын
Jini mahaba amenitesa ila nakufatilia naamini nitapona Wewe baba jamani
@midhaausi2995
@midhaausi2995 3 жыл бұрын
Ck ngp unjwaj kwa ajl ya sihr maalim
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 жыл бұрын
Kama mchawi yuwajifagia miguu nahuo ufagio
@cutedon6804
@cutedon6804 Жыл бұрын
Wewe sio mzima wa akili una matatizo ya akili
@sakinakopwe2679
@sakinakopwe2679 2 ай бұрын
Wew ndo mgonjwa wa akili
@midhaausi2995
@midhaausi2995 3 жыл бұрын
Kuinywa kwa ajl ya shr ni kwa ck ngp sheikh
@alfajrtvtzonline9315
@alfajrtvtzonline9315 3 жыл бұрын
7
@hallowkij5677
@hallowkij5677 3 жыл бұрын
sheikh yussuf mbona namba zako nyingi
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 жыл бұрын
Hizo nyengine sio zake ni kwa ajili ya KUCHANGIA ujenzi wa madrassa... number zake ni mbili tu...hapo
@daulatibrahim7765
@daulatibrahim7765 3 жыл бұрын
Masha Allah
@mwanaramadhan7059
@mwanaramadhan7059 3 жыл бұрын
MashaaAllah
TUMIA MTI HUU KUONDOSHA MIKOSI KATIKA  KAZI ZAKO / SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
20:10
ZIJUE FAIDA NA TIBA ZA MTI MKUU |MBAAZI  SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
19:18
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 707 М.
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 2,7 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 3,5 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 22 МЛН
KUKOJOA KITANDANI (ENURESIS)
12:25
Dr. Alamin Suleiman
Рет қаралды 14 М.
UJUE MTI UNAOZUIA WEZI NA WACHAWI |MSOFU SIMBA |SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
13:14
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 64 М.
HUU NDIO MTI UNAOFUNGUA UCHAWI WA MAFUNDO SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
24:55
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 10 М.
LIVE: FAIDA ZA MTI WA MKUNGU | FAHARI YA TIBA ASILI
52:03
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 89 М.
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 2,7 МЛН