Kwakweli mimi napenda neno la Mungu sana kuzikiliza na kusoma na watumishi nao wafatilia na kuwaelewa ni pr Semba na mch kenani mwasomola nawakubali sana Munanena ukweli kabisa ,,wengi sikwizi wanaficha sana kanisa WA Adventist wanasuka ,wanavaa vibaya na wanapaka rangi Japo siyo wote Ila asilimia 45 ya kukadiria wamo wasio na Hofu na Neno la MUNGU.. Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
@molinangoy89327 күн бұрын
Ubarikiwe sana🙏🏾
@ronaldhelmott83796 ай бұрын
Amen ....pr Mungu akubariki sanaa pr.
@SamuelNdulu-bz7qv6 ай бұрын
Waooooo Saf san leo mubashara
@benyavan57746 ай бұрын
Yego mlefi uko vizuri tangu enzi zile ukiwa kiongozi wangu wa vijana kule Bunda umekuwa imara hadi Leo kwa ukwel ulio simama, Barikiwa sana pr
@paulsemba_TV6 ай бұрын
AMINA, OMUKAMA ACIMWE
@user-jg3fn6os1v6 ай бұрын
Nabarikiwa sana pastor,,karibu Mombasa Kenya.
@paulsemba_TV6 ай бұрын
AMINA
@stephanomganga97436 ай бұрын
Pr. Seemba na timu yote uliyonayo hapo Itete.......na washiriki wote Mungu aendelee kuwainua,kwa kujifunza Neno ktk siku kumi za maombi
@vayaulashedrack59946 ай бұрын
Naendelea kubarikiwa tokea hapa mbeya adventis primary school