UKATILI: MREMBO ASIMULIA MAZITO, WAFANYAKAZI wa NDANI UARABUNI WANAVYONYANYASWA....

  Рет қаралды 13,963

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

UKATILI: MREMBO ASIMULIA MAZITO, WAFANYAKAZI wa NDANI UARABUNI WANAVYONYANYASWA....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 237
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 жыл бұрын
Kweli dada ni wachache Sana wenye kuwadhamini wafanya kazi kweli tunadhaliwa Sana Hakuna mkataba ili tuheshimiwe na sisi tufanyiwe mikataba
@sleyumomar3637
@sleyumomar3637 3 жыл бұрын
Dada upo sahihi,, ila kuna wtu yanawaingia vzr ila hawataki kusema kweli
@Hidaya-os1pg
@Hidaya-os1pg 5 ай бұрын
Mungu akulipd tu kwa kuthubut kuzungumz angalau la da serikLi itaelewa pia nimekupenda kwa kuzungumza ukweli yan had nimesikia raha hongera sana umetupambania
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
Japokuwa sipitii shida ila anayosema dada yupo sahihi kabisa nimefurahi sababu anawasemea wasichana ambao wanapitia shida kila kitu nimekipitia ila namshukuru Mungu nipo nimefikia sehemu salama Dada hongera MSIJISAHAU WENGINE MLIO SALAMA JUENI KUNA WENGINE WANAPITIA SHIDA TUPAZE SAUTI TUSAIDIKE WOTE TUWE SALAMA
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Amina kma mimi boss wangu wa kwanza hadi nilipigana nae ngumi na nikatoroka nikakimbilia kwa Ajenti wangu
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
@@sukariyao6537 kabisa mama kuna wengine wanapitia shida tena ni marafiki na ndugu zetu kuwa kwetu salama hatupaswi kuwasahau wengine wanaopitia magumu
@hawarajabuinalilahwainaila1895
@hawarajabuinalilahwainaila1895 2 жыл бұрын
Huo ni ukweli mtupu bila chenga huku tunapitia magumu hakuna mapumziko hata ukiumwa utafanyaje kazi tu dawa kubwa ni panado
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 жыл бұрын
Kazi za huku ngumu tusidanganyane wengi Hakuna ofu juma 3 hadi juma 3 ila shida zetu tu ndio zinatufanya tusitamili
@chauligemeka7840
@chauligemeka7840 3 жыл бұрын
🤝
@fahmaali8945
@fahmaali8945 3 жыл бұрын
Hayo maneno anayo sema huyo dada nikweli maneno.yake hasemi uongo
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mimi nipo oman nashukuru mungu alhadulilah nafanya kazi lakini muda mwengine napunzika siyo kila muda gari nasafisha lakini siyo kila siku wiki mara moja tena gari moja tu
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Ай бұрын
Uyu aiwezi iyo kaz zandani
@gubi801
@gubi801 3 жыл бұрын
Unyanyasaji sio nchi za uarabuni tu, mimi naishi uingereza lkn kuna unyanyasaji balaa, kuna watanzania wengi na waafrica wanaopitia mateso na udhalilishaji wa hali ya juu, sababu kubwa ni ukosefu wa mikataba na uhamiaji haramu, nakumbuka kuna kesi ya kijana wa kitanzania miaka nane iliyopita ambaye aliingia uingereza kwa njia haramu lkn mwajiri wake alimfanya mtumwa kwa kumtumikisha bila malipo huku akipewa milo miwili kwa siku kwa muda wa miaka 6. Bahati nzuri majirani waligundua na kuripoti Polisi na ilifika mpaka bungeni. Mwajiri alihukumiwa faini kubwa na kuamriwa kumlipa mafao yake kwa muda wote aliomtumikia plus overtime. Maoni yangu ni vigumu kuzuia haya kwa sababu ya umaskini wetu hivyo serikali za africa ziwajibike kwa kutupatia ajira, Africa is a rich continent lakini hatuna viongozi🛑
@aishaissa2512
@aishaissa2512 3 жыл бұрын
Yani dada umenigusa mm niko oman unayo sema nikweli huku kunashida sana tunavumilia tuu sababu huko tz hakuna kazi
@Catherine-u6g
@Catherine-u6g Жыл бұрын
Jmn we acha tuu
@asmahassan5661
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Tupo wang😢😊
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
@@asmahassan5661 umeona my love 😘
@khadijajacob2214
@khadijajacob2214 3 жыл бұрын
Jamani wasiende kiholela, nafikiri kuwe na utaratibu maalum
@achouasha2073
@achouasha2073 2 жыл бұрын
Alhamdoullillah apa Rwanda tunashukru Laisi wetu HE Paul KAGAME mungu ampe afia kisa apa hauwezi kutoka hivyo bira hawakucheli rabda ukipita panya road.apa Rwanda ni vigumu sana kutoka unaelekea inchi za warabu.
@mammymo658
@mammymo658 2 жыл бұрын
Hii imekuwa ni too late but nimeiona ila kuhusu kufungiwa ni ofisi za wafanya kazi wakikimbia kwa mabos wake wanapelekwa embas Lakin Kuna wadada pale embas wanakupeleka kwenye ofisi na huko ndio unafungiwa usiku mchana mpaka unapata kazi akija anafungua mlango anaingia ndan analeta alicjolet kisha anafunga mlango me nilihoji hivi kwann tunafungiwa mlango ikitokea ajali sinatukufa hum ndan.... Inauma wallah
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 жыл бұрын
Yaani dada angu umesema kweli hukana Mfanya kazi wa tz anakuja huku kihalali Hakuna Mimi nimekuerewa natamani kupata no yako yote hayo nakuunga mkono Serekali yetu I tuangalie tufanyiwe mikataba huku tunaonsha magali kweli hata Mimi hapa tunaosha magali yaani acha tu hata Mimi Nina yangu moyoni ipo siku nitakuja kusema tu ila nipo huku uwarabuni
@مريمالحارثي-و4ر
@مريمالحارثي-و4ر 3 жыл бұрын
Dada ab nasea kweli kabisa yapo huku nanatendeka
@YahayaAlly-k5b
@YahayaAlly-k5b Жыл бұрын
Jamani dada zangu msiede huko mbona. Alidhi tunayo. Tz. Tulimeni. Mashamba tutafanikiwa mungu. Yupo nasi
@shi5a_
@shi5a_ 2 жыл бұрын
Pole sana dada kwa machugu uliyoyapata binadam tumeumbwa wamoja lakini siyo wote nakuhisi kwa machungu lakini c wote bora ugekua upo mkataba ni vizuri sana
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Nikweli kabsa dada umeongea point serikal iingilie kat
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Jaman wakifa bos anakusafirisha .tatizo waswahl wakifika huko wanatoroka wanaacha pasport sasa likiwakuta huko nje ndio na bos anamkata.msiwalaum warabu waafrika wanatoroka wanaacha pasport
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Ndio Ivo vingine anachapia 😂😂😂😂
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Ай бұрын
Natembea kwa mguu lkn nalala ndani kwasababu ya omani ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@sarahmackenga3868
@sarahmackenga3868 3 жыл бұрын
Huyu dada anaungea ukweli mtupu, kama unaenda kufanya KAZI uarabuni visa hawakupi, Airport upiti
@munirahmed7753
@munirahmed7753 3 жыл бұрын
Kinawapeleka nn kama Visa mnanyimwa? Mbn hatuwaelewi mnataka serikali ifanyeje na zile ni nchi za watu! La msingi mbakie hapa kwenu mwenye kazi
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
@@munirahmed7753 😳😳😳😳🤔
@turibamweali8661
@turibamweali8661 3 жыл бұрын
Marekani mtu yeyote anfanya kazi kws campany hakuna kazi za ndani malekani kabisaaaa
@AgnethaKapinga
@AgnethaKapinga Жыл бұрын
Kweli kweli dada dada hadanganyi mm np oman mwaka huu 2023 uyo agents fara mnajua tunayoyapitia angekuja nimuone kwanza
@sabraalkhusebi4220
@sabraalkhusebi4220 3 жыл бұрын
Na msije kufanya kazi mmelazimishwa nanani mjinga ww acha uongo ww mrundi mmoja
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
Dada km ulivokuja wewe kutafuta ndivo na wengine pia walikujs kutafuta ukiishi vzr mshukuru Mungu usijisahau wacha roho mbaya tupendane tuwajali wenzetu hawakupenda
@shangazshangaz4222
@shangazshangaz4222 3 жыл бұрын
Kweli wewe dada unaongea ukweli mwezi kwa huku oman nisawa na mwaka
@turibamweali8661
@turibamweali8661 3 жыл бұрын
Kwa nini mwezi wa huko ni kama mwaka?
@ادريسالبلوشي-ل9ي
@ادريسالبلوشي-ل9ي Жыл бұрын
Kazi ni nyingi sana,halafu ukipata bos mwenye roho mbaya basi utaomba ufe😂
@mwanahussein5935
@mwanahussein5935 9 ай бұрын
Dada kaongea point💔
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Mbona Mimi nilipita vizuri tu jamani uwanja wa ndege nimeenda mwenyewe sijaona chocolate Tena tulikuwa wengi Tena mwaka jana mwezi wa tisa natena nilikuwa na mkatabmkataba wangu Tena ajenti wangu alikuwa Mudi mwishehe saidi
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Mdada umeongea kwa uchungu Sana, uliyo ongea yote ni kweli tupu, umejitoa kwajiri ya kutetea wengine.
@aminabakari5408
@aminabakari5408 3 жыл бұрын
👏👏👏🙌
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Jamani sio wote mbona sisi tuko uku Toka 2o16 mpaka sasa SEMA mwanzo ni mgumu ukicha zoea tu basi kikubwa uvumilivu tu
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Ай бұрын
Mm safar zote nasafiri kihalali ww inawezekana ata taesa upajui
@badaral6167
@badaral6167 2 жыл бұрын
Zamani nilikuwa yatima niña miyaka kumi na mbili nilifanya kazi zandani magomeni mapipa baci yule dada alinitesa sana sitp sahau Yani apo chamuimu Shelia ifatwe tu lakini mateso kila seem yap
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd Жыл бұрын
Jmn eeeeeeh sio waarabu wote wengine wazur ata huko kwetu Tz pia wapo maboss wenye roho mbaya
@rehemakiswago4843
@rehemakiswago4843 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 2 жыл бұрын
Nikwel kabisa hongera cn
@AliKhamisi-f4m
@AliKhamisi-f4m Жыл бұрын
Hii ya zamani sana ila kuliwa kwa maradh uongo
@aishamuhammed-xq2ii
@aishamuhammed-xq2ii Жыл бұрын
Umeongea ukweli mtupu dada mm pia nipo oman na nipo pamoja na ww na asante kwa kujitoa kwa ajili ya wafanyakaz kama sisi
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 9 ай бұрын
Kweli Dada anachosema mm nikirud TZ nitakuja huko kwenye kipindi cha mapito huyu Dada haongopi huyo anaesema Dada muongo ye ndio muongo
@rizikisuleiman2139
@rizikisuleiman2139 2 жыл бұрын
Hili suala serekali iingilie kati huyu dada sio wa mwanzo kusema na kwnn wanawachukulia passport zao, waarabu wanapenda utumwa na ni wabaguzi tusifichane, hili suala ikiwa nyinyi ni chombo cha habari mlipeleka sehemu husika ili lifanyiwe kazi na watanzania wapate usalama pamoja na haki zao.
@hidayasaidi7872
@hidayasaidi7872 2 жыл бұрын
Unaongeyaukwelimwanangu🙏🙏
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 2 жыл бұрын
Waarabu washenzi sana wanadhani bado tuko enzi za ukoloni sijawahi kabisa kuwakubali hawa watu kwa sababu ya kujiona wao ni wa maana sana
@rahmooosaidooo1146
@rahmooosaidooo1146 2 жыл бұрын
Utakufa maskini kwa roho mbaya.huwalishi huwavishi ila wao ndio wakulisha mbwa ww
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 жыл бұрын
@@rahmooosaidooo1146 wewe ni mwarabu sio mbona umepanic
@rahmooosaidooo1146
@rahmooosaidooo1146 2 жыл бұрын
@@fatmafatu1128 kwani wa kupanic lazima awe mwarabu.kwahiyo tukiona mtu anatukana ovyo tusikanye
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 жыл бұрын
@@rahmooosaidooo1146 bas poye
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Mwarabu Sio mtu
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 2 жыл бұрын
Huyo dada kaongea ukweli kbs Mimi binafsi rafiki Yangu aliondokea South Africa aliyoyaona huko njian ni htr.usalama.hakuna.kbs.serika.yetu.iweke.maktaba.kama.wezetu.philipin.indonesia.bangladesh.nk✍️🙏
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mimi mkataba wangu ninao sina wasiwasi naondoka kwa sheriya zote zipo mikoni agent ni mwizi passporty anambia laki 3 na nusu kwa upande wake kwa officin laki 1na 30 unaipata passporty
@allyhasani4498
@allyhasani4498 Жыл бұрын
Dada anachoongea ni kweli
@florahpeter3843
@florahpeter3843 Жыл бұрын
Hiyo ofice ya kupata pasport inapatikn wap maan niliabiwa et paspt ni laki tat unusu na maajent
@tato8979
@tato8979 Жыл бұрын
Nikweli dada mimi mwenyewe nilipita zambi Zimbabwe mpaka South Africa ndotulipo pandia ndege
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
Maajenti wetu wa Tz ndiyo wanafanya sisi tulipwe pesa ndogo hawatutetei kabisaaa nchi za wenzetu wanalipwa mishahara mizuri sana kwa kuwa maajenti wao wapo vizuri sana
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 Жыл бұрын
Hayo anayoongea huyo dada ni kweli kabisa sio uongo airport hupiti mpaka utoe pesa ndio uje oman
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 Жыл бұрын
Jamani msikilizeni huyu dada anaeongea ukweli sisi tupo huku yanatukuta kweli
@ادريسالبلوشي-ل9ي
@ادريسالبلوشي-ل9ي Жыл бұрын
Sio maajent,yaani iko hivi nchi za wenzetu pesa yao haina thamani kama Tz,mfano mzuri nchi ya Philippines hata walipwe rial 150 kwao ni pesa ndogo sana lakini Tz hata ukilipwa rial 100 bado pesa ni nyingi sana.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
💔😪😪
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd Жыл бұрын
Khaaaaah
@zaitunomar54
@zaitunomar54 Жыл бұрын
Jamani nikweli anasema huyu dada tanzaniya lazima kuwe nausimamizi tunsfanya kazi lakini hatuna mikataba jamani
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Huyu Dada alimpenda mume wa mtu kule mke wa boss wake kamshtukia karudishwa bongo,sasa hapo ndo mapovu yote hayo
@tinasteve5181
@tinasteve5181 2 жыл бұрын
Acha umbea ww mwarabu, unasingizia watu kendra sokwe nyie
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@tinasteve5181 mhhh jamani hey Christina ombu nipatie number yako tuwasiliane
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@tinasteve5181 mbona upo kimya dear nipatie namba zako basi
@turibamweali8661
@turibamweali8661 3 жыл бұрын
Marekani ata uwe Obama utafanya kazi za ndani weye na family yako hakuna mutumishi wa ndani Marekani
@مريمالحارثي-و4ر
@مريمالحارثي-و4ر 3 жыл бұрын
Wewe kwahiyo marekani hawafanyi kazi
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
@@مريمالحارثي-و4ر wamarekani na inchi za ulaya wao wenyewe hawana ajira,vipi waje kuajiri wengine?wamarekani na waulaya wao wenyewe nima house girls nama house boys,wana ajiriwa ktk mahomes cares,n.k kama babysitter
@zaitunomar54
@zaitunomar54 Жыл бұрын
Lakini kwanini tunapita hapi tz kujaa nchi za uarabubuni bila kululizwa mkataba
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Wewe unatafuta kiki na unachuki na waraabu tu unaeleza story ambayo huna ushahidi wowote halafu unamlaumu sanaa agent kwa kupita njia za panya nyinyi wenyewe mnakubali kupitishwa njia za panya,lakini ujue mshahara unaopewa in mkubwa sanaa kuliko hata huku east Africa na huku east Africa unakutana na kazi ngumu kiliko huko,unalalamika kuosha gari unalipwa zaidi ya laki tano kwa mwezi njoo uone wafanyakazi wa huku bongo tena kwa waswahili wenzao uone kazi wanazofanyishwa
@justinendizeye714
@justinendizeye714 3 жыл бұрын
Warabu wana roho za dhiki sana, muwe makini sana warembo
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Kabisa mungu atuonekanie tuuh tunapitia mengi 😥🤲
@officialruqaiyah8138
@officialruqaiyah8138 2 жыл бұрын
Ni kwel hata mm nilidanganya naend Nairobi sikusema naend oman wakaniruhusu
@emilianaernest3232
@emilianaernest3232 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😔😔
@christaoman8890
@christaoman8890 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa hakuna mikataba ya wafanyakz wa tanzania
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Mikataba ipo ila ajent wako ndy tapeli hakuchukulii mkataba Og
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Ай бұрын
Simwambi mtu asiolewe kwakuwa mm ndoa nimeichukia nazani mumeelewa
@salimsalim8421
@salimsalim8421 2 жыл бұрын
Kwili kabisa warabu wote wana tuma watu kama watumwa
@saudalmanji2877
@saudalmanji2877 3 жыл бұрын
As i said in my pervious comment on the last video up to know she has not given any credible evidence truth on what she has complain , If she had problem with client she has right according to Oman law to report it to the authority Yesterday i checked the Tanzania embassy there is page for comments why she did not use use it to raise her problems How can they record videos if they don't have internet link to transmit it I think people who had interest to bring maids from that part of the world will have to think many times before. Deciding to bring the maids She says she is Burundi i am surprised who gave this woman authority to talk on behalf of Tanzanian women This woman called has accused and called us many names but we know who we are ,suggest before interviewing women like her its better if you research on human rights in Oman especially on foreign workers how are protect by omani law
@مريمالحارثي-و4ر
@مريمالحارثي-و4ر 3 жыл бұрын
Hata mm naweza kuongea unayo ongea hayo nikweli kabisa hakuna la uongo
@hamedalharthy
@hamedalharthy 3 жыл бұрын
Muongo ndio maana hatutaki visa zote tanzania imefunga visa hamna kuja tena oman imefungwa
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Unatetea warabu wewe kwa sababu za kidini ila ukweli warabu hawafai.
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@georgekimasaofficial1629na wewe pinga wanzungu wanavyoua watu weusi vinga marekani inavyouwa watu weusi dhahiri pinga watu weusi wanavyonyanyaswa ulaya mpaka kwenye mipira tunaona live,unaenda kusikiliza story wakati tunaona live black wanavyonyanyaswa marekani.acha chuki ukweli utabaki kuwa ukweli tu
@asiaboniface207
@asiaboniface207 2 жыл бұрын
nahao maajenta wafikie sehemu wajielewe
@nasermeme80
@nasermeme80 Жыл бұрын
Udanganyi upo sahihi kabisa na maaskari ya apo airport wanakula pesa nyingi Sana
@badaral6167
@badaral6167 2 жыл бұрын
Sio wote wengine wasrabu Mimi niña miyaka minne alhamdulilahi wapo vizuli kwani ata maboc wenye lombaya nyumbani wapo
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 жыл бұрын
Kwa ushauli wangu mnapokuwa mnamuhoji mtu storia za kimafia kama hizi muwe mnamficha mtu sura kwa usalama wake, kwasababu wanaofanya hizi biashara hawafati shelia za nchi.watu wanakufa wanateswa wanapata mambo mengi mabaya kwahiyo wanapo ona hizi vidio hamuwezi kujuwa wamechukia kiasi gani maana wanacho waza wana haribiwa biashara, iyo nimeongea kwa usalama tu wahuyo mtoa habari za huko nchi za Oman nikweli watu wanateseka. Ila msitake habari kuboresha kipindi au tv ila mjiongeze juu ya usalama wa mtu jamani msichukulie powa hii stori.
@halimamoshi4338
@halimamoshi4338 3 жыл бұрын
Mm nina miaka kumi ss nafanya kazi mpk ss na nina mkataba.
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Niwe we wenzio hawana mwache awatetee wenye shida nikweli kabisa anayo ongea wapo japo siwote
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Kaa kwa kutulia huo mkataba kakupa bibi yako 😏
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@rahmaramadhan9773 aongee nini atetee nini anaongea uongo mtupu kama kakubali kupita njia za panya na agent wake si kakubali yeye Dada nwenyewe anaeongea anaonekana tu macho juu juu hajakaa kabisa kikazi
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
@@mkude wewee nawe unazurulaa kujibu jibu
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@BINTIwaKITANGA mhhh mwenyewe huyo, sasa wewe mbona hapo mwenyewe unanijibu jibu hahahaha,
@OmanOman-bz5vs
@OmanOman-bz5vs 2 жыл бұрын
Nikweri kabisa mm nilipitiha Kenya hawo mahajanti ndowanatunyonya hukifika huko wanataka huwapehera yamihezi miwili
@oqmoqmn5492
@oqmoqmn5492 3 жыл бұрын
Niwambie kitu viongozi wa Tanzania ndo wenye matatiza kasababu gani hawataki watanzania waje uarabu mtanzania akiangalia maisha ya tz ndo tunapitia njia zapanya viongoi wa tz nawaomba warusu hiki kitu wafanyakazi watz wakija huku selekali yetu iweinajua viongiz wa tz sikieni hayo
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
OK tunamatatizo lakin hata anaofanyiwa kaz anamatatizo wote kila MTU anamuitaj mwenzie kwann hawa pendan hapo mmoja ndo anataka upendo haswa mwarabu !!
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Lidy bora hukuenda alipanga kibaya juu yako kwann asimpe zawad alie kaanae mda aje akupe ww zawad awp aende zake nazawa zake huko
@justinendizeye714
@justinendizeye714 3 жыл бұрын
Dada mwalabu usimufananishe mzungu, mzungu hana dhiki kama mwalabu,
@naomikwambokwambo9820
@naomikwambokwambo9820 3 жыл бұрын
Kabisa
@rahmooosaidooo1146
@rahmooosaidooo1146 2 жыл бұрын
Leo tena mnamuona mzungu bora wakati anawadhalilisha kwa mbwa wao
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 жыл бұрын
Huo ni ukweli mutupu anachoongea kwasababu tu watanzania sijui hatuna ujasiri wa kuongea lakini huyo dada anachoongea nisawa kweli tunaomba mtafuteni balozi aangalie hilo suala wapo waajent wegine ni njaa tu hakuna ofisi anachukua watu tzd anawapokea akesha kufikisha kwa bosi akilipwa hapo wewe hujulikani serekali iangalie maajenti wote wajulikane ni bora watu wafikie ubalozi
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Kenya uganda hawaingi navisa yakaz unaingia navisa ya mwez au miez 3.pia waindonesia.kwa oman ukifika bos wako anakupeleka ubalozi unapewa mkataba bos analipia huo mkataba na anasain .kila nchi inawatu wabaya nawazur nchi zawaarabu zimewasitir wengi mmh hapo kwa miez mitano sijasikia nimwez
@AliKhamisi-f4m
@AliKhamisi-f4m Жыл бұрын
ukiwa na maradh kama ukimwi kifuwa kikuu na Homa ya machono unarejeshwa siyo kuuliwa
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Ай бұрын
Kusafi kimagendo niujinga wako mwenyewe
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Mtu mwenyew umenda kunusa u miaka 2 Tu eti unawajua warabu .kuna watu wanamiaka 20arabun ukiwa mvivu hupawez wewe dada hata ulivyotu unaonekana mvivu sio wakaz huku wanapaweza waliofika mwisho namaisha ya Tz .wewe endelea kupiga domo studio wenzako yao yanawaendelea mwisho wamwez laki saba zao wakikosa lak tano.wanasaidia familia zao
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mtihani mkubwa huo magent ni wezi ni matapeli hawana iman hata kidongo
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 2 жыл бұрын
Jamani huku hata uwe na mkataba Mm nilikiwa na mkataba kabisa ila kazi ambazo asikuwepo kwenye mkataba niko nazifanya tena unafokewa kabisa Yani walabu hawana ubinatamu kabisa Yani mm nilipo wananichukulia kama roboti wao ila navumilia tu ili kwasababu ninamajukumu ila kiukweli kama huna majukumu huku huwezi kumaliza wiki Ila mm namshitakia mungu tu kwani hata ubarozi hauna faida yoyote huku yani hawatujui kabisa
@blackwinnersdancers
@blackwinnersdancers 2 жыл бұрын
Duuuh pole sana dada
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 жыл бұрын
Pole sana ni kweli hata rafiki yangu yupo alikuwaga na mkataba lkn haukufanya kazi shida ndo zinatufanya tukae huku na majukumu ni mengi ukiangalia ni majukumu yakila siku
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 Жыл бұрын
Uyu dada sio mtanzania
@maryamjumah
@maryamjumah Жыл бұрын
Huyu dada si mtz
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
serikali u ingejua hili swala,kuwa kuna raia wake wanaenda kinyemela kutafuta ajira na kufanya kazi nchi za uarabuni,ingepitishwa muswada huu bungeni, na waziri wizara ya kazi,ili ipitishwe na kutungwa sheria ya ajira ya jazi nchi za nje,na ipitishe ,uli kuwapa nafasi raia wake kuruhusiwa kisheria ktk nchi husika tuu duniani!na wanao enda kufanya kazi nje walipe mapato ya serikali kama wanaofanya kazi nchini,wakatwe Tax,walipie kila kutu kinacho takiwa kulipia,na watambulike huko kuwa ni wafanyakazi kimkataba na waoewe haki zao kimkataba,ili serikali iingize pesa stahikizao na iwepo sheria ya kumlinda mfanyakazi na kumlinda mwajiri iwapo itatokea kutokubaliana,hii itapunguza unyanyasaji,na mauaji,na ubakwaju italeta heshima kwa muajiri na muajiriwa!na nikosa la serikali kukaa kimya,wanakosa mapato ya raia wao wanao enda kinyemela kufanya kazi,hizi kazi za ndani ziheshimiwe ni kazi nyeti sana kuliko wanavyo dhani watu kuwa ni kazi zisizo na heshima,ifike pahala tuheshimu wafanyao kazi za ndani,na waajiri watajiheshimu na kuohofia jychukuliwa hatua kumfanyia vitendo vibaya muajiriwa
@shammxtv5608
@shammxtv5608 2 жыл бұрын
Nikweli hatuna ht jumapili yni kila cku kazi na ikifika cku y ckuku wanakwambia wewe mfnya kz nguo nzry zanini na huyo anaekujibu hvyo ni kazee🤣😢
@fauziatumbo8221
@fauziatumbo8221 Жыл бұрын
Kwel dada arabuni ni zaidi ya mateso
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
mi naona ni muongo kabisa huyo dada hamna bos anaripa rial 900 au 1000 hiyo sawa kisha kazi ni kazi ww hukuvumilia kwenye kutafuta unavumilia mnao toroka kwenye mabos ndo kuacha pass huko na kwenda ubaloz ki ukweli ubaloz wanasaidia sana wafanya kazi pia mi kama umetaka ww ulikuja kufanya kazi au kutafuta mme sijakuelew kabisa my
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Ай бұрын
Naa africa uswahilini😂😂😂😂😂
@abdulazeezuae2442
@abdulazeezuae2442 Жыл бұрын
Nipo Dubai miaka 8 saivi na mbaka Leo nip huku uyu dada sio muongo nikweli kabisa watu wanateseka sana wallh
@kamarhelo
@kamarhelo Жыл бұрын
Mbona wew upo hoko na hulud
@salimsalim8421
@salimsalim8421 2 жыл бұрын
Sio mkataba tuu ukingia nchi yoyote lazima uwa julisha ubalozi wako kuwa wewe upo hapo .una wspigia simu unawapa pass no yako na jina kamili
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Muongo muongo muongo muongo muongo muongo muongo muongo muongo
@ramadhanmiraji5663
@ramadhanmiraji5663 3 жыл бұрын
Msiwalaumu maajent na nyie mnakubalije kupitishwa njia za mkato ni shida zenu ndio zinawapeleka huko kwa nn msikae kwenu huko ajent yeye anafanya kazi yake aingize pesa nyie ndio mnayataka msilalamike
@tatutatu2598
@tatutatu2598 3 жыл бұрын
Ila sisi watanzania tuna matatizo sana nina miaka 6 sasa kweli kuna walaabu wenye matatizo sio wote wengine ni wazuli wasichana wengi mnataka muishii kama mpo makwenuu
@zakiarashed144
@zakiarashed144 3 жыл бұрын
Huyu dada anatafuta kiki sio bule siakae kwao sisi mbona tumepita pila shida
@tatutatu2598
@tatutatu2598 3 жыл бұрын
@@zakiarashed144 acha tuu sema hiii corona ndio shida sasa sijuwiii itakuwaje ambaoo mikataba yetu inaishaa mwakani maana bila kuchomaa chanjoo huludi kwenuu mimi nimemjibu boss wangu nikimaliza mkataba wangu nipeleke embassy tuu watajuwa waoo kuchomaa sindanoo sichomii wakati sina ugonjwa wowote ule
@neemamtangi368
@neemamtangi368 Жыл бұрын
Jamani huyu dd siajengewe sanamu kariakoo ameongea ukweli mtupu.
@halimamoshi4338
@halimamoshi4338 3 жыл бұрын
Pili ww sio mtanzania
@Fofo-511F
@Fofo-511F Жыл бұрын
Selikali ikataze Wa tz wasiende kufanya kaz uarabuni.
@josephkavindi3666
@josephkavindi3666 3 жыл бұрын
Huyu ni muha au mrundi?😃😃😃
@fatumamassamba4699
@fatumamassamba4699 3 жыл бұрын
Mrundi kindakindaki🤣🤣
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
Haikuhusu!sio shida yake!awe mrundi au muha muhimu ni binadamu anastahili haki
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Oman ubalozi wa Tz wanatoa mkataba bwana
@hajradipu2664
@hajradipu2664 2 жыл бұрын
Sawa kabisa nakuunga mkono
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Jaman kila kazi inachangamoto zake .kuna watu wanamiaka 20 urabuni kama unamalengo unapewa mahtaji muhmu na mshahara wako unapewa mengne unapita.nawewe unaonekana ulikuwa unapenda kushindana nao ndio maana yalikushinda..🤣🤣🤣
@lucyaugustine4449
@lucyaugustine4449 2 жыл бұрын
Kwan huyu ndo wa kwanza kulalamika? Idiot
@halimamoshi4338
@halimamoshi4338 3 жыл бұрын
Sio Kweli ni uongo mie nimepita hapo na ss ni nafanya kazi mpk ss nipo omn ww ni muongo kbc
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Niwe we lakini yapo hayo usipinge kabisa bora tu uusikilize unyamaxe wapo wanao fanya hayo anawatetea wenzio wenye shida wewe tulia waombee wenye shida
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Hayajakukuta ndomaana unasema huyu dada muongo na omba dua yasikukute maana utatamani kufa na bado unaitaka dunia
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
@@rahmaramadhan9773 👍👍
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
@@waheedahtanzania4912 mwambie huyo mbishi yakimkuta ataelewa bila kujua👍
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
@@aairraahseif5648 wee muache ajishauwe kujicomentisha kusema huyu dada muongo ipo siku kitamkuta kitu
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
hakuna mfanya kazi alie uwawa oman sijasikia mbali ni mipango ya Allah
@sghdrdhidf7603
@sghdrdhidf7603 Жыл бұрын
Aya yangu macho kwani mwngi mengi usemwa ila tunajisaau kua mungu nae utenda kupitia ayo na kwetu hii hali ya uhaibuni ipo au aipo
@filimonsima6317
@filimonsima6317 3 жыл бұрын
Mkongo huyu
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 3 жыл бұрын
Tunawaomba Serkali ya Tanzania shikeni watu wenu hata Oman haiwataki
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
😳😳😳😳 nani atutaki sasa
@turibamweali8661
@turibamweali8661 3 жыл бұрын
Napenda inchi ya Marekani kwani hakuna mutumishi wa ndani hapa Marekani!
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
Lool🤗🤗
@munirahmed7753
@munirahmed7753 3 жыл бұрын
Kwani walilazimishwa kwenda huko arabuni?
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Kwan samia hasikiiii kweli?????!!!..
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Rais samia sikia kilio ya watu wako huu ndo wakat wako hakuna wkat mwingin tena samia tusikie wafanya kaz wandan ooooh
@salmadhiab2693
@salmadhiab2693 3 жыл бұрын
@@lucyhusein4043 raisi awafanyie nini ikiwa nyinyi wenyewe hamtaki kutulia kwenu moo tu kungangania nchi zawatu kaeni kwenu muone kama kunamtu atahangaika kuwatafuta
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
@@salmadhiab2693 we kaa kwa kutulia wewe mwarabu sawa eeeh katili mkubwa wewe 😏
@salmadhiab2693
@salmadhiab2693 3 жыл бұрын
@@sukariyao6537 mie mwafrika kama wewe katili bibi yako mzaa bibi wa babu yako mmezidi kutukana watu kama hawawataki lazima sasa waambie hao matahira wenzako vinganganizi wakitaka kuja wachanje chanjo zote mbili zakorona na wawe nakadi ndio wataingia lakini yote hayo yanini hatuwataki mbona hamsikii lazima jamani eeeeeeeeeeee tulieni kwenu
@hawaramadhani8430
@hawaramadhani8430 Жыл бұрын
Nikweli mm nilienda omani unafanya kazi km punda unajiuliza usiku utafika nipumzike
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 2 жыл бұрын
Mpaka upate mimba umetaka mwarabu hawez kukulazimisha .tamaa zawadada zahela zaharaka ndio zinawaponza
@بوتببجي-ف5ت
@بوتببجي-ف5ت 3 жыл бұрын
Acha uwongo kwanza sura yako sio ya kufanyakazi za ndani ni ya kuhudumia wanaume wa warabu
@halimakhamis2725
@halimakhamis2725 3 жыл бұрын
Muongo uyo sisi tupo uku tunamiaka kalibun Sita sitamani atakulu muongo uyo
@rastafare878
@rastafare878 3 жыл бұрын
Wanataka kuzitia Ila nchi za kiarabu , wanafiki hao
@zakiarashed144
@zakiarashed144 3 жыл бұрын
Ww dada muongo mbona sisi tunapita bila shida yoyote jamani mungu anakuona we dada usichafue warabu jamani mbona roho mbaya kila nchi
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
Sisi tuko salama lakini je ni wote wako salama tusimtukane anaongea alichopitia na wengine wanapitia wapo anapazia sauti wanaoshindwa kusema Ni kweli nimepata nyumba nzuri lakini kuna wenzangu wanapitia shida tunawasaidiaje?
@rastafare878
@rastafare878 3 жыл бұрын
@@africanproudly4004 Na warudi makwao kwani walilazimishwa , utawasikia mateso mateso lakini Kila kukicha wanajipeleka
@africanproudly4004
@africanproudly4004 3 жыл бұрын
@@rastafare878 unaweza ukawa sahihi na usiwe sahihi maisha ni bahati muda mwingine kuna wengine tulizisikia hizi stor tukapiga moyo konde sababu ya uchumi wa nyumbni tumekuja kutafuta pesa halali kuwa mimi salama haimaanishi ninyamaze kwa wale wanaopitia magumu sababu inawezekana wakasaidika na wakisaidik wao kuna familia zilizo nyuma yao pia zinasaidika pia kupitia wao Tupendane ili wote tusonge mbele wao walikuja kama wewe ukapata pazuri wakapata pabaya mshukur muumba hayajakukuta
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 752 М.
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1
41:27
YahStoneTown
Рет қаралды 476 М.