HOUSE GIRL OMAN ASIMULIA MACHUNGU WANAYOPITIA BAADHI YA WATANZANIA "SASA NAFANYA BIASHARA"

  Рет қаралды 447,504

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Пікірлер: 918
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 3 жыл бұрын
Safi sana dada, ulienda kufanya kazi kwa malengo ..nidhamu yapesa imekufikisha hapo ulipo..
@gagagracia4150
@gagagracia4150 3 жыл бұрын
Nakupenda sana dada yani umeongea vizuri kabisa umeweka wazi kila kitu
@theroots2743
@theroots2743 3 жыл бұрын
Hongera dada muelewa wa maisha mwenyezi mungu akufungulie kila lenye kheri na wewe Amin
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 3 жыл бұрын
Hongera sana inaonyesha wazi mwanamke mwenye uelewa wa kina na ujasiri wa pekee...allah akusimamiye kwa kila hatuwa
@Hassan-vn6nn
@Hassan-vn6nn 3 жыл бұрын
You are The one in millions....
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
She is beautiful 😍 Badala mngemtangazia biashara yake ilipo, ni maswali yasiyo na mshiko tu.
@jamaljimmy
@jamaljimmy 3 жыл бұрын
Masha Allah dadangu mola akuzidishie tujifunze kuwa hamna pesa ndogo ni ukubwa tuu wa kufikiria ...keep it up dadangu
@suremake9946
@suremake9946 3 жыл бұрын
Naomba namba yke
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Hongera dada yetu Allah akubariki ktk biashara zako
@jimmyjumasufijimmyjumasufi3873
@jimmyjumasufijimmyjumasufi3873 3 жыл бұрын
Wow mwanamkee wakibusara kwakweli unarizisha sana big up dally Allah akuzidishie.
@mohamedkikale7241
@mohamedkikale7241 3 жыл бұрын
IQ ni mhimu sana katika maisha ya yeyote, safi sana bint kwa kuwa na marengo nakuyasimamia 👊
@michaelkasogela370
@michaelkasogela370 3 жыл бұрын
Jaman kabint aka ni brit...sanaaaaaa
@asianfadhil4282
@asianfadhil4282 3 жыл бұрын
Matokeo oman yapo mm nipo omani yamenikuta ila kwasasa Alhamdulilah
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
huku kikubwa uvumilivu yataka moyo wengine hurudi home kutokana na dhiki
@nshimirimana.ibrahim9566
@nshimirimana.ibrahim9566 3 жыл бұрын
Umefanya vyema dada kwa sasa inajitegemea siyo kuwategemea wengine Mungu akujalie kwa hayo
@axiommirgab882
@axiommirgab882 3 жыл бұрын
mimi nakaa na bos wangu yan sio mkorofiki sana anakaukali flan lakin ninkarim mnoo nina miaka 6 sasa nipo nae manina mpngo wa kuonheza mkataba hakuna binadam alie kamili na hakuna sehem ukakuta wote niwazur lazima wapo na wabaya mbona Tz kwetu wapo wengi tu wenyerohombaya wanayesa dada wakaz mshahara wenyewe elf 30 matezo ndio mateso sasa sibora kwa mwarabu nalipwa laki 5 kwamwez
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 3 жыл бұрын
Haswaa deer watuache waanze kwanza kasoro za kwetu ndio ije kwa watu sasa hivi mpaka laki 8 watu wanapata mshahara Lakin mtu anaongea pumba mtu akishindwa rudi kwenu khalas sio maneno kibao mfyuuu
@hawaissah8069
@hawaissah8069 3 жыл бұрын
Jamani nutafutieni na mm kazi 0656485831
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 3 жыл бұрын
Nakupendeaga hapo tu naswiat brembo huongeagi uongo huyo Dada yako hakutaka kukumiza wala kukukwaza pesa yako umeiyona Maa shaa Allaah Mimi ndoto yangu sio biashara kweli nikumalizia nyumba ndyo Biashara baadae
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 3 жыл бұрын
Hata mimi
@innocentjoseph9121
@innocentjoseph9121 3 жыл бұрын
Waooo uko vizuri unajielewa sana. Na Mungu azidi kukubariki
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 3 жыл бұрын
umefanya vizuri sana dada yng...🤗🤗🤗🤗
@khalidtv6200
@khalidtv6200 3 жыл бұрын
Pole Sana dada mshahara mdogo Sana.Ila umepambana Sana, MASHAALLAH ALLAH AKUJAALIE
@mzuvendi
@mzuvendi 3 жыл бұрын
Mshahara sio mdogo piga laki mbili mara miezi 24 aliokaa oman ni ngapi alipata? Mshahara unaendana na maisha sasa hivi yaya wa ndani ni laki 4 na 60 elfu! Ukiwa na malengo utafanikiwa.
@danielyohana7271
@danielyohana7271 3 жыл бұрын
Mshahala mkubwa Sana kibongobongo hata laki haifiki mtu analipwa 50000 kwa mwezi unategemea malengoyake yatatimia kwa miaka mingapi daaaa bongo bado sana tuko nyuma ya tivii
@husseintayar699
@husseintayar699 3 жыл бұрын
Allah akubariki zaid .umeongea point nzur
@alleoo273
@alleoo273 3 жыл бұрын
Mashaaa Allah umeongea vizuri sn mabrook habipt
@maxwellking9399
@maxwellking9399 3 жыл бұрын
Hebu waandishi kuweni professional kidogo si jambo sahihi kulazimisha mtu ajue ana mtaji kiasi gani au anaingiza shilingi ngapi kwenye biashara zake...hilo ni jambo private...akiamua kusema ni sawa lakini kama mtu hayupo tayari usilazimishe...Katika kulijibu suala hilo linaweza sababisha matatizo makubwa kwa agencies nyingine za kiserikali na mtu kuanza kuwa "targeted"....Hivyo jifunzeni kufanya kazi zenu kwa weledi...badala ya mambo ya Kibongobongo....Kwa mfano pamoja na mzuri yote ulimuuliza huyu dada interview yako imengia dosari katika kulazimisha suala hilo...hujamtendea haki mteja wako...Ni hayo tu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Hongera sana Dada kwa kufanya kazi kwa malengo Mungu azibariki biashara zako zote ulizozifungua na pia akuletee wateja wa kutosha🙏
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 3 жыл бұрын
Upo sahihi dadangu ,safi sana kwa kutoa shuhuda nzuri...hongera kwa kurejea inchini🇹🇿 wenzio bado tunakomaa
@marthadaudi3340
@marthadaudi3340 3 жыл бұрын
Namimi nataka kuja huko
@marianapatrick5993
@marianapatrick5993 3 жыл бұрын
Sophia mambo jaman nisaidie na mimi jaman na tafuta kazi huko pia Nina passport tayar
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 жыл бұрын
@@marianapatrick5993 zipo
@luciadaud9298
@luciadaud9298 Жыл бұрын
Sofia please naitaji mpenz
@RoseStephano-sh9mg
@RoseStephano-sh9mg 11 ай бұрын
​@@marthadaudi3340Mbon vip umefanikiwa kwenda Oman kufanya kaz
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Hongera sana dada. Nimekukubali saaaana!
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
Urembo wake tu 😍 Mash'Allah ✊🏾🇧🇮
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 3 жыл бұрын
Mdomo mkubwa
@idrissamohamed8469
@idrissamohamed8469 3 жыл бұрын
@@mozzaliuleiza9288 mdomo mkubwa ndiomzuri hata machine yake itakua umbozuriiii 😋😋
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 3 жыл бұрын
@@idrissamohamed8469 hahahahahahaha
@mohamedjeizan5929
@mohamedjeizan5929 3 жыл бұрын
Mashaallah. Allah akuzidishie
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Kazi yeyote inachangamoto na pesa za uhalali lazima upitie changamoto kwa hiyo ww mwanamke achana na mambo ya kuzungumza hizi habari za oman ww fanya mambo yako usipende kuongea hivi vitu ndo maana tunaambiwa watanzania tuna midomo sana
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Sahihi
@mayasajamari8469
@mayasajamari8469 3 жыл бұрын
Vzr sana my umeongea point 😍😍
@beatricekamenge7000
@beatricekamenge7000 3 жыл бұрын
Point nawanaalibia watu wengine
@bibianayonah9127
@bibianayonah9127 Жыл бұрын
Sahihi kabisaa
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 3 жыл бұрын
That's is good bussuness, good lady very active and so durable for ambitious in life actually,she so accurate, anafanya biashara very good system,coz most of the lady wakienda gulf hurudi kapa, lakini uyu actually she so wanferfull delicious lady, kila la kheri sana Madam
@wm9669
@wm9669 3 жыл бұрын
Mashallah. Huyu msichana ni mzuri na mkweli
@vumiliahamisi7046
@vumiliahamisi7046 3 жыл бұрын
Mtoto wa dada angu kachezea fimbo kisa hajavaa glove ,watu wananya nyasika sana ,ukijaaliwa sehemu nzuri sema alihamdulilah
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
🤣🤣mpe pole sana daaaa
@vumiliahamisi7046
@vumiliahamisi7046 3 жыл бұрын
@@mdzainb3722 haya asante kashapoa alibadili nyumba mana ilikua balaa mwishowe alimbiwa atamwagiwa mafuta ya moto,ikabidi nikazi yalumuambia kimbilia ubalozi mana hapo nimtihani tena alie mleta anamwambia wee kaatu vumilia ,vumilia unatanfikwa kama mtoto mdogo kisa glove kuvaa ukikanda ngano ,tujikaze tu na kusema ukweri sio mtu akurupuke uko nakuja wee uje napakukimbilia ukishachapwa makofii
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 3 жыл бұрын
Nikweli tupo huku tunayaona mengi
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
😅😁😅😁😁😁😁😅😅😁😁duuh uyo mabuja wake nibala
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 3 жыл бұрын
Ni kweli nyumba zinatofautiana
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Mm niko omani naelekea mwaka wa sita ss na naishi kama home madam wangu anashida muhimu kuheshimiana basi na wala sijawai sikia kwenye family yao kuna mtu kateswa nashukuru kwa ili angarau wapo wanao kutana na matatizo makubwa lakini siyo nyumba zote ziko hivyo kama ilivyo kuwa nchi nyengine lazima kutakuwa na watu wa aina tofauti mm sm mda wote kazi zangu najipangia na mpaka ss na viwanja vitatu ambavyo bado sijajenga na kimoja nimeshaamka ujezi na nimefungua biashara ya ges mwaka huu alhamdullha lnshallha mwakani narudi tz likizo zeni nakuja kukaa miaka yangu miwili ya mwisho Mungu alitupa uzima lnshallha ongera sana bi dd kwa ulipo fikia
@saidikaniki1632
@saidikaniki1632 3 жыл бұрын
Inshaallah MUNGU akujaalie upate unachokihitaji.
@elizabethmhagama8605
@elizabethmhagama8605 Жыл бұрын
nikipa mimi nita shukulu
@zeshahamisi1803
@zeshahamisi1803 3 жыл бұрын
Asante sana dada umeongea vizur sana 😘😘
@mariaalsaid3690
@mariaalsaid3690 3 жыл бұрын
Asante sana Mungu akupe kila la kheir.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 жыл бұрын
Acheni ujinga matatizo yanayotokea huko nikama hata hapa yanatokea kama hayo ila mnataka kuyakuza nyie wenyewe mtakuta mnawanyanyasa wafanyakazi wenu saana tu.
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Sana. Kuna watoto wengi tu wanateseka kwenye nyumba nyingi tu. Wengine hutesa yatima wa ndugu zao
@axiommirgab882
@axiommirgab882 3 жыл бұрын
kweli kabisa nakuunga mkono Tena Tz na kipigo juu
@mariamelias1915
@mariamelias1915 3 жыл бұрын
Ni kweli
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 жыл бұрын
Wala sio uwongo ila tuu waarab wanawachukia kutokan labd nazil stor za zaman hatakam yap lakin kwan tz hakun mabos waain iyo ten wanapigwa wengin wanachomw mot had kuuliw namshahar mdog hat lakimbil haufik lakin hawasemw vibay naukiangalia wa tz wamekomaa mdom mtu akiend kule anajyw kaend kufany kaz lakin anakuw mshenz akiambiw analet jeur ndiy iko kinawaponz anaach kusem mim nimekun huk kutafut nanikikisea uwez kurud nyumbn sio rahis niwemnyenyekev hatak analet mdog mtu anachukia anakudhul ten hat bong ndiy imejaa kibao
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
@@husnaiyasulesh4687 . Unasema laki mbili wakati wanao tolewa nje ya mikoa wanalipwa 15000 au 20000 na mshahara wenyewe hapewi kila mwezi na kazi anazifanya hadi usiku wa manane. Kuna wanton jiita wa Islam nyakati za Ramadhani huwapigisha kazi hadi saa tisa usiku mda wa kula daku na bado ata takiwa kuamka saa 5.00 kuandaa watoto wa shule.
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 жыл бұрын
Duh umenikumbusha mbali ndugu yangu hongera sana una akili sana, Mshahara ulikuwa mdogo sana, lkn umeufanyia maarfa,
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
Umejieleza vizuri ukhty nimependa sana shukran
@marthajohn9120
@marthajohn9120 2 жыл бұрын
Hongera sana dada, dah umejitahidi kwa hela hiyo umeweza kubana bacheti
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 3 жыл бұрын
Dada yupo sawa habu tuwekee no ya simu ili tupate hiyo huduma yako
@fatmaahamad633
@fatmaahamad633 3 жыл бұрын
Mwaka wa 11 niko oman 🇴🇲 na nina enjoy alhamdulillah
@UladaTv
@UladaTv 3 жыл бұрын
MIGUU YA BINADAMU INAOKOTWA IKIWA PEMBEZONI MWA BAHARI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/ioKbmpymfc12qJY
@stevenhassan269
@stevenhassan269 3 жыл бұрын
Hivi huko Oman wanafanya kazi ni wadada tu naomba kujua
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Duuuu
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 3 жыл бұрын
Unafumuliw tu acha kutudanganya hapa
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
@@stevenhassan269 hata wewe kaka unaweza kufanya kazi zipo kazi za wakaka
@joojombi2341
@joojombi2341 3 жыл бұрын
Hongera sana sstr safi sana sio wengine wapo huku wanadanga tu na walotoraka kwa sponsored wao na ID kadi zimesha ni lazima waondoke mwisho mwaka huu
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 3 жыл бұрын
Amejaribu sana sana all the best Madam,you delivered very nice advice to the others lady wajaribu wao pia wape faida,
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Nashukulu nin mungu nimejenga nyumb yngu
@jacklinekiria6452
@jacklinekiria6452 2 жыл бұрын
Dada natamani sana kuja oman naomba nitumie namba zako plz tuwasiliane vizur
@grationmartin
@grationmartin Ай бұрын
Dada naweza kupata kazi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
We nae. Au Ulikuwa Huna mtaka. Boss wako!? Wache wenzio wafanye kazi acha Hunafi. Watu wana ENJOY 💃💃💃💃💃 OMANI 👌🏽
@alihaji7201
@alihaji7201 3 жыл бұрын
Real
@maryamalhajri4306
@maryamalhajri4306 3 жыл бұрын
😘
@alihaji7201
@alihaji7201 3 жыл бұрын
@@maryamalhajri4306 hodiiiiii
@maryamalhajri4306
@maryamalhajri4306 3 жыл бұрын
@@alihaji7201 welcome
@alihaji7201
@alihaji7201 3 жыл бұрын
@@maryamalhajri4306 hodii hukuuu
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Hata sisi tukija Tanzania, tunanyanyaswa sana,rangu uwanja wa ndege,acha njiani kama unaendesha gari. Unasimamishwa bila kosa na unatetemeshwa mpaka uwape pesa.
@zainaalmahlruqy5829
@zainaalmahlruqy5829 2 ай бұрын
Nimependa ulivyoelezea vizuri NA haujaeleza uongo wowote . . Mashaallah sio wanaozungumza uongo mtupu NA kulazimishwa kulala NA mbwa Oman ni uongo mtupu hakuna muoman anaweka mbwa ni najis
@feisalmohamed7863
@feisalmohamed7863 3 жыл бұрын
Ila dada umekoroga kusema. Oman hakuna matukio kushinda falme nyengine za kiarabu unyanyaji sana hutokea saudia na Oman na hizi nchi huchangia pia kutokosa sheria na ubaguz pia umo katika jeshi la police zao ila Dubai hukuti ubaguz ndani ya jeshi la police kwasababu Dubai police ata kama hujui kiswahili ukipata tatizo atakuja police wa hiyo nchi yako ata kusaidia Mana police wa Dubai ni mchanganyiko wa nchi nyingi wakiwemo watanzania
@Worldunite
@Worldunite 3 жыл бұрын
Tatizo dada zetu wa kibongo bwana, wakienda ng'ambo au wakifanya kazi sehemu za maana basi wanakuwa na ulimbukeni wa kujifanya hawajui kuongea vizuri lugha ya kiswahili,lazima wachanganye maneno ya kiingereza, hata matamshi ya herufii "r" wanaitmka kizungu. Yaani swaga za kiswanglish kwenda mbele lkn walio wengi hawawezi hata kumaliza sentensi yote kwa kiingereza
@shangazshangaz4222
@shangazshangaz4222 2 жыл бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂 haki umenifanya nicheke kidogo
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 3 жыл бұрын
Uyu mwanamke nina mengi niliopenda kwake. Ni jembe na ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Huyu ndo mwanamke anapaswa kudai haki zake sio awa kucha ndefu. Dah JESHI KAKUBALI KUA BEKI 3 KWA MALENGO YAKE. BADILISHA TITTLE IO WEWE MUANDISHI HAPO HAKUNA MACHUNGU NI KUTUTIA MOYO TU
@charleschanai601
@charleschanai601 3 жыл бұрын
Mtangazaji anasound km millad....!
@Aggrey2107
@Aggrey2107 3 жыл бұрын
Nisingemuona Hapo Ningedhani Ni Millard
@mangapineema7652
@mangapineema7652 3 жыл бұрын
Msichana weeeeee nmekupenda bure aiseeeeeee
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 3 жыл бұрын
Safi sana ulienda kufanya kazi kwa malengo
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 жыл бұрын
Hufahamiki mara waikashifu omn mara wasifu.Tatizo hujaelimika.upuuzi mtupu.Mungu anakuona lembukeni.
@salimhemed3321
@salimhemed3321 3 жыл бұрын
Itakuwa we hufahamu kiswahili vzr maana alichoongea kimeeleweka vzr na Wala hakukashifu omani naona ww ndo hufahamiki
@zezezeze8408
@zezezeze8408 3 жыл бұрын
mashaAllah....
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 жыл бұрын
Dubai sijasikia matatizo Sema saudia
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 3 жыл бұрын
Mashaallaah
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 3 жыл бұрын
Asante my tumesikia aisee inatupasa tutafute mitaji tuludi makwetu
@emilymideva8783
@emilymideva8783 3 жыл бұрын
Dada nimekupenda bure sio tajiri wote wabaya hata nami nko hapa na pambana na hali yangu 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kakosokigassu3211
@kakosokigassu3211 3 жыл бұрын
Asante sana dada. Halafu waandishi kuweni waungwana. Mtu anapokupa nafasi nyumbani kwake, akakukaribu sebuleni, yanini kutamani kuingia hadi chumbani?
@hijaabdalah9235
@hijaabdalah9235 2 жыл бұрын
Hongera sana good inspiration
@irenenduku5012
@irenenduku5012 2 жыл бұрын
Hongera kwa kazi zuri dada
@mattarmuhammed1330
@mattarmuhammed1330 3 жыл бұрын
Millard naomba mtafute mdada ambae anafanya kazi yuko oman mpka sasa ufanye mahojiano kama ni kweli
@shadyasalumu8757
@shadyasalumu8757 3 жыл бұрын
Mimi nipo OMAN 🇴🇲 🇴🇲 miaka 5⃣ mpaka leo nipo napambana maisha mazuri yaaani naishi kama nyumbani na ukofanya vibaya lazima aseme ili kesho ulekebishe siajabu kusewa ata mama nyumbani ata kusema tuuu mimi naomba kila nifanikiwe kwenye maisha yangu inshaaaaalllaah 🙏 🙏 🙏
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
tanks inavyo oneshea kama unao muelekeo wa maisha,mimi nimezaliwa katika bussines family,lakini acha nikufundishe siri moja ya wafanya biashara wa kikweli siri zao za mambo ya biashara wanakua hawamwambii mtu sawa¿ukimuona mfanya biashara anaropokwa ropokwa basi huyo sio mfanya biashara sawa¿tanks
@rahmanassor2652
@rahmanassor2652 3 жыл бұрын
true maana waarabu & wahindi hawasemi biashara yao hata jinsi ya kufanya lolote maana tunajua ujuzi hautoki bure
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Pole sana daah milion mbili umerud nao lkn naamini kila ulicho rudi nacho kimeandikwa my inshaallah utadhid kufungukani yaan unanifunza meng bora ya hilo kuliko kua huna amani ya maisha maana huna amani lkn sasa upo huru
@AashaAli-wf9bf
@AashaAli-wf9bf Ай бұрын
Safi sana dada wengi wao tunainjoy omani
@estermuna6802
@estermuna6802 3 жыл бұрын
Bado nipo Oman nakaza💪
@genovevalaurent6393
@genovevalaurent6393 3 жыл бұрын
Tupo pamoj mpenziiii
@rahmanassor2652
@rahmanassor2652 3 жыл бұрын
Nakutakia kila la kheri naamini hamna kibaya kwani maneno kila mtu na lake kazi buti dear waarabu tofauti na hawa waafrika wee
@rahmanassor2652
@rahmanassor2652 3 жыл бұрын
@@genovevalaurent6393 nakutakia kila la kheri never give up dear stay there with a lot of steps of successful
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@@rahmanassor2652 👌👌
@khadijaahmed7455
@khadijaahmed7455 3 жыл бұрын
Yani ukiwa na ngongingo wana bugza huku kila nguo unayovaa kosa
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Kama ni mateso hata humu nchini mwetu wako watu wenye roho chafu wenye kutesa watoto wa watu na Hakuna anae wachukulia hatua
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Tofauti ni nyumbani na nje ya nchi..... Hata ukitaka kumueleza mtu akusaidie lugha hujui.... Acha tu
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Wanachukuliwa hatua cku hizi
@magdalenamagdalena8263
@magdalenamagdalena8263 3 жыл бұрын
Hata tanzania shida zipo tena kibao mm niliwahi kufanya kazi huko Dar es yaani Boss wangu alitaka kunibaka yaani hata bongo watu waroho mbaya
@looruaolendere2597
@looruaolendere2597 3 жыл бұрын
Wah lugha nzuri mashallah 👍👍👍👍👍
@saudismailbkri1894
@saudismailbkri1894 3 жыл бұрын
Nipo Oman mwaka wanane nashukur nimejenga japo cjamalia ila alhamdulillah nyumba moja cjabadilisha
@sharifaali3795
@sharifaali3795 3 жыл бұрын
Miaka 8 nyumba haijaisha
@saudismailbkri1894
@saudismailbkri1894 3 жыл бұрын
Ndio haijaisha kwasababu ninafamilia inanitegemea bila ivo ningekuwa mbali tatizo nikuwa mother single hahahaa
@swaiseif2989
@swaiseif2989 3 жыл бұрын
Tupo oman miaka 8 hio pesa alosem Nikweli tulokuja oman miaka 2012 mishahara ilikua laki 250,000 tofaut na sasahiv nahuku unatkiwa ukae kwa akili namie nashkur sikuwahi badilisha nyumba lkn wengine tunajionea kwa macho kabisa mtu anatumishwa kma mtumwaa haswaa sio mfanyakaz sikumoja ntaongelea hili watu wajue huyu ajajua kiundani zaid
@jacksonswai8090
@jacksonswai8090 3 жыл бұрын
Mm n mwaandishi wa habar, embu nitafute
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 3 жыл бұрын
Nyumba ziko tofauti mbona bongo wanauliwa uiiwahi ongelea Kila mtu anabahati yake acheni wenzenu watafte risiki kama umeteseka wewe wengine hawajateseka na wanasomesha watoto na Nyumba wamejenga
@swaiseif2989
@swaiseif2989 3 жыл бұрын
@@zaudatmakula3454 unakurupuka kujibu wee dada alokwambia nimesema wasitafte risk nani punguza kulopoka soma nilichoandika engine tunataka haki itendeke kwa wengine huyo mwenyewe amehojiwa nimfanyakaz wa 2015 malenged tupo natunapambana kunamtu anazibiwa riski kwani umeona uwarabuni hawakuja kucheza wala kumshobokea mtu nikaz na pesa mbele
@swaiseif2989
@swaiseif2989 3 жыл бұрын
@@zaudatmakula3454 watu Wenye roho mbaya wapo kila sehem kikubwa usiishi kwa woga muamini mungu katk kila jambo
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 3 жыл бұрын
@@swaiseif2989 hili ndio jibu sasa
@aminamodi8927
@aminamodi8927 3 жыл бұрын
KWA NINI MWAMTUKANA? SI KILA KILICHOKUPATA WEWE BASI NA WENGINE WAPATE NDIYO MAANA KILA MTU ATSKUFA KWA SIKU YAKE MSIWAKISHE TAMAA WA DADA AMBAO WANATAKA KUJARIBU KILA MTU NA BAHATI YAKE ALLAH ASEMA UTALIPWA KWA NIA YAKO😎
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Alhamdulillah 🤗🤗🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Dada ad huku upo
@asiakibali1253
@asiakibali1253 3 жыл бұрын
Kabisa my Dada 😘 I love you
@mdmahammed2852
@mdmahammed2852 3 жыл бұрын
Mie niko oman miaka 4 sasa na naongeza inakuwa 6 alhamdulilah niko powa
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 жыл бұрын
Nawe pia Una malengo yako! Hongera Sana
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Nitafutie job ukoo plzzz my blood
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
@@wahiduitsverycommentmane5421unatak kuja onan mm nawez kukusaidi mm nina mwak wa pili ss km unatak nichek nitakukimutafut kz zp kibao
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 жыл бұрын
Nitakupata vp naomba namba yako ya watsap
@sigradampete3945
@sigradampete3945 3 жыл бұрын
@@wahiduitsverycommentmane5421 0715046868
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Msiwe mnauliza mtu eti unapata faida ngapi kwa siku au mwezi, huku vibaka wanamuona wanaskia afu wamtime wamuibie wamfanyie vitu vibaya kumbe chanzo ni nyinyi mlivyo muuliza kiwango cha pesa 🤔🤔🤔
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 3 жыл бұрын
Masha allah my
@khamisali3596
@khamisali3596 3 жыл бұрын
Mungu atakusaidia zaidi,don't give.
@hidayamakuka5819
@hidayamakuka5819 3 жыл бұрын
Hongeera Dada umefany Kaz kwa malengo.
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 3 жыл бұрын
Ww Dada unajierewa sana safi MUMGU akusimamie inshaalah
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 3 жыл бұрын
Dada nakupongeza kwa juhudi zako. Umeweza kutimiza lengo lako la kijtegemea
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Ukiwa mvumilivu utaweza ishi popote ni nipo mwaka wa 8 huu nalipwa nalala nakula ila changamoto nakutana nazo nyingi boss ana gubu kila wakati kuongea malalamiko mwingi wa dhana mbaya halafu ukikosea kitu watahadithiwa ukoo mzima na si msaidizi wa kazi hata ukiumwa ni mshindani some time kam nakaa na mke mwenza ila mm naangalia malengo yangu changamoto nazipuuza
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 жыл бұрын
Mashaalah habit mungu akufanyie wepes mm niko hp maaber nilikuwa al mawal yul bos wa mala kwanz kidgo alikuwa na matatiz ss iv niko maber nashukul mungu nadany kz zangu akun mtu wa kuni pigia makelel wal nn
@mwanaishakiribiti9848
@mwanaishakiribiti9848 3 жыл бұрын
Ww Dada wadanganya wenzako Oman na Saudi ndio nchi mbaya zaidi kuliko Dubai na Qatar haina hata usaidizi hata kwa embassy kupata usaidizi ni shida kama ulipata sehemu nzuri shukuru
@fikirinijr6807
@fikirinijr6807 3 жыл бұрын
Have you been there before?? Au unaongea kwa kuhadithiwa
@musasabu6969
@musasabu6969 3 жыл бұрын
Duu kazi mnayo poleni
@salisali3738
@salisali3738 3 жыл бұрын
NA nyie pia kama mwataka kujua ukweli njoni kama flora nitetee kaja kaona na kajua ukweli
@al-tanas
@al-tanas Жыл бұрын
Umefanya k2 muhimu katika Misha yk 💗💗💗💗💗💗🧛
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 2 жыл бұрын
Hongera Sana kw kweli wanawake munajituma Mungu awabariki wengine hudhulumiwa na familia mtu analeta pesa kujengewa nyumba watu wanakula kw kweli inasukitisha
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 3 жыл бұрын
Mimi na mfanyakazi mika 10 kutoka Tanzaniya iko kama mtoto wa nyumbani sasa hivi ana nyumba nakiwanja
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Manshallah
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Nivizuri dada hata mtume kaelekeza hivo. Mabruuk.
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 3 жыл бұрын
Hongera sana dear Watu waache kusema mengine tunafaidika na kazi zetu
@muhinasundi1439
@muhinasundi1439 3 жыл бұрын
Mashallah
@wm9669
@wm9669 3 жыл бұрын
May Allah help you with your business
@sheddybhulji8196
@sheddybhulji8196 3 жыл бұрын
You must teach me Swahili beautiful young lady
@maryamoscar438
@maryamoscar438 3 жыл бұрын
Kila kazi zinachangamoto kwel. Ni navumilia na kuangalia malengo, nina mwaka wa 6 sasa oman changamoto zip ila sio mbaya
@nadyahamisi2763
@nadyahamisi2763 3 жыл бұрын
Akuna kazi zisizo na changamoto mm nnamwaka pili sasa Dubai tunavumilia tu
@williamrdeus2808
@williamrdeus2808 3 жыл бұрын
Kabisaaaa kupambana na kuvulia ndo kila kitu
@shadyasalumu8757
@shadyasalumu8757 3 жыл бұрын
Huku kuvumilia tuu jamanii tuvumilie ili tujenge yetu ya baadae🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@faustadonasian2777
@faustadonasian2777 3 жыл бұрын
@@nadyahamisi2763 vumilia tuu Mungu atakusaidia
@nadyahamisi2763
@nadyahamisi2763 3 жыл бұрын
@@faustadonasian2777 Amina ishallah khell
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 жыл бұрын
dada sio nyumba yote inawatu wabaya kwa ju na huko tanzania unaweza kutumikia mtu mbaya mimi nipo saudia ninamyaka4 mimi unazani ni nyumbani vingine wengine wanakuja huku umalaya tu bingine kama ufata kazi huwezi kupata mazara
@abdullahhaji8779
@abdullahhaji8779 3 жыл бұрын
Hongera
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 3 жыл бұрын
Jamany mi saud naipendaaa ila napaogopa😂..huko wana roho za kibabe sn..bora na oman
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 3 жыл бұрын
Umalaya nani ulimuona anajiuza nchi za kifalme za kiarabu au umeamua kuchekesha walio nuna tu chefuuu kweli nipo Oman mwaka 6 huu sijaona mwanamke anajiuza hata moja sasa huo umalaya umetoka wapi
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 жыл бұрын
@@user-rd7jt1vi5x kama hubijui nyamanza upoo
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 3 жыл бұрын
@@janatahmad7048 kuandika kwenyewe hujui kwenda kule
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
Dadangu nimekuelewa na nakuona msimamo wako ulipo na Mwenyezi Akubariki kwa hilo, hivyo ndo watu wanapaswa kuwa......
@AashaAli-wf9bf
@AashaAli-wf9bf Ай бұрын
Kuna wengine wanakatisha watu nia ya kuja omani kwa uchizi wao dada angu mi nakupongeza sana sana mi nipo oman tena naishi vizuri tu na madam wangu tena ananidekeza kama mtoto wake
@majidalimussa5198
@majidalimussa5198 3 жыл бұрын
iyo heading sio ya kwl inayohusiana na oman maan huyu mtangazaji km analazimish kutaja matukio mabaya ya oman wkt hakun ukwl huo
@zainabmohammed1305
@zainabmohammed1305 3 жыл бұрын
Tupo huku kwa malengo sio kuishi milele
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Umeonaee
@fadiajunjuwithmyfamily580
@fadiajunjuwithmyfamily580 3 жыл бұрын
Jamani mm niko omani sasa nina miaka 4 kasoro miez 2 Allah niko sawa sawa nime pata nyumba iko salama ipia huku ni kila boss na roho yake afu wengi wako na roho mbaya wana tuona sisi wa afurika ni kama vili hatupumzikagi kazi yetu ni kufanya kazi tu hio nisha shuhudia kwa mama ake na boss wangu ame badiki wafanya kazi 6 ila sasa kapata mfanya kazi wa naijeria na ame mpokonya sm daaa
@hamidangitu227
@hamidangitu227 3 жыл бұрын
Yani mimi ninashida lakini kuja kukaa uko siwezi kwakweri
@rehemakiswago4843
@rehemakiswago4843 3 жыл бұрын
Dada upo sawa mm np uko naiona changamoto
@lm6373
@lm6373 3 жыл бұрын
Huyo mwanamke ni muongo sana aliwahi kutukana sana wa omani na omani shakula wanatupa ndo wewe ulikuwa una gombana juu ya msosi????
@pendothomas7258
@pendothomas7258 3 жыл бұрын
Hivi mnalazimishaga watu waseme wanaingiza sh ngapi ili iweje?
@rukiamboka5867
@rukiamboka5867 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo hitafvuu ya huyo dada naomba mnisaidie number yak na mm aniunganishe na maswal ya kazi passport ninayo na Nina mtoto mmoj naitaji niende nikafany kazi hili nipate pesa nitimize malengo yangu
@halimahalima1186
@halimahalima1186 3 жыл бұрын
Hasnati nakukumbuka best wenzio bado tuko Oman tupe michongo
@ajikanyenje1017
@ajikanyenje1017 3 жыл бұрын
Ni kweli wasicHana wengi wanashindwa kutofautisha mazingira ya nyumbani na ya kwa mtu baki iyo ndio shida kubwa. Me boss wangu anachoyo lakini MI najua kumsoma mtu ivyo sijawai kugombana nae huu mwaka wa Sita niko nae nikienda nyumbani ananirudisha tena kwake niponae naenda narudi.
@shadyasalumu8757
@shadyasalumu8757 3 жыл бұрын
Nipo OMAN 🇴🇲🇴🇲🇴🇲sasa miaka 5⃣ bado nipo napambana lakini sio wooote wanaroho mimi wooote kwangu wapo safi jamanii tupambane tuuu
@najmaaniry8431
@najmaaniry8431 3 жыл бұрын
Natak na Mimi kufanykaz niunganishe please +255686083806
@shadyasalumu8757
@shadyasalumu8757 3 жыл бұрын
@@najmaaniry8431 upo wapi wewe
@najmaaniry8431
@najmaaniry8431 3 жыл бұрын
@@shadyasalumu8757 dar es salam
@najmaaniry8431
@najmaaniry8431 3 жыл бұрын
@@shadyasalumu8757 tunaweza kuwasilian kawaida na WhatsApp-+255686083806
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 жыл бұрын
Kabisa wengine ni wazuri sana
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 833 М.
Alinidanganya anaingiza kichwa Tu! Baadae kaingiza yote niliumia sana PART 03 Oman House girl
8:57
HK AFRICA , wellcome to our social experiment
Рет қаралды 105 М.
relaxing walk Mutrah Souq Muscat Oman 01/2024 4K
10:32
Diego Bernabei De Nicola
Рет қаралды 26 М.
Mshahara wa mfanyakazi ndani , Oman, Saudi, Dubai..
8:05
Happy Housekeeper
Рет қаралды 10 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН