Masha Allah napenda sana qasda zako ukuhty DIDA uje kwetu Kenya utuimbie arusi zetu.....nataka no yako daa
@aliy33034 жыл бұрын
Marhaba zenjibaar .
@ashamohd614 жыл бұрын
Mashaaallah dida nakupenda hatar
@mauamau-cx2xc Жыл бұрын
Masha Allah khuty didah nakupenda bureeee nikiwa kenya❤❤❤❤
@jamilaibrahim18994 жыл бұрын
Dida nakuusia pamoja na kudi lako achana na bida huo ni uzushi halafu unapoteza haki ya mme wako cheki unavyo paza sauti mbele za wanaume juwa utakuja kuulizwa huko mbeleni mm ujumbe nimefikisha Allah akuongoze ufate Suna kamili INSHAALLAH.
@sabraramadhan54204 жыл бұрын
Mumewe ndo alomruhusu🤨🤨
@sabraramadhan54204 жыл бұрын
Bila ya ruhusa asingetoka uyo😏😏😏 fata Mambo yako😂😂😂
@jamilaibrahim18994 жыл бұрын
@@sabraramadhan5420 Alhamdulillah na mshukur Muumba pia jua yakwangu nayafata Ila ntazidi kuusia kuwa tukumbuke Allah anasema nini kuhusu sauti ya mwanamke mbele ya wanaume ambao sio HALARI kwake mm nampenda Sana dada angu dida pamoja na wapambe wake ndo Mana namuusia aachane na bidaaaaaaaaaaa maana hayo YALIKUWA enzi za ujahilia habari ndo hiyo dada usikasirike na isikuume ukweli ndo huo fanya Kama hayo ukijuwa. EWE ALLAH SHUHUDIA UJUMBE NIMEFIKISHA.
@jamilaibrahim18994 жыл бұрын
Subhanallah!!! et mmeo ndo kamuruhusu Inalillah wainairaihi rajiun