Mashanllah ukhuti ujumbe huu ni Kwa wenye kujua kuwa ipo siku ataondoka hapa duniani allah atupe mwisho mwema pia tuwe wenye kuiuwa Dunia sio Dunia ituuwe sisi
@YusuphRashidi-tl2wd9 ай бұрын
Mashallaah nikasda yenye ujumbe mzito allaah amjalie kilalakheli allahumma amiin
@InnocentMountainVolcano-zq9sl10 ай бұрын
Mashallah ukhty dyda ujumbe mzito xana me ndo maana nakupendaga
@HadijaRamadhan-e3q9 ай бұрын
Diyda yupo vizuri Sana katika maudhui ya kaswida zake mashaaallh Alla akupe umri mrefu wenye manufaa
@Yashibro12 ай бұрын
amiin ya Allah 🤲
@jeddahsaudi18042 жыл бұрын
Mashaĺlah dada angu mungu azidi kukupa umri wa kuishi kwa amina
@HuzaimaAlihaji Жыл бұрын
Allah atupe kauli thabit na mwish w hat a amiin
@qatarabcde82285 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema,tuwe waja wema mbeke za haki inshllh,atujaalie kalimathu tabith yaa rabbi,awaswameh maiti zote,awatile nuru katika makaburi yao,awakunjulie makaburia yaa Rabbi takabbal dua😢😢
@tausimuyango23652 жыл бұрын
Kiukweli tukumbuke Kuna siku ngumu Sana Allah atufanyie wepesi tkt kukumbuka kufanya anayoyaridhia Allah azawjallah
@HidayaSalum-t6r2 ай бұрын
Tutake tusitake mwisho wetu ni mauti tu hongera dada
@SalmaMohd-u7l2 ай бұрын
Kila mtu anataka kwenda peponi ila maisha ya barzagh(kaburini) hamna anaetaka kwenda. Panatisha wallahi panatisha. Unawezaje kufanya maasi huogopi. Wewe ni dhambi juu ya dhambi yaani dhambi juu ya dhambi. Asnte dada Dida kwa ukumbusho wako mzuri mzuri.
@omarmatata-dc3mv10 ай бұрын
Nampenda huyu Dada love you 😍 😘 😘😘😘😋😋😘
@mohameddjafoo81123 ай бұрын
Verry good ,you can I love your sound I support you ;you get our power Come for your molah Allah helps you ,All the best
@fatumalugazo95132 жыл бұрын
Marsha ALLAH. ALLAH AKBAR yallab tunusulu kwa hili Amin Amin Amin. Ukhty dida ALLAH bless you. Ktk kazi zako love so much 🥰🥰🥰🥰🥰
@Mauamunga Жыл бұрын
Allah atunusuru waja wake 😢😢😢😢😢
@SubiraShaban-m4z Жыл бұрын
💚💚💚💚💚💚💚 Maaasha'Allah 🤲🏾
@saidikingazi1995 Жыл бұрын
Allah akupe kher nyingi ukht pamoja na sisi wote Insha Allah.
@HamiduAbdallah-p3s4 ай бұрын
Aiseee! Umaut mzito yaan dida huwa anapenda sana kucheka lakin hapo coni hata tabasam lake allah atujaalie sote waumin cku ya mwisho tutamke laailahaillallah inshaaallah 🕋. Kawthar
@yusuphmashallah37322 жыл бұрын
Maaashallah Qaswida hii naipenda sana mpak saiz 2022 naichek
@NeemaMalima-g3y15 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@HalimaMo-n2f3 ай бұрын
Mashaalla kipez kazi zur mungu atujaalie musho mwema 😭😭
@hamzahassani-q9w11 ай бұрын
Kiukweli dida unajua sana
@mohameddjafoo81123 ай бұрын
Maashallah
@salmazubery67562 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwama
@AishaMiraj-j6r11 ай бұрын
Allah awe pamoja nasi atuepushe namaovu
@shabangondiah4 ай бұрын
😮kwa ujumbe wake ni lazima ujifunze na utambue kwamba Allah yupo haswaaaa
@suleimandarusi1354 Жыл бұрын
❤mashallah daa wabarqallah
@sulamanmuhammad63372 жыл бұрын
Mashallah mashallah your voice is very best and best in east Africa 🌍 mashallah 👌 I love you forever and forever
@hawasalimu9562 Жыл бұрын
Mashaallah 😍🥰 habibty
@adamhaaji5032 жыл бұрын
Masha allah Allah haku cafiimadow Allah atuja alie mwisho mwema iinsha allah
@maonezinyagalu9393 Жыл бұрын
Wow, this song is so powerful..🙏
@abdinasirabdillahi2978 Жыл бұрын
Tusikize kwa makini maneno hayo 😢
@shabansuleiman1200 Жыл бұрын
Masha allah
@RahmaImamu6 ай бұрын
Mungu akujalieeeeee❤❤❤❤❤❤
@HalimaIdd-g9r10 ай бұрын
Mashaallah alla azidi kukupa khery inshaallah
@Abdallah-cg9zn Жыл бұрын
Macha allahi
@fakihdarusi43852 жыл бұрын
KIUKWELI SIPENDI KUWASKILIZA HUYU BINT HAYA MANENO KILA NIKISMKILIZA YANANIUMIZA NAONA KAMA KASEMA SAIVI😞😞😞😭😭😭😭ALLAHUMMA JAALNA HUSNULKHATIMAH
@mwanaikaomar8628 Жыл бұрын
Aamin yaa Rabby
@NUSRAALLI Жыл бұрын
3:44
@ShamsaAbasi4 ай бұрын
Mashallah ujumbe mzito dida
@SomoeAbdallah-xl3wx5 ай бұрын
Nakupendha sana dida kwa ajili
@SomoeAbdallah-xl3wx5 ай бұрын
Allah
@ashaomina1136 Жыл бұрын
Sida ninavyokupenda kwa ajili ya Allah. wacha tu
@BemungaEnock-d6pАй бұрын
Zanzibar nipoah musik mizuri
@AbasiNdalama4 ай бұрын
Mashallah
@saidhamed58422 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe umri mrefu
@SwaumJumanne-si6uv Жыл бұрын
Inshaallh allha atukutanishe peponi
@NurratyAbdallah-mm1he7 ай бұрын
Mashanllah Anllahumma Amiin.
@SwaumJumanne-si6uv Жыл бұрын
Mashallah dada dida
@MaryamAziz-c7b Жыл бұрын
Mashallah mashallah m
@zaitntidsha96552 жыл бұрын
Mashaallah uko sawa
@SaidCheka9 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@Maryam-v7g5n16 күн бұрын
Kila nkidalod nashndwa nime dalod vitmata lakin bdo jitahdin mnatuwekea kudalod
@BakarSuleiman-v7x Жыл бұрын
Nimependq
@Issakingu2 жыл бұрын
Mashaallah ukhty
@AbcdEfg-k5g3 ай бұрын
Mashaallah
@RamadhaniSenga-m5y10 ай бұрын
❤
@raoudhoi40785 ай бұрын
yaroibi housni lhatima icha allahou yaroibi 🤲 🤲 😢😢😢😢🥹🥹🥹🥹🥺🥺🥺😢😢😢😢😥😥😥😭😭😭😭😭😭😭😭🥱😭😭
@yusuphmashallah37322 жыл бұрын
Maashallah ♥️
@aminamikidadi847810 ай бұрын
❤❤ 🎉🎉
@sdasad1285 Жыл бұрын
HAJATY DIDA UNAWONAJE UJIRUDILIYE KWENYE KASWIDA ZAKIIMANI??? SIYOSIRI ZINAPENDEZA SAANA NAPIYA UNAZIPATIYA SWAWABU MANA NIWUJIMBE UGUSAWO MOYO
@sdasad12856 ай бұрын
YANI IYIKASWIDA NALALANAYO NAMKANAYO NASHINDANAYO LEWO MWAKA NAWALA SIJAWAHI ISHIBA MPOOO DA DIDA KASWIDA KAMAHIZI ZINAKUPENDEZA SAANA KUZIDI HIZI ZAKISASA KATIKA KASWIDAZAKO ZOOOTE HIYI HAYI MPINZANI
@AyishaOman-cw4xs5 ай бұрын
❤❤❤❤
@FatmaDilimuwa Жыл бұрын
dida
@danaakassim26832 жыл бұрын
Heee dida kaanza zaman, hapa ni mdogo dah
@Amina-jz2ut2 жыл бұрын
Mashaallah dida Allah akuzidishie na sote atupe mwisho mwema
@Zainab-r8v1t3 ай бұрын
😭😭😭
@yusuphmashallah37322 жыл бұрын
Ewe Ibin Adam Kiko wap kiwili wili chako chenye nguvu 😌
@hasanimhina95972 жыл бұрын
Naomba namba yako dada dida
@mahamuduramadan55069 ай бұрын
😍😍😍😍
@AbduKasakul9 ай бұрын
xasa kwann ume ifanya Ivo wengine gatuwez kudaloawd gogle
@Mussa-149 ай бұрын
Mbona unaweza kudanload sijui wewe unafanya nini
@fatumamasudi49637 ай бұрын
@@Mussa-14 ukhty tokea Ramadhan sijapata qaswida
@tunumakila22202 жыл бұрын
Nataka kudanload jamani
@AhlamMwadini-q9y5 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@AbduKasakul9 ай бұрын
nataka kudanload hii kaswida yakutoka roho lakini haikubali jamann mm natak kudanload
@Mussa-149 ай бұрын
Tumia video oder au vidmate applications pakua video yako ✔️
@fatumamasudi49637 ай бұрын
Ukhty nipo Kenya je nitawezaj kun kua mwanafunzi wako?