UKHTY SAU - ASO KASORO HAKUNA 🔥🥰 (Qaswida Mpya) Video_1080p

  Рет қаралды 127,567

DIRECTOR ONE.T

DIRECTOR ONE.T

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@HidayaOmar-l4k
@HidayaOmar-l4k 27 күн бұрын
Mashaallah mashallah mashaallah kweli aso kasoro hakuna mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤
@HusnaBaraka-s5z
@HusnaBaraka-s5z Жыл бұрын
Aso kasoro mashaa Allah Nakupenda ukht wangu
@HidayaOmar-l4k
@HidayaOmar-l4k Ай бұрын
Nakupenda sana sau na sauti yako nzuri inayomtoa nyoka pangoni ni sauti ya dhahabu mashaallah mshaallah ❤❤❤❤❤❤❤
@prinzchtrivia2643
@prinzchtrivia2643 14 күн бұрын
Allah wema na rehema zko ni za fadila milele 🙏
@HajiabdallahAli
@HajiabdallahAli Ай бұрын
Nakuombea kwa allah ukhty sau akujaze nguvu ya kufanya mazuri kama haya sikuzote zamaisha yako uko vizur san mashallah
@MuanassaAuiba
@MuanassaAuiba 19 күн бұрын
Mashallah 💖💖
@SallyRashidi
@SallyRashidi 3 ай бұрын
Maashaallah Ukhty
@MohdSleiman-d9u
@MohdSleiman-d9u Жыл бұрын
Ndugu yng naomba hii kaz uwache naumuombe Allah msamaha haifai kwa mwanamke kuipaisha sauti yke
@ummyummy2307
@ummyummy2307 Жыл бұрын
Skiza Maneno Usiskie Sauti😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
WEW UMEPOKEA HADITHI IPI NA WAPI LINI KUHUSU JAMBO HILO... NAUMEPATA WAPI RIWAYA YEYE KUWA UPITE MITANDAONI NA UANZE KU TIZAMA VITU VISIVYOFAA KISHA KUACHA SALAMU KWA NJIA YA COMMENT?????????
@HellenJoseph-x3o
@HellenJoseph-x3o 11 ай бұрын
Au aya hamna lolote achana nao endeleza kaz yako kipenz❤
@hamicpina1151
@hamicpina1151 5 ай бұрын
Sema izo ni nyimbo kama nyimbo nyengine kwa kuwa unapata ugali apo na unapenda lazima uteteee nyinyi ni waimbaji unakuta hamna ata mwenye kuswali ni mshaka tuuu yakidunia mkiambiwa mnajifanya Kuja juu ila ujumbe ndo ushapewa kumebaki kwako kuacha au kuendeleza magoma ayo
@mtumwakh.abdalla1813
@mtumwakh.abdalla1813 Ай бұрын
@@DirectorOne.t ni bora ungenyamza kimya kuliko kujibu kwa kuendekeza nafsi
@RatifahShomiteo
@RatifahShomiteo 10 ай бұрын
Mashaallah pacha wangu.
@rashidihamzarashidi4264
@rashidihamzarashidi4264 Жыл бұрын
نعم
@mwajumahajji-bw5iv
@mwajumahajji-bw5iv Жыл бұрын
Mashaallah ukty sau
@Alihassan-om7jx
@Alihassan-om7jx 10 ай бұрын
Nzur sanaaa
@MonaMoan
@MonaMoan 10 ай бұрын
Kweli kabisa❤❤❤
@HellenJoseph-x3o
@HellenJoseph-x3o 11 ай бұрын
Mashaallah kipenzi❤
@MohammadMohammad-ne1ch
@MohammadMohammad-ne1ch 4 ай бұрын
ما شاء الله,♥️♥️♥️♥️
@IssaAli-h7o
@IssaAli-h7o 11 ай бұрын
Mashallah mung awabariki kwa kaswad mzr km hiii❤❤❤❤😢😢😂😂
@kaloujsrweddings
@kaloujsrweddings 11 ай бұрын
motooo❤❤❤❤❤
@AminaAbuu-cv4mu
@AminaAbuu-cv4mu 6 ай бұрын
congradulation for this poem very fantastic good luck
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t 5 ай бұрын
Thank you so much
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤❤ hunambaya ukti sau nice
@ummujuma580
@ummujuma580 Жыл бұрын
Hongera sana Allah akuzudishie
@NeemaMussa-n8j
@NeemaMussa-n8j 8 ай бұрын
Maashaallah ukhty sau❤❤❤❤❤
@aishamwasene3272
@aishamwasene3272 Жыл бұрын
Maashallah tabarakallah ❤❤❤
@mohammedhaji914
@mohammedhaji914 11 ай бұрын
❤❤❤ nimeipnd😊
@SingoMedia
@SingoMedia 10 ай бұрын
Maashallah
@maryammattar612
@maryammattar612 Жыл бұрын
Hongera yalinoga kama msi ujumbe niliupenda sana hu siku ile
@sabahasultan7482
@sabahasultan7482 Жыл бұрын
Mashalla ina kabeat kale ka dufu haswa nairudia mara kumi❤
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
asnt
@ahmadsaid1228
@ahmadsaid1228 Жыл бұрын
Ni hakun@ kbisA 🔥🔥
@SiwajibuAlly-hw5fm
@SiwajibuAlly-hw5fm Жыл бұрын
Mashaallah kazi imeeleweka
@saumuramadhan4819
@saumuramadhan4819 Жыл бұрын
Mashaa Allah Mashaa Allah sau Kama sau
@saadasaada8956
@saadasaada8956 8 ай бұрын
Hakika dada sau umetisha
@binali3884
@binali3884 Жыл бұрын
MAASHAALLAH UKHTY SAU
@jumafaki1697
@jumafaki1697 Жыл бұрын
Aso kasoro hakuna Balaa kubwa mno 🔥🔥🔥
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
hatari sn.. asnt jemedari
@MohdSleiman-d9u
@MohdSleiman-d9u Жыл бұрын
Maalm na ww pia unasapot uzuxhi km huu!
@MohdSleiman-d9u
@MohdSleiman-d9u Жыл бұрын
Maalm huu niuzuxhi mkubwa na yyt anae zuxha Jambo kwenye dini kwa Allah ana adhabu km hatotubia
@nuhusaleh-yi7eo
@nuhusaleh-yi7eo Жыл бұрын
Hakika umemaliza maneno ukhty sau heshima kwako Ally Ahmad (Gedu) kwa bit nzuri
@salmaabdalla524
@salmaabdalla524 Жыл бұрын
Ukhty sau mashaallah huna mbaya tupo kupata mafunzo kupitia ww . Nakupenda ukhty wang kipenz chang ❤❤
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
asnt
@pathimaafrica4283
@pathimaafrica4283 Жыл бұрын
Hongera uhtisau kwa ujumbe mzuri sana❤❤❤❤❤❤❤
@khaddooj_98
@khaddooj_98 Жыл бұрын
Mashaallah ukhty sau 😊
@mohammedhaji914
@mohammedhaji914 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤😂😂❤
@khamisali9907
@khamisali9907 Жыл бұрын
Mashallahu Mashallahu hakika iko ivo
@MohamediIwodya
@MohamediIwodya Жыл бұрын
Mashaallah
@saadaliy3979
@saadaliy3979 Жыл бұрын
Nakubal❤
@rehefehe8890
@rehefehe8890 Жыл бұрын
Mashaallah ukht sau na timu yako
@BushraaRashid
@BushraaRashid Жыл бұрын
Asanteee ukht wang❤ kwa kwel umemalizaaaa manenooo
@saumuali7516
@saumuali7516 Жыл бұрын
Mashaallah, ujumbe mzr🎉❤
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
❤️❤️💖💖
@Abdallamwaguzo-r3p
@Abdallamwaguzo-r3p Жыл бұрын
❤❤❤
@saidabdullah8623
@saidabdullah8623 Жыл бұрын
Hii imeenda bi sauda mashaallah 💖 💕
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
ASNT SN
@BushraaRashid
@BushraaRashid Жыл бұрын
Hakikaa saut wastan nyororr km hutk vileee
@siwajibuhassan2924
@siwajibuhassan2924 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah ukhty sau
@MapembeProduction86
@MapembeProduction86 Жыл бұрын
Ahsnt kiongozi kwa kazi nzuri
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
shukrn.. ila umehusika kw %75 wew pongez
@ShabanirashidiShabani
@ShabanirashidiShabani 8 ай бұрын
Swadakta
@RamadanPaul
@RamadanPaul Жыл бұрын
Umebadili jna sio
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
update tu
@RamadanPaul
@RamadanPaul Жыл бұрын
@@DirectorOne.t 😘😘. Kwa ajiri ya ALLAH
@ismailjuma6928
@ismailjuma6928 Жыл бұрын
Kaz imesmama
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
Yeeeees wew kweli shabiki kaz hta hujaiona unasema imesimamaaaa hahahaha
@allyissa2744
@allyissa2744 Жыл бұрын
Aso kasoro mola pekeee wanaotak wajione waungu watu wanakosea
@amreenabdulhamid8549
@amreenabdulhamid8549 Жыл бұрын
hii ndo kaz ya ukht sau kuj na jumbe sio nyimb za kurushan roho waimba kasd igen mfano wa ukht sau
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 ай бұрын
Ukhty mbona kimya, kazi mpya huachii tena
@MohdSleiman-d9u
@MohdSleiman-d9u Жыл бұрын
Kumbuka kwamba tunaenda kwa Allah leo aw kexho haya mmb hayafai tutaften kz za halal
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
WEW UMEPOKEA HADITHI IPI NA WAPI LINI KUHUSU JAMBO HILO... NAUMEPATA WAPI RIWAYA YEYE KUWA UPITE MITANDAONI NA UANZE KU TIZAMA VITU VISIVYOFAA KISHA KUACHA SALAMU KWA NJIA YA COMMENT??????
@ismailjuma6928
@ismailjuma6928 Жыл бұрын
Ukht sau mbna qasda ina sauti kwachu
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
Network yko tu pengine
@Mahfoudhakhamis-xl3sd
@Mahfoudhakhamis-xl3sd Жыл бұрын
Samahn nataka ya vidomo domo mbona s iyoni full❤
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
nikwel imetoeka mtandaoni ila itarudi inshllh
@Mahfoudhakhamis-xl3sd
@Mahfoudhakhamis-xl3sd Жыл бұрын
sawa ila isichelewe nimeipenda nili download kwa bahati mbaya ikafutika 😭🙏
@adamjuma9672
@adamjuma9672 Жыл бұрын
Maneno swadakta
@ismailjuma6928
@ismailjuma6928 Жыл бұрын
Ttz nini hem iskilize uzr
@AminaAbuu-cv4mu
@AminaAbuu-cv4mu 6 ай бұрын
For girls this work is not accepted in islamic religion my advice for you stop this sension
@KhalidAliy-o4t
@KhalidAliy-o4t 10 ай бұрын
❤❤
UKHTY SAU - YALIOJIFICHA (Qasida Mpya 2023) Video_1080p
8:08
DIRECTOR ONE.T
Рет қаралды 260 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 2,9 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 35 МЛН
UKHTY RAUHIYA  ASOKASORO HAKUNA
18:17
salum kanuni
Рет қаралды 73 М.
Ukhty Dyda - Furahika na Ukhty Dyda ( Official Music Audio )
8:40
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 24 М.
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 410 М.
UKHTY SAU - UDHALILISHAJI (Qasida Video Performance)
8:49
DIRECTOR ONE.T
Рет қаралды 30 М.
UKHTY SAU - HATURINGI (Qasida Video)
10:52
DIRECTOR ONE.T
Рет қаралды 80 М.
HUJAHITIMU KUSOMA NA UKHTY RAUHIYA
12:15
salum kanuni
Рет қаралды 117 М.
Salamu Alaika Full Lyrics Video | Shehi Ahmad Tajulizzi
16:37
Qasidu Lyrics
Рет қаралды 111 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 2,9 МЛН