Waislamu tusilete ubaguzi katika masheikh tukaacha kupokea faida na kukimbilia kuwatia hila za ushirikina wanazuoni wetu Sheikh nakupenda sana ALLAH akuhifadhi na kila shari.
@maulidihasani3466Ай бұрын
Na kuelewa vizuri sana inshaallah
@IbraFareedАй бұрын
كَانُوا قَلِيلًا مِّنَ اللَّيْلِ مَا يَهْجَعُونَ (١٧) [Adh-Dhâriyât: 17] Walikuwa wakilala kidogo tu usiku
@RamadhanSalimu-ez4ok2 ай бұрын
Mashaallah
@NasrahMakunga2 ай бұрын
Shekh Walid fundi wa dini yetuu!!
@IbunjazarTv2 ай бұрын
Aya inasem hivi."كانو قليلا من الليل ما يهجعون"
@msafiriduwiya77652 ай бұрын
NI SURA GANI AYA YA NGAPI?
@kulthumkimaro96682 ай бұрын
Ni sura gani hii !?
@IbraFareedАй бұрын
كَانُوا قَلِيلًا مِّنَ اللَّيْلِ مَا يَهْجَعُونَ (١٧) [Adh-Dhâriyât: 17] Walikuwa wakilala kidogo tu usiku
@hamisisalimu69082 ай бұрын
Takbeeer
@Samsungjprime-ww9ve2 ай бұрын
Mashaallah shukran Ahsante
@kulthumkimaro96682 ай бұрын
Sheikh Walid Allah akuhifadhi duniani na akhera!yaani you have a full of confidence!
@سعدياقوت-ت2خ2 ай бұрын
Swadakta sheikhwangu
@S.Mnguyu2 ай бұрын
Mtihan ,Zama hizi dini imekua kama tim za mpira kilammoja anafanya anavyotaka na sio mafundisho yanavyo taka 🤔maamuma ndio wanazidi kuvurugika mana hawajui washikamane na lipi
كَانُوا قَلِيلًا مِّنَ اللَّيْلِ مَا يَهْجَعُونَ (١٧) [Adh-Dhâriyât: 17] Walikuwa wakilala kidogo tu usiku
@leilamohamed9502 ай бұрын
Darsa Tv , tafadhali tuandikie hiyo aya aliyosema
@AhmedWaydah2 ай бұрын
As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh ayah hiyo ipo surah ya 51 Adh- Dhariyat aya ya 15 mpka 18..
@leilamohamed9502 ай бұрын
@@AhmedWaydah jazakkallahu kheyr
@leilamohamed9502 ай бұрын
@@AhmedWaydah wa alaykum salaam warahma tullah wabatakatuh
@IbraFareedАй бұрын
كَانُوا قَلِيلًا مِّنَ اللَّيْلِ مَا يَهْجَعُونَ (١٧) [Adh-Dhâriyât: 17] Walikuwa wakilala kidogo tu usiku
@MutoniwaseMadinah2 ай бұрын
Innalilah wa inna ilayhi rajiun .vipi utaomba watu walio fariki ili wakuombe?ushirikina huo .
@MgeniRamadhani2 ай бұрын
Kumekucha 😅
@drimaz26922 ай бұрын
kama hutak basi😂
@rayisadesigns26462 ай бұрын
Umeelewa vibaya siyo kuwaomba wao kama Mungu laa hasha ila alichomaanisha wao ndiyo wawaombee kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwa waja wema huwa hawafi kama wanavyokufa watu wa kawaida, tafuta wenye elimu wakufahamishe hilo juu ya waja wema na mawalii wa Mwenyezi Mungu waliokuwa barzah kuwaombea kwa Mungu waja waliokuwa hai
@mariammohamed67622 ай бұрын
Mashallah tabaraakallah Allah akulipe Kwa ufafanuzi@@rayisadesigns2646
@MutoniwaseMadinah2 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 bado tu ni ushirikina.sasa kunautofauti gani na hawa makafiri wa chatoliq wanaomba wafu wa kina st Joseph st Louis st Paul na wengine wengi eti ni watakatifu wawaombee kwa mwenyezimungu?kama mambo ndo hayo huwo ni ushirikina,katika qor an Allah anasema yeye tu ndio wa kutegemea na kumuomba kilakitu na ukiomba hata kipenzi chake mtume Muhammad salallah wasalam eti akuombee Kwa Allah hata hiyo ni shirki kwasabbu allah ndie alituumba zote.sasa iweje umuombe mtu baki akuombee dua kwa Allah na alisha fariki?subhanallah 🤔muogopeni Allah na muache kupoteza jamii inayo wafatilia.