Shekh ninakufuatilia sana Allah akulipe kheri,pia nakupongeza kwa kuteuliwa/kuchaguliwa kuwa shekh mkuu wa mkoa Mufti hakupoteza naamini anajua huo ni mgodi unaotoa madini ya thamani ,Allah akuongoze ktk uongozi huu aliokubariki,nafuatilia sana visa vyako,elimu na mawaidha yako yenye mafundisho mazuri
@mwanaharusmohd3732Ай бұрын
ALLAH, akuongoze katika kusilimu kwako,
@ZaidHamasiZaid3 ай бұрын
Wallahi, Sheikh umenizindua, shukran.saana Nilighafilika. Majuzi nilipata mtihani na ukweli nilitereza nilifanya ibada kumbe ya kishetwaan, Alhamdu Lillah leo nimekusikiliza vema yaani ni kama ulikuwa unanisema mie...nashukuru Allah sw akulipe mema
@bakithamapembe55218 күн бұрын
Umekuza Imani yangu ahsante sana Allah akulipe mema
@bernardyona4564 Жыл бұрын
Sheeeh naomba uniandikie hayo maneno mie huwa nakufatilia sanaaa nanaamka sana usik wa manane kuombaaa
@castorbanda9626 Жыл бұрын
Ben vp
@BashirOthman-u4e Жыл бұрын
Kwani unatuambia ili tujue kua wew mchamungu 😊😅
@khadijahamina84579 ай бұрын
izonizana zako kuwa nawivu wafa ida amka naweye ili umshinde tushindanekwajili ya allah
@omarmotito841 Жыл бұрын
Assalamou alaykoum wa rahmatullah wa barakatu imam kabla ya yote natangulia kwa kumuomba Allah akujalie kila lakheri duniani na kesho akhera osizani kama mawaidha na elimu onafundishaka inaishiaka uko Tanzanie mie apa nakufata drcongo nakuomba ukue na kuongeza mandiko mimi niko mamuma ile inaweza kunisaidiya sana inchallah
@hamsikrasheedi1796 Жыл бұрын
لا إله إلا الله محمد رسول الله لا إله إلا الله والله اكبر
@ishakaali923 жыл бұрын
Mashaallah nakufatilia sana darsa zako unapenda kutupa faida huna kubana bana Allah akupe afya uzidi kutupa vitu kama hivi
@kasatbintalib9127 Жыл бұрын
Aaamin umeon eeenh
@SulumaSwaleh6 ай бұрын
MASHALLAH BIN GHAMMY NISEME NINI KWAKO KWANI KILA UTACHOONGE KINAGUSA MOYO. ALLAH AKUINGIZE PEPONI KWA HURUMA ZAKE . AMEEN YARAB.
@fatmakilalah9751 Жыл бұрын
Manshallah allah akulipe nimejifunza mengi kutoka kwako
@saidaabdalla28542 ай бұрын
JazakAllwahu khairan Sheikh ❤️ ♥️
@sharifashabani89732 жыл бұрын
Mashaallah shekh wetu allah akufanyie wepesi ktk kutufikishia mambo mazur
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Shukran sana shehe walidi mungu akupe afya njema
@mamamarcely27202 жыл бұрын
Asante mungu akupe maisha marefu
@santummtaukila5879Ай бұрын
Kweli sheikh allah akuhifadhi akupe umrifu uzidi kutufunza na kutukumbuaha amin
@mamkubwaashura80962 жыл бұрын
Shukran saana sheikh Allah akupe afya uzidi kutuelimisha
@faridhassan6834 Жыл бұрын
Nimelia wallahi kwa hichi kisa
@lilianmasawe97803 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadh shekh
@TheAlesry Жыл бұрын
Ameen
@khadijarajabu36263 ай бұрын
mashaallah allah akupe umr mrefu wenye baraka shekh warid
@ashaomary2623 Жыл бұрын
Allah aendeleeee kukupa afya njema na uelewa zaidi
@azizasana93132 жыл бұрын
Nimemjua wiki hii,ktk youtube,haki umeniweka krib na Allah,ulipwe mema mengi na Allah sheik Walid.
@awadhally5442 жыл бұрын
0
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
Maaaa shaaa Alllah Alhamdulillah
@maliathmajid8228 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa ...wewe ni kama Mimi tu Allah ampe Pepo huyu mja jamani anejua kuniwema karibu na allaha.
@kasatbintalib9127 Жыл бұрын
Aziza yn uy mt ana paswd uczozpat san kw mashekh wengne kwke unazpat Allah atuekee inshàallah
@omariaman7818 Жыл бұрын
Mm nimekuwa karibu na allah sama siku hizi asbabi yy allah amuweke mashaallah
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Nakupenda shekhe napenda mafundisho yako
@aligmoha90152 жыл бұрын
jazakha Allah kheir allah atakulipa in sha allah
@bernardyona45642 жыл бұрын
Ustadhi,,,mie nimesilimu Sasa Mambo mengi siyajuwiii naomba msaada wako mie huwa naamka ucku wamanane
@hawaramadhani40662 жыл бұрын
Allah akulipe kheli shekhe
@MakameMketo-ci2en Жыл бұрын
Mashaallah shekh allah akulipe
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
mashallah 🙏
@allysmo7046 Жыл бұрын
Alhamdulillah shukran sheikh la mkoa .. Napongez sana kwa cheo hcho maalim wngu kaka yngu ..
@fatmamsindi4612 Жыл бұрын
Maashallah, Shukran
@Binmabruk27310 ай бұрын
Masha a llahu allahu mustaanu
@AminaAlly-c2f8 ай бұрын
Mungu amuweke panapo stahili shekh wa mkoa wa daar es salama
Aslm alkm ww... Shukran sana sheikh Walid. Jazakallah kheir 🙏
@mwanakombopopo51172 жыл бұрын
Mashallah shelkh nskuomba niandikie iyo Dua ya sijida tafadhali
@zenaomary46622 жыл бұрын
Ahsat shekh mollah akuhfadh uzd kutup faida🙏
@zenaomary46622 жыл бұрын
Sheikh naomba noadikie hyo duaa ya sijida🙏
@AliKhamiss-r5k2 ай бұрын
Nawaombeni namb ya huy sheikh tafadhl
@AbdallahgasiAbdallahgasi4 ай бұрын
جمل جد
@nassirsalim2192 жыл бұрын
jazzaka Allah kher sheikh
@zeitunhassan72842 жыл бұрын
Niko Kenya nakupata naomba kuongea na wewe jinsi Gani nitakupata
@aminaharufa1343 Жыл бұрын
Masha Allah Allah akulinde
@kachaka9912 жыл бұрын
Shukran jazza.
@ablahmansimba4684 Жыл бұрын
Huyu shekhe WA mkoa WA daresalam nishekh nae mufti hajakosea kabisa kumteuwa nimemfuwatilia darasa zake huyu nimwalim pia simtu wakujinyanyuwa Allah amuhifadhi pia mufti wetu Allah amuhifadhi.
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
Alaahumaa Amiin yarab
@AliKhamiss-r5k2 ай бұрын
Jamani tusem ukwel huy sheikh ana hekma saaana anajuwa kulea jamii kwel kwel mung amuwek
@mpembaramadhanimpembaibnsa7742 жыл бұрын
Mashallah
@allykimwaga3493 жыл бұрын
Assalam alaykum sheikh wangu. Tafadhal naomba kuuliza, Kuna mahala umesema tuombe kwa kiarabu, je Kuna sababu gani inayozuia kutumia luga nyingine wakati mwenyezi mungu anasikia lugha zote.
@nabillkhamis81883 жыл бұрын
Sio lazma kiarabu nafsi yako tu ya moyon inatosha
@ramsofundi22223 жыл бұрын
Skiliza kwa x nyingine kwa umakini
@rahmaabdulla49493 жыл бұрын
@ Ally kimwaga kaaminisha ukiwa ndani swala ukiomba dua usiombe kwa Kiswahili kwasababu kwenye swala hakutakiwi kutiwa lugha nyengine isipokuwa kiarabu tu . Nandio akashauri kama una jambo lako nenda akuandikie kwa kiarabu uwe uanomba kwa kiarabu ukiwa ndani ya swala, ila kama hayupo ndani ya swala unaweza kuomba kwa lugha. Lugha yoyote ile na uliombalo liwe zuri ndoivo tu kwajinsi nilivo elewa mimi
@saidsaleh18562 жыл бұрын
kuomba kwa kiarabu imekusudiwa kwenye swala hususan za fardhi na ndio maana akasema uombe kwa kiarabu na ikibidi akuandikie ili uhifadhi ukiwa katk sijda ya kwenye swala uombe..... Ila ukiwa katika hali nyengine piga kwa kiswahili au wengine wanasema hata kwenye swala za sunna unaweza kuomba kwaa kiswahili. Wallahu aálamu.
@mzeeomarmzee95402 жыл бұрын
@@saidsaleh1856 Twayyib
@hawakambi53102 жыл бұрын
Shehe Wengine kiarabu atujui
@babyhuu3958Ай бұрын
Asalam walaykum shekh walid kweny sijda unaweza kuomb ata swala ya faradhi au man apo mm sijaelewa vzr kidogo
@daudymussa46202 жыл бұрын
Wajanja wanatumiaga uciku
@Shehasweet-hy6xn9 ай бұрын
Mungu mkubwa
@rahmamussa8780 Жыл бұрын
Asalam aleykum, mimi nilikua nahitaji kujua je mwanamke mjamzito wa tambo la miezi nane anaruhusiwa kusali amekaa chini na nasali vipi, kwasababu kila nikijaribu kusali kawaida tumbo linanielemea na ninapomaliza sijiskii sawa katika upumjaji na kuacha sala naona ni makosa na sitokua na raha naomba mwenye elimu hii anifahamishe
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
Samahani et hii kulhalaw ni dua ya kumuombea marehemu?
@soilammary4211 Жыл бұрын
Hizi darsa zako Sheikh huwa ni wap? Na lini na lini ?mida ipi
@MaryamFerej-ep9cq2 ай бұрын
Masha Allah Sheikh walid. Mola akupe kila la kheri hapa duniani na kesho akhera. Akuzaidishie elimu na ss tupate faida, kwani darsa zako unatamani usimalize darsa zako.
@shaisoho9033 Жыл бұрын
Shehk kama mimi sijui kiarabu naombaje jmn na ninapenda kuomba kwa sigda kama unavyosema?????msaada pls
@AshaWaziri-mw4su6 ай бұрын
Asalam alaykum, mtu Kama anataka umpe maelekezo anapaataje mawasiliano
@adammaziku6521 Жыл бұрын
Je naweza kuomba maombi yangu Kwa kutumia lugha ya kiswahili?
@mfurumatongaschool1440 Жыл бұрын
Ndio unaweza kuomba maombi yako kwa kiswahili.
@kasatbintalib9127 Жыл бұрын
Yanatgmea n wp hyo maomb y kiswhl ama lugha nyengn yyte kwny swal n kiarab t ht km una maombi yko bnafs bs uyataje kw kiarab km kw maneno y shekh wet. Wallah a'alam
@sharifatanzania58853 жыл бұрын
Ustazi sisi wasammbaa pengine hatujui kialabu tufundishe
@rashidomary6323 жыл бұрын
Taadaha hata kuonga kiarabu
@seifiddy18042 жыл бұрын
mh mh weshu
@allywaziry7489 Жыл бұрын
Ooh sharifa nawe mndunghu angu.............kuomba Dua Kwa lugha tofauti katika swala sio Sahihi ,inabatilisha swala
@sadikisemwali45163 жыл бұрын
Hadith dhaifu
@hawaramadhani40662 жыл бұрын
Yako iko wapi uliotufundisha
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
@@hawaramadhani4066 😂😂😂😂😂
@bernardyona45642 жыл бұрын
Mwenyez mungu akufanyie wepes sheeeh
@bernardyona45642 жыл бұрын
Allah akulipee,,, naomba Sheeh uniandikie kiarabuuu,,
@bernardyona45642 жыл бұрын
Napenda darasa LAKO sanaaaaa
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Masikini shekhe umenitowa machozi. 😭😭Kumbe ni muza mkaa? Hana kitu kusha anatowa?
@DarsaTV. Жыл бұрын
pole ila ni miongoni mwa sifa za wachamungu
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Utasikia zaman tulikuwa tunasemaga hivyo yule mtu wetu