#QiblateinOnline Follow Us On: INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv FACEBOOK; www.facebook.c... KZbin; / @qiblatainonline
Пікірлер: 104
@joanthabeet80053 ай бұрын
Asalaaam aleykum, Allhamudillilah mm ni shuhuda kupitia kufanya dhakari na kufanya ibada wallah nilikuwa na ugumu wa maisha na madeni ambayo nilikuwa sijui nalipa je illa Allah amenipa pesa sikutegemea nilipata milioni 11 ofisini nikaweza kulipa madeni ndugu zangu waislam tufanye ibada Allah ana jibu, sheikh Othmani Allah akubariki kupitia kusikiliza nimejifunza na nikafanya nanimefanikiwa, na nina miaka miwili toka nimeingia kwenye uislam toka nilivyoslim nafurahia uislam
@MWANAKOMBONGANGAKARISA3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Masha'Allah Baraka'Allah Khair
@user-gn9rh7sw7r3 ай бұрын
Maashallah Maashallah Maashallah hayo unayosema ni kweli ibada ndio kila kitu,Allahsw auzidishie mardufu udumu ktk uislam in shaa Allah
@user-oz6uy3kj3n2 ай бұрын
Mashaa Allah Mashaa Allah, nina mtihani wa madeni makubwa kama huo ila bado wakati wangu wa kufanikiwa haujafika japo nazingatia sn mafundisho ya Sheikh na nafanya vyote anavyoelekeza nasubir majibu kutoka Kwa Allah in shaa Allah
@AdidjaKadjemba2 ай бұрын
Haya Mimi piya
@kasatbintalib91272 ай бұрын
Mashaallah
@sakiukitvАй бұрын
Sheikh mimi si mwislam ila mkristo tena kutoka Burundi, wallah mafunzo yako yananikosha, nakuombea dua Jalali akupe maisha marefu tuendelee kufaidi uhondo wako inshallah.
@KuluHiji16 күн бұрын
Samahani ingia uislam
@tuwemzee81682 ай бұрын
Assalam walaykum..Ahsante sana shekh wangu pedwa..Kuna ile uradi wa kurudisha mume ambae ilikua amekimbia wallahi kama nakuona vile maajabu yake ni siku 3 tu ...Allah akuzidishie uzima na afya njema ila pia uupate mwisho mwema❤nakupenda kwa ajili ya ALLAH. ❤
@JinaJuma-gy1us4 ай бұрын
Sheikh niko mbali lkn nafurahika na siwezi siku kupita Bila kusikiliza mawaidha yako jazakka Allah kheri
@Al-Hajj-er3fk3 ай бұрын
Allah (s.w) akuhifadhi pamoja na ummah wote wa kiislam inshaallah
@rashadkamugisha10703 ай бұрын
Amiin
@user-zt6re1dr5f23 күн бұрын
Allah mjalie pepo shekh na sis atukutanishe na Mtime wetu Mohammad S.A.W
@mwanaidhassan61704 ай бұрын
Assalam Alleykum Shukran sana Shekh wangu Leo nimempata faida kubwa sana japo Mimi huwa nakufuatilia sana na natumia Dua nyingi unazo tufundisha ila Leo umetoka fursayakuja kuhudhuria kwenye Dua kwangu Mimi ni Fursa naitaji niudhurie Dua hii naomba ratiba Yako siku na saa nipate kuhudhuria Inshallah natumia utanijibu
@ummysaabersaeedy81522 ай бұрын
Hua naenda mara nyingi hafanya jumapili na jumatano
Allah s.w akulipeni kila la kheir sheikh Othuman,ila wengine bado lugha inaleta utata
@AISHAUWAMAHORO-jo6gv3 ай бұрын
Allah akupe kilalaheri sheikh wetu❤
@BakariAbdalla-l3z16 күн бұрын
Asante shekh kwa ukumbusho mung akupe umri mrefu aamin
@MimahYaseen2 ай бұрын
Allah akubarik shekh wangu akupe maish marefu na akutimizie kila hitaj la moyo wako kwa kutupa elimu
@user-eq9yi7pz4i4 ай бұрын
Shukran jazzakallahul kheir Shekhe wetu,Allah akujaze kila la kher In Sha Allah 🤲
@RashidiMvungi-x3k10 күн бұрын
Asalaam alykum warahamatllaa kwanza nimshukuru allaah kunpa pumzi pl sina maoni zaidi yakuanza kuwaombea wazazi wake shekhe na yeye pya tatu sijasoma najitahid ila namuomba aniombe hata kadua kdg tu allaah amlpa
@ummysaabersaeedy81522 ай бұрын
Nakukubali sana shekh othman nilikuja kwako nipo hoi dhufu l hali nikakesha na wewe nikajifunza namna ya swala za usiku ..Allah akulipe kheri Wewe pamoja nasi
@RakhmanHassan-ei3kn3 ай бұрын
Shukran sheikh Allah akulipe kila lakheri
@HAJJATHALIMASULYMAN2 ай бұрын
Alhamdulillah yaan shekhe nimejifunza mambo mengi sana Jazzakallahu khaira Allaah akupe umri mrefu afya tele utujuze mengi
Maashaallah Allah Akufanyie wepec niombee na Mimi shehe wangu
@shabanshaban81023 ай бұрын
shukran sana sheikh Jazakallah khayra!
@user-xr5lf6pe1n4 ай бұрын
Apo kwenye kusujudu machoz ndio kama yalofukuzwa shekh subhanallah Allah sw atufanyie wepes Allah akubarik shekh maneno matam
@AdidjaKadjemba2 ай бұрын
Allah akupe urmi mrefu .uzidi kuelimisha watu .mana anayetumiya ushauri wako kama utwambiyayo .na imani anafanikisha
@zeyanaseif57302 ай бұрын
Inshallah Allah atatufanyia wepes ktk kila gumu tunalopitia🙏
@mwanaishakama33814 ай бұрын
Shekh wangu mm kwa mdomo wangu mzito nikifanikiwa kuzimaliza zote ulizo sema labda nikeshe😢
@user-mf7mt9zq6c4 ай бұрын
Jazaka Allah kher sheikh wetu 😊
@user-jb9ew2id6r3 ай бұрын
Allaha atufanyie wepes inshallah
@leylersirlim44023 ай бұрын
Shukran sana Jazaka llahu kheyr. Mombasa unakuja lini
@JinaJuma-gy1us4 ай бұрын
Mashaallah jazakka Allah kheri
@AgahozoAsmahАй бұрын
Allah akuzidishiye. Elimu
@ZuhuraAbass4 ай бұрын
Allah akubariki shekh
@maryamabdallah72843 ай бұрын
Shukran sheikh wetu Allah akulipe kwa malipo yake
@halimandune73174 ай бұрын
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh. Sheikh niombee hta mm nko Hoi taabani.Kusema kweli.Madeni maisha mangumu.
@hamidahnassoro-124 ай бұрын
Mungu atakutilia wepesi kila kwenye uzito ..ishaallh yatakwish
@FatumaAdam-xo7ye3 ай бұрын
Allah akibarh
@user-cz1pb6zn3h4 ай бұрын
Tunashkr Sheikh
@Muhammad-jy1vx3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-rt6gt7gu3p3 ай бұрын
Allah atujalie wepesi inshaa Allah
@RehemaHassan-rz8nh4 ай бұрын
Allah akuhifadh na kila lenye sharri kwako
@aminakassim8314 ай бұрын
Basi mi huwa na anza kuswali salat haja kwanza alaf ndo naanza adhkar kumbe nakosea!ntabadilisha inshallah
@ayshazambia65094 ай бұрын
Mi mwenyewe nilikua nasli kama ww inshaallah nitabadilisha inshaallah
@angle36003 ай бұрын
Nakubaliana nawe kakangu alikufa wakati wa kiangazi ila la kushangaza wakati jeneza latolewa ndani ya nyumba kulinyesha mvua kiasi yani ardhi ikawa baridi kiasi, watu walishangaa sana,ila yeye pia alikua mcha Mungu mashallah Mungu amueke pema palipo wema
@SakinaSakinat-qd9rs3 ай бұрын
@@angle3600 Amiin
@EstellaNshimirimana-gw7wv3 ай бұрын
Shukran
@mwanamussa96503 ай бұрын
Shekh dua hiz unaweza kusoma ktk miez yoyote maana mm ndio kwanza nimekusikiliza leo shekh wangu
@ummysaabersaeedy81522 ай бұрын
Ndio unaweza
@user-gn9rh7sw7r2 ай бұрын
Hujachelewa anza ndugu yangu
@JumaAsraj3 ай бұрын
Masha Allah ❤❤❤
@MaimunaDimwe2 ай бұрын
Asalam aleykum, shukran shekhe wang , naomba dua nina mitihan shekhe
@neemahalima54403 ай бұрын
Mashalla
@amina12aminamuhudin252 ай бұрын
It's very true what he said is very true😊😊😊
@YusuphuMsangi-jo9pe3 ай бұрын
Maashaallwah Allwaakuzidishie
@halimandune73174 ай бұрын
Sheikh hii nyumba nko inanifanya kwa kweli nipata ugumu a kufanya ibada.
@user-ys7kt7gd7j4 ай бұрын
Assalam alaikum ww shekhe tuna omba dua samahani nisaindie
@MwanapiliAthumani-zp1bs2 ай бұрын
Asalam lakm sheikwetu naomba iniombee dua na matatizo na hapa nilipo ninamtihani sana naomba dua zako insha Allah
@user-sr9zm3uf9kАй бұрын
Asalam aleykum warahma tullahi wabarakatu vp hl yk sheikh wallahi nimetizama hii Leo mm wallahi nataka sn sn kufanya hizi adhakar ntajitahidi lkn umesema niombee na mm mungu watoto wangu hawataki kuswali kila nnavo waambia haswali naamini haya matatizo nlonayo ni mngu hajaitizama nyumba yangu kwa jicho la rehma ramadhani hatuitambui ikiingia na ikitoka saumu ya aina zote nyumba yangu watu wateta wapigana hakuna raha ndani ya nyumba yangu nakuomba sheikh niombee hawa watoto wamlekee mola wao huyo baba yao ndio usiseme hataki ht kuswali nakuomba sheikh
@halimasaid51213 ай бұрын
🙏🙏🙏
@CadetMBUSA2 ай бұрын
Assalamu alykumu naminimuisilamu kutoka congo namina ombaileduwa
@Zouzumachini2 ай бұрын
Assalam alaykum ww, namushukuru muweza na kutupa sheikh anaetupenda kama wewe
@user-oz6uy3kj3n2 ай бұрын
Msaada wa hiyo sura ya mwisho mwisho ya Afia inaitwaje
@hassanisindi4744 ай бұрын
Salat nnaria bado sijaijua
@hanafibalozi53082 ай бұрын
Takbiii..r
@user-or9im6hr8l3 ай бұрын
Asalam alaykum shekhe niombe dua nifungue akili yangu na mambo yangu yawemepes
@user-be4bq7fc1t3 ай бұрын
Aslm alkm plz nisaidie kuandika hii dua
@user-bv1vn2lk7q3 ай бұрын
Asalawalaykum shukran❤❤
@YusuphuMsangi-jo9pe3 ай бұрын
Nikweli Mimi Huwa napenda sana kusoma Ayaatulkudsi hata nikiota ndoto mbaya najikuta naisoma usingizini
Salaam,shekh unaweza kuwafanyia watoto wako hata kama wakubwa wapo shule ya msingi?au wewe mwenyewe ukajifanyia?
@LovelyCrocodile-og7uv3 ай бұрын
Ivi Burundi hicho kitab kipo
@zidinayusuphyusuphАй бұрын
Shehee naomba uniombee dua nina mitiani ya ridhiki
@Amissaamiri3 ай бұрын
Asalaaam aleykum cheh unawez ukayitumia kwatatiz la madeni
@TATUCCM2 ай бұрын
Asalaam aleykum shekhe, pia mimi ninatatizo kila ninalofanya sifanikiwi kabisa pia ninamadeni sana na sijui nitayalipaje, hivyo shekhe wangu naomba unifanyie dua wewe mwenyewe ili niondokane na hii adha ya madeni pia nifanikiwe kila nilifanyalo. ASANTE
@Bakia-tj2of3 ай бұрын
Shekhe muubin ndo nn mbona mm c iijui hiyo mubinn nianze kujiombea na mm
@mjaweathman65193 ай бұрын
Mubin iko kwenye suratul yasin
@user-gn9rh7sw7r3 ай бұрын
Mubiin iko ktk surat yasin unapoendelea kusoma yaasin utazikuta ziko 7
Assalaamu waalaykum, Sasa kama hiko kitabu cha WASILATU SHAFII hauna na pia hiyo Swalati Mnnalia hauijuwi nikifanya bila hizo Hili DUA litakuwa LIMESHIBA, Majibu Tafadhali.
@user-oz6uy3kj3n2 ай бұрын
Wasilatu Shafii ipo hapa hapa You tube
@Zouzumachini2 ай бұрын
Sheikh wangu napenda niwe rafiki wa Alaa nifanye nini?
@KheyriHassaniАй бұрын
Shekhe nilikuwa nauliza hayo ni mafundisho ya mtume s a w ,kwel?
@ramadhanimatanza951423 күн бұрын
Uislam haujaacha kitu ni maisha mazima ya mwanadam ondoa shaka
@halimandune73174 ай бұрын
Utanisaidiaje ?.
@user-xr5lf6pe1n4 ай бұрын
Apo kwenye kusujudu machoz ndio kama yalofukuzwa shekh subhanallah Allah sw atufanyie wepes Allah akubarik shekh maneno matam
@saeedsaeed73814 ай бұрын
🙏🙏🙏
@YusuphuMsangi-jo9pe3 ай бұрын
Alhamdulilahi basi Mimi napenda snakusoma Ayaatulkudsi
@YusuphuMsangi-jo9pe3 ай бұрын
Hatakama nipo usingizini naota ndoto mbaya basi inakuja Atomatkal kichwani