Kwani likes zinafaida gani jamn? Naomben na mm like moja😂
@alexanton91832 жыл бұрын
Fafanuo media sina cha kuwalipa ila kweli mmenifanya dunia iwe rahisi kwangu
@FAFANUOMEDIA2 жыл бұрын
🤝🤝🤝
@RebeccaGeorgemachila3 ай бұрын
Mimi kuna mkaka huwa anakuja hapa home kuchukua chakula anakipeleka dukan kila hakiĵa huwa anapenda sana kuniangalia usoni hata nikimpa chakula mkonon anagusa mkonon na anapenda sana kunisogerea sana sielewi jaman ushauli plz🙏
@MerlinaKubadesha2 ай бұрын
Huyo anakutaka asee tena kimahaba mazitoooo😎🖕🙌😜😎💤❤❤❤but hakuambiii 2
@JladyKadzo4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hiyo nayo maybe zama za kale sio sahi ukiona unaangaliwa sana maybe unakosolewa ama ukiitwq mpenzi inamaanisha wewe ni kipenzi kitazamaji😂😂😂
@Ystduboiz2 ай бұрын
Ww kahaba ndio michezo yako
@DuniaNdogoАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SkippersSecurity-k9k26 күн бұрын
😂😂❤
@JladyKadzo25 күн бұрын
@@SkippersSecurity-k9k ukweli
@hermenegildangoty1812 Жыл бұрын
Yupo anaeonyesha kunipenda ila anaishia kuwahadithia marafiki zake tu wala hanipi muda wa kuwa na yeye 😢 naumia mno coz na mimi nampenda ila naogopa kumwambia
@nawfalmohamed3470 Жыл бұрын
zubaa utajiju
@busolomaduhu9785 Жыл бұрын
Wewe ni mwanaume usiogope mwambie2
@sopy3055 Жыл бұрын
😆😆😆😆
@MerlinaKubadeshaАй бұрын
EEE hiv kumbe mwanaume hatakiwi kuogopa eee😮😮😮😮😮
@user-cj9rc5bf9v6 күн бұрын
Ukweli kabisa
@thirdsigntz4 күн бұрын
Aaahhh kibongobongo ukiangaliwa sana ujue kichambo kinakuhusu 😀!
@IsmailKisoma3 күн бұрын
Da utakuta wadada wawili Kila siku nikipita lazima wanitazame hao hao yaani Hadi sie lewi yani
@thirdsigntz3 күн бұрын
@@IsmailKisoma hahaha sasa hapo kaka una homework yakufanya 😀 itabidi utafute njia ili upate kujua kwanini wanakuangalia kila ukipita!
@HadiyaMuhammed-tt2xs17 сағат бұрын
Beautiful friend
@vionjo4735 Жыл бұрын
Shida unakuta mwingine a nakupenda lakini ukimtongozq tu mnakuwa maadui anaanza aibu aibu za ajabu
@budodilufega85972 жыл бұрын
Noma Sana jamani😁😁😁😁kina kibiti hapa basi tuu mungu ana jua 👏👏👏👏👏
@MerlinaKubadeshaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 siunde
@Empressever2542 жыл бұрын
Absolutely true 👌🤣🤣Hve fallen in love with someone but it's hard to express my feelings to him🤪am madly in love with him 😝lyk seriously
@khamisali5978 Жыл бұрын
😂😂😂🎉🎉🎉
@ghaniyyatkinyogoli821411 ай бұрын
Hhh
@martinireri55452 жыл бұрын
Your voice in ever convincing bro. 😍😍😊😊😂
@user-qs3mr5ze7g16 күн бұрын
Iyo ni kweli kaka
@user-qg3nu1kv2n5 күн бұрын
Penda penda usimpende Mume/Mke wa mtu 🙅🙅🙅
@DuniaNdogoАй бұрын
toka nimezaliwa nna miaka 26 sasa wallah sjawahi kuona mtu ananipenda 😂😂😂😂😂
@MerlinaKubadeshaАй бұрын
Labda huinekanibmdo maanaa😂😂😅
@DuniaNdogoАй бұрын
@@MerlinaKubadesha 🤣😂
@MbwanaAbdul13 сағат бұрын
Duh hatuchekani kumbe😂😂😂
@flomenastephen2226 Жыл бұрын
Nikweli kabisa kuna aibu na unamwanhalia kwa kumwibia akiwa around unatamani asiondoke japo una story nae uwepo wake tu unanenepa
@MbwanaAbdul13 сағат бұрын
Mimi sijaona ishala yoyote ile kwangu😂😂😂
@glorychambi6559 Жыл бұрын
Duh ni kweli kabxaaaa
@glorychambi6559 Жыл бұрын
Thanks
@uswegemwasanjala1465Ай бұрын
Saizi baba kipengereeee saizi unarogwaaaa
@alfredrweyemamu780726 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abcmnbb26102 жыл бұрын
Asante sana kaka 💙💙💙
@AmiryTanu6 күн бұрын
Really
@FatmaNgoo26 күн бұрын
Duuuh! Sa suluhisho ni nn, au tutumie njia gani ili kufikisha ujumbe kama kusema tunashindwa.❤😢
@arabicanarestaurant1940 Жыл бұрын
🍓🍒 Ukiona kiashiria hiki ujue anakupenda ila anashindwa kukwambia
@ghaniyyatkinyogoli821411 ай бұрын
Aah
@MerlinaKubadesha2 ай бұрын
@@ghaniyyatkinyogoli8214 kabisa
@MohamediMohamedi-u8s25 күн бұрын
Go direct to the point unajizungusha SANAAA shenziiiiiii🗿