Niliota naendesha bikibiki na nimebeba mtoto wangu mdogo pekee na inaenda mzuuri inamaanisha nini mtumishi
@ElizabethBayo-f4zАй бұрын
Baba mm niliota naendesha pikipiki nikapata ajali tajiri zikapasuka na baada ya hapo nikaita pikipiki nyingine ikazama mtoni ikaharibika Tena Dah nilitesrka sana
@water_music40Ай бұрын
Niliota naendeshwa kwenye pikipiki kwenye balabala ya mavumbi, tulipo fika kwenye balabala ya lami nikakuta ndo inatengenezwa balabala inaekwa lami nikashuka
@hellenmzungu7364Ай бұрын
niliota niko Kwa limozini kisha ninapungia watu mkono ishara ya kuwasalimia kisha mbele nasindikizwa namagari mengi na nyuma kuna watu wamepana farasi wananifutilia nini maanake
@SIMONOSERE-yv6yeАй бұрын
Ukiota unajifunza kuendesha pikipiki inamaana gani mtumishi nisaidie nielewe baba
@lucywaithaka5763Ай бұрын
Shalom , niliota na nyumba yangu ya kazi kama inaripuka moto ya stima ,nikapiga duru lakini sikupa wakunisaidia kuizima but nikaizima,haikuchoma kitu