Allah akuhifadhi shekhe Mselemu Ally,Hakika umejaaliwa elimu ya Tafsiri na Allah,Allah akupe kheri zote anazozijua yeye na akuepushe na Shari zote azijuazo yeye ALLAH, inshaa-allah
@mussakatawila9408Ай бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh! Allah akupe baraka ya umri na akuhifadhi Duniani na Akhera akukidhie haha zako.
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Yaa ALLAH naomba utupe umakinifu kwenye ibada zetu Yaa rabil aalamiyn
@mussamfumo9241 Жыл бұрын
Allah akuzidishie umri mrefu tuendelee kuelimika kupitia kinywa chako cha maneno matamu inshallah.
@ramadhanbaraka6474 Жыл бұрын
MashaALLAH.
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu naomba usaidizi naomba dua zako nimepata mitihani na nipo safarin kurudi pia imekuwa vigumu kwa Sasa sijui ya ALLAH mbeleni inshaallah kheri
@user-jj8vq5qr9f4 ай бұрын
Pole sana mtihan gn
@Aminamuhamed4 ай бұрын
@@user-jj8vq5qr9f shukuran yaa shekhe alhamndullilah rabil aalamiyn namshukuru ALLAH amenitatuliya Mitihani tu ya kidunia ya kudhulumiwa
@hidayarashid5263 Жыл бұрын
Shukran jazila
@aliy3303 Жыл бұрын
Allah bless you
@timemasoud6893 Жыл бұрын
Shukran shekhe msellem
@zowaina9946 Жыл бұрын
MANSHAALLAH tabaraka RAHMAN umengara na nuru ya ibada kweli
@NiyibiziIsaWangyu3 ай бұрын
Kila Sheikh anapotoa mawaidha yenye suratul fatiha akatanguliza bis'millahi Rahman Rahim ambayo wengine baadhi wanasema alhamdu lilahi rabul alamiyna ndiyo ayya ya kwanza na hiyi hadith wanapoisoma huanzia Kwa alhamdu Kwa hivyo Kwa vile mahaba yangu ni makubwa Kwa neno bis'millahi Rahman Rahim na anayeitumia kiukweli ninampenda na huwa mawaidha yake yote Mimi nikipenzi yake