UKIWA NA SIFA HIZI UNAMUOA MIRIAM CHIRWA

  Рет қаралды 201,698

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 346
@fahamujames8003
@fahamujames8003 2 жыл бұрын
Miriam yuko vizuri sana nyimbo zake hakika zinanifarji sana ubarikiwe sana dada yetu mtumishi
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Yes Maryam u r very smart unaongea vitu vizuri vya maana ktk maisha bora!! well done!! Mungu akupe mume bora iwe furaha ya daima...
@hildachirwa4828
@hildachirwa4828 2 жыл бұрын
Proud of u always my princess my one and only daughter my pride my joy
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Hongera na MUNGU ampe haja ya moyo wake kwa wakati wake
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 aamin
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 2 жыл бұрын
Xaf xana Mungu awabariki wote
@morrismkariko3373
@morrismkariko3373 2 жыл бұрын
Wow
@irenerespicius5079
@irenerespicius5079 2 жыл бұрын
Big up sana mom kwa malez yako kwa mwanao ni brave kifikra
@timamusulemani7306
@timamusulemani7306 2 жыл бұрын
Usijar dada kwakua umeshamueka Mu, ngu mbele lnshallah utapata uyo unemuitaji🙏🙏🙏🙏🙏
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Ukimwambia MUNGU akupe huyo umtakaye anakupa.. ana stock ya Kila sample.. Muhimu ni kumuomba kwa bidii. Ubarikiwe Miriam Chirwa
@user-mn3ik1rx1e
@user-mn3ik1rx1e 7 ай бұрын
Miriam kuimba unajua nyimbo zako zinanifariji na kuniweka karibu na Mungu asante kaz yako nzuri ubarikiwe sana amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤
@afrikanamaureen
@afrikanamaureen Жыл бұрын
i love the wisdom in this baby. such a charming personality and cute
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 жыл бұрын
Amen Mungu Akusaidie Upate Anaekustahil
@gracianambinda9808
@gracianambinda9808 2 жыл бұрын
Kazi la mungu alina makosa kweli kweli, ongera sana dadangu 🥰🥰🇨🇩
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 2 жыл бұрын
Bounge la mwanamke ni mzuri sanaaa....mungu akutie nguvu na afya njema.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 жыл бұрын
Hapo ndo wengi wanaendeshwa na hisia na tamaa ya mwili wakidhani ni Mungu.Huwezi kumwambia Mungu aina ya mtu unayemtaka,Mungu anajua kilicho bora kwetu na kitakachotufaa sasa na baadae bila majuto.Mungu anaweza kukuletea jambazi au kahaba lakini mpango wake ni kuwa kupitia wewe atawabadirisha na kuwa upande wake.
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 2 жыл бұрын
Confidence yake tu kiukweli ndohuwa inanivutia sana Mungu ambariki sana kiukweli
@bellogregory7175
@bellogregory7175 2 жыл бұрын
Sana ana confidence nmependa❤️
@elizabethcharles994
@elizabethcharles994 2 жыл бұрын
Wao kanaongea vizuri mpaka kuimba nakapenda
@meshackthomas7299
@meshackthomas7299 2 жыл бұрын
Sauti yako nzuri sana mdg wangu. Leo diva kakutana na class
@rindaubuzimabwawe4089
@rindaubuzimabwawe4089 2 жыл бұрын
Miriam tangia ukiwa mtoto mdogo sana ku miaka 8 nikisikia nyimbo zako, yuko vizuri sana nyimbo zake hakika zinanifarji sana ubarikiwe sana dada yetu mtumishi
@anniemckinstry8312
@anniemckinstry8312 2 жыл бұрын
You appear to be happy and content,you do not have to settle for what you do not want.
@estershadrack2911
@estershadrack2911 Жыл бұрын
Barikiwa sana mdogo wangu Mungu akupe kila hitaji la moyo wako,
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Upo vzl miriam mdogo wangu umetisha sana
@davidmwaniki1588
@davidmwaniki1588 Жыл бұрын
Nashukuru mungu Kwa sababu ya Maryam...lugha ni safi na niya Hali ya juu .hongera Kwa vipanji zako
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
I love you miriam 🥰❤
@rosehaule6765
@rosehaule6765 5 ай бұрын
Nilichelewa kuona hii interview nakupenda miriam diva umewezaa❤
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 жыл бұрын
Maria Kipenzi nakupenda Sana, mungu akusimamie utimize itaji lako la moyo ♥️♥️
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 2 жыл бұрын
Mwenye haki ataish kwa Imani yake mwenyewe ila hiyo ya ufupi itoe Dada yangu he akiwa na sfa zote hafu akawa mfupi utakubal
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr Жыл бұрын
She got a nice voice Allahu yabarik lak
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 Жыл бұрын
Beautiful mdada I love you Woman of God Your are special
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 жыл бұрын
I love her
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe 7 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe hitaji la moyo wako akupe mume mwema mwenye baraka kwako.mungu anajuwa hitaji la moyo wako
@theresiakililimbi2151
@theresiakililimbi2151 2 жыл бұрын
Waoooh napenda sana nyimbo zake
@sandrasandrine3027
@sandrasandrine3027 Жыл бұрын
nampenda anajuwa ku ongeya Mungu akupe haja ya moyo wako dada❤❤
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
Ongera mtangazaji❤you
@akimanamariam4451
@akimanamariam4451 2 жыл бұрын
Mungu akupe unacho hitaji dada mariam 🥰🥰🥰🥰
@rindaubuzimabwawe4089
@rindaubuzimabwawe4089 2 жыл бұрын
Joel From Rwanda kigali napenda nyimbo za Mariam tena sana
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Girl so clever Mashaallah nakupenda
@Martha871
@Martha871 4 ай бұрын
Mungu AKUBARIKI sanaaaaa Binti wa Yesu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Awesome ❤️
@suzynjige1640
@suzynjige1640 2 жыл бұрын
Waow jamn huyu dada Mungu ambariki san
@Userog254
@Userog254 2 жыл бұрын
Anasauti ya kujiamini hadi raha
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 2 жыл бұрын
Waoooh miriam kitambo sana my cc mpka nilikumis
@writtenbyemelyneadvisesong717
@writtenbyemelyneadvisesong717 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Miriam Mschana mrembo wa Yesu
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Hahhhhhh Mashaallah jamn💖
@ditrickmligo6931
@ditrickmligo6931 2 жыл бұрын
Nazipenda sanaa nyimbo zako Mirium ...ila kuhusu mume mwenye sifa hizoo ilifaa useme tu hutaki mumee ...hapa duniani hawapo...sisi ndo tuko dada..hahaaa.....
@celestinekuza9471
@celestinekuza9471 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fatmaadam668
@fatmaadam668 2 жыл бұрын
Mbona wapo
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Kuna mmoja kasema apojuu amwachie feg😳
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 жыл бұрын
Watu wanapongeza bila kuangalia haka katoto kanaongea upuuzi gani.
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
very good mtoto mzuri.
@sophiedanny3702
@sophiedanny3702 2 жыл бұрын
Hao wanaume unaowataka wapo kwenye movie nyingi tu na kwenye vitabu vya Eric Shigongo
@edwinekatundu6844
@edwinekatundu6844 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rukia6452
@rukia6452 2 жыл бұрын
😂😂😂kwel
@cmantz8837
@cmantz8837 2 жыл бұрын
Kweli wapo huko au aote
@rechomethod8288
@rechomethod8288 2 жыл бұрын
😀😀🤣🤣🤣
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lakin wew hpna
@medardmsibha4793
@medardmsibha4793 Жыл бұрын
Mungu ampe afya azidi kumtumikia mungu , miriamu mungu ambariki sana
@Tully-lp3xi
@Tully-lp3xi 4 ай бұрын
Na itakuwa dadaa Mungu akufanyie
@witnessmollel7405
@witnessmollel7405 2 жыл бұрын
Wow she’s smart😊
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
mashallah beautiful ❣️ good voice
@trizasamuel8555
@trizasamuel8555 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki
@user-cg8ff7tt6o
@user-cg8ff7tt6o 9 ай бұрын
Mungu akubaliki sana
@frankfelix3876
@frankfelix3876 2 жыл бұрын
Duuu hizo sifa za wanaume unaowataka dada angu duniani hawapo wapo wenye sifa 3 au nne Kati ya unazotaka so kazi kwako mama
@kingdeniscrocodile
@kingdeniscrocodile 2 жыл бұрын
Dah!!! Hongera kwa saut
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 жыл бұрын
Manshallah habint
@sarahmgaya4870
@sarahmgaya4870 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie akupe hitaji la moyo wako
@eunicentinyari1292
@eunicentinyari1292 2 жыл бұрын
I admire you gal
@elizabethuwezo290
@elizabethuwezo290 2 жыл бұрын
Nmekupenda my
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
Ilove you miriam
@kelchas_music_store
@kelchas_music_store 2 жыл бұрын
Good sana
@franleytv6131
@franleytv6131 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie mdg angu
@ldnhmn2893
@ldnhmn2893 2 жыл бұрын
Mungu akulinde miriam
@mwanah3643
@mwanah3643 2 жыл бұрын
Mashaallah
@azzehassan1951
@azzehassan1951 2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia
@rosehaule6765
@rosehaule6765 5 ай бұрын
So sweet❤
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
Ana sauti nzuri,alaf kumbe muongeaji
@farajampogolo9840
@farajampogolo9840 2 жыл бұрын
Mungu akupe hitaji la moyo wako
@marymwihaki3238
@marymwihaki3238 2 жыл бұрын
Woow 😮 I love you girl 😘
@najmakiria7164
@najmakiria7164 2 жыл бұрын
Ana sautu nzuri adi kuongea mashallah
@b.kmwanshinga1462
@b.kmwanshinga1462 2 жыл бұрын
Mungu anasalimia maombi yako utapata tu
@cypliansambagi147
@cypliansambagi147 2 жыл бұрын
❤️mimi ninavyo
@user-yq9go8ze2n
@user-yq9go8ze2n 2 жыл бұрын
Hongera mwanangu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Wallah unajib maswali uzuli mno kwanza unafikilia ukurupuki
@happyngoda7056
@happyngoda7056 2 жыл бұрын
Anacheka vizur 😊
@user-vl8gr5uc4t
@user-vl8gr5uc4t 5 ай бұрын
Woow jamaniiii ❤
@kyungudaisy1633
@kyungudaisy1633 2 жыл бұрын
Proud of you mirriam,umetoka mbali unaenda mbali Barikiwa sana🙏
@mbajiayoub4731
@mbajiayoub4731 2 жыл бұрын
Ahaaa anapanga yey only good know
@dennokimunai
@dennokimunai Жыл бұрын
I LOVE CHRWA🥰🥰
@dennismorara7409
@dennismorara7409 Жыл бұрын
wow mungu hatamupa mungu hajawai nyima anaye hopa
@huseeninkuna6465
@huseeninkuna6465 2 жыл бұрын
Daah anajielewa sana huyu mdada Mana hataki kuolewa na ndoto zake
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 жыл бұрын
Hizo sifa ni vigumu sana kumkuta mwanaume anazo zote kila mtu anamapungufu yake awe wa kiume au wa kike kikubwa tu ni kupata mtu aliye na hofu ya Mungu bas
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 2 жыл бұрын
jamani mtu anaweza kuwa ana hofu ya Mungu lkn asikupende.so Usisahau kua anatakiwa akupende pia
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 жыл бұрын
@@dativajoachimwai1194 good ans
@edwinedward5352
@edwinedward5352 2 жыл бұрын
Kenyewe kana mapungufu🙄😂
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 6 ай бұрын
Amen miriam
@seciliamlaponi6290
@seciliamlaponi6290 Жыл бұрын
jomoooni she is so lovely 🥰
@oscarsteven2528
@oscarsteven2528 2 жыл бұрын
Huyu Dada anachoogea atakipata wap dunia hiii. APO ATATENGENEZA WA UDONGO
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
😂😂😂
@ndayikezececile2762
@ndayikezececile2762 2 жыл бұрын
Ukute Mungu amemuandalia wakwake waivyo
@oscarsteven2528
@oscarsteven2528 2 жыл бұрын
@@ndayikezececile2762 Tatzo anataka vigezo ving sanaaa
@oscarsteven2528
@oscarsteven2528 2 жыл бұрын
Amna binadam asiekua na mapungufu Najiuliza uyo asie na mapungufu atampata wap na akimpata je yeye binafs mapungufu Hana???
@hariramyadav782
@hariramyadav782 2 жыл бұрын
That's a talented Miriam chirywa.
@user-ui4lt2kj1i
@user-ui4lt2kj1i 7 ай бұрын
Abarikiwe sana binti
@user-gx9gd9zc3o
@user-gx9gd9zc3o 6 ай бұрын
Wow❤
@saumumbwambo7064
@saumumbwambo7064 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@anniemckinstry8312
@anniemckinstry8312 2 жыл бұрын
💞💕
@ibnnjoka2449
@ibnnjoka2449 2 жыл бұрын
Yuko vzr
@richardmutekeofficiel4372
@richardmutekeofficiel4372 2 жыл бұрын
Mimi namtaka sana Hugo binti sasa mimi nimwana Congo namimi nimuimbaji kama yeye
@pendoyese4452
@pendoyese4452 2 жыл бұрын
Waooo karibu tz
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Ukuje ss Shem letu
@richardmutekeofficiel4372
@richardmutekeofficiel4372 2 жыл бұрын
Ndiyo nitakuja huko mwajili Ya huyo binti nimempenda sana nahaliye gisi yéyé alivyo
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
@@richardmutekeofficiel4372 karibu
@deomwampamba6478
@deomwampamba6478 Жыл бұрын
Mwee mungu nibariki niwe ni mimi mwenye sifa zote hizo nimuoe
@priscamakwetta740
@priscamakwetta740 Жыл бұрын
😁😁🙌
@alexchacha4005
@alexchacha4005 2 жыл бұрын
Mungu atakujalia mme unayemtaka
@jacobanania2741
@jacobanania2741 2 жыл бұрын
Wow speaking
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 2 жыл бұрын
Umri ukipitiliza, utamwambia Mungu Kwani mimi ni nani hadi nikupangie si umlete tuu yeyote? 🧐🧐🧐
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu uwiiiii
@edwinedward5352
@edwinedward5352 2 жыл бұрын
Kataanza kusema Wana kanyanyapaa kumbe mdomo uchaw..
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 жыл бұрын
She’s cute and smart
@aminam.410
@aminam.410 2 жыл бұрын
♥️
@happylynguya3464
@happylynguya3464 2 жыл бұрын
Kwa sasa anaumri gani? make nimeanza kumuona siku nyingi. Afu anaongea point sana, safi sana mtoto mzuri.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Kbs point tupu
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 2 жыл бұрын
Ilianza kumuona akiwa na miaka 8-9
@happylynguya3464
@happylynguya3464 2 жыл бұрын
@@fortunataangelo5575 Ni dada yako huyo Fortunata.
@thawabuunique8054
@thawabuunique8054 2 жыл бұрын
MIAKA 23
@happylynguya3464
@happylynguya3464 2 жыл бұрын
@@thawabuunique8054 Asante, amekuwa mdada jamani.
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 жыл бұрын
Wow
@biubwamohd6089
@biubwamohd6089 2 жыл бұрын
Huyo hayupo kwadunia hii
@priscamakwetta740
@priscamakwetta740 Жыл бұрын
Nice
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Kana sauti mzuri
@denisjr11media21
@denisjr11media21 Жыл бұрын
Unaingea vizurui na umeelimisha vingii hongera
@ednaadam641
@ednaadam641 6 ай бұрын
Huyu mtoto anaakili sana
NDOA YA RINGO NI VITUKO, UTACHEKA UFE
21:49
Wasafi Media
Рет қаралды 3,2 М.
Hivi Mungu anajali? - The Voice Tz ft Miriam Chirwa
5:38
The Voice Tz
Рет қаралды 4,4 МЛН
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 19 МЛН
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 7 МЛН
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
7:29
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 681 М.
MiriamChirwa - MAMA (special Dedication to you my mother)
4:25
Miriam Thomas Chirwa
Рет қаралды 18 М.
A 9-YEAR-OLD BOY SHOCKS EV.EZEKIEL BY ASKING HIM FOR GRACE HE HAS
8:41
New Life TV KENYA
Рет қаралды 3,7 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 552 М.
天使与小丑心灵感应#short #angel #clown
0:39
Super Beauty team
Рет қаралды 17 МЛН
ИНТЕРЕСНАЯ ПРИКОРМКА
0:19
KINO KAIF
Рет қаралды 3,3 МЛН
Tom & Jerry !! 😂😂
0:59
Tibo InShape
Рет қаралды 33 МЛН
Забота от брата 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 1,3 МЛН