Ila kwenye Hilo swala la marafiki ni ujinga mume akiwa mjinga ndio basi Tena ndoa hakuna
@robisonmabaso47206 ай бұрын
Nimepata ukakasi kuelewa kwamba kuchepuka na mawifi Ilibidi iwe Kuchepuka mkato alafu mawifi Bila mkato ni maana nyingine kabisa
@herbertbavuma72288 ай бұрын
Mauki naomba uanze na Diva maana naona issue ya ndg,mawifi na wakwee amairudia sana huenda ilmfanya kitu.
@ngwacahnyagwaswa99796 ай бұрын
Kweli 😂
@DativJoa7 ай бұрын
mi mchaga ila tangu nkiwa mdogo sijawahi kutaka kuolewa na mchaga
@zayanazayana55188 ай бұрын
Vipi na bint akiolewa hataki family ya mume Wakija wazazi wa mume mke anakasirika, pengine mume alikuwa anawasaidia wazazi wake, lakini akifika mke anamkataza Semeni pande zote
@PendoXavery7 ай бұрын
Hapo wengi sio kuchukia ndug wa upande wa pili tatizo wanakuja na command zao na wanataka kukucomand hv umeolewa na wangap hii tatizo na kila unachofanya hata kiwe kizur ni kibaya tuu hii tatizo na hapo ukute mwanaume anaegemea ndug zake hii ratizo a wengi hawataki mkae nwanaume auluze mke ongea ndug ongea ajue shida nini atatue kwa uwaz mbele zao nafhan ingekuwa poa kwa wengi
@DativJoa6 ай бұрын
@@PendoXavery . Hakuna mke anaeolewa akiwa na chuki ya kuchukia nduguwa mume. tatizo wanaume wengi hawajui kuacha maisha ya zamani na ndugu zao ili waanze upya familia yao. wanataka kama walikua wanawasaidia waendrlee hivo hivo. . mume umeoa sasa ndugu zako wakiwa na shida wanatakiwa kumwambia mke wako . mke aje akuambie muone mtasaidiaje. kama ni pesa mkubaliane na mke kiasi halafu mpe mke awape. otherwise, hawataona thamani ya mke wako .watamdarau. na wakimfharau, mke atawachukia.
@DativJoa6 ай бұрын
@@zayanazayana5518 kuna wanaume vilaza mpaka wana saidia familia zao kwa siri. na hizo familia zinajua kabisa kijana wetu hutusaidia kwa siri mkewe asijue. sasa unafikiri mkeo akijua atafurahi? hapo ndo chuki huanza. zikianza sasa wanatafsiri eti hataki nisaidie kume mume alikosa akili . nandugu nao wasema mkewake mbaya hataki atusaidie ndo maana tuasaidiwa kwa siri. kuna wanaume vilaza mpaka wanawaambia ndugu zao eti mke wangu anawachukia. wanakua chanzo cha magomvi
@edsonnelson44648 ай бұрын
Chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika ni wanandoa wenyewe, malezi, kwa ujumla ni changamoto, anzia kwa mwanamke mpaka mwanaume hivyo msihamishe makosa ya wanandoa. Kwa wanandugu. Mnazidi kuyakoroga tu,