Ukraine: URUSI yadai majeshi yake yameingia kwenye mji wa mpaka karibu na Kharkiv, mapigano mazito

  Рет қаралды 18,406

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 38
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations Ай бұрын
Kama tunasikiliza BBC SWAHILI vile jins utam unavotiririshwa hapa SNS. Hongera sana Sky
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm Ай бұрын
Mwisho wa siku Ukraine yote itakuwa Russia 🇷🇺
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
HHHH Ndiooo_🤦🏿‍♀️ HHHH
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Dj sma akiwambia ukweli Mrusi anagonga NATO na Mhuni mmarekani mnasema anaelemea upande wa moscow .
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Ай бұрын
Nakumbuka brother sky aliposema mwaka 2023 yakwamba ikifika mwaka 2024 atapiga sana habari sana
@AmaniMathod
@AmaniMathod Ай бұрын
Zelensky anataka wanajeshi wake wote wafe....alafu yeye akimbilie marekani kama mkimbizi wa vita.
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Magaid wakiislamu hamasi wanatakann
@abdulwahidyussuph9958
@abdulwahidyussuph9958 Ай бұрын
Makalio yako 😂😂😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 23 күн бұрын
​@@user-tq4lx9si1nmkundu wako choko
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Ай бұрын
😂😂❤❤Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN na MASHAMBULIZI yake.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Alafu tukubali na tusikubali jeshi la Urusi wanapigana kiungwana sana wanasonga mbele ila maafa yapo kidogo sana ile kuna wale jama wengine vile vita vya kule kwa kina nanili wanauwa hadi vichanga kama karanga ila hawajakombowa hata nanili 1.
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 8 күн бұрын
Wale ichi ynyw hawana wamewekwa kimamavu Leongo lao nikuuwa kizazi cht iliwafute ilihistoria Wajione km wao ndio wny nchi Ndio maana analeng sn watt na kinamama
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q Ай бұрын
Putin piga hao nguruwe 😂😂😂😂😂
@hajimaruzuku6583
@hajimaruzuku6583 Ай бұрын
Uraaaaaa
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 Ай бұрын
leo nimeiskia ile sauti ya mtangazaji nguli na mbobevu kwenye tasnia ya utangazaji. big up sky walker...🎉🎉
@jumaciza461
@jumaciza461 Ай бұрын
Yeah kweli kbs
@AmaniMathod
@AmaniMathod Ай бұрын
Kwa usalama wao wanajeshi wafanye mgomo....au kama vipi vuweni magwanda....mtoloke mdogo mdogo...
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b Ай бұрын
Wamuue tu Rais fitina iishe.
@hudumablack9339
@hudumablack9339 Ай бұрын
Songa mbele Urusi💪
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 Ай бұрын
Putin anajua anachokifanya 👏
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 8 күн бұрын
Nirijal anaakili kushnda wanaume 27wanaotaka kuolewa Shoga ni shoga tu Hamna kitu
@akimanaarlene851
@akimanaarlene851 Ай бұрын
😅😅😅Putin ❤❤
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 Ай бұрын
Pga kabisa ikiwa mtoto anageukia kujiunga na wachawi huyo si mtoto tena nyoosha tu kirusi tunasema huuuuuraaa
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Ай бұрын
Hongera sana sns
@saimongilala8938
@saimongilala8938 Ай бұрын
Hongela sana 🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 Ай бұрын
Hatimaye leo bila Ally Masubi😅
@prosperhaule4450
@prosperhaule4450 Ай бұрын
Plz hii ngoma hapo mwishoni inaitwaje?
@ballackenock
@ballackenock Ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza nipeni like😁😁😁😁
@ibba8082
@ibba8082 Ай бұрын
Nimekupa, 😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
💋chukua
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Ай бұрын
Ninapenda sana kwenda kujifunza uongozi katika nchi zifuatazo:- 1.Russia 2.China 3.North Korea 4.Iran Ningependa nipite nchi moja moja nikutane na viongozi wake na wanipe darasa kuhusu uongozi nafikir ningetokea kiongozi mpya mwenyew muunganiko wa watu hao wanne ambaye ningefanya makubwa zaidi.
@lucasmartin431
@lucasmartin431 Ай бұрын
Pita kushoto
@babanatalis8401
@babanatalis8401 Ай бұрын
Ukraine wameyakanyaga
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g Ай бұрын
Go Russia
@MarkMwendwa-ke4vr
@MarkMwendwa-ke4vr Ай бұрын
😂
@user-ob9nu5dp1s
@user-ob9nu5dp1s Ай бұрын
❤🇷🇺💪💪💪👏👏
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 8 күн бұрын
Zelesky bwabwa Bandu bandu humaliza gogo Cku akijaaamka ichi yt imetekwa Km israel ivyotokea na kua nchi
Balloon Stepping Challenge: Barry Policeman Vs  Herobrine and His Friends
00:28
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:19
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
Чай будешь? #чайбудешь
00:14
ПАРОДИИ НА ИЗВЕСТНЫЕ ТРЕКИ
Рет қаралды 2,9 МЛН
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 109 МЛН
Невидимая месть
0:48
Brusko
Рет қаралды 2 МЛН
The abandoned kittens finally found someone to love them, but... #cat #catlovers #ai #aiart #story
0:59
Meow Mow Cat Story 喵毛貓咪故事
Рет қаралды 10 МЛН