Hiii nyimbo kila nikiiangalia hua inanibariki sana❤
@AgaboyNgiymbele7 ай бұрын
Hongera mmeimba vzur me solo na pia mpga ngoma mzur npo mwanz naomba nafas
@AgaboyNgiymbele7 ай бұрын
❤
@kdnambala38208 ай бұрын
Hallelujah nimebarikiwa kupitia wimbo huu ❤🙏🏿 Hakika Mungu amenidhihirishia ukuu wake kupitia magumu niliyoyapitia
@lucasshirima28808 ай бұрын
Amina Dada...ubarikiwe sana kila usikilizapo wimbo huu...Mungu akuangaze Daima...wimbo huu ukawe faraja katika maisha yako Amina
@lucasshirima28808 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa zawadi ya UKUU WAKE...TWAPATA UPONYAJI HAKIKA .
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
❤❤
@MankaMushi-y1b8 ай бұрын
Hakika kazi ni nzuri.nyimbo imetulia
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@ConfusedArcade-hu4hx8 ай бұрын
Hongereni na hongera kwa mtunzi Ben nturama ❤❤❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@OdileMuyombi3 ай бұрын
Ongereni wimbo unatuliya kabisa na ni mtamu❤❤❤ naitaji nota.
@mathiasmateru99778 ай бұрын
Kazi nzuri sana na inatafakarisha vizuri mno.
@lucasshirima28808 ай бұрын
Amina
@VenasLujinya228 ай бұрын
Hongereni sana Waimbaji Mmeutendea Haki huu Wimbo. Hongera sana kwa Mtunzi Kazi Nzuri sana.
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina Mungu usiyeshindwa lolote
@clementlugoda78708 ай бұрын
Mungu Atukuzwe, mwanadamu Atakatifuzwe. Hongera sana kwa utume!
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina 🎉🎉
@Anitaraymusic8 ай бұрын
Hakika wewe n Mungu unaye stahili sifa n utukufu🎉🎉🎉❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@salomemhalule52138 ай бұрын
Hakika kazi ni njema na jina la Bwana lihimidiwe daima, Hongereni sana❤❤❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@rosenyachi22773 ай бұрын
Hakika Ukuu wa Mungu nitautangaza milele na milele 🎉
@reginanankana4168 ай бұрын
Ukuu wa Mungu ni WA mile.❤ Kazi nzuri
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@AdrianMgwama7 ай бұрын
Kweli Mungu ni mwenye rehema Anaheimba vizuri amesali Mara mbili utukufu huu unajithirisha umesali Mara mbili
@eddiezunda10667 ай бұрын
Asante kwa kunibariki na wimbo mzuri
@lucasshirima28807 ай бұрын
Amina
@JohnSkanda-u8o8 ай бұрын
Mpo vidhur sana
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
❤❤
@ChrisVeronica-xt6sf4 ай бұрын
Asante sana kwa kumtumikiya Mungu mubarikiwe
@jeskalungu9604Ай бұрын
❤❤ hongereni Sana mmeimba vizuri sana🎉🎉
@frankmhoja2460Ай бұрын
Kuimba ni kusali mara mbili hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo ...Hongereni sana wanakwayaaa na mungu atubariki sana kwa ukuu wake...mandhari safi ya chuo kikuu dar es salaam video ina quality,saut safii..
@LucasPeter-hd5ms4 ай бұрын
Mungu azidi kuwasimamia wimbo ni mzuri by kat Lucas peter mzuka parokia ya Ngokolo jimbo la shinyanga
@fransiscodindiri59478 ай бұрын
Hatari sana. Hongereni mnoooo
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina Eng....Dindir🎉🎉🎉
@rabanmwanambesi1482Ай бұрын
Huuu wimbo umekuja kwangu muda muafakaaa kazi nzuri sanaaaaa sanaaaaa ❤❤❤❤
@despinae.mdende8 ай бұрын
Acheni ni Mwimbie.amenitendea Makuu
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina Sololist wetu...🎉🎉🎉
@MarthaKikanka-yc2fo10 күн бұрын
Hakika Mungu anastahili sifa,hongereni sana kwa kuinjilisha kwa njia nyimbo
@tempochoir8 ай бұрын
Amina...Hakika Mungu ndiye astahili sifa na utukufu.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
🎉🎉
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
🎉🎉
@anjelinamdugange8252 ай бұрын
Mmenibariki sana, nanyi muendelee kubarikiwa katika utume wenu, hakika nimemuona MUNGU
@simonmwanisenga781522 күн бұрын
Asee hongereni sana nyote mpewe mauwa yenu🎉🎉🎉. Mauwa mengi sana kwa mtunzi wa wimbo, despina pamoja organist🎉🎉
@audasnzige74042 ай бұрын
❤❤❤
@TamasinaChepson8 ай бұрын
Hakika kazi nzuri 🎉🎉🎉
@lucasshirima28808 ай бұрын
Amina
@matumainimelodies20235 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri. Hongera sana mtunzi, hongereni wanakwaya. Mungu awatunze
@geoffreymogendi42418 ай бұрын
Wimbo mtamu sana ❤❤❤❤❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina ndugu yetu Mugendi ...Karibu sana...
@OdileMuyombi3 ай бұрын
Wimbo unatuliya, nawependa sana❤❤❤ naitaji nota
@PendoJohn-yf1bg7 ай бұрын
Hongera waimbaji kwa wimbo mzuri 1:43
@renatadaniel3789Ай бұрын
Amina🙏🙏
@NalynPaul-re1bn21 күн бұрын
❤🎧🎤💝💝👌 wimbo mtamu Sana jamaniiiiiiiii daaaaaah,hakika mmejua kututeka mioyo
@pricillapaulo40128 ай бұрын
Hongereni sana good job ❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
🎉🎉🎉
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
❤❤🎉🎉🎉
@josephmlaponi7619 күн бұрын
Mungu awabariki sana, na neema tele kwa mtunzi Mungu ayakumbuke maisha yako 🙏🙏
@ivankahango18453 ай бұрын
Kazi nzuri sanaaaa
@BoaziMathias3 ай бұрын
Kazi nzuri mnoo
@GETRUDAWILLISON-je5if8 ай бұрын
❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@AliceOpinde6 ай бұрын
Well done
@ZachariaMbango5 ай бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri Mungu awabariki kwa utume wenu
@michaelrimisho5 ай бұрын
👏👏👏nice one
@CharlesKaroli-w8f7 ай бұрын
Naipataje kopi yake
@GOODLUCKMWIPUGI2 күн бұрын
Good song
@bernomollo57418 ай бұрын
All the best.Good job...receive my likes from +254.
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Thanks 🎉🎉 Most welcome
@eddiezunda10667 ай бұрын
Kinanda umekifanyia haki, nasikia km niko mbinguni
@CeciliaMwakanyamaliАй бұрын
Mambo moto
@linetnangati3466 ай бұрын
I love it❤❤❤❤❤🔥
@waromokello5 ай бұрын
Beautiful
@laurentlugema5938 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
🎉🎉
@HusnaPaul21 күн бұрын
Hakika Mungu mkuu❤❤❤
@richardjohn80203 ай бұрын
ila despina una kiti chako mbinguni
@SalomeThomaso8 ай бұрын
Safiiiiiii sana
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
Amina
@sylvestrengwelu20125 күн бұрын
Duuu
@catherinecharles87108 ай бұрын
😋😋😋
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
❤❤
@kwayamalaikagabrielparokia5068 ай бұрын
🎉🎉
@paulinaluvubu9796 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@popla_tzАй бұрын
Naweza kupata copy tafadhali