UKWELI HAMONIZE KUFUKUZWA KWENYE NYUMBA KISA KODI?. - DALALI KIONGOZI

  Рет қаралды 32,800

Jicholauswazi

Jicholauswazi

Күн бұрын

SUBSCRIBE CHANNEL HII BOFYA HAPA / @jicholauswazitv

Пікірлер: 108
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Waaa bado wana panga afadhali mimi ni House girl but namiliki yumba yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣patamu apo 😂😂😎😎
@hassansalum5362
@hassansalum5362 3 жыл бұрын
Wewe unamiliki nyumba au banda
@mizemize8894
@mizemize8894 3 жыл бұрын
@@hassansalum5362 bora yy alie na banda ww una nn labda pia waishi majalalani😏
@hassansalum5362
@hassansalum5362 3 жыл бұрын
NIISHI KWENYE BANDA KWANI MIE KUKU
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 3 жыл бұрын
@@hassansalum5362 ss kwa nn wauliza nyumb au banda kwan tofaut ni nn
@susanejd7775
@susanejd7775 3 жыл бұрын
@@hassansalum5362 banda lkn la kwake hadaiwi kodi ww una nn zaidi ya kundu lako mfyuuuuu
@nasranoti08
@nasranoti08 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea ukwel big up kwake🙏🏿
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 3 жыл бұрын
Big up dalali kwa kuchapa kazi hauna bifu na mtu
@dalovebazuka2806
@dalovebazuka2806 3 жыл бұрын
Wana force
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Allah akufanyie wepes bro❤❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@josesombo764
@josesombo764 3 жыл бұрын
Wacheni kutafuta umaarufu mkitumia harmonize, harmonize yupo vizuri sana kama kaweza kumiliki label atashindwa kodi. Wanafki wakwende huko
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 жыл бұрын
Hizo pesa wanazopata sijui kwann wasijenge au kununua nyumba wasanii wanapenda kupoteza pesa kwa ajili ya umaarufu wakati ni mambo ya personal life!!!!
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 жыл бұрын
Iv awaigi mfano wa Ally kiba
@maryammarham2862
@maryammarham2862 3 жыл бұрын
Aho
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 3 жыл бұрын
Saf sana
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 жыл бұрын
Yule baba aliesema kess ilifika mahakamani inabidi akutanishwe na huyu dalali ili kieleweke.
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Jicho la uswazi udaku na umbea sio intertainment kama unavyoeleza. Hamna kazi ila kufuatilia maisha ya watu tu tena kwa ubaya wala sio mazuri. Acheni hivyo.
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Pamoja sana dear wangu Harmonize😘 Wasiokupenda kazi kwao
@emableelias6691
@emableelias6691 3 жыл бұрын
Changanya picha kuendaa na stori ww mtangazaji..unamuhaho
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
@@emableelias6691 Jitaidi kumuelewa watu wengi walikuwa wanasema mengi kuwa Harmonize kafukuzwa kwenye nyumba ya Sarah hapo kesha tujulisha hajafukuzwa hii nyumba kesha hama tokeb miaka 3 iliyopita na alikuwa kapanga tokea alipokawa wcb sijuwi umenielewa kuhusu mtangazaji kichwa chake cha habari👍
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 3 жыл бұрын
Kwani jamani wapange wasijenge kilasiku kujitangaza wana pesa
@mkalimwanza7726
@mkalimwanza7726 3 жыл бұрын
Hivi wasani hawana hakili san kama mtu analipa miloni 2 kwa mwezi tu moja je ni kwa nini wasijege tu
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Huo ni ujinga heri hizo pesa akajenge yake sasa aja gani kujisifu na nyumba za kupanga .
@pilichumu9331
@pilichumu9331 3 жыл бұрын
Bongo ni nchi ambayo inasopoet sana ujing hamonize anauwezo wa kununuwa kumi km 50.akazipanga mjini
@mohamedmatogoro4067
@mohamedmatogoro4067 3 жыл бұрын
Kwa pesa gani aliyokuwa nayo
@emanuelmajele7237
@emanuelmajele7237 2 жыл бұрын
Harmonize pigana vita maana wasio kupenda niwengi kuliko wanao kupenda
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 3 жыл бұрын
Huyo kondemavu wakatyuko wcb arikuwahakosi kodi ssatarijuwajiji 😂😂😂😂😂😂
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
@anna John Hapo sasa 🤣🤣🤣🤣🤣anatia uruma labda anaumwa ugonjwa wa kusahau kiswahili Hahaaaahaaaaa🤭
@ashanzeyimana1063
@ashanzeyimana1063 3 жыл бұрын
Kwani harmonize hamaga nyumba yake yake Ao
@natashabula4401
@natashabula4401 3 жыл бұрын
Hata diamond anaishi kwenye nyumba ya kupanga
@samiauwamahoro5019
@samiauwamahoro5019 3 жыл бұрын
@@natashabula4401 wanatia haya
@rashidahmed8071
@rashidahmed8071 3 жыл бұрын
Diamond ananyumba mpaka sauzi
@richardmapunda559
@richardmapunda559 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anatafuta kiki sn yeye kila siku kesi za nyumba wa mastar mpk anakela
@fatimamowa8166
@fatimamowa8166 3 жыл бұрын
Si ndo dalali?😂😂
@flavourboyke
@flavourboyke 3 жыл бұрын
jamani
@sylivesterkiligi1369
@sylivesterkiligi1369 3 жыл бұрын
Ok
@eiddamiri9233
@eiddamiri9233 3 жыл бұрын
Mi napita tu sina maneno 🚵
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 3 жыл бұрын
Hivi kwanini wasanii wengi wanapanga badala ya kujenga?
@zakariamachibula488
@zakariamachibula488 3 жыл бұрын
Aliye na nyumba ni alikiba tu bora yeye kajenga
@khalfanibobewe4278
@khalfanibobewe4278 3 жыл бұрын
Kujenga sio mchezo na kama umeshajenga kumbuka maumivu ya kanyumba kako kadogo, na kama bado anza uone mziki wake ndo uludi ku comment
@zakariamachibula488
@zakariamachibula488 3 жыл бұрын
Alikiba ndiye msanii pekee anayejielewa maana yuko kwake hasumbuliwi na mtu
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 3 жыл бұрын
Misioni ufaari wanyumba yakifahari afadhali kununua ama kujenga lakini sifa zakupanga azinishtuii
@dandola9323
@dandola9323 3 жыл бұрын
We nishatani bwana tafuta kotu kongine chakufanya Harmonize huwezani naye ban
@badymedia9648
@badymedia9648 3 жыл бұрын
Inshallah ,imekujaje apo🤣🤣🤣
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 3 жыл бұрын
Wakati wengine tunawza kumalizia vibanda wengine wanapanga majumba mazuri yn mshauri bhn ajenge mjengo wake
@valencevenance7338
@valencevenance7338 3 жыл бұрын
Tumeshaona simu ya dalali
@rashidsaad7948
@rashidsaad7948 3 жыл бұрын
💪💪💪🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 3 жыл бұрын
Sasa hawa wasanii wakupanga mbona kazi mnashindwa niwatu wawarabuni wanao lipwa pesa namakelele nao wana miliki mijengo yao
@omarizuberi2300
@omarizuberi2300 3 жыл бұрын
Angetafuta mahali pa chini but ingekua vizuri akanunua nyumba yake
@wilfredsimba7818
@wilfredsimba7818 3 жыл бұрын
mwambie dalali natafuta noah
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Nyumba kubwa Sio ufahari. Nyumba kubwa hivyo nunua ndogo nzuri au jenga
@itekakainairan3130
@itekakainairan3130 3 жыл бұрын
sielewe Harmonize anapanga???
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 жыл бұрын
Ata diamond anapanga
@khadijashaban3218
@khadijashaban3218 3 жыл бұрын
Kwan sio yake
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 жыл бұрын
Nani naelewa kinachoendelea kwenye hii clip????
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 3 жыл бұрын
Hi
@lutwfiyyahmkonga8093
@lutwfiyyahmkonga8093 3 жыл бұрын
izo siyo sifa niujing tu sas kupang au kujeng dh.
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 3 жыл бұрын
Harmonize please Jenga mdogo wangu kama unasoma comments...🙏
@felisterjames9770
@felisterjames9770 3 жыл бұрын
Hamo wanyoshe hawalali juu yako ngulue hao
@eiddamiri9233
@eiddamiri9233 3 жыл бұрын
🙅🙅🙅
@user-wo8go6wc3d
@user-wo8go6wc3d 3 жыл бұрын
Hamoniz jafari sanamabaya yanammrudia ogopa sana mtu ambae unapga vita akawa kmya n mbaya sana
@mgm412
@mgm412 3 жыл бұрын
Anaejua biashara anapanga,kuwa na jengo lako la miliona 500 ni hasara na matumizi mabaya ya pesa,matajir kibao wanakaa apartments za kupanga duniani kote..so wako sahihi kibiashara
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 жыл бұрын
Ujinga tu hakuna kitu kizuri kama kuwa na pako lkn ww kila leo unahangaika makaazi tu, maisha yana kupanda na kushuka jiwekee chako mapema hata wazee wake bado hajawajengea hv inakuwaje kwa hawa wasaniii wao kazi kuhonga tuu
@ndekenichuma4373
@ndekenichuma4373 3 жыл бұрын
Hela za masharti hizo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Ngoma za kike hizo au mabarazuli .
@hamisimsikite2152
@hamisimsikite2152 3 жыл бұрын
Haowanaosema hana pesa hawana akili
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 жыл бұрын
Sema tangia yuko na sara
@ibrahim_adrier_kalenga
@ibrahim_adrier_kalenga 3 жыл бұрын
Konde Gang 4everybody
@ffaa4744
@ffaa4744 3 жыл бұрын
Iyo pesa yooote sibora ujenge utulie kwako hta km siyo ya thaman kubwa ila kwako ni kwako hamjionei uruma mipesa yote iyo ss twateseka Tu huku
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Watu tumsifie mungu tuwache kusifia binadamu.
@jay4mrinternationalsaide70
@jay4mrinternationalsaide70 3 жыл бұрын
Acha ujinga Weweeee
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Mh mtapata tabu sana kwenye game
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajiskia utadhani anamiliki real estate developers firm. Ila in short shule yake ndogo
@victormushi6641
@victormushi6641 3 жыл бұрын
WENYE SHULE NDOGO BONGO NI WASUMBUFU SANA
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 жыл бұрын
Mbona mi c msumbufu jamenii
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Shirole nikweri unachosema namiyenaonaka
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Wabongo bana eti alipangiwa na Sarah Hahaaaahaaaaa 🤣🤣🤣Sarah kwani anafanya kazi gani?
@mariammbodze2649
@mariammbodze2649 3 жыл бұрын
Sarah ni mzungu na ana urithi wa babake uko kwao Italy
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
@@mariammbodze2649 sawa nimekuelewa inamaana urithi wa baba yake wote atarithi yeye wakati anao ndugu zake na urithi wa nchi za nje baba hakifa mrithi ni mama na mgawanyo wanapata watoto hivi wataliano wanautajili sana? Huyo baba yake alikuwa tajiri kiasi gani? Sisi wabongo tunapenda sana kufuata mkumbo hata kama hakuna tunalo lijuwa
@mariammbodze2649
@mariammbodze2649 3 жыл бұрын
@@hadija846 ndio mtoto pekee kwa mamake na babake that's why na mamake Ana pesa pia mfanyi biashara
@hamadabdullahkhamis977
@hamadabdullahkhamis977 3 жыл бұрын
Mmmmmm...
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
@@mariammbodze2649 Haujawaona ndugu zake kwenye harusi? Na mama yake anafanya biashara gani?
@felisterjames9770
@felisterjames9770 3 жыл бұрын
Mnamsema tu hamo wakat hata uyo Simba wenu kapanga
@jojobrown8064
@jojobrown8064 3 жыл бұрын
Dalali alivoshikilia iyo cm 😂😂
@rafaelyernest5231
@rafaelyernest5231 3 жыл бұрын
Uo niuongp na umbea
@niceminja5492
@niceminja5492 3 жыл бұрын
Wasanii bhn 😂
@omansohar2245
@omansohar2245 3 жыл бұрын
Kma anayo hela c ajenge anae panga cku zote ni fukara🤣🤣🤣🤣mwemwejo mwe usiyapindingulanye mambo baa
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 3 жыл бұрын
Jengeni nyumba zenu wasanii
@melaniajuma1868
@melaniajuma1868 3 жыл бұрын
Wote washamba kumbe Bado mpangaji
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 жыл бұрын
Atakama nimpangaji tunawajua wachafu na tabiazenu zakununuawatu ilikuwachafua watuu
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
@@meshajoni5662 kwaiyo kila mtu anaye mponda harmo amenunuliwa na wcb? Kwaiyo awo wcb watanunua watu wangapi? Nawanao mponda diamond nao wamenunuliwa na akina nani?
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 жыл бұрын
@@walaaabdallah3236 umeumiaa auuuu,
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
@@meshajoni5662 Mimi tena siyo wewe 😂😂unakichaa nini
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 жыл бұрын
@@walaaabdallah3236 wefara Nini mbona unanfatilia,,?kwaniwe ni,mjukuu wanyange?
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
Maisha ya mashindano
@shabanigoodjopdjuma2927
@shabanigoodjopdjuma2927 3 жыл бұрын
hiondio nayonini sasa kupangapaga ndonn iyohelayakupanga sioborawaishimbagalailawaishikwenyemijegoao🇺🇸😡 wanakera wanamahela miakanenda kupangahaaa
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 3 жыл бұрын
OOHH NINA PESA NYINGI KUMBE MWENDO WA KUPANGA .😂
@allymatilda7519
@allymatilda7519 3 жыл бұрын
Mbona boss wake wa zamani kapanga diamond na mnasema nitajiri
@lastmile1911
@lastmile1911 3 жыл бұрын
Exclusive imetumika vibaya 😂
@ndabatv518
@ndabatv518 3 жыл бұрын
Imetukima???? Wewe mwenyewe umetumia neno vibaya eti imetukima
UTANI
15:12
NANGA COMEDY
Рет қаралды 2,8 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 67 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 21 М.
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 2
23:11
YahStoneTown
Рет қаралды 226 М.
Breaking: Gachagua takes over Nairobi from Ruto
9:26
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 3 М.
Top 10 Best Dribblers of All time (Real list)
14:32
FUN SPORT TIME
Рет қаралды 2,6 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 08 SEPTEMBA 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,7 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН