dah. jamaa kweli kuna shida. anaongea kweli haswaa
@chescokikoti46832 жыл бұрын
Ur smart mnoo
@paulmeela18642 жыл бұрын
Ukweli unaouma ila ni somo kubwa sana na lenye manufaa chanya.
@smartonlinetv51442 жыл бұрын
Mh mtaka wewe ni kichwa
@brobabuu39732 жыл бұрын
Huyu RC amesema ukweli tupu. Elimu kama hizi tulistahili kuzipata shule ila hazipo. kwenye mitandao wapo wanaozifundisha ila wanapuuzwa.. ndo sababu wastaafu wengi wanakufa muda mfupi baada ya kustaafu. Unaenda kununua daladala utawezana na stress za madereva na kondakta? au ndo kujitakia shinikizo la damu. Somo la Hatifungani za serikali nitaliandalia video watu waelewe zaidi.. ni mgodi uliojificha.
@sizinga Жыл бұрын
Hiyo video ipo tayari? Nimekaa paleeeee naisubiri
@aaaaaah2902 жыл бұрын
HEE... KUMBE KUNA MAJAMAA SERIKALINI YANA AKILI NZURI AISEE NAMNA HII..?😁😁. KWA HILI NIMEKUELEWA KULIKO MNO 😁😁🙏🏽🙏🏽💪🏽💪🏽🙏🏽🙏🏽