Historia ya rahma alieleza vzr changamoto zote rahma alijishughulisha kuuza uji maisha yaende kuja kujitangaza ni vile mme wake kupata ajali tuu vinginevo angejipambania mwenyew
@khadijanurdin31632 жыл бұрын
Mume bwanaa!!!?
@hasinaalrahbi66812 жыл бұрын
Ndo tatizo la wabongo hujuwi wapi sahihi pa kusaidia.wana panda ngazi kwa huyo dd kuiba pesa za watu kwa udanganyifu
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@hasinaalrahbi6681 kweli kabisa wakwanza Hawa AQ tv
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@hasinaalrahbi6681 HUYO WARDA NI MKWELI SOMA COMENTS ZANGU NILZOJIBU NA NILIZOELEZEA KUHUSU HUYO SHAYO NA UTAPELI WAKE ZIKO NYINGI ZISOME.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@hasinaalrahbi6681 TAPELI NI KEVIN KAWEKA NAMBA YAKE KUIBIA WATU DUNIA SIO AQ TV HUYO TZ YETU NI MWIZI MWENZAO
@bintmuhammad49132 жыл бұрын
Subhana Allah! Makubwa mdogo yana nafuu. " mkataa pema pabaya panamwita!" Sheikh Al Jahdhamy ni mtu anaepewa michango ya misaada na kuifikisha kwa uadilifu MashaAllah. Wanajenga visima sehemu tofauti. Kilichonishangaza Rahma kukataa nyumba kwenda kuishi kwenye chumba cha kukodiwa kisha kodi ikiisha ipigwe mchango! Mtihani huu duh! Kwa hakika story ya huyu Rahma ilinigusa sana lkn kwa haya niloyaskia inasikitisha kwa kweli
@kikiswahili2 жыл бұрын
Hakuna shehe Wala nn hapo ww na huyo shehe wako wote matapeli wakubwa ndo mana hilo lishehe lenyewe limenenepeana Kama kifutu kazi kula hela za kutapeli watu😏
@ashurahatibu50692 жыл бұрын
Yule dada akili zake za kushikiwa walah kwanza room ya 150 mtu hana kazi pesa kupitia msaada unazani watu watamchangia kila siku nahis yule kaka pia kampenda yule dada
@hanjirahaji50432 жыл бұрын
Rahma kwnn humsikilizi hy DD warda ndo itakuwa msaada kwako ktk maisha yk mm yk amefariki mfate huyu DD warda kodi ikiisha utafanyaje
@hanjirahaji50432 жыл бұрын
Huyo muandishi ndy kakusaidia kktangaza lkn mfate DD warda utafaidika huyo atakuwa km mm yk Rahma nakusihi mdogo Wangu DD warda ndio msaada wakp
@hawaissa47052 жыл бұрын
Jaman hiv mnakumbuka walienda sehemu rahma na kelv kilicho tokea huko mnakijua lazima kaka awe makin nae kwa sababu ya usalama wk na mtoto pia msimchafurie jina kaka yetu🙏
@allykeita7042 жыл бұрын
Haha mchafu ebu sikiliza vizuri usiwe mwingi wa kuropoka kuwa na hekma
@hailathsanga27652 жыл бұрын
Alikua wap kumtangaza yeye
@OmanOman-dd5qk Жыл бұрын
Niliiyona hiyo mtaka harusi saba inamkuta misiba saba
@AminaKibuga Жыл бұрын
Jamani msaidieni huyo bint
@darlingmaperamapera142911 ай бұрын
Anataka kusaidiwa ila hujuwi ama hamujuwi kilokuwepo huyu kaka anomuhoji nishida ila natamani kuongeya ukweli Ila huyu mkaka na huyu mdada Ninoma ukweli upo wanakula faida ctaki niongee ukweli wote nataka nipate no ya huyu mdada aloondeya ukweli hapa aniunganishe na miwandishi Nami niongee yangu huu ukweli aloongeya yeye hajaumaliza ila zambi 2pu yule mkaka alomuhoji rahma wa tz 2napaswa wafatiliwe huu haya siyakuvhukuliwa kirahisi me natamani kuongeya ki2 coz hata kwe2 alichangiwa ila kaingiya mitini kama alivoingiya mitini kwa shekhe Musiropokwe jamani
@asiakheir86842 жыл бұрын
Nyinyi waongo bn, shayo kaanza mwachieni amalizie
@salimmalaka2562 жыл бұрын
UMETUMWA NA TAPELI MWENZAKO
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@salimmalaka256 pale utapeli unapogonga mwamba haki mnawachafua sana waislamu wenzenu na msiombe kelvin aongee haki mtajuta heri mngenyamaza kwa kua hakuwataja hata majina ila akiwataja hamtaaminika hata na sisimizi
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 😂😂😂ona linavyotapatapa hata haya halina watu wote tunayaona matahira
@zawadimussa25142 жыл бұрын
Kama unakataa waandishi wasifike kwako je umemjuaje rahma Kama sio mtangazaji,,ye analinda maisha ya rahma
@salimmalaka2562 жыл бұрын
ANAE LINDA MAISHA YA RAHMA NA WATU WOTE NI MWENYEZI MUNGU 2 USITUKUFURISHE SISI KWA KUUNGA MKONO UWIZI NA UTAPELI WENU.
@zawadimussa25142 жыл бұрын
@@salimmalaka256 kafie mbele weye,,,
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@zawadimussa2514 😂😂😂asituchefue shetwani huyu
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@zawadimussa2514 usiyajibu matahira haya yatakuumiza kichwa Yani ubaya ni matahira halafu matapeli kazi ipo😂
@zawadimussa25142 жыл бұрын
@@kikiswahili hasanteeeeeeee
@mahaoman74662 жыл бұрын
Usimlaumu kikubwa dada Dunia imebadilika mngetakiwa wote watatu ungeongea tu yaishe Allah akupe subira 💞
@umilyas1002 жыл бұрын
JE kama hataki kuongea na watu yeye only anataka msaada halafu watu wanaotuma wabaya je inakuwaje?
@darlingmaperamapera142911 ай бұрын
Me nataka nisaidiwe namba ya mtangazaji nawaomba ama namba ya huyu anae hojiwa nawaomba jamani
@hawakiza60672 жыл бұрын
Dada Mwenyezi Mungu akujalie sana sana
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
Amjalie kwa uongo anaozungumza,asubiri moto jehanam
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Amujaalie kwa kumfungia ndan .alikuwa nalengo lakumtumia rahma apate misada oman anatumia dini
@halimaauthman93242 жыл бұрын
Amjaaliye nn wakati ni mnafiki
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@tanzaniayetu6269 MOTO UTAKUUNGUZA WEWE NA HUYO KELVIN WAKO
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@faridamohamed4677 KWA NINI KELVIN ANATEMBEA NAE NA ANATAKA KUINGIA MPAKA CHUMBANI ASIKIE WANA ONGA NINI KAMGEUZA MATEKA WAKE KUWA NA AKILI MJINI SHULE.
@everlinashaibu23872 жыл бұрын
Dada mungu akujaalie maisha marefu
@aishafarah24562 жыл бұрын
Subhanallah alituumiza sana Rahma
@salimmalaka2562 жыл бұрын
WARDA NI MKWELI AL WADUD KUTOKA OMAN ILIKUWA WAMSAIDIE KELVIN KAKATAA UKWELI NI HUWO
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@salimmalaka256 vizuri Sana kelvin alivyokataa misaada yenu ya kutapeli yakumfungia mtu ndani pongezi kwako kelvin popote ulipo👏
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@tanzaniayetu6269 M'ME KWISHA NA HIYO HESABU YENU YA KUGANGA NJAA YA UTAPELI TAFUTENI KAZI NA HUYO KELVIN WENU
@maimyahkassim42992 жыл бұрын
@@salimmalaka256 huyo kelvin Kweli yy ndio majibu yake hayo.ht kuna mama na mumewe walitaka kumchukua rahma na mtoto wake,wamsomeshe na wahakikishe anapata kazi. Kelvin akasema rahma hataki kukaa mkoani.kweli mtu una shida utakataa msaada mzuri hivyo Pole rahma km ulikataa kweli Mpaka kelvin akaambiwa wasije wakamsababishia aolewe tu na kuzidi kuzalishwa. Yani kakataa kuishi uzunguni bure,elimu bure mpaka chuoni.mh dunia hii
@vanessadavid5152 жыл бұрын
Wewe mama sio vizuri unaonekana mnafiki
@منىالسعيد-ن2ج2 жыл бұрын
Ubaya wa binadam stor umeshaiona tatzo lipo wap kelvin anasaidia wangap mnamatatzo na unafki tu chefuuuu
@veronicascottmollel78972 жыл бұрын
Mmmmmh kweli.
@leylahleylah45992 жыл бұрын
Kweli mwenye bahati habahatiki....Allah atakulipa dadangu kwa kujitoa kwako mamy...Allah anajua nia yako ni ipi...mwache atakuja kujuta zaidi ya sasa.
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Sio vizuri kusema maneno kama hayo sisi hatujuwi nini nia yake huyo RAHMA, na wewe dada ume zungumza ulio kuwa nayo moyoni Allah ata kulipa kwa nia yako, yeye pekee ndio anae juwa yalio jificha na yalio dhihirika katika nyoyo zetu, Allah atu jaalie katika nia safi yaarab, allahumma ameen yaarab jamian
@kikiswahili2 жыл бұрын
Bahati kubwa aliyonayo nikua ktk mikono salama ya kelvin Bora hiyo bahati ya kitapeli aikose lakini anaamani yeye na mwanae na Yuko kwake hasumbuliwi na mtu
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@kikiswahili WEWE NI KATIKA HAWO MATAPELI MWAMBIE KELVIN DUNIA ISHAMJUWA KAMA ANA GANGA NJAA NA HIYO NAMBA YAKE.
@olivanooraladin54362 жыл бұрын
Kutoa ni moyo Wala sio lazima kujitangaza
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
@@olivanooraladin5436 kweli kabisa
@allykeita7042 жыл бұрын
ALLAH NI MKUBWA JAMBO DOGO TUU ATAKUJA KUUMBUKA MUDA SIO MREFUU WOTE MNAO MSEMA VIBAYA HUYU DADA ANAYETOA UKWELI MTAUMBUKA MUDA SIO MREFUU#INSHAALLAH TUKAE KIMYA TUTAONA MENGI
@julietkileo20182 жыл бұрын
Kelvin is doing a very good thing to help that woman people need to help that woman not to judge her
@umsulaiman74682 жыл бұрын
Kelvin na huyo Rahma ni matapeli kisha watakuwa ni mtu na hawara wake kwann akatae nyumba kakodiwa na jahadhmy kaona hatoweza kufanya mambo yke yaan kabanwa watu wanamna hivi wasisaidiwe kisha n huyo kelvin imekuwa anamuuza akipata lak moja nusu kwa nusu business hiyoooo
@sabinaonline65752 жыл бұрын
@@umsulaiman7468 huyu dada ndio alimfungia ndani Rahma sasa unavomuingiza ndani unataka kumfanya nini acha hizo Mungu hapendi
Huyu Dada ameogea ukweli Kelvin alipata tama alipo ona pesa nyingi zimeigia kwake receipt ninazo
@mwanamvuamuhsin71302 жыл бұрын
Muogope mungu we Dada haiwezekan rahma aje t na umfungie gafla t siku zote mlikuwa wapi na we muandishi acha unafiki lenu moja mnatafuta kiki t wabongo bnh ndo mana tulihama Tz unafiki t umewajaa huko
@kikiswahili2 жыл бұрын
Sio unafki peke yako roho mbaya pamoja na chiki kiumbe kinachotwa mwanadamu Cha kukiogopa sana Yani wanatedeka kweli na pesa alizochangiwa rahma zinawapa shida kweli wanataka wangezipata wao nahamtapata mtahangaika mpaka mkome
@linahsemindu42612 жыл бұрын
Nilichogundua mm huyu dada labda Kuna Kaka ake amempenda huyu. Bint ndo Mana kaumia
@gracelasoi39712 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀 hiyo itakuwa kweli kabis
@duhrurhhddhheud85752 жыл бұрын
@@gracelasoi3971 😄🤣😂 watu wanfikra za haraka
@marthammary85282 жыл бұрын
Kweli
@princessmakwega24442 жыл бұрын
We Dada acha unafki wa kuwaalibia watu maisha Yao acha ufisadi uyo lahma ame Pam Ana Sana mwache apumzike sehemu sarama
@umilyas1002 жыл бұрын
JAMANI ZUNGUMZA VIZURI KAMA UNATAKA FIGHT SIO KUAALIBIA , LAHMA, SARAMA - HAHAHAH THATS NICE IPO KWENYE KAMUSI HAYO MAZUNGUMZO YAKO
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Kwan hata mkimshirika huyo shayo katika kufungua hiyo akaunti nivizur .Rahma kwa shayo upo mikono salama
@mpokigwally8112 жыл бұрын
una uhakika gani?
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@mpokigwally811 kwa hiyo angekua kwako ndo angekua Salam sio
Subhana allah Kila kitu chawezekana Nan mkweli mpaka sasa... lakin nilimuona sheikh abdul qadir al jahdham ktk clip ndogo na rahma na kelvin shayo Usichokijua ni sawa na usiku wa giza
@@mpokigwally811 kwa utahira wako unazani mpaka zifichwe yawezekana waliwadanganya wanarekodi kwa ukumbusho wao halafu wenyew wakaposti yote yanawezwkana
@rastaraj95772 жыл бұрын
Kwa ukweli sjaona ubaya wa kelvin, yeye ndie amekuwa km msaada mkubwa Kwa rahma, vp Leo mnamsimanga , Kuna ubaya upi km kelvin anamuhifadhia rahma senti zake , km kweli huyu mama ana imani ya kumsaidia rahma bora amsaidie na aende zake km wengine wanavosaidia tu, kumfatilia mtu uislamu umekataza tabia hizo hazifai
@judiehance17362 жыл бұрын
Bora umeelewa,
@omanmuscat62342 жыл бұрын
Yani kutaka tu kumchafua Shayo hivi dunia yenyewe hilivyo kweli umchukue tu mtu chumbani bila kujua nini kinachoendelea mmhh Apo Hapana
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Wanataka kumchafua ila yatawarudia wenyewe
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 Tena yatawarudi mpaka washangae wanacheza na mungu hawa,wataumbuka vibaya we waache tu,wanazani mungu mjomba wao,watakiona chamoto
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
Na kelvin hachafuki ng'o ndo kwanza tunazidi kupenda 😂
@fammamourchy21642 жыл бұрын
Subhana Allah Ao Kelvin ndie mshikaji wa Rahma mkataa pema pabaya humkuta . Wengine hawapti hiyo misaada
@theopistertheonest82382 жыл бұрын
Mm nadhani Kama misaada ingekuwa haimfikii rahma asingeendelea kukaa na huyo shayo ebu achen kumsema vibaya mwenzenu
@lathifaa8602 жыл бұрын
Mashaalah dada warda
@josendaki23212 жыл бұрын
Mwacheni shayo
@josendaki23212 жыл бұрын
Alikuwa analewa na bibi yake na bibi kafariki
@nilhamhamisi28652 жыл бұрын
Wanawake atupendani siee Duuh kulikua na haja gani kuja kumualibia mwanamke mwenzio wewe kama unataka kumsaidia saidia tu malipo uatapata Allah
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Huyu dada namtangazaji lao moja
@salimmalaka2562 жыл бұрын
NILHAM ATASAIDIWA VP NA KELVIN HATAKI???
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@faridamohamed4677 LAO MOJA KWA KUWEKA UWAZI WARDA NI MKWELI.
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 kwani ni lazima msaada wenu???
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Msaada gani huo unaolimitiwa na Kelvin?
@sidrasidra86162 жыл бұрын
Mmmh jamani !
@asfarsham95562 жыл бұрын
Kama una Nia safi Dada kwanini hukumwambia Kelvin kama unamchukua chumbani kuongea nae. Plus Kelvin hakutoa namba ya Rahma kwa kuhofia wanaume wakware wasitake advantage of her . Hebu sikilizeni tiki tv muipate story kamili.
@elimukwadada2 жыл бұрын
Dah!
@bentesha62162 жыл бұрын
Kama siyo Kelvin ni nani angejua shida na matatizo ya Rahma?
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
Hapo Sasa leo hii Kawa mbaya ila binadamu sisi🙌
@daathuma78432 жыл бұрын
Ni wanafiki hawa kuchafulia mtu jina tu
@consolataaloycemgumba37352 жыл бұрын
Kwa wenye akili huyu kaka na kitv chale ndo wabaya Simu anayo rahma najua kasema atasumbuliaa na sana na hatakiiii na tik tv ndo wenye dhamana ya usalama wa rahm hivyo huwezi muweka room kwako bila idhini ya mdhamana wake jamaniiiii sijawaeleee nimekukubali ndugu yangu
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Kwahiyo kumjua kupitia Kelvin ndio iwe silaha ya kuwachapia watu?
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@mpokigwally811 watu wakina nani watu wenyewe ndo sisi Sasa hatukuelewi unazungumzia nn tunaishi na vichaa wengi kuliko walioko mirembe🙌
@misanamohamedi84382 жыл бұрын
Nyie wote wanafki tu,ebu muachen aendelee na maisha yke
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Mnataka kumchafua mwenzenu penye riziki hapakosi fitina tumesha wazoea hata kwa zahir tulimuona dada fadina alijifanya mwema kumbe tapeli mkubwa kuchangiwa pesa zikaingia kwa kalvin nimaamuzi ya mtu binafsi usilazimishe udugu
@nancyhassan82902 жыл бұрын
Kweli kbs
@rayaalraqady64002 жыл бұрын
Kweli kelvin twakupenda chapa kazi
@khadijakhamis3812 жыл бұрын
Hawa wanamchafuwa tu kaka wa watu
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@rayaalraqady6400 RAQADIA NAWAJUWA SANA HUYO WARDA NI MKWELI NA ALIOYASEMA JAMAA NI TAPELI ANACHUMIA TUMBO LAKE AL WADUD ILITAKA KUSAIDIA NA HATAKI KUTOWA NAMBA YAKE.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
FATMA NA USILAZIMISHE WASAIDIZI KUPELEKA PESA KWA KELVIN.
@nashnene6326 Жыл бұрын
Hivi hii interview uchwara ya kimchongo iliishia wapi?
@zinabal-dubae35512 жыл бұрын
Kweli kabisa hio Family ya Albaity yatokea hadhramout Yemen. Muhimu asaidiwe na misaada kama hio kwa nini akataa lzm huo kaka. Wengine hupenda kufikisha mpaka kwa muhitaji. Kwani pesa ni pesa huwezi amini lzm zifike kwake. Rahma angefungua account na pesa zenye kwake direct. Hii mambo ya kufikisha kwa mtangazaji sio sawa. Atie namba yake. Si lazima azungumze na mtu
@seifyangawakosawakombo66052 жыл бұрын
Asante sana dada unaimani ya kumusaidiya Allah atakulipa mema
@asiakheir86842 жыл бұрын
Hana imani chochote, alikuwa na lake, tena inaonesha anaishi kiutapeli, kwahiyo kaona kelvin atafaidi, et kaenda mbaka google anatizama makabila ya watu, huyo rahma hata asipompata mamayake watanzania tunamtaka wewe dada kafanye kazizako muache rahma wa watanzania
@swahiliqueen99202 жыл бұрын
@@asiakheir8684 Tena ni tapeli wakimataifa yeye na huyo shehe wake
@mpokigwally8112 жыл бұрын
amiiin
@mpokigwally8112 жыл бұрын
@@asiakheir8684 kasema kaenda google ikiwa ni sehemu ya kutaka kumjua ili kutoa msaada zaidi, wewe linakuumwa wapi?
@zaujiajuma82602 жыл бұрын
Binadamu bwana Sasa huyu Dada kimemwasha nn jamani yaan huyu siku zote ulikuwa wapi kumsaidia mpaka anafika kwa Kelvin Leo ndo unaunyanyua mdomo duuh
@salimmalaka2562 жыл бұрын
HUYO DADA NI MKWELI NA SHAYO NI TAPELI NA WEWE NI MWENZAKE
@akilimalindevu5202 жыл бұрын
@@salimmalaka256 ww ndo wakwanza wakuanza nae katika kundi lenu wote utatutajia wenzako wote
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Kasema anachokifahamu, kufika kwa Kelvin isiwe shida, kama wanampango wao je unajuajae?
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@mpokigwally811 sawa tapeli Mwenzao tumekusikia😂
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@akilimalindevu520 yafungeni hayo yote yatuchefua tu roho zetu
@laylamroroo57872 жыл бұрын
Subbhannallah!! pole bi warda oh mi nilichelewa kuiona hii clip so nilipokuwa naona zile coment nilikuwa sielewi sasa ndo naelewa hapa kuna tatizo kwa huyo anayeona huyo rahma ndo brand yake
@laylamroroo57872 жыл бұрын
Kinachotakiwa rahma apate mtu hasa wa kusimamia mambo yake na hiyo misaada inayotumwa kwa ajili ya rahma.ukweli utabaki kuwa kweli calvini kasaidia sehemu kubwa sana sasa huyo kijana asije akaharibu sifa yake kwa mambo madogo.na kuhusu rahma lazima amwamini yule kijana kwa sababu hakuna mtu mwingine anayeona wa kumwamini kutokana na yale alopitia
@laylamroroo57872 жыл бұрын
Tusichoke kw sababu tuliweka nia ya kumsaidia rahma kwa yale tulosikia akiyazungumza yalitugusa kwa kweli.viongozi wa dini waliowaminifu jamani msimamieni huyu msichana naogepea fitna isije ingia hapo maana rahma mwanamke tena msichana mdogo huyo calvin ambaye muda wote yuko naye mwanaume sasa hii sio sawa jamani tujitahidi kuchunga majambo rahma bado anahitaji msaada sio pesa tu hata wa malezi na uangalizi ukizingatia hana ndugu kama alivyosema mwenyewe
@omanmuscat62342 жыл бұрын
Mmhh Dd ulitakiwa Huwakalibishe msalimiane kisha Ungemwambia tu Shayo kuwa namazungumzo kidogo ya Faraga na Rahma nazani Hingekuwa ni bora zaidi
@salimmalaka2562 жыл бұрын
SHAYO ANATAKIWA AWE NA ADABU ALIPOINGIA CHUMBANI KAONA LAKINI HANA ADABU NA NYUMBA ZA WATU HUJUWI ADABU YA UGENI
@salimmalaka2562 жыл бұрын
PITIA COMENTS ZANGU NILIZO JIBU UTAUJUWA UKWELI.
@mpokigwally8112 жыл бұрын
ndio ilivyokuwa sikiliza vizuri hiyo video, ila Shayo ndio anataka kila sehemu akae naye kwapani
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 nyie ndo mnaadabu ya kumchukua mtu bila hata kumwambia mwenzenu na kumfungia ndani
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@mpokigwally811 naona matapeli wote wanashirikiana kutujibu comment Yani hata mfanyaje nyie ni matapeli tu namuache kutapeli watu kupitia shida za watu kenge nyie
@lucykanyopa26852 жыл бұрын
Toba yarabi
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Uwongee nini farga namtu kashajielezea mbona zahir anawasaidia na mchango unafikia kwake mngemuwacha kwanza ndo tungejuwa kama tapeli au we rahma usingemjuwa nikuelewana tu
@aishaukuthymwanachahaya45112 жыл бұрын
Hyo mom nimuongo sn muogope allah
@khadijanurdin31632 жыл бұрын
Kumbe ndo nyie mlosemwa kule kwa kevinnnnn,anhaaaaaaaaaa!!
@twaybachellah9142 жыл бұрын
🤣🤣🤣Namm ndo nimeelewa sas.. Maana pale kelvin alikata kile kipande.. Alisema tu akanifungia mlango lkn wakarusha maelezo hayakuendelea😂😂😂dah.. Kusaidia mtu kunataka imani sana usichunguze... 🙌
@kikiswahili2 жыл бұрын
Ndo haya matapeli makubwa
@khadijahali48372 жыл бұрын
🤣🤣
@faithdenkewitz96612 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba Kelving amekutana na changamoto nyingi sana baada ya kumuhoji Rahma . Wamejitokeza matapeli wengi sana , ndio maana Kelving anakuwa mkali na kumchunga huyo dada , issue ya kusema Kelvin ni tapeli au kaingiwa tamaa ni uwongo kabisa
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Kuna kina Najat8 flora Zahri wote kuhusu kumuwekea mtu mazingra katk nyumba wanafanya wao napesa zinapitia kwa waliomtangaza
@kikiswahili2 жыл бұрын
Waambie wanakurupuka kama mkojo wa asubih hawajui hata nn wanaongea
@hadijaamiri58942 жыл бұрын
Mhh shida hiyo
@brenda10832 жыл бұрын
Kwa kawaida tu, hakuna kazi inakosa wivu kwa kweli
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
Ndo mana wanasema kua uyaone sio magorofa ni hivi viumbe vinavyoutwa binadamu
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KUSEMA UKWELI SIO WIVU
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@funnycomedyvines1467 SHAYO TAPELI
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 na ww ni nani😂
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@kikiswahili SIKU AKITIWA MIKONONI HUYO MWIZI WA MITANDAONI UTANIJUWA MM NANI.
@josephielisha45032 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa ukipiga hiyo namba anapokea mwandishi
@upendomapile12342 жыл бұрын
Haikutakiwa umfungie lolote lingemkuta maana Kelvin angeshtakiwa nakuweka namba ya rahma si vema maana wanaweza kumtafuta matapeli
@salimmalaka2562 жыл бұрын
UNAONGEA UTUMBO.
@swahiliqueen99202 жыл бұрын
@@salimmalaka256 we unaongea nn Kama sio mavi
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Hakufungiwa bali alienda faragha kuongea kama watoto wa kike
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@mpokigwally811 kumbe na ww ulikuwepo hapa ndo nimethinitisha kwamba na ww tapeli mwenzao
@gloriamwanjali93712 жыл бұрын
Mjini.hapa
@rastaraj95772 жыл бұрын
Mamangu umewadhalilisha wanao manake kelvin na rahma ni xw tu na wanao
@mpondamedia24162 жыл бұрын
Ushungi wa kuekti
@nooor11202 жыл бұрын
Lazima kelvin agonge mlango kwani hajui nia yenu nzuri au mbaya na isitoshe kelvin ndie alomleta hapo kwahio chochote kibaya kingemtokea Rahma yeye angekuwa hatiani.
@consolataaloycemgumba37352 жыл бұрын
Unajua nini wewe uende kwa mtu na mwanao then amweke ndani hujui kama ninhatarií tz ingema dama tik tv kinoma noma maaana ndo kamuibu, kama anamwibia no one knows Ila twajua kamuibua kama Kuna mahali kakosea afuatwe na vyombo vya usalama vipoo porojo za niniioíi umeona Noor nimekusoma
@catherinedonatus94722 жыл бұрын
Kweli
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Kelvin kuwa je wanawake wakizungumza ilitosha, atawezaje kumdhuru wakati anajua kabisa kuna mtu je? haingii akilini
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@mpokigwally811 mlikua mnaongea Siri gani huko ndani mtu alishajieleza kilichobaki nikutoa msaada mnaenda tena kutaka kuongea mnaongea nn Kama sio utapeli mtupu nyie na huyo shehe wenu
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@kikiswahili kweli
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Mwanamke wa kiislam muogope Mungu. Nawe mwandishi unatafta umaaruf kupitia stor ya rahma maana umeshupalia mno.Acha wenye nia ya kutoa msahada watoe kupitia maelekezo ya rahma mwwnyewe....maxmam tunafanya ivyo na mtangazaji anasimamia kila kitu mwenyewe na mambo yanaenda sawa tu..acheni ayo mambo.Mungu anawaona mjue ...
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Umeona ee
@thumnathumna59462 жыл бұрын
@@faridamohamed4677 ndiyo ndungu
@mpokigwally8112 жыл бұрын
tatizo sio usimamizi kufanywa na huyo Kelvin tatizo ni kulimit misaada, ukisikilza vizuri huyo rahma alikuwa anataka kupewa nyumba kwaajili ya kutatuwa changamoto yake ya makazi lakini yeye kwakushirikiana na kelvin wameikataa, lakini wakitumiwa fedha na hao hao hawazikatai,
@fatmaally72522 жыл бұрын
Yaaaani nimesikiliza mwanzo mwisho ila sijaona cha mana Yaaaani akuna kitu tafuteni mengine mnatia adi aibu jamani kwani kuna ulazima we umsaidie kwanza we nani aseeeee acheni tabia mbaya acha kwa mungu kuna moto ata ingekuwa kalala nae we inakuhusu nini jamani acheni dada acha unafki kwa mungu kesho huto baki salama
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KWANI NINI KELVIN KAKATAA MSAADA KUTOKA AL WADUD FOUNDATION KUTOKA OMAN KUNA NINI HAPO JIULIZE.
@akilimalindevu5202 жыл бұрын
@@salimmalaka256 Kama hawaelewi kwa nn asikatae Kama mnamfungia mtu ndani hata Kama ni mm laziam niwe na mashaka na nyie
@salmasleyum84412 жыл бұрын
@@akilimalindevu520 sahihi
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Hakuna aliyelazimisha kuwa wa kwanza kusaidia, bali kama kuna dalili za utapeli lazima jamii iwekwe macho.
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@mpokigwally811 tunamshukuru kwa kua tumeshajua utapeli wenu jamii nzima tumeshau watambua waomba misaada Oman kupitia matatizo ya watu😂
@iradukundamike53702 жыл бұрын
Subhanallah we mama ni mwi slam unaongea vitu urimupa kweri wallah umetukwaza
@mwajumambowa40352 жыл бұрын
Mm nnachokiona ww ulimlazimisha aolewe na hao watu wako yy akutaka usimchafue Kevin yy ndo anajitoa Sana
@KADALAtv2552 жыл бұрын
Kelvin shayo AIBU kama kweli kama yanayosemwa ni kweli.
@kiri58072 жыл бұрын
Mimi simlaumu mtangazaji kuweka number yake .Rahma ni mrembo km angeweka number ya Rahma ingekuwa anapigiwa na wanaume kumtaka kumdhalilisha .
@mussandikumana35612 жыл бұрын
Wezi ao jama
@khadijanurdin31632 жыл бұрын
Nyote nyie wachonganishi, Kwanza we kwa nn umfungie chumban kwako?
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KWA NINI KELVIN ANA FOSI KUINGIA CHUMBANI KWA WANAWAKE???
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Kumfungia chumbani sio hivo unavyofikiri bali alimwita chumbani ili waongee kama wanawake lakini Kelvin alimganda kama ruba, kwani akikaa nje huyo Kelvin ndio huyo dada atadhurika?
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@mpokigwally811 kwani kulikua na Siri gani mpaka ya kumuita ndani eti muongee Kama wanawake na kila kitu alishaongea kwenye interview
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@salimmalaka256 hata mm ningeforce kuingia kwa matapeli Kama nyie kumfungia ndani Tena ningevunja kabisa mlango
@jifunzemengi16202 жыл бұрын
Mimi nahisi huyo dada engaliweka account yake ya pesa ikisha mchezo ukaisha hapo
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
RAHMA hawezi kutowa namba ya simu kwa sababu kuna watu wengine hawana adabu, lazima aogope, na huyo kijana ndie alie msaidia jamani, inna baadhi dhanni ithim.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
WALIKUTANA NA SHEKH ABDUL KADIR WA AL WADUD FOUNDATION KUTOKA OMAN KELVIN KAKATAA MSAADA NA VIDEO HIYO KASEMA ISITOLEWE NNI LENGO LAKE KAMA SI KULA PESA ZA WATU.
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
@@salimmalaka256 hatujuwi kwa nini ame kataa
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@rayaalhabsi1725 inavyoonekana kelvin aliwastukia muda mrefu sana ndo mana akakataa
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
@@funnycomedyvines1467 subhana Allah,lakini kama ni sheikh kwa nini alikataa hilo ndio swali kwa tik TV
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@rayaalhabsi1725 kwani kila shehe ni shehe matapeli wenyewe wanajiita mashehe na wachungaji wapate pesa
@benedictmhina89402 жыл бұрын
Shankupe la mji hili na likiwa na Muandishi wa michongo
@wanaupendotv71832 жыл бұрын
Hakuna zima ata moja unajambo lako wewe tuachiye kaka yetu na kumchafua amesaidiya wengi
@abdallahmwasiho15212 жыл бұрын
Huyu dada anataka nn?kelvin atokeze sasa akanushe na Rahma Mungu wa zalilishe,
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Mhm makubwa haya
@angel-eg8ig2 жыл бұрын
Mbona stori ipo sawa huko kwa Kelvin? Zipo sababu za kutaka msaada upitie kwa Kelvin, mtafuteni
@kikiswahili2 жыл бұрын
Achana nao hawa wasenge hawajitambui
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@kikiswahili MSENGE WEWE.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
ZIKO UPANDE TENA SANA KELVIN TAPELI
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@salimmalaka256 tapeli anaweza kua mama Ako na baba Ako halafu wakakurithisha ww utapeli ndo unaokutesa hata hapo ulipo😂
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@kikiswahiliungewaongeza na kingine hilo Kama dogo hivi😂
@khadijaali46572 жыл бұрын
Mungu wangu hivi kumbe kuna watu wengine walikua hawataki huyu Rahma apate msaada wwte ,hivi kwani hata akiamua kumuoa shida iko wp ww mwanamke usiekua na haya wala hujui vibaya umefunga safari wajasema upuuzi tu nyoooh
@allykeita7042 жыл бұрын
Mbio nyingi hekma kidogo kwani ameongea kibaya kipi?
@aishaabdi20592 жыл бұрын
Kweli alesema yataibuka mengi haya sasa tunayaona
@mpokigwally8112 жыл бұрын
yah, kwasababu anajua ubaya anaoufanya
@demicratia40712 жыл бұрын
Kugonga pazia nao ni msaada
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
Bad hatujajuwa ukweli upo wapi au kosa lipo kwa Nani Maana Rahma tumefahamu kwa kutangazwa kwa Kelvin'tutaona Kelvin ataseje
@salimmalaka2562 жыл бұрын
BARWANIYA KELVIN HATAKI MSADA ILA ATILIWE PESA KATIKA HESABU YAKE.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
AKIPINGA VIDEO IPO JE TUIVUJISHE???
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 naona mnatafuta subscribes na views kwa kupitia mgongo wa kelvin tafuten subscribes halafu msahau kunakufa na mtayajibu haya yote kwa mola wenu
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@salimmalaka256 ulitaka pesa tukutumie ww haya weka mkundu wako tukufile naona unakuwasha Sana ukimaliza tunakutumia ww
@upendolema98092 жыл бұрын
Akipokea Kelvin nyinyi mnaumiaje Kwa mfano?yeye ndo anammanage Kwa Sasa,Rahma bado kiakili hajatulia kuweza kuhumili mikiki ya wabongo nyie
@theopistertheonest82382 жыл бұрын
Mhhh yani mpaka nakosa Cha kuelewa ila jaman dunia inamambo
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
We nae unakosa Cha kuelewa nn Yani huelewi kwamba Hawa amtapeli au kitu gani akili kichwani
Dada ni kawaida kuficha no ya mtu, kuna watu wengine wanafanya ubaya na huyo ni mtoto wa kike uwelewe Kelvin hana ubaya ila amamprotect huyo msichana vile vile watu wengi wanapewa pesa na wasifanyie chochote shida zinakuwa ziko palepale dada usimtilie shaka huyo mtangazaji mbona hata maximum tv wanafanya hivyo yote kutokana na watu hawatumii pesa vizuri
@umilyas1002 жыл бұрын
sister please understand kuna kitu kinachoitwa TRUST kama yeye kelvin hana trust kwa watu wanaotoa pesa sababu ya RAHMA vipi wewe utakuwa na TRUST nae pia PIA ZAHIR anaweka number zao za simu ili wapate direct communication nao yeye hataki nini sababu KAMA unasema huyo bint mdogo vipi amezaa je alilazimishwa au yeye mwenyewe alipenda mbona KUNA BINT mdogo zaidi ya RAHMA anaitwa MUNEERA mbona ZAHIR ameweka number yake ya simu na watu wanampigia simu wanampa mashauri, hata ZAHIR anamuliza je unapiwa simu na watu kwa mambo ya kijinga anasema ndio lakini nikiwajua tu nawablock je yeye hawezi kufanya hivyo kama watu wanapiga simu kutoka nchi za nje je watamuuza vipi yeye yupo mbali na anaakili halazimishwi. sister unajua kelvin ana control sana bora amuowe walee mtoto itakuwa vizuri sana sababu anamuonea wivi sana na kila mtu mbaya yeye peke yake ndio mwema MR. BRAND.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@umilyas100 PONGEZI SANA KWAKO HYO HATAKI KUMSAIDIA ANAMTUMILIA APATE MASLAHI YAKE ATI KAWEKA NUMBA YAKE ILI APATE PESA KUNA FOUNDATIONS ZIMETEKA KUMPA MISADA YA KUDUMU KELVIN KAZUWIYA ANATAKA PESA 2 WALA AIBU HANA.
@salimmalaka2562 жыл бұрын
UNA UHAKIKA GANI KAMA KELVIN HACHUKUWI YEYE HIZO PESA???
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KELVIN MWENYEWE NJAA TUPU HANA CHA ZAIDI ILA CAMERA YAKE MOJA NA USANII 2 WAKUJITIA KULIA LIA HIYO NI SINEMA YA KIHINDI HANA UKWELI HUYO NI TAPELI ANA GANGA NJAA.
@umilyas1002 жыл бұрын
@@salimmalaka256 HUWO NDIO UKWELI KABISA LIKINI SASA AMEONA AKIMUACHIA HATA PATA PESA NDIO AMEMGANDA LO WEWE KELVIN TAFUTA NJIA YA KUPATA PESA. BROTHER SALIM UNAJUA KUWA YEYE AMEAMUA KUSEMA RAHMA NI BRAND YAKE SABABU APATE PESA ZA KUIKUZA BIASHARA YAKE YA TIKI TV AFUNGUE OFFICE BORA NA AMUWEKA RAHMA KUWA MFANYAKAZI NA MPENZI WAKE NDIO ATAKUWA AMETULIA NA BRAND YAKE. KILA KITU KINAMWISHO WAKE.
@veronicamasanja98092 жыл бұрын
Mwogopeni mungu
@josephndaki80032 жыл бұрын
Ukifuatilia vizuri hii story utagundua huyu dada ndo mwenye maslahi binafisi na shekh wake nadhani ni udini na uswahili, Kevin yupo kazini na yupo sahihi
@benedictmhina89402 жыл бұрын
Mnazingua
@khadijabintmohammadbintmoh80262 жыл бұрын
Huyo rahma amekataa kutoa namba kwaajili kuna watu wengine wanausumbufu hasa wanaume hua wanasumbua
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Kweli kabisa maneno yako
@salimmalaka2562 жыл бұрын
WALIO MPIGIA WANAWAKE WENZAKE ILI WAMPE MSAADA WA KUDUMU LAKINI ANAPOKEYA NI HUYO SHAYO TAPELI NA ANAPINGA MISAADA YOTE ANACHOTAKA YEYE UTUME PESA KWENYE HIYO NAMBA YAKE KAMA SIO UTAPELI NI NINI????
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@rayaalhabsi1725 SIO KWELI.
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
@@salimmalaka256 ndugu yangu hatuna uhakika
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@rayaalhabsi1725 usidanganyike na tapeli ndugu yangu huyu na hao wenzie lao moja na yeye ni tapeli kitengo Cha kujibu coment
@saleemass96902 жыл бұрын
Wewe dada mnafiki sasa mtangazaji asijue sababu ngaani acha unafiki
@liliankemuma94752 жыл бұрын
Huyu dada Warda ana shida gani na Rahma?msaada upitie Kwa Shayo mengine yatafuata
@swahiliqueen99202 жыл бұрын
Hapo Sasa wote,tulipchanga,hatukua na masharti Kama walionao wao,wanatupa mashaka Sana wanashida gani kubwa na rahma Kama sio kutaka kumtumia kwa maslai yao tu na namba hampati mtakoma mwaka huu,na kelvin hachafuki vilevile imekula kwenu😂😂
@liliankemuma94752 жыл бұрын
Kweli
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@swahiliqueen9920 KWA HIYI SHAYO ANAMTUMIA KWA MASLAHI YAKE APATE PESA KWA NINI ZIPITIE KWAKE NA MWENYE SHIDA NI RAHMA WACHENI UTAPELI WA MJINI NJAA ITAWAPELEKA SEGEREYA .
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 unaongea point sana na hiki unachoongea kinakuhusu ww na matapeli wenzio njaa mbaya msikubali iwaingize segelea huku mnajiona fanyeni kazi
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@kikiswahili ALIEWEKA NAMBA YA SIMU KUTAPELI WATU NI NANI??? KAMA SI KEVIN NA UTAPELI WAKE NJAA MBAYA MTAFIRWA.
@aminaam2812 жыл бұрын
Mwadishi fanya kazi yako vzr nasiyo kusema kuwa ni uongo na maswali ya kujiuliza hayo Mambo yapo ya kukosa ndugu tena unatukumbusha machuku na hizo kejeli unazo tumia za maswali ya kujiuliza,kumbuka binty bado ni mdog hata kimawazo acha zako sawa fanya kazi kama nilivyo muelewa huyo dada lakini wacha kukandia maneno aisee umeniboa huku mwisho sana
@duhrurhhddhheud85752 жыл бұрын
Huku mwisho alivyoongea kama una akili timamu utagundua kinachomuuma ni michango 😄🤣 watu wanapenda pesa aisee
@akilimalindevu5202 жыл бұрын
Naona matapeli mnatapatapa,hivi mnafikiri mnaweza kumchafua kelvin Yani ndo kwanza tunazidi kupenda dendeni mkadanganye machizi sisi tunaakili timamu kabisa mmbwa nyie
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KELVIN NI MCHUMIA TUMBO UKWELI NI HUWO.
@kikiswahili2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 na ww nimchumia nn? Ulitaka michango tukupe ww au?
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Endelea kumpenda tu hilo lipo kwenye maamuzi yako
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@@mpokigwally811 kwa hiyo mnazani tutaacha kumpenda poleni Yani hapa ndo mnatuzidishia upendo kwa kelvin wetu
@zawadimussa25142 жыл бұрын
Awa wakina faidina
@jafarikilunga3702 жыл бұрын
Rahma nami aliniumiza sana hasa mtoto japo nilikuwa sina kitu ila kidogo nilimtumia, ila nimepata picha hawo waandishi wanawatumia ili kujipatia kipato
@kikiswahili2 жыл бұрын
We nae fala kweli kwa hiyo unawaamini Hawa matapeli
@mpokigwally8112 жыл бұрын
ndio ilivyo
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@kikiswahili Tena fala haswa siwezi kuwaamini matapeli Kama hawa hata sikumoja ukijiona unawaamini hawa kapime akili
@saleemass96902 жыл бұрын
Kwa nini kaja na mtangaza alafu kilcho fanya muongee chumbani kwa nini musimtiee mtangazaji lawamaa kwa nini falanga acha unafiki
@salimmalaka2562 жыл бұрын
SHAYO HANA ADABU NYUMBA YA WATU ANAINGIAJE CHUMBANI KWA MKE WA MTU KWA NGUVU??? NA MUMEWE YUPO??? HANA ADABU NA WANAO MSAPOTI HAWANA ADABU PIA.
@himedialfaswi2072 жыл бұрын
Nyie wababaifu
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Ningekuwa shayo ningekushtak wewe dada
@mpokigwally8112 жыл бұрын
amshtaki kwa lipi wakati yeye tapeli
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@mpokigwally811 Yani leo ndo nomeamini kumbe unaweza ukawa tapeli ila ww hujioni unamuona mwenzio ndo tapeli hii dunia bwana
@nathalieswedy36532 жыл бұрын
Huyu dada vip
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Wewe dada unataka awe siriasi vp mtu mpaka kajitoa kujitangaza unasema awe siriasi .yule anataka mama yake kama mnania kwel msaidien ampate mama yake
@mpokigwally8112 жыл бұрын
Kelvin alisema anayonamba ya mama yake kwanini asimtafute
@tanzaniayetu62692 жыл бұрын
@@mpokigwally811 unauhakika hajamtafuta? hivi unayajua msharti ya warabu ww yawezekana hata huko alipo mume wake hajui kua anamtoto tz unazani nirahisi hivyo muwage mnafungaga mabakuli yenu
@aminaalhinai64382 жыл бұрын
Vipi asaidiwe ikiwa kelvin anasema mpaka number ya mama yake anayo kwa hivyo game over kwa wasaidiaji
@aminaalhinai64382 жыл бұрын
@@tanzaniayetu6269 mbona watu hawafahamu kama kelvin Anahi’s Siri tote ili ilikuwa properganda ili apate msaada
@umilyas1002 жыл бұрын
KAMA KELVIN ANASEMA MPAKA NUMBER YA MAMA YAKE ANAYO KWA HIVYO WATU WASITOE MSAADA WAMUACHIE MAMA YAKE NA KELVIN WA DEAL RAHMA LIFE NOT OTHERS LIKE YOU
@bensonchege86232 жыл бұрын
Hili ni jambo lakusikisha sana tamaa kwakweli ni mbaya sana dada Rahma should have had her own phone number mimi mwenyewe hapa wiingereza nilikua nikitaka kumlipia kodi ya mwaka mojo but I asked Kelvine Rahmas number and didn't get it and I thought something wasn't right......we need Rahma number in order to offer her support...this days people are taking advantage of the poor desperate people like Rahma. Well BI . WARDA is a very good lady and genuinely wanted the best for Rahma...Rahma wherever you're you need to be very careful with even those who are interviewing you.....you're not save with anybody but use your common sense to tell who is there to help or take advantage of you. Talk or seek advice to people like BI .WARDA otherwise utapoteza kilakitu unacho sasa hivi.
@sikuzanisaidy23602 жыл бұрын
Wee mama acha fitina kuna kaka zahir pia anafanya km kervin razima afatilie mpaka mwisho ndio inavyo kua dada km hujui usiharbu kz za watu ndugu yangu
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Sasa rahma mdogo wangu kwa nini hutaki kurecodiwa mbona Maximum tv wanachukua story zima la matukio
@daathuma78432 жыл бұрын
Hata maximum TV hawaeki namba za wenye wanataka kusaidiwa mchango wote upitia kwa maximum TV kwanza ndio akakabidhiwa,,, na huyu dada mnafiki angekuwa c kelvin asinge mjua rahma
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@daathuma7843 MNAFIKI NI WEWE SIO HUYO WARDA.
@daathuma78432 жыл бұрын
@@salimmalaka256 mko chama kimoja ww na warda haya poleni hii ni dunia tuna pita
@swahiliqueen99202 жыл бұрын
@@daathuma7843 umeona ee Hawa wote lao ni moja ndo wametuma atujibi comment tumeshituka hakuna boya hapa
@swahiliqueen99202 жыл бұрын
@@salimmalaka256 hivi mnalipwa kitu gani kwa haya mnayoyafanya hakika mtayajibu kiama nyie endelezeni tu ww na wenzako moto unawasubiri
@muniraame15352 жыл бұрын
Sina la kusema ila nasubiri mwisho utakuaje?
@faridamohamed46772 жыл бұрын
Mtangazaji nawewe dada lenu moja.kamagngea pazia ili kubana matumizi .usimchafue mtu kwa kuapia dini yako
@swahiliqueen99202 жыл бұрын
Na kiukweli wanaichafua dini yenu sana yani,wote waislam wote mnaonekana matapeli
@salimmalaka2562 жыл бұрын
WEWE FARIDA HUYO WARDA NI MKWELI WEWE HUJUWI KITU
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@swahiliqueen9920 KASEMA KWELI NA NDIO MAANA KAJITOKEZA SHAYO ANA CHUMIA TUMBO LAKE NA SI MSAADA.
Mtangazaji na huyo Dada umbea mnao ukweli usemwe kimewauma nn mm nikajua labda ww ni mama yake kumbe umeleta umbea tu
@salimmalaka2562 жыл бұрын
UKWELI SIO UMBEYA KUWA NA ADABU
@zaujiajuma82602 жыл бұрын
@@salimmalaka256 ukweli huo kwiyooo
@mpokigwally8112 жыл бұрын
huo ndio wake na ww peleka wako
@zaujiajuma82602 жыл бұрын
@@mpokigwally811 ww nae mdomo kama chuchunde😂😂😂
@mpokigwally8112 жыл бұрын
@@zaujiajuma8260 hahahh polee 😂😂😂
@Neighborsjiran2 жыл бұрын
Kweli hata mm nilituma msada mkubwa kwa Kelvin ila Kelvin alinizigua sana baada ya kutuma pesa kwake Kelvin Si mtu mzuri
@Lassana7552 жыл бұрын
Na mie pia
@khadijakhamis3812 жыл бұрын
Nyie wacheni kumchafua kaka wa watu.. Muogope mungu musizungumze musilo lihakikisha ukweli uko wpi
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KALVI KAKATAA MSADA NA VIDEO YUNAYO JE TUIVUJISHE???
@salimmalaka2562 жыл бұрын
KAJICHAFUWA MWENYEWE NA UTAPELI WAKE
@funnycomedyvines14672 жыл бұрын
@YUSTAR MGAYA hata mm nisingeruhusu matapeli kutapeli watu kupitia rahma kelvin unaakili sana hongera kaka👏
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@YUSTAR MGAYA MULIZE SHAYO ANAJUWA VIDEO YAKE TUNAYO TAPELI NI SHAYO ALIEWEKA NAMBA YAKE KULA PESA ZA WATU MBWA WEWE
@salimmalaka2562 жыл бұрын
@@funnycomedyvines1467 TAPELI NI KELVIN ALIOWEKA NAMBA YAKE KULA PESA ZA WATU SIO SISI MBWA WEWE.
@maryamtanzania97432 жыл бұрын
Pole sana warda minaona hukuwa na nia mbaya na hata kama angeolewa ndo ingekuwa vizuri kabisa
@umilyas1002 жыл бұрын
SISTER HAWEZI KUMUACHIA AOLEWE KWANI YEYE AMESHAFUNGA MALI PALE I MEAN KASHAWEKA BRAND✋ KWA HIVYO HAWEZI KUMUACHIA RAHMA ATAMGANDA KAMA KUPE HADI MWISHO WAKE. BI WARDA WALA USIJALI HAO WOTE WANAOSEMA OVYO ACHANA NAO KAMA METHALI ILIYOSEMA ASIESIKIA LA MKUU? BASI NDIO HIVYO ATAJUTA BAADAE
@seifseifmohamed71182 жыл бұрын
Hata kama Rahma ni kweli yuko na shida au maelezo yake ni ukweli lakin tiki tv ni mahali pabaya kupeleka mkasa wake. Je dar kweli Rahma hakupata au jiani tu kumuona mtu wa namna zetu au hata kwenda Msikitini kujieleza? Bi WARDA ahsanti sana tumekuelewa hasa kwa Kavin ni brand yake lipo neno. Kama Rahma ni mkweli sisi wengi ni mwenetu tunamtaka lakin yeye amesoma anajielewa mbona!