JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@PriscaJames-wt3yk3 ай бұрын
Upo sahihi
@SophiaMohamedi-y7z3 ай бұрын
Me naomba namba za huyo mam
@RaheemaOm-d5e17 күн бұрын
Nikweri asiye sitahiri kufanya kazi aondoke situharibie ss wengine
@husnashaibu63123 ай бұрын
Alhamndulillah nipo 🇴🇲 na niko happy 😊 utafutaji unachanga moto zake kikubwa Sabra tuh kufanya kazi kwa bidii na malengo.... ❤️ ❤️ ❤️
@umahmed82733 ай бұрын
Aunty ziyuni uko vizuri una sema kweli kabisaaa
@aseelaisaa4283 ай бұрын
Hongera sana ❤habibti Zayuni umesema vizuri sanaaaa hongeraaaa well say
@halimaa93673 ай бұрын
Dada ziyuni nakupenda sana zaid ya sana majibu Yako mazur dada zari umefanya vizur kuja omani ❤
@Mojabo-qi7sv3 ай бұрын
Mazuri yapo na mabaya yapo kikubwa tuna pambana Alla ndie anae jua changa moto zetu msimakize maneno waja🎉
@hemedkassim3 ай бұрын
Nipo naww❤
@warshatissa712814 күн бұрын
Barikiwa sana ukhuty zayun❤❤❤❤
@YasmeenKhalifa-zq1zk3 ай бұрын
Mashaallah huyu dada nimempenda 🎉🎉❤
@zahraalbaloochi28413 ай бұрын
Hebu huko huko Tanzania kwanza pitieni zungukeni majumbani na muwahoji hao wadada wenu wa kazi wa huko tuone raha ya kazi zao na mishahara yao!!mana hapa oman wanateseka sana changamoto zipo nyingi sana kuliko huko!!
@HabibuHoseni-sv8hd10 күн бұрын
Huyu aunt mashaalah mungu ampe umri ni mtu na nusu kwa mazungumzo yake ty mashaaalah
@Lumi0633 ай бұрын
Well done umeongea uzuri Sana, kama Oman kubaya wasije hawaja lazimishwa👏🏻👏🏻👏🏻
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤❤❤Very good point,,, Becouse if one have problem Don't tell for all have problem!!! Kweli kabisa ikiwa mtu mmoja kaja Kufanya kazi kutoka Tanzania na anayo problem kwanini awachanganye wote Oman??? Oman is not problem but people from outside of Oman them they have the problems😮
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤❤❤MashaAllah dada Zyun❤❤❤ninamuomba Allah akuzidishie imani na akupe umri mrefu wenye sihha na baraka zake Allah Amiin Amiin yaarab Amiin🤲🏻
@zahraalbaloochi28413 ай бұрын
Kabisa kinawaweka nini!? kwani lazma?
@faisalnasser58953 ай бұрын
Mungu Akulinde kipenzi changuu umeongea pointi nzuri sanaa kiukweli
@HappyBamboo-wm4ep8 күн бұрын
Asante dada zeyuni allah akubariki❤
@SaidyissaSaidy3 ай бұрын
Ni kweli Aunt yupo sahihi mtu anaenda kufanya kazi anasahu kama kaja kufanya kazi ata Dar wapo walio sahau kama wamekuja kutafuta maisha
@MsNajma-j7e3 ай бұрын
@@SaidyissaSaidy nyie wakina madam wa kiswaili ndio mnashida na chuki zenu binafsi hamtaki mfanya Kaz atumie cm mnaroho mbaya sana na chanzo Cha matatizo Oman ni nyie warabu wenyewe turiowakuta hawana shida kabsaa,,,nyie ndio mewafundisha roho mbaya na kuwatia hujinga..Kwan nyie hamna ma group mnatusema uko na kushauriana ujinga unataka mfanya Kaz Aishi kma yupo jera kunguni nyie warabu washwaili?
@sultanalnaamani21563 ай бұрын
Shukran dada Ziuni umejibu vizuri pia yote uliyoelezea nikweli na ni usia mzuri kwa wenzetu
@asmaasmi90193 ай бұрын
Bora wafahamishe dadaty Zeyoun wajuwe kama hapa Oman tuna binaadamu❤
@cyizaumusalama85213 ай бұрын
Allah najuwa kenyemunawafanyianga mukiwa wazuri Allah Ana jua mukiwa wabaya Allah atawazabisha kwaju mumetesa viumbe mvake
@Maryam-vj1rb3 ай бұрын
Many thanks Auntie kwa maneno mazuri bora Zari kakupata wewe amejuwa ukweli
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
Kabisaaaaa ❤❤❤
@ashazuber65483 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Aunty ziyun alicho ongea ni point kabisa❤
@lalilaally20010 күн бұрын
MashaAllah umezungumza vzr maana Hawa wasichana waongo Sana wengine
@aishaomar962116 күн бұрын
mashaaAllah tabaraka Allah kweli una meneno mazuri❤ hata mimi niko n subra napitia mengi iala kikubwa subraa❤❤
@zuweinaalhabsya87733 ай бұрын
Yes vimekushinda rudi kwenu very good aunt Ziyun.
@Tashmaorg3 ай бұрын
Ingekua rudi tu kawaid wengi wangekua washaondok ila rud changamot kwa maboss ila tunashkur wabay so weto. Ila changmot zipo
@jarsjam88943 ай бұрын
Aunt zituni umezungumza uzuri sana na ukweli mtupu Allah akujaze kheri
@jokhaadawi36923 ай бұрын
Anti ziyuni mashaallah umesema ukweli hongera habibty mungu akubarik
@NamiriNamiri-oz4xs3 ай бұрын
Mashallah zari huyo na The wave
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤The Wave pazuri saaaana ❤utapenda
@chomasongidion6047Ай бұрын
Watu washinyanga wanaroho nzuri mno, alhamdulillah mashallah,minatamani kusaidia watu sina uwezo tu
Umezungumza vizuri Zeyuni mashaallah. Wapo walokaa miaka hawataki kurudi .washazoea Oman na ukikaa vizuri kwenye family watu wote watakupenda na ukiondoka na zawadi siku za idd wanatunukiwa
@hashilalkharusi46803 ай бұрын
Matizo kila sehemu yapo
@Nadir_Abdullah3 ай бұрын
Lakini na haki tuseme mabosse wenge hapa omani Havana huruma
@kamarhelo3 ай бұрын
@@Nadir_Abdullahnikweri kabisa
@FahadAbubakari-y3f3 ай бұрын
@@Nadir_Abdullahsahihi
@BakaryOmally3 ай бұрын
@@Nadir_Abdullah Rudini kwenu
@BakaryOmally3 ай бұрын
@@kamarhelonjooeni nyumbani uku
@WahidaAlharthi3 ай бұрын
BRAVO ANTI ZIYUMI MASHAALLAH. NAAM NA. AYO. MANYUMBA. WAMEJENGA UKO TZ PESA WAMETOWA WAPII
@umahmed82733 ай бұрын
Da Zari kweli haya magroup kweli yanawaharibu dada wa kazi. Nlikuwa na mafanyazi mzuri sana lkn akashawishiwa na magroup. Nlimkataza hakuniskia mwisho aka juju tia sanaa
@muscatOmanmct-i4u3 ай бұрын
Da zar mashallah umependeza na ukirudi Tanzania nakuomba uvae hivo hivo
@drhalimalmaskari3 ай бұрын
Hongera mama Sausan umewashika pazuri madada wetu wa Tanzania. Hadi umenifurahisha sana Allah atakulipa kw kheir zako
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤❤❤Allahumma Amiin Amiin yaarab Amiin ❤❤❤
@FatumaNyamawi-x3i10 күн бұрын
Mmmh weng mnasifia na watu huku wanateseka..mtangazaji uliza maswali ya maana unauliza swali moja tu
@DalilaSailm19 күн бұрын
Mimi mdada wangu niko nae 10years MaashaAllah mpaka bint wake nimemleta
@Salsabiil1217 күн бұрын
Ijaza muhimu
@binthamoudshariff54923 ай бұрын
Asante bi dada kwa kuzungumza na watanzania
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
Vipi kwa kumzungumza na Watanzania?? Yeye pia anahusu Tanzania na Watanzania ni ndugu zetu❤❤❤jamani jamani msitubague❤❤❤
@MoroGor-t1g17 күн бұрын
Manshallah dada umeongea kibinadam na kiungwan aswa hongera 🎉🎉🎉🎉
@HafsaShekigenda3 ай бұрын
Mashaallah zazuri nimekukubali unatupigania❤❤❤
@BisharaAbdallah-n4i2 күн бұрын
Masha Allah ahsante aunt
@SaadaAbdallah-o3b19 күн бұрын
Jamani changamoto zipo lkn subra ni nzuri,Tumekaa vzr Alhamdulilah mpaka nimerudi nimechoka Alhamdulilah naishukuru Oman nimefanya malengo yangu niliyoyataka
@mohamedkhamis320010 күн бұрын
Safi sana dada Ziyuni majibu sahihi kabisa,hawa viumbe hawabebeki,
@Shadia5443 ай бұрын
Nina miaka 9 hadi mwakani 10 alhamdulillah sijawai kubadili nyumba ata siku moja tuwe makini na marafiki na magroup ndiyo yanahalibu sana ✌️
@happynesbaemuhappynes88133 ай бұрын
Uko sahihi ndugu yangu. Pia ongera zako
@m.mmarckus62983 ай бұрын
Nikweli magroup ndoyanawaharibu watu
@ShufaaMvugha3 ай бұрын
Ndo hivyo ila ukijua ulichokifata Wala hautasumbuka na magroup
@myunaniniahmad64633 ай бұрын
Na hizo ijaza ni zanini, hunandugu hapa unaenda wapi? Udangaji tu.
@MwajeiJafu3 ай бұрын
Ukhuty shadia 544 naomba no yako
@zoab26993 ай бұрын
Aunty zeyuni yani umeongea point mama sausan asante sana 👌👌👌
@HappyBamboo-wm4ep8 күн бұрын
Kweli watanzania wanatoroka waenda mageto
@ZuanaAldugashi3 ай бұрын
Mimi nimeishi na mfanyakazi miaka 14 na mpaka leo yupo tunawasiliana na nimeleta mwengine yupo mwaka na mimi ma sha allh wote wazuri sna alhamdulh zeyuni kweli maneno yako
@IssaMbaru-qw6ug17 күн бұрын
Tucontacti
@piliramadan8753 ай бұрын
Uko vizuri dada zayuni
@alameratalloy84223 ай бұрын
Asante Ziyun kwa kumfahamisha dada Zari hali halisi ilivyo kuhusu wafanya kazi wa kutoka Tanzania. Nimefurahi kwamba amekufahamu.
@meryamabdullah20813 ай бұрын
Kwel hta mm nimefurahi sana kuna badhi ya wafanyakazi wanatuharibia wengine wenye uhitaji wa kazi
@w40583 ай бұрын
@@meryamabdullah2081Allah akuzidishie moyo huo
@1vy1231vys3 ай бұрын
Safi kabisa ziyuni kuwapa ukweli
@sofiaoman59013 ай бұрын
Asanteni saana kwa ushauri wenu mzuri 🙏🙏
@umarwa69153 ай бұрын
Upo sahihi Ant
@Salamajamshi3 ай бұрын
nimempenda sana uyu dada nataman ata namba yake awe ananipa nasaha❤❤❤❤
@sharifaal-masroori22383 ай бұрын
Vizuri umekuja Oman mwenyewe ukasikia khabari za wafanya kazi kutoka kwenu Tnz Wengi wao wamezidi kwa uwongo , hatujasikia mambo haya kwa wahindi au waphilipine , walokuwa hawawezi kazi wanatoa khabari office zao na wanabadilishiwa kazi au wanakwenda zao Hakuna matusi wala UWONGO kwa wafanya kazi hawa
@AsilahHamad-e4f3 ай бұрын
Mashaallah nimempenda sana huyu mama❤
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
Ninamuomba Allah amzaidishie Afya njema na umri mrefu Amiin yaarab Amiin❤
@aysherkabby59373 ай бұрын
Huyu dada kaongea ukweli kabisa…. Kama huwezi kazi au hutaki rudi nyumbani kuliko kuanza matusi mtandaoni na kuwaharibia wenzio. Well said!
@fatmebakar13153 ай бұрын
mmmh huyu dada anawasema tu wadada wa kazi hao mabosi hawana makosa
@salmakaunga51713 ай бұрын
Kwanza wote wanaoojiwa awausiki wawaoji wafanyakz Oman inachangamoto sana tu sema watu wanavumilia
@azizaazizaa21863 ай бұрын
@@salmakaunga5171kabisaa
@hashilalkharusi46803 ай бұрын
Hakika aliyekuwa kashindwa kazi bora arudi kwao tu nahapa jirani Muomani jana kaleta mfanyakazi Mtabzania
@OfficialA836403 ай бұрын
Kwahy hujamshauri kitu😂
@Kutaila993 ай бұрын
Mshaur apewe 150😊
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
150 sio kitu lakini kwanza akae na ajionyeshee Uzuri wa kazi zake,, si dada Zyun ameshasema ukikaa vizuri na ukawa na tabia njema basi kila mwaka unaongea na madam wako anakuongezea.. Wako wengine wamefikia hadi 170 na zaidi😂😂😂❤
@Mariam-c6b3o3 ай бұрын
Wallah ant zuyuni nimekupenda sana tena sana sana
@HawaYahya-h8t3 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله Allah akubariki dada ziyuni
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤❤❤MashaAllah dada maneno yako ni kweli kabisa ninakupenda❤❤❤maneno yako mazuri dada Zyun❤
@Maryam-v7g5n3 ай бұрын
Masha allah nimempenda ❤❤❤❤
@MariamAa-zh7yu14 күн бұрын
Mashaallah mashaallah ❤❤❤
@abdullahabdul92463 ай бұрын
Safi sana ziyun unaongea maneno mazuri Sana
@SafiaHaji-y8f15 күн бұрын
MaashaAllah ummi sausan kaongea vizur sana sana,mm niliwahi kuja kufanya kazi Oman miaka mi4 nyumba tofauti,nilitaka kurudia nyumba ya mwanzo lkn haikua riski nikapata nyumba nyengin lkn alhamdulillah ckupata shida yyte,changamoto ilikua kwenye mshahara tu,lkn mara ya mwanzo nilipokuja ilikua si lazma yaan kwenda ubalozini ilikua hamna mkataba wwte lkn nashkur kule nilikokwenda kufanya kazi mwanzo hadi Leo nawacliana nao wakija tanzania naonana nao ,yaan nawashkur sana san Allah awalipe ujira mwema
@hamisaally9683 ай бұрын
Aunty ziyunii❤
@bintmrisho35263 ай бұрын
Uyu aunt zayuni kazungumza vizur sana ubarikiwe mamy mimi niko na miaka 6 nimebadilisha nyumba moja tu asaiv niko salama Alhamdulillah naisha vizur na sijawah kurud tz
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤MashaAllah dada asante Allah akubariki❤anaesema ukweli ni mpenzi wa Allah❤❤❤
@ahmedalrashdi57473 ай бұрын
Alhamdulillah mimi nnae dada kutoka morogoro ana miaka 5 hataki hata kaondoka tunaishi vizuri kabisa
@alhabsi64303 ай бұрын
Mashkura um sausan makasarti umenyoosha mazungumzo mazuri👌 ili wafahamu vizuri❤nakupongeza sana
@nasseraljahwri63103 ай бұрын
😂Mnalalamikia nini?? Km mmeshindwa kaz simrudi tu kwenu? Kwan mmelazimishwa?? Acheni kashifa na majungu, kiubinadamu, ukishindwa kaz rudi Tz, wanongo mmezidi umbea na kashifa
@reynaaalrawahi41373 ай бұрын
😂😂😂
@Bahati473 ай бұрын
Kurudi sio tatizo tatizo ni kuwarudisha ndio hawataki yaani ukiingia ndani ya nyumba ya muarabu hutoki mpaka umalize miaka mi2
@zahraalbaloochi28413 ай бұрын
@@Bahati47lipa pesa zao ondoka huo mkataba mana gharama zake je akuwachie bure!??
@safiyaalhajri42053 ай бұрын
Manenoyenuyote um sausan Nikweli 👍👍👍mashakil wanajileteya wenyewe
@Mariam-c6b3o3 ай бұрын
Walah nimekupenda ble dadangu
@nassrasaif91483 ай бұрын
Kweli unateswa rudi kwenu waache wenye malengo kaizi iendelee
@martineomary223 ай бұрын
Dada yangu Allah akulinde
@jme58223 ай бұрын
Ant zuyuni kanileta mimi toka.2012.nyumba moja asante ant.
@hudhaifahharrith66353 ай бұрын
Team ziyun tupo vzur Allahamdulillah wallah
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤MashaAllah Love❤ant Zyuni
@NasraAlMarjabi3 ай бұрын
Kitu kikubwa waache kutukana matusi ya Ajabu Hawana haya
@MsNajma-j7e3 ай бұрын
We unaesema warud kwao we kwako Oman..si wakuja tu na ndio mereta shida hapa Oman zaman haikuwa iv?
@saleemadhiyabalkhatri78003 ай бұрын
warudi bhana matusi yamezidi
@issaal-busaidi44793 ай бұрын
kazi zote zina changamoto acheni kutuharibia sis wengine tuliokua hatujapata ajira bado,,,, hata Tanzania pia zipo changamoto ,,
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
Asante kweli kabisa maneno yako umesema ❤
@Shanitiba3 ай бұрын
@@issaal-busaidi4479 wote walisema km wewe wanaolalamika kabla awajaenda lakin walivyofika ndio mstar wa mbele kulalamika sasa usiongee sana mabisha maneno siku zote ajira ni nzur usipokuwa nayo lakin ukishaipata siku zote hua haina maana sijui unalifaham hilo
@olivanooraladin54363 ай бұрын
We dadake nimekupenda yaani unanyoosha maelezo vizuri
@bisharahassan11133 ай бұрын
Alhamdulilah umeongea vzr sana
@HusnaMwaluko3 ай бұрын
Mashallah dada ameongea vizr Yan Oman na miezi tatu lakn umenifanya nifikie pakubwa sana katika kupambana❤
@saidalhinai11313 ай бұрын
Wadada wakija hapa wskipata marafiki basi sumu inawaingia
@laylayl51663 ай бұрын
Tamaa piya siyo nzuri
@ahmedaljabri12063 ай бұрын
Nashukulu mwenyezimngu Alihamdulilahi mm niko Omani sijawai kuabadilisha nyumba atamalamoja nyumba niileile mbakasasa nina miaka 9 adi Eflumbili 2026 talehe 6 mwezi wapili inakuwa 10 kamili nashukulu mwenyezimngu Alihamdulilahi ❤❤❤❤❤❤❤❤Upendo ❤❤❤Upendo ❤❤❤Upendo Omani
@ReykijaziReykijazi-t4o29 күн бұрын
Hongera
@ReykijaziReykijazi-t4o29 күн бұрын
Ntaftie
@ahmedaljabri120627 күн бұрын
@ReykijaziReykijazi-t4o Asante mpendwa tukopamoja
@SaadaAbdallah-o3b19 күн бұрын
Shukran dada Z umeongea point
@Moto1234-jl5ti15 күн бұрын
Dada zari musarime huyo mama musukuma mwezangu ❤ mwenyenzi mungu 🙏 nimwema kirawAkati ubarikiwe sana mama yangu pia nadada zari😂 nimefurahi sana
@FaithiRinje14 күн бұрын
Maashaalh dada mtagazaji Kwa kujitoley kufika huko utube ujumbe❤❤❤
@hawaali83713 ай бұрын
Mimi Ni Mtanzania. Nimefanya Kazi Miyaka 11. Saudia Na Qatar, Sijawahi Kuteseka, Mpaka Sahivi Niko Qatar. Nabado Sina Mpango Wakuacha Kazi
@stellakaguo87283 ай бұрын
Mshukuru Mungu umepata watu wanaishi vizuri na wewe.
@hawaali83713 ай бұрын
@@stellakaguo8728 yah. Namshukuru MUNGU Sana🙏
@tauhidajumahamad12183 ай бұрын
@@stellakaguo8728si uongo
@HusseinHaji-f5k3 ай бұрын
Qatar mshahara kuanzia bei gan mumy? Nataka kuja niko kwny proces
@Leylah-pz5sc3 ай бұрын
Ata mm nilianza Oman , Dubai sai nipo Qatar nashkuru mungu nipo sawa km nipo nyumbani
Wafanyakazi wamtafute mana wawe wazi sio unafiki chinichn
@azizaazizaa21863 ай бұрын
Ndio wafanyakazi ndio waongee
@irenemichael3 ай бұрын
Kila mtu anahadithia aliyokutana nayo kama bos mkorofi utahadithia Ivo kama mzuri utahadithia Ivo watu hawafanani na wanalalamika kaz ngumu maranyingi hawajafanya kaz zawahindi ila ukipitia Kwa muhindi Oman utaona kazi nyepesi
@OmaGd-m3n14 күн бұрын
Nimepeda ukarimu wako mungu akubariki
@DARK-mo5vi3 ай бұрын
Aunty umeongea sawa kabisa
@NechLove14 күн бұрын
Kwenye hiii dunia changamoto ni kila sehemu kikubwa Mungu akikaa na sis hakuna zoruba wala mawimbi itatupata
@dorcaskidoti2493 ай бұрын
Leo Zari umefanya kazi husika na maswali mazuri sana, Hongeraa sana sio kuhoji matajiri wenye makampuni yao.
@fridafrida214214 күн бұрын
Mmi nasema ukweli uku omani nyumba unatishe tu
@fridafrida214214 күн бұрын
Unadanya kazi kwenye gorofa 3 unatumika. Unampigia aren't kuomba msaada apokei cm unaomba urudishwe nyumbani bado. Nitabu unafanyaje mpaka ufe
@fridafrida214214 күн бұрын
Wengine atupewi cnakura unakuwa kama kichaa hiyo ukisema.kurudi nyumbani kijasho kitakutoka
@fridafrida214214 күн бұрын
Wwe miika 15 ukiwa na utimamu bad Irish uraia usiende tz
@nasrahassan73463 ай бұрын
Nimekuelewa madam
@LailaLaila-kg2qd3 ай бұрын
Ninamiaka kumi sasa iv nyumba moja nipo mpk sasa alhmdulillah Mungu ni mwema
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
Asanteeeeeee ❤aambiwe ili wajue😊
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
Waambie ili wajue
@salama11133 ай бұрын
Mm ninamiaka 8 sijarudi adi leo nanipo nyumba 1 nabado nipo sana nashukuru mungu wajili wangu alihamdulillah
@SwahiliMafu3 ай бұрын
Uje tukusugue kidogo
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤Asante dada jitahidi kuwa na bidii hiyo hiyo na Ujue wapi umetoka na Ujue malengo yako,, ❤
@نجاةالعبري3 ай бұрын
Mnh ume kua aunt filipino au home is the best ww
@GgjTfg19 күн бұрын
Mshukulu mungu
@hailinhelen46753 ай бұрын
yaani ziyun mungu akuweke sana hawa watu wanatuonea saana bora leo umesema kweli na hujampendelea mtu huwezi kazi rudi kwenu 😅
@halimamsafiri28825 күн бұрын
Alhamdulillah nipo Dubai am happy miaka 6 nyumba moja
@خليفهالرحبي-ف4م3 ай бұрын
❤❤❤ماشاءالله تبارك الله اختي❤❤❤
@Abbasbakarsth3 ай бұрын
Mash Allah dada
@Faraja-k1e25 күн бұрын
Yes
@zeyounhabibty858712 күн бұрын
That’s fact dear kubalance story maboss wanamatatizo yao❤ na wafanyakazi wanamashaka yao
@AminaJuma-r4y3 ай бұрын
Na watu wa kigoma niwavumilivu watu tuna miaka 10 sasa bila kurudi 🇹🇿na wengi tunatoka kigoma